Episode 53: Swupalulu anatuaga | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025
  • Swupalulu anafunga mabegi yake na kuondoka kuanza safari mpya ya maajabu. Akili na rafiki zake wanamuaga, na wanajifunza matumizi ya maneno Simama na Nenda.
    Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
    Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. www.youtube.co...
    Angalia "Akili and Me": www.ubongo.org...
    www.akiliandme.com
    / akiliandme
    Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
    www.ubongo.org
    Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains
    #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

ความคิดเห็น •