Samahan et hii shea butter ya cantu iliyoandikwa" natural hair" DEEP TRETMENT MOSQUE kazi yake haswa ni ipi katika nywele maana nimeona ipo tofauti na hiyo shea butter yako
Tatizo dada wengine tunaishia kukufatilia tu lkn hivyo vifaa unavyotuelekeza havipatikani sasa tunavipataje mm nipo mkoa wa mwanz please mummy nisaidie kuvipata hivyo vitu
Je kma umesuka unwez kupulizia
Dada naipataje leave in conditioner naipataje
Samahan et hii shea butter ya cantu iliyoandikwa" natural hair" DEEP TRETMENT MOSQUE kazi yake haswa ni ipi katika nywele maana nimeona ipo tofauti na hiyo shea butter yako
Thanks
Karibu dear
Kama unanywele nyepesi utumie mini zijae
Kwahyo unatakiwa kupaka leave in conditioner kila siku
Ndio dear
Je kama umesuka rasta au misuko?
@@lucydonald621 kama ni rasta hutoweza kutumia dear. Ukisuka nywele ya mkono na twists ndo zinafaa
@@gracebimz7935 Ahsante
Nywele yangu inadawa lkn haijai na zinakatika nikichana hazirefuki jmn🥵
Vipi nikitumia pink lotion inafaa au
Hapana dear usiitumie
@@gracebimz7935 thanks
Huwa unakausha nywele kwakutumia nn et
Uzi dear
Tatizo dada wengine tunaishia kukufatilia tu lkn hivyo vifaa unavyotuelekeza havipatikani sasa tunavipataje mm nipo mkoa wa mwanz please mummy nisaidie kuvipata hivyo vitu
Sisi tunavyo mamy na tunatuma mikoa yote Karibu sana
Nywele yangu inadawa lkn ni chache hazijai hazirefuki pia zinakatika nikichana
Unaweza kuzitumia zote kwa mara moja kupaka na kupulizia kwa wakati mmoja
Ndio mamy inafaa
Leave in conditioner inapakwa kwenye ngozi ya kicwa?
Hapana ni kwenye nywele pekee mamy
Kuna shida gan ikipakwa kwenye ngozi. Na hata hizi natural hazitakiw kupakwa kwenye ngozi
Spray inapuliziwa had kwenye ngozi? Na km hazitakiw kuwa applied kwenye ngozi kuna madhara gani?
Inapuliziwa kwenye nywele japo ata ikifikia ngozi huwa haina shida
Da Grace habari mm nipo dar naipataje hio Liv in condition nipo dar es salaam
Karibu naomba unitafute kwa 0752320329
Leave in conditioner inapakwa kwenye ngozi ya kicwa?