BUSUNGO SDA CHOIR: NIMEONA WEMA WAKO. SEGESE KAHAMA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BUSUNGO SDA CHOIR
    SEGESE KAHAMA

ความคิดเห็น • 18

  • @brotherlee4265
    @brotherlee4265 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki. Wimbo huu unanigusa moja kwa moja kwa kila hali.
    Naomba neema ya Mungu.

  • @jumakulwa1378
    @jumakulwa1378 3 หลายเดือนก่อน

    Nahisi uwepo wa Mungu kupitia wimbo huu. Barikiwa sana wapendwa kwa wimbo mzuri.

  • @emmanuelmsabila6252
    @emmanuelmsabila6252 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeona wema wako ooooh wimbo mtamu sana nabarikiwa naguswa nahisi uwepo was Mungu ndani yangu

  • @AgustinaKombe
    @AgustinaKombe 15 วันที่ผ่านมา

    Wimbo umenibariki Mungu wa mbinguni azidi kuwatunza na kuwabariki daima 👏👏

  • @grolyjimmy
    @grolyjimmy 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki Sana ujumbe mzuri sanaa nimebarikiwa na niwimbo wa sikuu ya leo🙏🙏

  • @barakamahanga9379
    @barakamahanga9379 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni Sana wapendwa kwa kazi nzuri.

  • @Mgenimbwambo
    @Mgenimbwambo 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa wimbo mzr sn na unanibariki sana

  • @naomirobert8266
    @naomirobert8266 7 หลายเดือนก่อน

    Waooooh ❣️❣️ Kaz nzur sana MUNGU awabariki

  • @chugaboy-hc3sb
    @chugaboy-hc3sb 3 หลายเดือนก่อน

    Munatisha mungu awabariki

  • @user-kw7mh1wc4f
    @user-kw7mh1wc4f 7 หลายเดือนก่อน

    Hongereni! Mungu awabariki!

  • @user-kk8vb4rm2v
    @user-kk8vb4rm2v 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe Kwa ujumbe mzuri .

  • @SylvesterFaida
    @SylvesterFaida 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awazidishie

  • @mussapetro1337
    @mussapetro1337 7 หลายเดือนก่อน

    kwa kweli wimbo huu ni mzuri unanibarika sana

  • @mathiasmuyengi1354
    @mathiasmuyengi1354 7 หลายเดือนก่อน

    Kwenye ubora wenu barikiweni watu wa bwana❤❤

  • @boazagasomi6890
    @boazagasomi6890 7 หลายเดือนก่อน

    barikiwaa

  • @neemannko393
    @neemannko393 7 หลายเดือนก่อน

    Amani iwe kwenu😊🙏

  • @LeonardBarnabas-o3m
    @LeonardBarnabas-o3m 7 หลายเดือนก่อน

    Busungo mbarikiwe

  • @petersambu4327
    @petersambu4327 7 หลายเดือนก่อน

    Unaniwazia mema licha ya madhaifu yangu