Napenda Sana mahubiri yako yananifaa Sana katika maisha yangu ya kila siku naomba mungu azidi kukutumia kufungua wengi na kuelimisha wengi yangu ni hayo mungu azidi kukupa hekima na maarifa zaidi.
Mtumishi wa Mungu, huu ni wakati wa kuhubiri "Full Gospel" ili mwanadamu aamue uamuzi thabiti. Biblia imeweka wazi, Nje ya Bwana Yesu Kristo, binadamu asitegemee kuingia Mbinguni; haiwezekani. Idadi ya wanadamu kamwe hai-modify mpango kuhusiana na hukumu ya jehanamu. Fikiria hukumu waliyopata wanadamu wakati Nuhu, Sodoma na Gomora, etc. Wahubirini watu wampokee Bwana Yesu Kristo na wajisalimishe awe bwana na mwokozi; tofauti na hapo hakuna cha Hindu, Buddha, Shinto, Confucius, Baha'i, etc, etc; wasipojisalimisha kwa "Simba wa kabila la Yuda", jehanamu inawasubiri.

Barikiwa sana baba yangu,kila meseji inanipeleka hatua nyingine
Barikiwa sana mtumishi kwa masomo mazuri sana nahitaji cd mahubiri yako baba.
Amen ,Bishop Gwajima barikiwa
Amen asante mtumishi kwa neno la Mungu nikweli inastahili tuamuke tuwemacho
Woooow
Ameeeeeeeeni
Ur GOD is too Greatest Most High GOD
Amen Mungu akubariki baba
Mungu kaniponya dhidi ya mauti, natubu dhambi zote, nimewasamehe walionikosea na niliowakosea naomba wanisamehe
Baba mungu yuko nana wewe nakupenda sana
Amen baba mungu akubaliki
Bwana Yesu Asante, Baba Gwajima Asante!
Levana 29
Ubarikiwe mchungaji
Nakataa ushingizi wa kichawi kwa Jina LA yesu
ni kweli mtumishi ucngiz ni roho
Yesssssss
Amee
Amen bishop.
amen thank you
amina
yes
Amen and Amen
Amen
Amee
AMEN !
nuruyangu itayari naja kwa utakaso na uvuvio
emeni tena emeni
winne anyango
Mtumishi wa Mungu, huu ni wakati wa kuhubiri "Full Gospel" ili mwanadamu aamue uamuzi thabiti. Biblia imeweka wazi, Nje ya Bwana Yesu Kristo, binadamu asitegemee kuingia Mbinguni; haiwezekani. Idadi ya wanadamu kamwe hai-modify mpango kuhusiana na hukumu ya jehanamu. Fikiria hukumu waliyopata wanadamu wakati Nuhu, Sodoma na Gomora, etc. Wahubirini watu wampokee Bwana Yesu Kristo na wajisalimishe awe bwana na mwokozi; tofauti na hapo hakuna cha Hindu, Buddha, Shinto, Confucius, Baha'i, etc, etc; wasipojisalimisha kwa "Simba wa kabila la Yuda", jehanamu inawasubiri.
Huku ndiko napatiaga akili za mbinguni
Ubarikiwe mchungaji
Amen
Amen Amen
Amen.
Amen
amen
Amen
Amen