''NIMEVIONA VYA DIAMOND KULIKO YEYOTE' '- HAMISSA MOBETTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kwenye party ya Mtoto wake na Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto aliulizwa maswali mbalimbali na kuyajibu kuhusu kupewa Elfu 70 kwa siku, ishu ya kumshtaki Diamond pamoja na uhusiano wao wa kimapenzi ulipoanzia.

ความคิดเห็น • 339

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 7 ปีที่แล้ว +31

    Hivi vimalaya vya mjini vina roho ngumu, mtu kilasiku anajulikana anabadilisha mademu tangu tumemfaham yeye hajawahi kutambulishwa hata kwa bahati mbaya still anajivunia kuwa naye miaka 9, BITCH....!!!!

    • @ireneburton5671
      @ireneburton5671 7 ปีที่แล้ว

      Dai katembea na wengi lkn chaajabu hujawah kutuonyesha huyo amisa huko kujuana miaka tisa vepee shoga? Na vp uufchwe mpka Dai anazaa na zari c acha uongo tamaa mbaya ndugu rizka na ulichonacho maana mm nashndwa kuelewa ndan ya hyo miaka tsa mlkuwa mnafahamiana kvp maana Dai kaenda kwa zari na ww kwa majzo acha kutuchota akir

    • @luciustumbuka7665
      @luciustumbuka7665 7 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 ปีที่แล้ว

    Yes Maficoni ayo ndo mapenzi ya kweli alivumiliya Hawo yote

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว +16

    Sasa wewe ndo humuaibishi mwenzio.Kama umemfungulia kesi hupaswi kuizungumza....Zero I.Q

  • @eneritafidoni4920
    @eneritafidoni4920 7 ปีที่แล้ว +6

    Next time don't snatch someone's husband, you are evil

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว +46

    Yaani katika miaka 9 hiyo ni ya kuliwa na kuachwa kimyakimya.Ameishi na Wema ,Joket na Zari yeye bado anadukuliwa mafichoni
    FOR 9 YRS!!!!!!!WHAT A SHAME!!!

  • @lazaisblessings2695
    @lazaisblessings2695 7 ปีที่แล้ว +11

    Swali ni ulikua uki double deal Majizzo na Diamond??Juu sidhani kama mtt wako wa kwanza ako na miaka zaidi ya Tisa.Jamani wanawake tutambue THAMANI ZETU tuwache maigizo mengi yasio na faida.Ingekua mm ni ww Hamisa hizo pesa ningewekeza pahali yani uko na wakati mzuri sana wakufanya mambo ambayo yatakusaidia kesho kuliko hizi upuuzi.YANI HUA NATAMANI SANA KUELIMISHA WANAWAKE WAJIJUE THAMANI ZAO WAACHE KUA OPTIONS.

    • @dullahmamu2165
      @dullahmamu2165 7 ปีที่แล้ว

      Lazais Kitoday ss nyang'au kwani mtu akizaa na mtu mwengine wakiachana hawezi kuwa na mtu mwengine uelimishe nani jielimishe mwenyewe na ujiyafakari mbwa ww unaongea tooooo km kasuku bila ya kufikiria

    • @lazaisblessings2695
      @lazaisblessings2695 7 ปีที่แล้ว

      Dullah Mamu NIMESEMA VIZURI WANAWAKE WATAMBUE THAMANI ZAO.IKIWA IMEKUUMA KAJIREKEBISHE SIO KUPITA MITANDAONI UKITUKANA WATU HAITAKUSAIDIA KWA CHOCHOTE ILA KUJIJAZA CHUKI ZISIZOKUA NA FAIDA

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 7 ปีที่แล้ว +10

    basi pole miaka 9 nabado umepanga mpk leo mwenzio mond amejenga ngapi.kile kwa kufanywa spear kwenye unafurahia

  • @hamisikidabadaba9470
    @hamisikidabadaba9470 7 ปีที่แล้ว +22

    shule inahitajika,ujinga ni mzigo wa misumali

    • @salomekadendula2878
      @salomekadendula2878 7 ปีที่แล้ว

      Hamisi Kidabadaba yani comment yako nimejikuta nacheka

    • @hamisikidabadaba9470
      @hamisikidabadaba9470 7 ปีที่แล้ว +1

      +Salome Kadendula yaani angekuwa na akili asinge jitukana maana ni upumbavu

    • @kalundehassan9121
      @kalundehassan9121 7 ปีที่แล้ว

      +Hamisi Kidabadaba 😂😂😂😂😂

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว

      Hamisi Kidabadaba 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 7 ปีที่แล้ว +27

    Hamisa hujielew usizae mtoto kisa awe kitegauchumi tafuta vyakwako

    • @dullahmamu2165
      @dullahmamu2165 7 ปีที่แล้ว

      Shomari Hamadi hyo mwengine hategi uchumi mbn mikataba itafutwa km mpango wa danube utafanywa na hamisa hahaha anajistukizia nyoooo

    • @zeinabsalehe8937
      @zeinabsalehe8937 7 ปีที่แล้ว

      shomari nimekupenda bure

    • @aimanali8612
      @aimanali8612 7 ปีที่แล้ว

      Shomari Hamadi nenda kakojowe ukalale huna ishu roho mbays zinawasumbuwa

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 7 ปีที่แล้ว +1

      Shomari Hamadi it comes a time women we need to change

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว

      bradock shomary shodri well said

  • @MohamedMohamed-yx4gh
    @MohamedMohamed-yx4gh 7 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo elimu hakuna kichwani. ahahahha kwa mademu wa Uswahilini ni shida sana kukaa nao.

  • @latifamohd6891
    @latifamohd6891 7 ปีที่แล้ว +5

    Weeee huna jipya km kwel miak 9 kwann asikuwek bayana na kukudhihirish km zari miak 9 ata wema alimdhihirisha kiufup huna jipyaaaaa

  • @dulaisalim617
    @dulaisalim617 7 ปีที่แล้ว +1

    kweli tz mnapenda sana kuendeleza ogomvi

  • @foscakblessed3648
    @foscakblessed3648 7 ปีที่แล้ว +11

    Was this a party or meet and greet....am shocked

    • @dullahmamu2165
      @dullahmamu2165 7 ปีที่แล้ว

      Fosca K blessed ilikuwa ni mazishi yako kwani unaona nn hpo

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 ปีที่แล้ว +16

    the true definition of a gold digger

  • @emmaleejr6670
    @emmaleejr6670 7 ปีที่แล้ว +5

    SHILAWADU WANAALIKWA 😂😂😂 kweli KIKI and FAME kupata KAZI

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 7 ปีที่แล้ว

      Emmalee Jr Halafu wakipigiwa simu na Soudy wanajifanya kukata😀😀😀, halafu usikute hapo wakiba Sudy wamelipwa kutoka

  • @salmasaid7868
    @salmasaid7868 7 ปีที่แล้ว +5

    Hongera hamisa ata akileta maziwa tu pokeaa mama usijali tumekupenda bure bure hamisa mobeto

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 ปีที่แล้ว +4

    Yoooo hamisa sisi tulifikuri ni wewe ulo mshitaki diomond mahakama ivi tumejuwa kumbe diomond ndo aliomba ni sawa wewe ndo mwanamke strong kwa kweli Tunakuombeya ulimpenda diomond kweli mungu awe na wewe

  • @MsFaibe1
    @MsFaibe1 7 ปีที่แล้ว +2

    Yani hamisa kakubali alikuwa anamcheat majizo within izo years anasahau alizaa nae yani lulu plz kuwa na amani uyu dada ni hamnazo

  • @gloryhillary1294
    @gloryhillary1294 7 ปีที่แล้ว +1

    she is really stupidy...kwanini alidanganyag hana mahusiano na Diamond na Why sahv ndo aanze kumpigania huyo bwege mwenzie kisa mtoto

  • @hamisgaga1476
    @hamisgaga1476 7 ปีที่แล้ว +2

    Leo ndo nimekuangalia vizuri we dada ni mbaya huna urembo wowote

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 ปีที่แล้ว +25

    KAMA UMEKUA NAE 9 YEARS MBONA HUKUSEMA HUOMDA WOOOOOOTE

    • @dullahmamu2165
      @dullahmamu2165 7 ปีที่แล้ว

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Mond keshaongea nawashangaa mkimtuc oooh kachukua mume wa mtu cjui lini kaowa hyo domo

    • @annaupendo4768
      @annaupendo4768 7 ปีที่แล้ว

      Hivi Dai wakusema ukweli ule🤷🏽‍♀️mtu kaongopea Zari mimba sio yake atakubari myaka aliotembea na Hamisa nimekucheka maswali mengine yakijinga😂😂🤣🤣

    • @solomonitv7808
      @solomonitv7808 7 ปีที่แล้ว

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. kila jambo na waiati wake,ameona huu ni muda wa yeye kusema acha aseme tu....

    • @salomekadendula2878
      @salomekadendula2878 7 ปีที่แล้ว +2

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Huyu anaongea kama mtoto kama alikuwa naye ilikuwaje aende kwa Majizo?

    • @miriampaulo9027
      @miriampaulo9027 7 ปีที่แล้ว +2

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. Muongo huyo miaka 9 imekuwaje aje azae na zari

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanamke kweli kilaza, mwanamke muelewa hawezi akakubali mahojiano mbele ya public wakati yupo kwenye sherehe ni vitu viwili tofauti

  • @cheupestefano3303
    @cheupestefano3303 7 ปีที่แล้ว +26

    mbona miaka tisa mama hujumzalia mtoto? na isitoshe ulienda ukazaa na mwanamme mwengine ilikuwaje ukaja ukaamua umzalie sasa? vile alikuacha akawa na zari ndiyo ulitaka kumkomoa? na isitoshe si ni wewe mmoja ulikana kabisa kuwa na mapenzi na Mondi? PLEASE make us understand what's your issue with zari?? kumbe basi wema ndiye aliyekupindua mbeleni?? Hamisa huwezi force aliye kukataa now we understand your calculation was that if you got pregnant may be Mondi would have reconsidered being with you. loo mama umemganda mtoto wa mwenzio vibaya mno. your son will one day be told how you brought him into this world NOT out of love but greedy for money and you are now using your son as a tool. WHAT A SHAME!!

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 ปีที่แล้ว +1

      cheupe stefano hajamganda D mnamuonea Hamisa Huyo Dee ndio kashindwa kumuacha Hamisa kwani alimbaka hakuona sababu ya kumtangaza na kuzaa nimakubaliano sasa wamekubaliana wazae muacheni awe huru

    • @hamidahassan4961
      @hamidahassan4961 7 ปีที่แล้ว

      cheupe stefano k

    • @zeinabsalehe8937
      @zeinabsalehe8937 7 ปีที่แล้ว +1

      kahaba uyo demu anatapatapa nadunia shenzy zake yani cmpendi mbwa uyo anaharibu uhusiano wwtu

    • @zeinabsalehe8937
      @zeinabsalehe8937 7 ปีที่แล้ว

      nandiomana hata part yenyewe haina watu imejazana yenyewe tu

    • @reemiiomar9386
      @reemiiomar9386 7 ปีที่แล้ว

      cheupe stefano ww wacha kijifanya mungu mtu mola mwenyewe ndio anapanga kukupa mtoto hakuna werevu wakujuwa au kujipangia maswala y kuzaa isipokuwa kwa uwezo w mola mbona wema mpaka ss anatafuta mtoto hapati funguwa akili yk naujuwe unaandika nn

  • @sikituyusuph4520
    @sikituyusuph4520 7 ปีที่แล้ว +2

    mh kweli kizuri hakikosi kasoro pia mwizi haoni aibu kujingamba unajizalilisha acha mapenzi yawatu yashamili ww utaendelea kuwa maraya tu na ss wanawake tunazambi kubwa maana unashidwa kutafuta mwanaume wako ila we hamisa umemuona diamond yuko na family yake ww unataka kuhalibu ili diamond aje kwako umekula wachuya ila ingekuwa mm nigekaa kimya

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว +21

    Namjua Diamond kuliko yyte.Mbona ukazaa na mwingine?Oh yeah!Alikuwa kafulia.

    • @lareineminah7858
      @lareineminah7858 7 ปีที่แล้ว

      katarina william hhhhh ilooo

    • @anniemtambo5549
      @anniemtambo5549 7 ปีที่แล้ว

      katarina william 😅😅nafikiria alikuwa anapenda kuwa spea parts

    • @anniemtambo5549
      @anniemtambo5549 7 ปีที่แล้ว

      Mpaka gari iaribike ndio akumbukwe pole sana

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 7 ปีที่แล้ว

      katarina william hahahahhahahaha

    • @shaneshanee8320
      @shaneshanee8320 6 ปีที่แล้ว

      Huna lolote wewe boya ,umeviona vitu gani mwaka 9,mbona umejificha na alikua Hana mke basi aliku hupendi wala hujiamini,nyoo

  • @linnoinno6895
    @linnoinno6895 7 ปีที่แล้ว +4

    Simba mwenda pole ndiyo mla nyama😂😂😂😂 Hamisandiye mke wa Simba.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi ya sir ndio mpango mzima hongera sana dear, nani ajue sasa, love you hamisa😍😘😘

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 7 ปีที่แล้ว +2

    Wajinga sana wanaomsema hamisa badala yakumsemq diamond wanamsema hamisa. Kuweni na akili jmn msishabikie mambo ambay sio,

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 ปีที่แล้ว +2

    Ebu fungeni midomo yenu msitukane kwani bi mkubwa watoto ni wa halali si aliza tu kama hamisa

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 7 ปีที่แล้ว +9

    Santaaaa mwanaaa Soudy wee ni noma umemzukia huko huko king solomn sio😂😂😂

  • @reymuniud8d8d87
    @reymuniud8d8d87 7 ปีที่แล้ว +4

    Hamisa hujielewe

  • @frankbella7010
    @frankbella7010 7 ปีที่แล้ว +3

    huna lolote njaa tu inakusumbua

  • @jaizahamin4882
    @jaizahamin4882 7 ปีที่แล้ว +7

    Mbona zari anachukua child support. Hamumseni kwa kwa dai kwani yeye akichukua. Hela ya mtoto Kila mwana mke anaoenda asapotiwe na mwanaume so what ?

  • @lumooelvis2682
    @lumooelvis2682 7 ปีที่แล้ว +2

    Ila kwa kweli mama nakushauri kama mamaangu plz mfunde mwanao

  • @alexlaston1993
    @alexlaston1993 7 ปีที่แล้ว

    mond alianza game kutoboa nq kamwambie mwaka 2009 qu 2010...Ivii Mpk Leo miaka 9..imefka.. Na B4...Mond ajatoa first track.... Kwel mobeto ungeweza mkubal mond.. nmeamn bitch die 4 fame...... Ila angelud Ata xhule uyuu dada...... limechezq kidg... Afu qnqmtengenezea Mazingira mabaya mtoto

  • @komanyaedward9710
    @komanyaedward9710 7 ปีที่แล้ว +1

    kama umekuwa na Diamond miaka tisa basi na yule fansy tunayejua ni wa majizo ni wa mond sasa...huyu mwanamke anasaka umaarufu bora atulie tu kuliko kudanganya yuko na mond miaka tisa, anatuambia walidiscuss na mond kuhusu kupata mtoto while mond anasema ilitokea tu it was not planned...tulia hamisa ulee wanao sio kila siku masherehe ya kutaka kujisafisha mbele ya macho ya watu...kama kosa umefanya we tulia tu...

  • @stainasmkoko604
    @stainasmkoko604 7 ปีที่แล้ว +8

    aliyekuuliza nani unajidhaua tu imekula kwako kama wewe ndie angekuunga danube pole mams unalazimiisha umaarufu wanaoshangilia nao wanafanana na wewe akili

  • @riscaoscar6209
    @riscaoscar6209 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmm sielewi hapo Yuko na Majizo huku ana Dai akiwa na Mimba ya huyo mtoto wa mwingine huku ana Dai duuuuuuu , Dai Yuko na Wema yeye yupo, Yuko na Zari yeye Yuko na wengine wote mmmmmmmmmmmmm huyu Sijui Mobeto mmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!??????????😷😷😷😷😷😷😷😷, Sasa alikuwepi ziada au💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃chukua👉🏆

  • @anitapendo6199
    @anitapendo6199 7 ปีที่แล้ว +4

    Young beautiful with brains guys plz stop this young inteligent gal to a42yr old mama,,when zari was at amisa's age she had nothing totally nothing thats why she even decided to play asex tape for finacial issues coz she was broke like hell,, and besides all wat she has now nijasho ya ivan nt hers so gve that little gal abreack let her enjoy her youth

  • @priscavallentino2432
    @priscavallentino2432 7 ปีที่แล้ว +3

    pambana nahali yako

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว +45

    She looks desperate

    • @khadram5463
      @khadram5463 7 ปีที่แล้ว +1

      Tracy Justice tell me about it. On top of that she is discussing her personal issues.

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 7 ปีที่แล้ว

      Tracy Justice shikamooo watz woteee

    • @halimahomari4574
      @halimahomari4574 7 ปีที่แล้ว

      Tracy Justice Exactly

    • @ninene1859
      @ninene1859 6 ปีที่แล้ว

      Yes . So sad
      Diamond love Zari wish her the best
      She have to move one . It was a mistake there relationship

    • @matonyaalbaho7034
      @matonyaalbaho7034 6 ปีที่แล้ว

      huyu Hamisa njaa ajielewi

  • @maryshirima3049
    @maryshirima3049 7 ปีที่แล้ว +1

    Paty ilikua kuongolea siri za watu.....looh af siri zenyewe ss halaf watu wenyew wanaoongelewa sasa

  • @imranally431
    @imranally431 7 ปีที่แล้ว

    MBAYA ZAIDI hauna mshauri mzuri AKILI YAKO NA HUYO MAMA YAKO ZIPO sawa sawA mmekalia ushangi ngi TU usio NA faiDa kujishughulisha HUTAKI umekalia kulenga wanaume TU umekwisha WEWE hata ukienda mahakamani

  • @mellenondieki1913
    @mellenondieki1913 7 ปีที่แล้ว +1

    koma,kumutukan,Hamisa mobeto, because of not having money, like the so called muganda,Diamond loves her,kwa nini alitangaza,mtoto wa Hamisa at niwake,haja,Diamond to marry even 20wives,is hi choice, why to abuse Hamisa, it is because she is not rich, how many people were rich long,time ago,nowadays they are poor, write this,if Hamisa is not going to be rich,His son Abdul Diamond will,take over and be rich, you people don't not abuse Hamisa, kutangulia,sikufika,Aliye,chini,muongoche,njuu.,so do not blame Hamisa, ask,Zari, kwanini,walianjana,na ivan,and she is old than,Hamisa, so don't abuse her all they are Diamond,s property. people take care.l wise God to turn good lucky to Hamisa mobeto, to be rich. but God knows why,Abdul Diamond, came out in this world. Don't kidnup, Hamisa is son,Hamisa be careful to who comes to visit your son sorry Hamisa, one time,God will open for you,believe in God or Allah,Allah is not Asleep, how people they say about you . never mind eat and sleep and forget to what people comment. people they like a person who has money but l tell you money, is like flowers, it goes and comes,and at long last finish completely, and anew person become rich,than the first one,so laugh,at Hamisa, but Allah,one time,will,open the way.stop matusi,kwa,Himisa,they know each other, with Diamond pluntinumz, and Abudul Diamond. why are you stressed with Hamisa, God is going to open for her,soon . God said, wacha, watu,wakucheke,lam with you. l wish you remember this when the time came of Hamisa, and Abudul Diamond will be the most rich people in TZ, or Tanzania. They will be rich with the power of God in heaven, who created us,Hamisa is,young ,she can come rich,in all ways,God gives the one ask Him,Matthew 7vere7to 8,say Amen people, and James one verse17,Good gifts comes from heaven, that is ,Abdul Diamond.take this message to Hamisa, Zari and Diamond pluntinumz. to tell people to stop abusing,Hamisa, send it my message all over the world to Read. l from USA Melly.

  • @christinelihavi7923
    @christinelihavi7923 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha! Umenichekesha wee Hamisa!Miaka tisa ukiwa unadanganywa?kweli wee mjinga....Aibu!!!Kakukana publicly alafu bado unajishebedua

  • @rachealmokaya6385
    @rachealmokaya6385 7 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka kupangua ya zari atakupangua utaishi ukikumbuka zari zariiii 9 yrs unaota

    • @dullahmamu2165
      @dullahmamu2165 7 ปีที่แล้ว

      Racheal Mokaya ooh kumbe ulikuwa hujui khabari ndo hiyo

  • @MultiKelvin1994
    @MultiKelvin1994 7 ปีที่แล้ว

    Asee bora ukose mali ila upate akili....
    Diamond ametoka 2009 Fiesta One Love kama sikosei. Mpaka sasa ni 8 yrs.. So alikua nae kipindi anauza mitumba ama?IDTS
    Before leo nlikua sjawahi mskia Hamisa akiongea ila kwa muonekano nliamini angekuwa Intelligent.. Soo Disappointed

  • @janetmueni250
    @janetmueni250 7 ปีที่แล้ว +3

    bright gal I love so much

  • @nertamihambo9186
    @nertamihambo9186 7 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe la mahakamani ni makubaliano?? Leo ndio nimeelewa. Ilikuwa hainiingii akilini hata kidogo

  • @ngobe8859
    @ngobe8859 7 ปีที่แล้ว

    Dar! Kwel shule muhimu ,uoni aibu et nilikuanae miaka 9 .ulijifcha WAP.mpaka wrote wapita now zari.dar ujitambui ,hats ujawai kutambulishwa hata kwamashabik miaka yote iyo ..unafanya bizns gani! Au ndo ,aaaah

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว

    Diamondplatinumz anapenda mwanamke anayejishighurisha siyo kumtegemea yeye kwa kila kitu.Sidhani kama anampa zari kila wiki kwa nini yeye iwe hivyo???Ndo maana anamng'ang'ania Zari.Tulia ulee mwanao.Kwani huna Kazi???

  • @mariarogacian9550
    @mariarogacian9550 7 ปีที่แล้ว

    wewe Dada katafute kaz...kuwa na akiliii...mashauz yanakupoteza...unamzungumzia MTU ambaye han mda na wewe

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 7 ปีที่แล้ว

    Anakupenda anakutomba kimya kimya mnalea mimba kimya kimya mbn Zari amamueka hadharani you are stupid you should change ur lifestyle stop that swahili bullshit,
    Unaona sifa kuanika kweupeni private life yako which has nothing but stupidity

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel 7 ปีที่แล้ว +1

    Ujingao.

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว

    Eti kama mke mdogo yani shule muhimu jamani yani unavyojielezea it’s define you exactly who your ! Jamani wanawake tujielewe katika haya Maisha wanaume sio ndugu zetu !

  • @halimahomari4574
    @halimahomari4574 7 ปีที่แล้ว +2

    Ovyoooo..talking rubish

  • @everlyneagogo9142
    @everlyneagogo9142 6 ปีที่แล้ว

    Nawashangaa sana watanzania,,mwamkana wenu na kumrushia kila tusi,I just don't know why you people cherish zari that much,,lakini kwa sababu zenu poleni sana,just pity hamisa,all in all kizuri chakataliwa na kukanwa na wengi lakini kibaya chapendwa na kuhitajiwa na wengi.tafakarini

  • @stevehiraly9127
    @stevehiraly9127 7 ปีที่แล้ว

    Ningekuw mwandsh/mtangazaj nsingethubut kufany interview yoyte na #hamisamobetto kuhsian na ishu ya kzaa na #diamondplatnumz ashame

  • @priscavallentino2432
    @priscavallentino2432 7 ปีที่แล้ว +2

    kumbe kuzaa mtaji

  • @farajiyusuph8146
    @farajiyusuph8146 7 ปีที่แล้ว

    Sasa hiyo ni sherehe ya mtoto au yupo studio anahojiwa personal issues? *BITCH IS DYING FO FAME*

  • @marcruzolivares4470
    @marcruzolivares4470 6 ปีที่แล้ว

    hamisa really i have never liked you before end i dislike you even more
    yani najiskia aibu kukuita mwanamke mwenzangu... wala hauna hadhiii yakuitwa mwanamke, alafu mama yako yuko proud kuitwa mama kwako? lol... like mom like daughter may be umerithiiii tusikulaum

  • @bernadetharushaba3071
    @bernadetharushaba3071 7 ปีที่แล้ว

    Ulipania ili umuharibie mwenzio penzi lake .lakini kumbuka maneno ya Diamond eti shetani alimpitia ,kuzaa na wewe ni ujiga wake, anaongea hadharani ,eti Diamond atatembea kwa magoti hadi South African, hakika hutamubomoa Zari au iwe mwisho wako na Diamond kimapenzi .Mimi ni mtu mzima miaka 42 .nakutakia malezi mazuri.

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 7 ปีที่แล้ว

    Dah kwel saiv mtot biashara wa2 wanavyofoc aise.madem mnajishusha sna

  • @Busilana
    @Busilana 7 ปีที่แล้ว

    Kama umemuelewa huyu kiwanda bsi ww Unaroho ngumu kam idi amin dada😂😂😂😂🔫

  • @zahriyafauzan7257
    @zahriyafauzan7257 7 ปีที่แล้ว

    kumjua daimond haitokusaidia ki2 ddngu mbele ya Allah 3aza wajallah, huyo daimond kwanzia umjue mpaka kuzaa nae mwana haramu umepata nini bali w2 wamekutusi sanaaa na sasa karudi kwa zari hakuketi na wewe ushazaa nashakutupa na wengina watakupitia kama alivyokupitia daimond lkn ukimjua mola wako kila jema ulifanyalo nitakufaidisha hapa duniani na kesho akhera ddngu yaskitisha sanaaaaaaaaaaa😭😭😭😭😭(mche mola wako na urudi kwake mumba mbingu na ardhi) Nina imani huu ujumbe utakufikia.

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 ปีที่แล้ว

    Amisa malaya tu kweli uponamwanaume myaka 9 stil unafirwa unatombwa burebure tu mama yako ajakupa madili eti mwisilam kitungu chakwanza kina baba yake tomato baba yake amisa pata bwana uholewa wenimzuri usikae kupanuapanua kuma Ivo kwanza baba yako ikowapi"inahonekana mama yako alikuza Kama unavyo zaha zaha; kamtafute baba yako akupe madili sio uyo mama yako umemfanana Kimchepuko 🤣😂😂😂😂

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 7 ปีที่แล้ว

    Wanawake wengine tuache kujipendekeza mbona ukafichwa miaka yote 9 bila kuonyeshwa hadi muda wote umebeba mimba bila kuonyeshwa mpaka kuzaa ni wazi tu haupendwi

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 7 ปีที่แล้ว

    diamond alisha yakoroga,ayanywe 2,swala lakujishauashaua kisa kujiwekea mazingira mazur kwazar niujinga 2

  • @shaninaftary1693
    @shaninaftary1693 7 ปีที่แล้ว +2

    Hamisa congrats umejibu vzr mnoo big up sana

  • @kingdavid5361
    @kingdavid5361 7 ปีที่แล้ว +1

    Soudy alinenepa na umbea siku hiyo hatar

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 6 ปีที่แล้ว

    Wewe mabeto acha kujipendekeza kwa Diamond olewa na mwenye kakuzalisha mwanzo

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 7 ปีที่แล้ว

    Mama kaniambia mume ni wako ukiwanae kitandani akitoka wamwingine ila Hamisa unajua kunyoosha watu 9 years kweli wewe ni mwanake mtunza siri🤔😷🤐🤐🤐🤐

  • @newgentruckernocbakay4gyou915
    @newgentruckernocbakay4gyou915 7 ปีที่แล้ว

    Huyu mdada ana mambo! Repping 25flow.bona ubaki kimya tu! Hello

  • @shamilamanyalika248
    @shamilamanyalika248 7 ปีที่แล้ว

    hadiapo hamisa huna chako bwebwe hazifaii unafuga makinda ya mbwa wajisifu unang'ombe ndobasi tena

  • @jigijigi2373
    @jigijigi2373 7 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nampenda hyu dada😍😍😍😍😍Go girl leave don't listen to haters.

  • @maryhenry606
    @maryhenry606 7 ปีที่แล้ว

    Huyu dada mswahili hana hata chembe ya aibu lake moja tu kumtaka kwa nguvu Daimond 🤣🤣ss hiyo miaka 9 ina maana Wema alikua wapi yy wakufichwa tu acha hizo afu baba mtoto wa kwanza pia alikua wapi saa hiyo so huoni aibu kuonyesha ww ni mwizi na msaliti duuuuuu uchu wa mali utakufikisha pabaya na hilo gauni lako jeupe kaa harusi

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 7 ปีที่แล้ว

    Hamisa mm nakupenda hadi kizunguzungu hunishika mond atarud madhali mmezaa hongera pia kwakupendeza

  • @mariacassian3548
    @mariacassian3548 6 ปีที่แล้ว

    siri yanini hakimu anajua aaa siriyomwenzangu mapenzi yasiriiiiii hubaki nalialiaaaa unipeleke nyumbani kwenu sheriiyoooooox2 siupo mwenzangu mapenzi yasiri hubaki nalialiaaa tx wiliam

  • @najma3268
    @najma3268 7 ปีที่แล้ว

    Punguzeni maneno makali hakuna alioko mkamilifu zaid ya mungu ss sote udongo unatusubir

  • @veronicavedastus2690
    @veronicavedastus2690 7 ปีที่แล้ว

    Acha uongo ww miaka 9 ulizaaje na mwanaume mwingine ukiwa na mond ucjipendekeze choko ww

  • @MsFaibe1
    @MsFaibe1 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂uyu dada ni hamnazo proudly saying miaka 9 mara nyumba ndogo girl kuzaa na diamond umeifanya kama top deal

  • @sheilajuma2332
    @sheilajuma2332 7 ปีที่แล้ว

    miaka Tisa yote iyo umeshindwa kumtumia bwana ipasavyo hadi kaingia ktk mikono ya mganda na mganda kajua kumstiri umekumbuka shuka wakati kumeshakucha wacha kuongea maneno yasiyo na a wala b ni maneno ya mkosaji hayo zari ndio major general

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 7 ปีที่แล้ว

    huyo wa makeup vip ndio miwanja meupe tena kama jini.looh!nakama uliviona miaka 9 ujue hajakupenda ndio maana alikuficha ukaamua kujibebesha mimba ili ujulikane.

  • @priscaoriko5526
    @priscaoriko5526 7 ปีที่แล้ว

    lengo lako hamisa n kuharibu mausiano ya zari na diamond ungekuwa unamjua sana ungekuwa nae tangia mda miaka tisa! ww n muharibifu tu unalolote aukuwa nae uko kote uje ujifanye saiv unampenda diamond

  • @jacklinejoseph4600
    @jacklinejoseph4600 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂sasa iyo ni sifa jamani wanawake tujieshimu jamani sio fresh

  • @dynessmganga9820
    @dynessmganga9820 7 ปีที่แล้ว

    anayemjua diamond no wema tu alimpenda kabla hajawa staa unasema upon nae miaka Tisa kumbe na Huyo mtoto Wa like no wake pia. acha njaa mdogobwangu Fanya kazi upate chakula njaa acha

  • @lizmass4253
    @lizmass4253 7 ปีที่แล้ว

    Kama huko dem, mama, ama mwanamke and u have experience this u understand more then anyone else so don't throw stone kwa hamisa hata kidogo penda wewe sana

  • @witnesswangaeli3893
    @witnesswangaeli3893 7 ปีที่แล้ว

    Miaka tisa ila akakufanya wa ndani ndani kama utumbo bado unajiproud wezio wote wanawekwa hadharani mmmh una matatzo we gal

  • @RamadhaniShemahonge
    @RamadhaniShemahonge 7 ปีที่แล้ว

    Bora ukosee njia na sio kuchagua mwanamke aisee.. Braza D hapa aliingia mlango wa kutokea

  • @zuhuramuyinga5953
    @zuhuramuyinga5953 7 ปีที่แล้ว +1

    Ukafichwa kuliko wote pia Duh!!!

  • @DeeDiyo5
    @DeeDiyo5 7 ปีที่แล้ว +18

    Penda sana wew hamissa

  • @marymtui9806
    @marymtui9806 7 ปีที่แล้ว

    Miaka9 yote ww ni MTU WA siri too katoka na wangapi we we ndiye uliye achika

  • @joycekikoti3571
    @joycekikoti3571 7 ปีที่แล้ว

    hii ni party au kuna mtu alijiandalia interview.... Soud na Hamisa mnajuana na nahisi hua mna mda mwing sana wa kupiga story

  • @marryndewele785
    @marryndewele785 7 ปีที่แล้ว

    huyo hamisa muongo INA maana anatumika na simba kabla ya majizo au kabla ya peny kabla jokate na kabla ya wema km kweli. una moyo was chuma

  • @gracesangaboloko5414
    @gracesangaboloko5414 7 ปีที่แล้ว

    Yaani umetuvua nguo wanawake wenzako hujajua tuuu kwani wewe nimashine yakukoboa?

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 7 ปีที่แล้ว

    hamisa nafikiri utakujakupata ugojwanwa akili. kushinda na zar hivi unamjua zar hutamfikia hata mond alisema mbele ya dunia nzima kama hata muacha zar wewe hata akae nae miaka kumi ila mond mapenzi kwa zar wewe kakuweka wa kupsi tam tuu

  • @miriampaulo9027
    @miriampaulo9027 7 ปีที่แล้ว

    Km uko nae miaka 9 mbona hujaanza kuzaa nae wew mpaka zari akaja kuzaa nae acha uwongo wew mwanamke yni uwe nae miaka tisa na usimzaliye siku zote hizo hd kaja kuzaa na zari acha uwongo wew

  • @upendosanga3328
    @upendosanga3328 7 ปีที่แล้ว

    kwa miaka tisa umefichwa kweli k yako imeoza yaan umeoza chini mpka akili mchafu una sura tu ila ubongo tope

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 ปีที่แล้ว

    Liz mass achana na mm tumepewa uhuru wakuweka comment nimeka muhimu usimtukane mtu tu namimi cjatukana km ujinga hata ww pia mjinga uloacha yako ukashughulikia upuuz

  • @anjelangaiza6258
    @anjelangaiza6258 7 ปีที่แล้ว

    Hamisa unajua kujieleza vzr mno, nahamini wewe ndiwe mke alali wa diamond si vinuka mkoja na vikongwe.