Sio sahihi kwqsababu huyo lil mama alishakuwa kapata umaarufu kwa kpndi hicho ila ingekuwa sahihi kama angekuwa hajulikani hlafu akapata kick kupitia kitendo kile kuna wakati hawa wasanii hata wakifunguliwa mashtaka ni sawa tu kwa maana ndio chanzo cha kuharibu karia za watu wengi kwa vitu ambavyo havina mantiki Jigga alizingua sana kamharibia kabisa Maria nzima huyu mwanadada
Mko poa sana wazee endeleen kutupatia hizi stories ndo zetu
Asante sana... Ziko nyingi sana zinakuja
Bro i like it. But naomba utuletee makala ya rapper YNW MELLY Ahsante.
Ok ntalifanyia kazi hilo swala
oya umenyooka sana mzee
Nashukuru sana Ninja
Sio sahihi kwqsababu huyo lil mama alishakuwa kapata umaarufu kwa kpndi hicho ila ingekuwa sahihi kama angekuwa hajulikani hlafu akapata kick kupitia kitendo kile kuna wakati hawa wasanii hata wakifunguliwa mashtaka ni sawa tu kwa maana ndio chanzo cha kuharibu karia za watu wengi kwa vitu ambavyo havina mantiki Jigga alizingua sana kamharibia kabisa Maria nzima huyu mwanadada
Asante, Point yako nimeielewa
@KennyUkiyz007 🙏
Mchoyo kwa mdada angemsamehee tu😊
Umeonaee 😊
😂😂hio ndio mshahara ya mashobo
😂😂😂
Huyu Jay Z ana moto wake special huko kuzimu😏
😊😊
Alipaswa kumsamee
Sure kabisa
😂Jay Z ni shetani mkubwa ndiye anamfira P Diddy ambaye anatoa wasanii kidunia
Mh 😬
Una ushahidi gani choko ww
@@BenAshery kichwa chako kifaa cha kubebea meno tu akili haipo
@@Abby_Shawn_KE😂😂😂😂