Rais Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua watofautiana kuhusu suala la umoja na uwiano wa nchi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2024
- Rais William Ruto na Naibu Wake Rigathi Gachagua wametofautiana kuhusu suala zima la umoja na uwiano nchini. Kwenye hafla ya maombi iliyoandaliwa na dhehebu la akorino katika kaunti ya Nakuru, Rais Ruto amesisitiza umuhimu wa kuunganisha taifa kinyume na anavyohimiza naibu wake kuhusu umoja wa eneo lake la mlima kenya. Maryanne Nyambura anaarifu zaidi.
wakae kama hawaelewani na hata wakielewana tutazidi kuumia tu
Precisely D. P🙏🏼
RiggG is a truthful leader continue to spread Peace , love and Unity.Governor Kahiga Mutahi continue to spread gospel of Peace , love and Unity and most importantly one Man , one vote , one shilling.Govenor dont mince your words shoot straight until they accept that we are kingmakers.
Tutatenga,tutafanya, empty words 😢
Mutahi kahiga and Gachagua Rigathi are truthful men😂💯🔥
We need development not unity because we're already united
I support Riggy G. Equity over equality, but the government should also push for more projects in marginalized areas to achieve balance
Murkomen ni Cabinet Secretary aache siasa he is a civil servant not a politician
Siasa ya Kenya ni divide and rule lazima kadi ya ukabila itumeke.
Non of those speakers want unity of Kenyans nor wishes to have Kenyans united. They thrive in division
Tuko nyuma ya gachagua let mt Kenya talk us a house then after our house is okay we shall unite with our brothers as one kenya, you start with where you stay then go to the rest
Yes kata kabisa Kenya moja watuwete❤❤❤
Deputy president tangu aanze kuwa different na Gachagua anaanza kuwa mtu mzuri Ruto spoils is the bad apple that always spoils good apples
This is the emerging disadvantage of the 2010 constitution 😢😢😢
Charity n unity begins at HOME
Well said murkomen
I fuuuully support Rigathi on this
Watu wawe kitu kimoja Ili muendelee kuwanyonya damu....hii Kenya kwanza can't go far
Am happy uhuru saw this thing kitambo
Murkomen. Be a man of unity. Wewe usiende kwa media. Enda kwa Gachagua na uongee pole pole. Solve ur problem chini ya Maji