Marko 2:25-28 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa, wakahitaji chakula? 26Daudi aliingia katika nyumba ya Mungu, wakati Abiathari alikuwa kuhani mkuu, akaila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani peke yao. Naye pia akawapa wenzake.” 27 Kisha Yesu akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato. 28Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” Kama Sabato ilifanyika Kwa ajili yetu Kumbe Atuhaja Yakuto ku fanya kazi Saturday na Kusali Sunday. Siku zote Kuanzia Monday tu Sunday Mungu kazi badirisha.
Luke 24:1 (good news version).Sunday is the first day of the week. Al-Hamis is the fifth day of week according to Islamic week, Ijmaa is sixth, and alsabat is seventh day islamicly which is Saturday
@@felixvinsi6875 I read Monday out of that scripture. What is wrong with my reading. I believe it is jewish culture that gives it the context not Roman or Arabic or African ec
Great work may the LORD richly reward you.
Ubarikiwe sana mtumishi unaijua sana neno la mungu
Baraka tele tele Mtumishi.
Injili ya malaika watatu azidi kienea
good work, Ndacha may the Lord keep replenishing your spring of knowledge & Wisdom and sustain it
Asande mtumishi mungu akube nguvu uendeleshe neno
That's bitter truth umewaambia ukweli wa maandiko wanasema unawahukumu very sad
Ndacha waambie wewe huhukumu mbali unasoma vitabu, kwa hivyo vitabu ndivyo vinawahukumu si wewe.
Aaaa imeiasha vibaya....Part2 please
Camera man leo jua imetumulika sana ...may God bless you muchungaji.
Kazi nzuri Mungu akubariki Mwalimu
Injili itambee ,,,,,
Huyu Jamaa ndie fimbo ya wa Islam ☪️ 😉 duh I wish ningelikutana naye
Nami pia kutoka Malawi nahitaji kukutana nae Mtumishi mjasri huyu Ndacha, kweli ni mchapo wa waislam,bj
Barikiwa Mtumishi
Marko 2:25-28
Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa, wakahitaji chakula? 26Daudi aliingia katika nyumba ya Mungu, wakati Abiathari alikuwa kuhani mkuu, akaila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani peke yao. Naye pia akawapa wenzake.”
27 Kisha Yesu akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato. 28Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”
Kama Sabato ilifanyika Kwa ajili yetu Kumbe Atuhaja Yakuto ku fanya kazi Saturday na Kusali Sunday. Siku zote Kuanzia Monday tu Sunday Mungu kazi badirisha.
God bless yur servants.
Dacha Galatian 3.23 Romans 10:4
🎉
Que Dieu vs bénissent
This boldness
Amen
Wape habari mwalimu ndacha.
Hhhhhe ....jibu hiyo ..musa , Abraha pia waislamu ibada yao ni moja ..ungejibu hivyo tu ...mbna unficha ukweli ndacha ..ati wewe ni mwalimu .😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Injili itembee...
Kabisaa yaani @cassian.
kanijenga kiimani sana nimekua nimemwamini yesu
@@yuriboyka7113 barikiwa sana mjoli kwa Yesu Kuna raha
Great
Yaani ukweli unauma ivo???? , Kuwa mtumwa wa dhambi Ni kifo, ,, Bibilia uko waaazi , uokafu Ni Free na huu ndio wakati mzuri
Hahahaha
Swali kama ni wasi jibu vile imeandikiwa
Give a scripture that says first day of the week is monday
Luke 24:1 (good news version).Sunday is the first day of the week. Al-Hamis is the fifth day of week according to Islamic week, Ijmaa is sixth, and alsabat is seventh day islamicly which is Saturday
@@felixvinsi6875 I read Monday out of that scripture. What is wrong with my reading. I believe it is jewish culture that gives it the context not Roman or Arabic or African ec
Haa what is supposed to be preached is not that u should preach gospel
Amen