Nashangazwa na kila mtu kuomba like badala ya kucomment comment zitakazomfanya msanii aelewe mashabiki zake wataka nn ama wanakipi cha kusema juu ya muziki wake
Lava lava unafahamu wewe ni msani mzur pili unauwezo mkubwa san kweny kufanya chochote kwny mziki wako Lava lava mimi km shabiki wa WCB kutoka🇧🇮 ningekushauri ubadilike kidogo kweny muziki wak usibaki ule ule towa ladha tafauti na kipindi cha nyuma km ulivo kuja na bado sana fanya muziki wa tafauti na kipindi cha nyuma ufupi kuwa km boss wako usisomeki kwa aina moja ya muziki
Lulu diva alisema sauti yako uwa inavutiya sana ni kweli ajadanganya ajasema kwasababu uko mpenzi wake apana,alisema kweli kabisa yaani sauti ulipewa na Mungu labda najomana unapendewaka sana na wadada sauti inavutiya ajabu maneno sasa njo nisisemi
Yaani Toka niachwe na yule ,wasanii wa Tz wameamua kunituliza moyo wangu kwa mashahiri yao.Baada ya vanyboy na jux ktk lala, Amefuata lava lava na najidai.
Nashangazwa na kila mtu kuomba like badala ya kucomment comment zitakazomfanya msanii aelewe mashabiki zake wataka nn ama wanakipi cha kusema juu ya muziki wake
I was about to ask the same question
TRUE
true
true
kali
Kali ta +255. Leo na mm nipeni likes za lava lava nijidai
Hivi kuna nini wenzangu lava nimekubali 💯
Nice work bro, napenda Sana hii ngoma.najidai Sina wasi wasi.
Love bite utaniua,mob love from Kenya napenda nyimbo zako aisei
This song is really flowing in my mind and Lavalava you are always my best music artist in Wasafi. Jameni nipe
likes za Kenya
Sina wasi wasi mwenziwe najidai... Am on the repeat mode... Naipendaa hii 🇰🇪🇰🇪
Hatar lavalava umetisha kinoma %1000
Lava lava unafahamu wewe ni msani mzur pili unauwezo mkubwa san kweny kufanya chochote kwny mziki wako Lava lava mimi km shabiki wa WCB kutoka🇧🇮 ningekushauri ubadilike kidogo kweny muziki wak usibaki ule ule towa ladha tafauti na kipindi cha nyuma km ulivo kuja na bado sana fanya muziki wa tafauti na kipindi cha nyuma ufupi kuwa km boss wako usisomeki kwa aina moja ya muziki
Waouh waouh vrry nice song from Burundi 🇧🇮
Mahaba ya mwendo Kasi. Innallah maaswabirini Sina chuki na mtu roho safi hairogwi wanajiroga wenyewe oll the best lava lava we love you so much
I just love how this guy articulates,visualizes and delivers his message💯
Anaeza kufanya utamani heartbreak😂😂
nakubali mwanangu wala pensheni
Kama unamkubali shivo master aka lavalava .like hapa🙌🤗
I'm in love with dis song my brother lava lava I appreciate your project daily 🔥🔥🔥
Lavalava c umeniimbia wallah. ..ngoma kalii
Najidai, Najidai nimempata mpenzi, Najidai, Najidai nimepata mtetezi, nimeipenda Sana hii nyimbo lavalava uko juu pambana uko vzr
Mwona muziki 🥰🥰👌, I love the feelings
Safi sana 🔥🔥🔥👌🇲🇼
Leo kuamka tu naona jambo la mzee wakwiyooo naomben laik jaman
Lava lava my favorite from wasafi
Lulu diva alisema sauti yako uwa inavutiya sana ni kweli ajadanganya ajasema kwasababu uko mpenzi wake apana,alisema kweli kabisa yaani sauti ulipewa na Mungu labda najomana unapendewaka sana na wadada sauti inavutiya ajabu maneno sasa njo nisisemi
Weuweeeee najidai iko motooooo
FIRST TO VIEW
WAPI LIKES ZA WA KENYA HAPA🇰🇪🇰🇪
wapi likes za 254 kenya ,,,,,we are locked
This is a hit my guy
BORA NMEKUWAHI KWA LEO AISEE NIPENI TU LIKE ZANGU HAPA
Najidai nimepata mpenzi
Wapi likes za lava lava
Safi sana lavalava
Gud Kazi njema
Tunda la BUNJU ipaishe bunju kma chibu anavyoipisha tandaleeee we proud of you we kaza tyu saport zetu utapata.........
This is the lava lava we want ume rudi palepale una tugusa keep it up
nic ngoma and kazi nzuri mi nimsani toka burundi mipiya nakuwaga nasapot kazi zako sanaa nic nic
Brother nakubari San kazi zako
Nice song I like it, umenena ukweli kabisa congratulations 😍😍😍😍🤗🤗🤗🤗🤗
Nenda mwambieenii....zimfikie salamu🔥🔥🔥
Am crazy over this song 🙆🙆🙆
Street song kama unamuelewa sana love byte ninja gonga like yako hapa
Likes kwake lava lava boy🔥🔥🔥🔥
Pendasan wew 😘😘😘
USA mko wapiii ❤️💯🥰
Lava lava kwel ni lava lava inamoto mkali misili ya chuma kinachemka ngoma kali gonga like hapa
Hapooo sasa
Hizi ndo zako lavalava
Nice song mr. Lavalava, i like it 🔥🔥🔥
This guy is greatly developing. Great masterpiece
Nawimbo pitia kwangu nawimbo please mkuu njoo unipe sapot nawimbo please
Oyoooo 🔥🔥🔥
Nice song lavalava ❤️❤️❤️
najidai love
Colous umeuwa mzee wng
Kweli unajidai kaka
Yaani Toka niachwe na yule ,wasanii wa Tz wameamua kunituliza moyo wangu kwa mashahiri yao.Baada ya vanyboy na jux ktk lala, Amefuata lava lava na najidai.
In Kenya enjoying the song mmwwah very sweet
Nice Vibe Music 2021 Napenda mwingine amependa kama miye😍💯💯💯💯💯👌👌👌
Moto broo
This guy never fails us😻🔥🔥🔥🔥
Number Uno #lavalava
I’m the first here give me my like 👍
Hii ngoma imenigusa kweli moyoni kwa safari yangu ya mapenzi
Morning my people... Naombeni likes... Plz
Nic
I loved 😍❤ this till if am in Stress and if i listen this song all my stress goes away
Good morning lava lava, nice work am great to first person to comment
Huuum l'homme de paroles lava lava ,
Hivi ni kwele umempata
mpenzi kaka??is about time ama nichukue
mimi tu!! love you bro🥰🥰🥰❤️❤️
Nzuriiiw
Nice form South afrika
After Bado Sana LavaLava amerudi tena kwa mapenzi🤣
Wangapi tunakubaliana na lava lava wekeni like zenu hapa chini 👇👇👇👇
Hii yenyewe huyu ndio lavalava ninayemfahamu mimi love bite ❤❤
Hatareee
Pole lava boy
Merodi moja Kama yule muimba kwaya
my favorite song🔥🔥
Mimi nimewapa like zenu 🙋🙋
Lava s yye ndio alikufunza mapenzi ulikua ujui dat song we need it
Madrasa fans
Hatasiwezi kunya maza kuimba nyimbo👉najitaidi
Umekata kiu yangu sasa nilitamani kusikia hit ya Sina hii kutoka kwako mdogo angu
Lava gang
Dah unahatar sana bro🙌🙌
Najidai
Hatari na nusu
Je valide
Lava sikidogo jamani eeeh niaachiwe misemo moto
GREAT WORK FOR THE NEW SONG
Hiii ngoma ni kali walahi
Mbona raha 🔥🔥🔥
Lala lala haujawai ni angusha u rock on 👌👌
Mwamba ngom kali san lavalava
Good song,umekomesha Kaka,nakukubali sana.
Kaz nzur mnooo
I’m the first one 🔥🔥
Wapi tumekaush2 wengin
@@ibrahimyusuph4908 English please?? Don’t speak Swahili I’m sorry..
@@podoofficial1315 u don’t even know how to talk English imagine saying “don’t talk Swahili”lol
Congratulations you just won the fool prize🚮😝😂😂
Kali
Ni me ipenda iyi nyimbo lavalava
🔥🔥🔥🔥🔥 mambo ninayoyapenda mie
Golden was here ❤
NAJIDAI
kaliiii
Nceeee
Uhakikaaaa mr bite
Lava lava