PATANISHO : MORAA - NIMEAPA SITAKUCHAPA TENA MUME WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #PATANISHO
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220

ความคิดเห็น • 268

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 4 หลายเดือนก่อน +2

    We need this stories to be long and full,ndio mtu aweze kufungua zote,sasa huyu mama hajafunguka mambo zote before aombe msamaha.

  • @ochandadaniel7680
    @ochandadaniel7680 2 ปีที่แล้ว +55

    When men goes silence is not a weakness...sign of maturity kudos to that man...

    • @vincentomondi5612
      @vincentomondi5612 2 ปีที่แล้ว

      So you are being bitten by your wife and you keep quite, what kind of a man are you, one day she will boil water and pour it all over your body and you will still keep silent.

    • @kennmishek9848
      @kennmishek9848 2 ปีที่แล้ว

      The woman is bragging alot ..but the guy has shown lot of maturity

    • @vincentomondi5612
      @vincentomondi5612 2 ปีที่แล้ว

      @@kennmishek9848 that's how women are and if you keep entertaining them then you'll see fire, you have to make your stand as a man she will respect you.

    • @mutulajohn1243
      @mutulajohn1243 2 ปีที่แล้ว

      Kudos hauliwe

  • @crystalamachilang8405
    @crystalamachilang8405 2 ปีที่แล้ว +4

    Aki this man is a gentleman. Moraa count your blessings for such a humble man.

  • @justusmomanyi4084
    @justusmomanyi4084 2 ปีที่แล้ว +15

    Mr.indieki you're one in amillion mwanaume mmoja kutoka kisii ambaye ananyenyekea wale mnasema wakisii tuko na mambo plz sisi hatuna hasira

    • @antonynjeru815
      @antonynjeru815 2 ปีที่แล้ว +1

      Uuweee 🙆🙆🙆

    • @agnesmomanyi4415
      @agnesmomanyi4415 ปีที่แล้ว

      😂😂😂ni kweli huyu ndiye mkisii ni mkisii kweli
      Kudos ondieki

  • @martynkalasya9749
    @martynkalasya9749 2 ปีที่แล้ว +7

    The best ever, that man is a real gentleman, am proud of him.

  • @maohmdghg8398
    @maohmdghg8398 ปีที่แล้ว

    This has make my day imenifanya nisahau kua nko south arebia stress ya mwarabu imeisha

  • @nelsonwafula4435
    @nelsonwafula4435 2 ปีที่แล้ว +3

    Ambia yule Moraa,,, hasira hasara
    Asipochunga atapoteza mzee

  • @sharonnyarrose4942
    @sharonnyarrose4942 2 ปีที่แล้ว +8

    Your husband is telling the truth coz akikupiga walai hauta amka..just respect him so that u guy's can live in peace

  • @sylviaatego3992
    @sylviaatego3992 ปีที่แล้ว

    Ukiskia dem anaitua moraa.odieki imwol manadi yawa.Thank

  • @hassankahindi5596
    @hassankahindi5596 2 ปีที่แล้ว +4

    Hapo mzee usilale amepanga kukumaliza halafu naye ajinyonge kaa rada buda

  • @divinahmarube106
    @divinahmarube106 2 ปีที่แล้ว +3

    Njikute mambo yangu ikiingia qwa radio jambo, eti one touch 😂😂😂😂😂, Sasa gidi ameongea nn , amewapataniaha nn, c wamerudi kujeka, 🤔🤔🤔🤔tukae jini tuongee ss wawili tuelewane🙏🙏🙏🙏Mungu akiwa katikati

  • @ellyanungo2765
    @ellyanungo2765 2 ปีที่แล้ว +9

    Mzee anaofia kunyongwa usiku ,lazima awe na nightmares

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว +2

    Morah labda ni pepo inamsumbua but bwanake yuko very humble

  • @kilingtonekennedy780
    @kilingtonekennedy780 2 ปีที่แล้ว +2

    Hi radio,jambo mkuu juu tena xna

  • @labanpkorkor3193
    @labanpkorkor3193 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanamke mzuri ni yule awezi kujaribu kumwuinulia Mzee mkono afadhali agombane tu

    • @miriamchepkurui9257
      @miriamchepkurui9257 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli mzee afa kuhshimmiwa man is the of house

  • @davidomuya2505
    @davidomuya2505 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni powa

  • @Kakuhdestranger
    @Kakuhdestranger 8 หลายเดือนก่อน

    ❤Good work gidy

  • @doreennkonge94
    @doreennkonge94 2 ปีที่แล้ว +58

    Gidi you deal with vunerable people and getting listened to is very important. You need to give them time to express themselves and even if you interrupt you can do it with respect. Gidi i like your shows but you need to manage your anger or ego sijui ni gani. Imgn mungu amekuweka hapo usadie families but uko mkali saana jameni..shuka kidogo. A counsellor /Advisor should be humble not bossy.

    • @ruthhamisi3844
      @ruthhamisi3844 2 ปีที่แล้ว +2

      Sijui shida ya gidi nini huyo mama anataka kuongea na mtu.

    • @kwahmah230
      @kwahmah230 2 ปีที่แล้ว +3

      sikupenda pia

    • @estherongwae4397
      @estherongwae4397 2 ปีที่แล้ว

      True he doesn't give someone time to express or give out his/her story gidi ako egocentric

    • @dinahmbura1900
      @dinahmbura1900 2 ปีที่แล้ว +10

      Gidi Ako sawa..kumbuka patanisho ni 30minutes..so ukielezea story yote time itaisha kabla wapatanishwe..hii kazi gidi anafanya haki mukipewa amutawezna nayo

    • @doreennkonge94
      @doreennkonge94 2 ปีที่แล้ว +7

      @@dinahmbura1900
      Dinah yes he does a good job and he is on limited time..but he is too harsh..he could interrupt with respect...ie he should avoid anger busts..avoid harsh words etc. Its not pleasing when he tells people..hiyo story sijakuliza..nikikize nimesema hiyo mtaongea ki vyenu..hatutaki kujua hiyo..etc..he can just say it politely . Some proffessional counselllors and pschologists/therapist have less than 30 minites section with their clients and yet they listen and respond while maintaining human dignity.I listen to Gidi everyday and honestly akona anger issues. Even his face shows it..ako na hasira saana. Maybe he needs counselling himself!!!

  • @dailyhighlights8898
    @dailyhighlights8898 2 ปีที่แล้ว +12

    🤣🤣🤣🤣🤣ati one touch 🤣🤣 this is amazing,,,huyu mwanaume ni bwege

  • @magarematara8919
    @magarematara8919 2 ปีที่แล้ว +3

    I feel Gidi is rushing to do his judgement before receiving full information,amekata huyo mama.On the other hand,i salute that man for not fighting back cz i know at times my people are hot tempered but amesema hataki kesi,,wise man.

  • @jaymoreeboyi9717
    @jaymoreeboyi9717 2 ปีที่แล้ว +2

    A gentleman... Kudos 👍 ondieki

  • @joelamenya8737
    @joelamenya8737 2 ปีที่แล้ว +12

    Mr Gidi be a good listener

    • @wuodabala9706
      @wuodabala9706 2 ปีที่แล้ว +2

      Yes he has that problem, i think he has also 👂 problem.

    • @mogireben.2191
      @mogireben.2191 2 ปีที่แล้ว +1

      Gidi is an excellent moderator... You can't listen to whole story. He's saving time.

  • @luopoliticsfromodingatoraila
    @luopoliticsfromodingatoraila 2 ปีที่แล้ว +8

    Gidi uko na kiburi ingine mbaya sana

  • @mmbagajohn2734
    @mmbagajohn2734 2 ปีที่แล้ว

    Be strong Bwana Ondieki. Nakuheshimu sana boss.

  • @Deltarm254
    @Deltarm254 2 ปีที่แล้ว +14

    Is kipigo cha one touch for me😂😂😂

  • @LEVIPLAYZ9
    @LEVIPLAYZ9 2 ปีที่แล้ว +4

    One touch gaki moraa mobwate naende hahaha i love that

  • @lilianrough6896
    @lilianrough6896 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂hii Leo imeweza aki

  • @norahnyanchokasosi544
    @norahnyanchokasosi544 2 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 one touch wue... Moraaaaaa

  • @Its_beryl01
    @Its_beryl01 2 ปีที่แล้ว +3

    This how you know that gbv against men is still seen as a joking matter.

  • @dicksonkiema2966
    @dicksonkiema2966 2 ปีที่แล้ว

    Educative....

  • @herinahellen9862
    @herinahellen9862 2 ปีที่แล้ว +3

    Pia Mimi siwezi lala nikipata kisu chini ya kitanda

  • @ruthbosibori1482
    @ruthbosibori1482 2 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂kipigo cha one touch

  • @kilingtonekennedy780
    @kilingtonekennedy780 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanadada ako na shida mahali

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwani uyu mwanaume anapigwa yy ni mwanamke 🤣🤣🤣🙆‍♂️

  • @benja4488
    @benja4488 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Gidi ako na kiburi pro max

  • @gracekimani8834
    @gracekimani8834 2 ปีที่แล้ว

    Ghost na Gdi, I like your show, God bless you soo much, doing great job

  • @mercymutheu688
    @mercymutheu688 2 ปีที่แล้ว +14

    Mr gidi skuizi nikama ukona kiburi pia wwe

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 2 ปีที่แล้ว +1

    My kaka may Allah bless you ameen 🤲

  • @teresaonduko4443
    @teresaonduko4443 2 ปีที่แล้ว

    Kiherehere ndio utamu ya ndoa Gidi 🗣🗣🗣🗣🗣🙉

  • @miriamchepkurui9257
    @miriamchepkurui9257 11 หลายเดือนก่อน

    Justice for boychild kweli nmekurumia

  • @charlesc1897
    @charlesc1897 2 ปีที่แล้ว +11

    Gidi umekua na kiburi sana.

    • @antonynjeru815
      @antonynjeru815 2 ปีที่แล้ว

      Sana badala amor huyo mama time aongee amueleze Kila kitu

    • @divinahogamba
      @divinahogamba 2 ปีที่แล้ว

      Ndio nimeona

  • @dorinegesare
    @dorinegesare 2 ปีที่แล้ว +3

    one touch kipigo

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 2 ปีที่แล้ว

    Mama anapigana numberless

  • @wuodabandu2160
    @wuodabandu2160 2 ปีที่แล้ว

    Siku izi patanisho iliharibika ju tym mingi ni adverts alafu patanisho ni within 10mins na hiyo ukali ya Gidi

  • @fridahombaki3272
    @fridahombaki3272 2 ปีที่แล้ว +4

    Eti kipigo cha one touch gaki moraa😂😂😂😂

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 2 ปีที่แล้ว +3

    Jackline moraa umeweza kenya msima. Mzee kaa macho Moraa atakunyonga 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa1492 2 ปีที่แล้ว +4

    Ati nikikumbuka nampiga numberless, huyu jamaa bado azoee tu kipigo

  • @ELLYFULLSTOP
    @ELLYFULLSTOP 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo mwanaume ako na nguvu zote kweli! 😀

  • @pattiwanyeki436
    @pattiwanyeki436 6 หลายเดือนก่อน

    Anamwanika mzee thats why Gidi hataki story.

  • @skycladra2542
    @skycladra2542 2 ปีที่แล้ว +1

    Good work my bosses

  • @bettymutanutv
    @bettymutanutv 2 ปีที่แล้ว +4

    This guy is very much mature I realise him

  • @philisnyongesa3606
    @philisnyongesa3606 2 ปีที่แล้ว

    Plz mtu anisaidie,account ya number ya ule mchezo radio jambo huwa jenga ama chenga plz

  • @johmkiarie70
    @johmkiarie70 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani huo Mwanaum ana kg ngapi?

  • @auntiepiarants2238
    @auntiepiarants2238 2 ปีที่แล้ว +12

    Ati one touch🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @joseemuzungu5868
    @joseemuzungu5868 2 ปีที่แล้ว

    Kipigo cha one touch

    • @kerubomose3141
      @kerubomose3141 2 ปีที่แล้ว

      Ati akiamka anapata ako gangari

  • @agnesmomanyi4415
    @agnesmomanyi4415 ปีที่แล้ว

    This family needs counseling aki
    May God remember them

  • @waywepet6871
    @waywepet6871 2 ปีที่แล้ว

    Ni ngumu kupata mwanamke anaitwa Moraa akiwa polite

  • @kadycelebrityseries.9609
    @kadycelebrityseries.9609 2 ปีที่แล้ว +16

    Eti kipigo Cha one touch😂😂😂

  • @schacha999
    @schacha999 2 ปีที่แล้ว +1

    Ghost 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 one touch

  • @geetee2213
    @geetee2213 2 ปีที่แล้ว +1

    Kisu chini ya gotoro

  • @austinethemaster1
    @austinethemaster1 2 ปีที่แล้ว +4

    Kipigo ya one touch.... Ilkua HEADI AMA?

  • @ezekielcute5673
    @ezekielcute5673 2 ปีที่แล้ว +1

    That good

  • @janetondieki9862
    @janetondieki9862 2 ปีที่แล้ว +7

    Weee huyu ndio mwanaume wa kisii wa kwanza naskia anachapwa na bibi... wale najua hata huwezi jaribu kumtishia utashangaa

    • @sheilanelima9747
      @sheilanelima9747 2 ปีที่แล้ว +3

      For sure wakisii wanaume ndo huwa wanapenda kupga wanawake sana hi gakii apana

    • @monicawangari5557
      @monicawangari5557 2 ปีที่แล้ว

      Huyu anaitwa ondiek sio was huko

  • @thogonuii
    @thogonuii 2 ปีที่แล้ว

    Heri niwe PEKEE YANGU Mama

  • @annkinyua2024
    @annkinyua2024 2 ปีที่แล้ว +12

    We laugh when men are abused so sad 😭

  • @silvesterokeyoseda453
    @silvesterokeyoseda453 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti

  • @NoelakinyiAkinyi
    @NoelakinyiAkinyi 4 หลายเดือนก่อน

    Gakii morah kupiga mume😅😅

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว +4

    Moraa awe chairperson wa women’s conference

  • @silaskiptum6567
    @silaskiptum6567 2 ปีที่แล้ว +2

    Ua namba gidi na ghost.

  • @amosisrael9566
    @amosisrael9566 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wanapiga vibaya kipigo cha "numberless"

  • @priscahpriscah3990
    @priscahpriscah3990 2 ปีที่แล้ว +3

    Moraa unapiga mwanaume one touch🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 2 ปีที่แล้ว

    Haha hahahahahaha ako na kimbelembele made my dear

  • @beatriceomino6266
    @beatriceomino6266 2 ปีที่แล้ว +4

    Ghost 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 one touch wamama wapendi ujinga.

    • @mariesue1275
      @mariesue1275 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza mwanaume ajaribu kuleta aibu ya kuhanya bibi wa mtu. One touch.😅

  • @christopherorege6728
    @christopherorege6728 2 ปีที่แล้ว +1

    Kipigo Cha one touch😂😂

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣kipigo Cha one touch 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣am finished

  • @SOI254
    @SOI254 2 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁one touch

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว +5

    kuna mistake ukipata nayo mwanaume anayeyuka kma barafu.
    unaweza hata kumrusha kama karatasi.

  • @fredrickmwihaki5324
    @fredrickmwihaki5324 2 ปีที่แล้ว

    Kupigwa ziii

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    hehehehehhe one touch waa

  • @grandmaempiresecret
    @grandmaempiresecret 2 ปีที่แล้ว +1

    jamini mwanamke kumpiga mwanaume ni mwiko😂🙈

  • @jlyrics6290
    @jlyrics6290 8 หลายเดือนก่อน

    😂This lady Moraa...she even has names for her fight😂...ati " one touch " numberless"...Mzee wake achague ni gani anataka...😅 kisu kwa bed...huyu mzee alioa wife gangster. He knows ku chill ndio best. Hataki kuona Yesu courtesy of his wife😂!

  • @rickomba
    @rickomba 2 ปีที่แล้ว +1

    Halafu akipigwa panga ya kichwa you will see hashtags all over.

  • @justusmomanyi4084
    @justusmomanyi4084 2 ปีที่แล้ว

    I like you m goast masna unaerewa

  • @romanawaleghwa947
    @romanawaleghwa947 2 ปีที่แล้ว +5

    One touch 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @farouqgithenya33
    @farouqgithenya33 2 ปีที่แล้ว +10

    Women glorifying domestic violence when they are not the victims.

  • @estherwambui3808
    @estherwambui3808 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 kichapo Cha one touch

  • @Peterjasiri2030
    @Peterjasiri2030 2 ปีที่แล้ว +1

    Gidi,utamu wa patanisho ni kuskia story full kutoka kwa victim.Lakini unakatastory vipande vipande hadi inapoteza msisimuko

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 2 ปีที่แล้ว +2

    Uwezi pigwa na bibi ..mwanamke hukugonga tu na kwa heshima nakuzuia mengi unatulia

  • @carolspice5973
    @carolspice5973 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama hamna wakati mbona mnafanya patanisho, lazima mtu ajieleze

  • @marutichristine4159
    @marutichristine4159 2 ปีที่แล้ว

    Inajenga family

  • @lovelnaholi1818
    @lovelnaholi1818 2 ปีที่แล้ว +5

    Gidi you don't have patience for the people you are dealing with,then what is the essence of calling your program patanisho if you are always in a hurry....learn to listen to people stop rushing them.

  • @salimbabz3070
    @salimbabz3070 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo alikua mlevi

  • @knightshighami5563
    @knightshighami5563 2 ปีที่แล้ว +3

    Morea Wacha comedy na respect your husband

  • @ruthbosibori1482
    @ruthbosibori1482 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂chiabagoire nande

    • @thearchivecity4228
      @thearchivecity4228 2 ปีที่แล้ว

      Kare bobe... Subscribe kwangu

    • @ruthbosibori1482
      @ruthbosibori1482 2 ปีที่แล้ว

      @@thearchivecity4228 wapi link

    • @thearchivecity4228
      @thearchivecity4228 2 ปีที่แล้ว

      @@ruthbosibori1482 th-cam.com/channels/zWym_-COID7DU4QrAhnKgA.html

  • @joliea2956
    @joliea2956 2 ปีที่แล้ว +6

    Msamaha muhimu, naomba Giddy urudishe mwanzo vile ulikua pliz uwe ukiskia kesi vizuri,hawa wanaume yafa tuekee kichapo😀😀😀

    • @esthermoraa6648
      @esthermoraa6648 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kakuhdestranger
      @Kakuhdestranger 8 หลายเดือนก่อน

      Na kama ni mtoto wako je​@@esthermoraa6648

  • @bensonabuga7346
    @bensonabuga7346 2 ปีที่แล้ว

    Hasira ya mkisii

  • @eunicenarotso
    @eunicenarotso 2 ปีที่แล้ว +7

    Gidiii wewe unaintimidate customers yaani uko na ukali ingine apo aaaai🤨

    • @thearchivecity4228
      @thearchivecity4228 2 ปีที่แล้ว

      Piga subscribe kwangu

    • @eunicenarotso
      @eunicenarotso 2 ปีที่แล้ว

      @@thearchivecity4228 Are you happy now that I have subscribed ?🙄

    • @thearchivecity4228
      @thearchivecity4228 2 ปีที่แล้ว

      @@eunicenarotso yes, thank you. Uko vipi

    • @eunicenarotso
      @eunicenarotso 2 ปีที่แล้ว

      @@thearchivecity4228 Niko vivi hivi tuu Mwenzangu. Vipi wewe?

    • @thearchivecity4228
      @thearchivecity4228 2 ปีที่แล้ว

      @@eunicenarotso Niko sawa pia...

  • @stargal906
    @stargal906 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake jamani 😢unaanzaje kumpiga mwanaume?

  • @manyamiracountyKemy2027
    @manyamiracountyKemy2027 2 ปีที่แล้ว

    This man needs Counseling and couples 💑 Therapy

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    wewe si mwanammee