ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kusaidia maskini na wenye maitaji ni ibada kubwa sana ubarikiwe Kusah ❤
Mungu akubariki sana kusah aisee na akuongezee ulipopunguza🙏wewe bdo hujajpata kivile lakn umepata moyo kumsaidia kijana mwenzio nmefurah xana kwakwel 🥰
kusah una roho nzuri ulipotoa mungu akuzidishie. endelea kumshika mkono mteule mpaka amesha kuwa star.
Dah. Leo nimesikiliza hii interview nikajisikia kama mko ibadani kuanzia ninyi watangazaji mpk hao wageni wa kipindi.🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Mungu awabariki sana
Ndio ya kwanza kuskia mwanzo mwisho❤❤❤
Kusah mungu akubarik sanaa tena akupe umli mrefu daa umenigusa sana huyu mungu akuzidishie pale ulipopungukiwa kwenye family yako
One and only Human being in tz music 🎵🎶 industry Mr @Kusah❤ Mungu akuzidishie kuwa Humble
Kusah mungu akubariki pia abariki uzao wako
Dhiki inamueka mtu ktk maisha ya kuwa na hali ya chini anagara God mashaallah
Mungu akubariki sana kusah
Kusah Mungu atakulipa.Na tunakuombea Godfrey utatoboa inshalaah
Hata sisi wana yanga💚💛tunayiimba sanaaaa Bada ya kufungwa match 3mufululizo😂😂😂😂Mungu ni waajabu sna🙏🙌
Bembe boy godfrey❤❤
Mgos goma kali kk 👍
Ongera sana kaka kua na moyo uo
Safi sana KUSA. ningekuwa na namba yako ningekutafuta. Umenifanya mpaka machozi yamenitika
Mko vizuri
daa mungu awabarik sana jaman hapo studio
Kusah unakitichako mbinguni kaka
Haleluya! Naomba Goodfley aje Kansan sinza Lego kanisa linaitwa Emanuel Hossana church, watu wanapona vipofu viziwi,bubu , ukimwi ,Kansa n .k Ingia TH-cam andika e h tv hossa church karibu sana Amin utapona
Ebu acha ujinga wa kupandikizwa namna hii bhna
Huo ni uongo
Acha uongo ww kwa mungu kuna moto
Wa kwnz
Kijana wa kiume maji ya kunde anasuka na kuvaa hereni
🎉🎉🎉🎉
Ndo mkome kuokota okota wanawake wasio jielewa!Rubby ni kati ya wanawake wa hovyoo