Prof Lipumba ameyaongea haya baada ya kuingia makao makuu ya CUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @mfaumekisakanike4501
    @mfaumekisakanike4501 8 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe kusoma sana siyo ishara ya kuwa na hekima!

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 8 ปีที่แล้ว +3

    Trump yupo sahihi, africa inahitaji irudi kwenye zama za kikoloni

  • @emmanuelnollo5022
    @emmanuelnollo5022 8 ปีที่แล้ว +2

    Ndio maprofesa tulionao Tanzania,kwani msajili ni mahakama?si aende mahakamani.

  • @vanettejordan-lumogo4422
    @vanettejordan-lumogo4422 8 ปีที่แล้ว +2

    cuf kama watakubali huyu MSALITI wa chama arudi basi wajue wamejimaliza

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 8 ปีที่แล้ว +1

    Wanasiasa wanafurahisha!

  • @MarcoNM100
    @MarcoNM100 8 ปีที่แล้ว +3

    mbona wabunge wa cuf na madiwani wameongezeka ukiwa haupo mzee vp wwe

  • @zanzibarmallonline
    @zanzibarmallonline 8 ปีที่แล้ว +1

    Uliyosema Lipumba ni sahihi kabisa hata hivyo Watanzania weng hawafahamu jukumu lingine la.msajili wa vyama vya siasa namna anavyoweza kusuluhisha kisheria migogoro ya vyama...naomba elimu hii ifahamike

  • @kidangashemaginde1279
    @kidangashemaginde1279 8 ปีที่แล้ว +4

    hatukuamini tena wewe ni kigeugeu

  • @mahfoudhhamdani8610
    @mahfoudhhamdani8610 8 ปีที่แล้ว

    well professor!!

  • @geraldolelaizer4844
    @geraldolelaizer4844 8 ปีที่แล้ว +1

    Professor huyu ovyo tu hata hafai kusikilizwa ni aibu kubwa sana

  • @gracegolden5595
    @gracegolden5595 8 ปีที่แล้ว +1

    huyu ndiye mwenyekiti halali kikatiba ila aliteleza.

  • @kfastak
    @kfastak 8 ปีที่แล้ว +1

    hahahaha. Lipumba unamatatizo hauko sawa

  • @g.phasemaestro1108
    @g.phasemaestro1108 8 ปีที่แล้ว +1

    Tukaneni tu lakini yuko sawa kisheria

  • @harunhamis271
    @harunhamis271 8 ปีที่แล้ว +1

    lazima uwe mwenyekiti

  • @karimmaksud9526
    @karimmaksud9526 8 ปีที่แล้ว +2

    kubwa hovyoooo

  • @josephpastory1153
    @josephpastory1153 8 ปีที่แล้ว +1

    Naona chama kinapotea kabixa pesa ki2 kingine kweli

  • @hemedkombo2915
    @hemedkombo2915 8 ปีที่แล้ว +1

    utakua mwenyekiti wa Nani? ?? wa cuf au wa msajili wa vyama???? kiukweli umechanganyikiwa kiukweli kuanzia Leo nakwita lipumbavu hujui ulitendalo

    • @joshuamwihambi565
      @joshuamwihambi565 8 ปีที่แล้ว

      Hana rorote huyo lipumba kaishiwa maneno yakuongea nika muelewa mm

  • @mwambatv5202
    @mwambatv5202 8 ปีที่แล้ว +2

    povu hiloooooo

  • @geraldlucas6670
    @geraldlucas6670 8 ปีที่แล้ว

    God is watching us,we need to be care more than we can,,

  • @ndaziharuna4820
    @ndaziharuna4820 8 ปีที่แล้ว

    Siasa

  • @movieclip5725
    @movieclip5725 8 ปีที่แล้ว +3

    lipumbavu wewe sio lipumba

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 8 ปีที่แล้ว +1

    lipumba unahangaika na roho

  • @ramsyjiddy472
    @ramsyjiddy472 8 ปีที่แล้ว +3

    mamluki hyo!

  • @ayoubchapita6070
    @ayoubchapita6070 8 ปีที่แล้ว

    democracy ya nchi hii imekwisha na imemezwa na hii ni picha harisi ya unafiki wa wale wanao jiita wasimamiaji wa demokrasia.............kurudishwa kwa huyu mtu ni kuiuwa kabisa demokrasia ya nchi hii

  • @renatusjoachim7548
    @renatusjoachim7548 8 ปีที่แล้ว +1

    SHIDA kweli

    • @Pembaboytz
      @Pembaboytz 8 ปีที่แล้ว +1

      mamluki 2 huyo, hilo jamaa lisaliti nilikiwa namkubali sn ila saiv amenikalia kushoto

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 8 ปีที่แล้ว +1

    hatuna imani na wewe tena haufai haufai

  • @emmanuelgranford3426
    @emmanuelgranford3426 8 ปีที่แล้ว

    kunakubwabwaja na kuongea vitu viwili tofauti hapo mm naona mibwabwajo

  • @KASOLEKA
    @KASOLEKA 8 ปีที่แล้ว

    Hana msimamo, anadhalilisha tu taaluma yake.

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 8 ปีที่แล้ว +2

    msaliti huyu anadhania watu ni wajinga

  • @josee8224
    @josee8224 8 ปีที่แล้ว

    aibu kubwa hii kwa cheo cha profeseri

  • @jumannemohamed6174
    @jumannemohamed6174 8 ปีที่แล้ว

    prof lipunda you should think twice before you act

  • @khamismasamba3046
    @khamismasamba3046 8 ปีที่แล้ว

    Hana lolote mi nahs anatumika.... Lipumba ulikimbia nn na kimekurudisha kipi au ulidhan Chama kitakufa....

  • @ismailkala2333
    @ismailkala2333 8 ปีที่แล้ว

    huyo nia yake kuvunja ukawa nguvu pesa zina mshusha hadhi

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 8 ปีที่แล้ว

    yuda yuda yudaaaaaaa

  • @chritopherchangalawe5578
    @chritopherchangalawe5578 8 ปีที่แล้ว

    Huyu hana lolote kapigika na maisha lazima awe mwenyekiti?

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 8 ปีที่แล้ว +1

    pumbavu

  • @mussaramadhan4733
    @mussaramadhan4733 8 ปีที่แล้ว

    namkubali lipumba hapendi kuburuzwa

    • @gracegolden5595
      @gracegolden5595 8 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisa hapendi kubuluzwa pia anajitambua.

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 8 ปีที่แล้ว +2

    kumbe kuna wasomi wajinga

  • @chibaboy5803
    @chibaboy5803 8 ปีที่แล้ว

    xx c hawakutak hao wanachana unang'ang'ania nn Unanjitia aib hatukutak msalit ww tumechukua vit ving tu ulipojiuzulu ww na chama kipo xawa tu

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 8 ปีที่แล้ว

    Lipumbavu

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 8 ปีที่แล้ว

    Prof mpumba au akili zinaanza kumluka chama kina wakati mgumu pumbavuuuu ulitukimbia wakati wa uchaguzi km ungekuwa kamanda wa kikosi unakimbia wakati mapigano alafu wapiganaji wanapona unarudi na kusema wewe ni kamanda tena hapo ni kukushuti tu

    • @Pembaboytz
      @Pembaboytz 8 ปีที่แล้ว

      mamluki huyo

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 7 ปีที่แล้ว

    mshenzi. mkubwa. wewe. usie. jua. thamani. ya. elimu. yako

  • @jumannemohamed6174
    @jumannemohamed6174 8 ปีที่แล้ว

    prof lipunda you should think twice before you act