Maasha Allah..Vipenz vya ALLAH na MTUME wake Swala na Salaam ziwe juu yake.ALLAH awanyweshe maji siku yenye kiu kali kutokana na kukauka makoo kwa ajili yake.
Mafundisho Makali, yet again! MashaAllah. Huyu jamaa ame somewa the FULL HISTORY ya biblia ku TUNGWA na ku andikwa na MaKAFIRI na WaPAGANI wa Mji wa ANTIOCH, lakini BADO ana fikiria eti Biblia ni kitabu cha Mungu??? Sasa Sijui kama WaFRIKA ni Ma KURUTU, au Kicha Ngumu, au wako na NUSU Bongo, whereby HAWANA capacity yaku jua Biblia ni STORYBOOK tuu, ya WaZungu! Na kwani hawa jui ANTIOCH is in a different World from Yesu, na ni 950km away, from Jerusalem?? Na ya kwamba, Antioch uli kuwa MJI KUU wa Ma CRUSADERS, walio tumwa kuwa IBIA WaARABU mali zao kwenye CARAVANS zao from China? Ai, people, wake up. I simply do not understand these Guys! TabarakAllah Team na Wa bebaji Vitabu.
Sheikh Salim , Na kitu watu wengi Hawajuwi nikwa katika Inchi ya Greece 🇬🇷 the greeks Language Wao wanatambuwa kuwa Bibilia nikitabu Chochote yani hata kitabu cha History wao wanaita Biblia History, Biblia Mathematics, Biblia Geographi, ukienda Greece usije kwenda Shop ukauliza Biblia 😂 watakuuliza gani ya History Ao Geographi 😂
Naitwa Abdurahman Mustafa Muhammad
Mwenyezi Mungu awahifazi awape uvumili
Mwenyezi Mungu awape uvumilivu ili muwavumilie viumbe wa allah
Aameen ameen ameen
Inshallah utaenda Makka kuhiji sheikh Salim na wenzio na sisi sote tulioamini Allah na mitume wake
Yaa Rabb mjaalie sheikh wetu akahiji mwakani kwa idhin yako yaa Rabb na kila anae tamani kwenda hajj ALLAH ampeleke kwa salama na amani
Mansha Allah.. This is one of the best of sheikh salim clips.. Mungu aku linde. With alot of love from Leeds 'uk
Aameen ameen ameen sote
Ustad Salim na Team mzima, May Allah bless you all with a trip to Mecca!
Ameeen.
Aameen ameen ameen
Masomo ya leo imeeleweka kabisa Ma-Sha-Allah, Allah awaongoze awafungue mioyo yao wakaielewa dmna kujua njia ya haki
Inn shaa Allah
Sheikh salim ngugi masha Allah. All the way from denver colorado usa
Masha Allah alhamdulillah
Allah akbar Leo nimekuwa mtu wa kwanza kutazama. Mashekh wetu Allah awalipe kila la kheri kwa Kazi kubwa munayoifanya
Aameen ameen ameen sote
Masha Allah
Maasha Allah..Vipenz vya ALLAH na MTUME wake Swala na Salaam ziwe juu yake.ALLAH awanyweshe maji siku yenye kiu kali kutokana na kukauka makoo kwa ajili yake.
Aameen ameen ameen sote
Masha Allah Masheikh
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni
MashaAllah
Mashallah mashekh wetu Allah awajaze kheri awalinde na hasad
Ameen ameen ameen
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
Alhamdulillah
MashaAllah tabarkallah sheikh Salim.
Alhamdulillah kindogo kindogo wataelewa tu inn shaa Allah
MASHALLAH. LEO KUMECHEMKA.
Kabisa wataelewa tu inn shaa Allah
Allah amzidishie juhudi elimu hekma na afya mtagaze lailaha ila Allah
Aameen ameen ameen sote
Mash Allah maustadh wetu kwa kazi nzuri tuonesheni view ya hio area yote si reli tu inshallah
Inn shaa Allah
Ya leo imewaka 🔥MashaAllah
Wataelewa tu inn shaa Allah
Allah akuinulie khatua za kwenda HAJJ na umrah yaarabb mjaalie salim ngugi na mashaikh wenzake waende wakahiji na kumzuru mtume wetu s.a.w.....amiin
Aameen ameen ameen
Mashalla ustaz salimo wanhugue
MashaaAllahu
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...moto sana leo ndani ya field,,,Allah awahifadhi nawapenda sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
Mashaallah baarakallah
Mashallah Leo nmefika mapema ❤❤
Masha Allah
ALHAMDULILLAH
Masha Allah
Maasha Allah.
Kwasababu gani hawa wakristo uongo wa wachunaji wanaukubali haraka kuliko ukweli wa kuraan
Mafundisho Makali, yet again! MashaAllah.
Huyu jamaa ame somewa the FULL HISTORY ya biblia ku TUNGWA na ku andikwa na MaKAFIRI na WaPAGANI wa Mji wa ANTIOCH, lakini BADO ana fikiria eti Biblia ni kitabu cha Mungu???
Sasa Sijui kama WaFRIKA ni Ma KURUTU, au Kicha Ngumu, au wako na NUSU Bongo, whereby HAWANA capacity yaku jua Biblia ni STORYBOOK tuu, ya WaZungu!
Na kwani hawa jui ANTIOCH is in a different World from Yesu, na ni 950km away, from Jerusalem??
Na ya kwamba, Antioch uli kuwa MJI KUU wa Ma CRUSADERS, walio tumwa kuwa IBIA WaARABU mali zao kwenye CARAVANS zao from China?
Ai, people, wake up.
I simply do not understand these Guys!
TabarakAllah Team na Wa bebaji Vitabu.
😂😂 Swadakta!
Hawa sijui wata REALISE lini, Biblia ni POROJO tuu, zilizo andikwa na MaKAFIRI!
Mashaallah
Assalamu Alaykum sheikh. Huyo asiye na dini kazi ni ndogo kwake kwa sababu ashasema lailaha amebakisha illallah.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah Allah ampe hidaya
Allah akbar
Kama kawaida yangu🎉🎉
Masha Allah
Aa jazaa yenu iko Kwa mngu
Kimeeleweka
Mashallah Leo nmefika mapema❤❤
Mashallah
Tangia nifatilie channel yako cjawah pitwa na siku bila kuangalia video zenu mnafanya kazi kubwa Allah awalipe ujira mwema In shaa Allah
Aameen ameen ameen sote pia wewe Allah akupe umri mrefu wenye baraka
@@salimdaawah123 aamin
Assalamualaikum sheikh Salim jee huoni itakua Bora mfano swali kama nani ameiandika QURAAN urudishe swali kwake nani ameiandika biblia
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
as salaam aleykum warahmatullah wabarqatuh? shekh salim kuna swali nilikuuliza whatsapp hukunijib
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh swali gani hilo
Sheikh Salim , Na kitu watu wengi Hawajuwi nikwa katika Inchi ya Greece 🇬🇷 the greeks Language Wao wanatambuwa kuwa Bibilia nikitabu Chochote yani hata kitabu cha History wao wanaita Biblia History, Biblia Mathematics, Biblia Geographi, ukienda Greece usije kwenda Shop ukauliza Biblia 😂 watakuuliza gani ya History Ao Geographi 😂
😂🤣😂🤣😂 hapo umegonga ndipo
Hio Kali na Ukweli!