Akili anapenda wanyama! | Jifunze na Akili and Me | Katuni za Elimu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2021
  • Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
    Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. th-cam.com/users/AkiliKiswah...
    Angalia "Akili and Me": www.ubongo.org/shows/showtimes/
    www.akiliandme.com
    / akiliandme
    Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
    www.ubongo.org
    Imewezeshwa na Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.
    #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

ความคิดเห็น •