MAKONDA AMPIGIA SIMU MCHENGERWA "NISIKILIZE NAKUPA MIEZI MITATU, NATAKA KUONA STAND INAJENGWA KAGERA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 181

  • @LinahSumaye
    @LinahSumaye 11 หลายเดือนก่อน +54

    Team magufuli tujuane

    • @joezeno8
      @joezeno8 11 หลายเดือนก่อน

      ✌🏿✊🏿💯

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 11 หลายเดือนก่อน

      Ni mambo ya Siasa tu hayo hamna cha kweli ni usanii tu!Siasa ni mchezo mchafu uchaguzi unakaribia

  • @PatsonPokela
    @PatsonPokela 11 หลายเดือนก่อน +3

    We really need such kind of people here in TZ❤❤❤
    Piga Kazi Makonda

  • @sigfridprotas5695
    @sigfridprotas5695 11 หลายเดือนก่อน +2

    Makondo niliumia sana pale ulivo kaa nje ya chama, mungu akusimamie uje ushike hii nchi na wazir wako awe polepole hamfrey!!!

  • @EmmanuelMaduka-o8r
    @EmmanuelMaduka-o8r 11 หลายเดือนก่อน +11

    Never ever trust a politician. Walishapangana kitambo😅

  • @HebronMwakatobe
    @HebronMwakatobe 11 หลายเดือนก่อน

    Ccm kweli chama kikubwa makonda mungu akusaidie sasa naiona ccm ya mwalimu nyerere mama said una jicho kali kumuona makonda kiongozi makini asante sana

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 11 หลายเดือนก่อน +2

    ccm na comedy zake

  • @JacksonMasuruli-dt6ch
    @JacksonMasuruli-dt6ch 11 หลายเดือนก่อน

    Yes kazi iendelee

  • @desoskaka411
    @desoskaka411 11 หลายเดือนก่อน +15

    John Pombe Magufuli's legacy is alive and back on the map after 3 years of trying to erase him

  • @YusuphLukindo-vi9ow
    @YusuphLukindo-vi9ow 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mmmmmmmmmmh
    Msije mkasema sijawaambia 👂
    Akili tutumie

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii michongooo tuuu ya kujinadi

  • @VictorZimba-kg3xr
    @VictorZimba-kg3xr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo tumepigwa dar

  • @Samuelmongi
    @Samuelmongi 11 หลายเดือนก่อน +12

    Hii nchi Ngumu sana 😢

  • @richardchawenda5938
    @richardchawenda5938 11 หลายเดือนก่อน

    Asante saana kaka

  • @francissgodlove
    @francissgodlove 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ukitaka kujua umuhimu WA elimu we sikiliza siasa na watumwa (wananchi) wanapigwa vipindi na wanafurahia Game 😅

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 11 หลายเดือนก่อน +23

    Watu wanapangana inaonekana wanapigiana simu live nawakati ni script😂😂 bongo 😂

  • @masoudymichael
    @masoudymichael 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ukiwa huna elimu utapiga makofi😂

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 11 หลายเดือนก่อน +10

    Yani watu nao hatunaga akiri tunadanganywa nasisi ujinga tulionao eti ndiooo eti oyeeeee sijui tulirogwa nanani,

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 11 หลายเดือนก่อน +17

    Africa tunahitaji elimu kubwa sana tunadanganywa sana mpaka tunaonekana ni wakupewa ahadi ahadi na tunafurahi ndiyooooo

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 11 หลายเดือนก่อน +2

      yani haya mambo wanapanga kabisa makonda hana jeuri ya kumpangia waziri kazi

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @mwaaang
      @mwaaang 11 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lmkwani yeye anamtuma au chama? Mbona mnapotosha makusudi? Kila akitoa maelekezo anasema chama ndio kimetoa maelekezo. Sasa kwanini unasema Makonda ndio kamtuma? Hata kama Makonda ana makando yake lakini usipotoshe makusudi

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 11 หลายเดือนก่อน +2

    Silipendi hili lijamaaa

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 11 หลายเดือนก่อน +2

    upuuzii huu sikuu zotee alikuwa wapi hajengi mpakaa kuelekezwa inamaana alikuwa hajui madhilaaa haya yawananchii tz noma kweli

  • @producerema291
    @producerema291 11 หลายเดือนก่อน +3

    CCM wana tumia akili mpaka naogopa

  • @mrskingo7142
    @mrskingo7142 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hizi ni kampenimamboleo yaani amekuja kumsafishia mama njia

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa hiz kauli zake hazitamfikish mbali..Yan kama ndio keshajivik ukuu wa nchi huyo Samia mwenyew hafanyi ivy

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 11 หลายเดือนก่อน +2

    Watu mnajua kudanhanywa aise

  • @SuleimanOthman-h3m
    @SuleimanOthman-h3m 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuekee kiongozi wetu mlezi wetu na muheshimiwa wetu

  • @JescaClement
    @JescaClement 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda we magufuli ujaye

  • @AlkhaAlkha-d4s
    @AlkhaAlkha-d4s 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda n'garaaaa

  • @AhmetMtonga
    @AhmetMtonga 11 หลายเดือนก่อน +2

    Acha mbwembwe makonda

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 11 หลายเดือนก่อน +6

    UNATUZINGUA BASHITE, MCHENGERWA NI WAZIRI SHUPAVU MNOh ACHA KUMSUMBUA ANAJIELEWA MNO WAZIRI WA TAMISEMI NI MOJA YA MAWAZIRI WANAOFANYA KAZI VIZURI SANA

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 11 หลายเดือนก่อน +21

    Kumekuchaaaaaa!!
    Kumechangamka siku mbili tatu hizi hadi raha.🤣🤣🤣🤣

  • @SamsonMalisa
    @SamsonMalisa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa zinataka akili siyo mbwembwe

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 11 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa bwana dah! nipo palee

  • @MiltonMkatasa
    @MiltonMkatasa 11 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi brother

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 11 หลายเดือนก่อน +2

    Porojo zenyewe ndo hzo Sasa,alafu yanashangilia tu kumbe yanapigwa swaga tu

  • @abochejuniorhutingwa223
    @abochejuniorhutingwa223 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wameshapigwa

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wanasiasa wana maneno mazuri sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 หลายเดือนก่อน

    MAMA CHAGUA WATU KM MAKONDA WANAJUA SANA KAZI HAWA NDY WAKUKUSAIDIA WEWE MAMA

  • @lumo9999
    @lumo9999 11 หลายเดือนก่อน

    Hili lijamaa mbona kama uraisi unamfaa aseee❤❤❤

    • @ahmedalkiyum7592
      @ahmedalkiyum7592 11 หลายเดือนก่อน

      Urais unataka busara sio ivo munavyo fikiria ukikosa busara kuna siku hata wew unaye shapikia unakubwa na hali yyte ile kwahio sio kila anaye ongea sana ndio awe rais

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 11 หลายเดือนก่อน

    Ila bhana sio powa

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 11 หลายเดือนก่อน +2

    Au uelewa wangu ndio mdogo, hebu nipewe maana ya chama ni nn na serikali ni nn, yaan nijue kaz ya chama na kaz ya serikali

  • @memorymakweta8253
    @memorymakweta8253 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa mimi nachanganyikiwa kabisa....

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma 11 หลายเดือนก่อน

    Hpn kwakweli wananchi sijui mtawapa nn muweze kuwaelewa mnacho kisema ningumu

  • @AhmetMtonga
    @AhmetMtonga 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mh Rais doctor samia suluhu naomba mawaziri wakheshimiwe makonda ahache mbwembwe ya kuwazarau mawaziri

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ayo magizo anavo toa kama waziri au rais

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 11 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu kuna maumbwa yanataka kuandamana

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Enzj izo chama kimeshika hatam

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 11 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wanasema game on

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 11 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 asie na macho haambiwi tazama ..akili ni kitu kikubwa sana kukitumia .

  • @neylalyimo2457
    @neylalyimo2457 11 หลายเดือนก่อน

    Taratibu ,angalia u apogusa ohoooo

  • @msuhabaraka9049
    @msuhabaraka9049 11 หลายเดือนก่อน

    Ambao bado Tunakumbuk Dp world tujuane hii ni kutufany tusahau tu hili swala

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 11 หลายเดือนก่อน

    Tunampenda makonda mama samia umepatia sana kumchagua huyu makonda👍👍🤝

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi njema kamanda

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 11 หลายเดือนก่อน

    Sanaa

  • @IssahMfundo-un6hz
    @IssahMfundo-un6hz 11 หลายเดือนก่อน

    Mdomo huu bana

  • @saidihamisi9285
    @saidihamisi9285 11 หลายเดือนก่อน

    Usanii wa siasa ktk nchi

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha bongo maigizo sanaaa

  • @jovinjones4777
    @jovinjones4777 11 หลายเดือนก่อน +5

    kama haikua kwny bajeti hiyo pesa itatoka wapi!!!??

    • @chire4574
      @chire4574 11 หลายเดือนก่อน

      Kuna bajeti ya dharura

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 11 หลายเดือนก่อน

    CCM WANAMIKAKATI KWELIKWELI

  • @JamesOwen-rp3if
    @JamesOwen-rp3if 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mdomo koma mwanasheria wangu,bado Yuko shule

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 11 หลายเดือนก่อน

    inamana kazi aiwezi fanyika bila

  • @mokhimji
    @mokhimji 11 หลายเดือนก่อน +2

    Bongo Movies hahaha

  • @DismasSeleman-o9q
    @DismasSeleman-o9q 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 11 หลายเดือนก่อน +1

    👍💯✅

  • @emmanuelntalima1717
    @emmanuelntalima1717 11 หลายเดือนก่อน

    Magufuli Crone

  • @janethmuganyizi3155
    @janethmuganyizi3155 11 หลายเดือนก่อน

    DANGANYA TOTO😢😢

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda wasikutumiye kuwa mpinga Magufuli.Yule Bado ni number one AFRICA.sasa wewe tumia Akili na ujanja

  • @Solace577
    @Solace577 11 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 daaa tunapigwa za uso

  • @lovisfrederick3629
    @lovisfrederick3629 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki chama kina mtaji mkubwa wa wapiga kura mbumbumbu.

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wamevuruga sasa wanamtumia Makonda kwa kutaka kufuta makosa yao

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 11 หลายเดือนก่อน

    CHADEMA

  • @mariamwiston
    @mariamwiston 11 หลายเดือนก่อน

    Mhh unashangazaa sanaaa .tumia vizurii mamlakaaa kwani lugha yakooo ya kibabeee .mhhhh baraaaaa

  • @lucasmapunduone4616
    @lucasmapunduone4616 11 หลายเดือนก่อน

    ww nihatar watanyoka kaza dingi tupo nyuma yako kwa dua na sala mungu akusimamie hakuna baya litakolofika kwako kwauweza wake allah amen🙏🙏🙏

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo mikoa yenye shida ni mikoo hiyo tuu maana sioni wakienda mikoa ya kanda ya kaskazini na kusisi

  • @wallacerugangila2723
    @wallacerugangila2723 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa Mkonda acha propangada Bukoba inapakana na nchi nne ambayo wakazi wengi wa Bukoba Wana mizizi na uzaliwa wa nchi hizo .Tuka tupate uhuru Bukoba imekuwa inatengwa na ndugu zao kutoka nchi jirani na hata kufikia kuitwa wahamiaji haramu .Hawa wahimaji haramu wakati wa ukoloni ndio walikuwa wanakuja bila kipingamizi Bukoba kuishi na kufanya biashara lakini Sasa hivi akioneka Mnyarandawa ,Mrundi ,Mganda ,Bukoba mjini hasa mwenye Hela atapekuliwa na kunyimwa amani .Hili linabidi likome Bukoba kuendelea Hawa ni ndugu zetu wa asili

  • @aminishebwana8660
    @aminishebwana8660 11 หลายเดือนก่อน

    Future president ❤❤

    • @magerebudodi8471
      @magerebudodi8471 11 หลายเดือนก่อน

      Future president wa mama ako

  • @jerome3143
    @jerome3143 11 หลายเดือนก่อน

    Hizo nimbino za chama wanaka kwenye kamati ya chama wanapanga tufanye hivi ili watanzania walewe

  • @ramadhanirashidi4175
    @ramadhanirashidi4175 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu naye sifa zime mzidi akotokewa tena tuna mfanya k2 mbaya

    • @florangido202
      @florangido202 11 หลายเดือนก่อน

      Hajakulupuka hyo Kaagizwa na Kaandaliwa kufanya kazi kama alivyofanya Makufuli

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 11 หลายเดือนก่อน

      Mnamuones Makonda, HIVI UMESHAFIKA BUS STAND YA MKOA EA KAGERA WEWE?? INATIA HURUMA MWACHENI MAKONDA APIGE KAZI

  • @SelemanSanaga-tr4ox
    @SelemanSanaga-tr4ox 11 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza komed au?

  • @DavidGasper-q6w
    @DavidGasper-q6w 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwel wananchi tuna ufinyo wa fikra maish ni magum hv afu watu wanashangilia

    • @felisteredward3630
      @felisteredward3630 11 หลายเดือนก่อน

      Yan kwanza tu huo muda wa kwenda kukusanyika hapo sijui wanautoa wapi

  • @FrankMkisi-pi1jz
    @FrankMkisi-pi1jz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mneki amewasha moto

  • @othmanmongesanga8614
    @othmanmongesanga8614 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pigo hilo siku zote walikua walikua wap?

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 11 หลายเดือนก่อน

    Safiii makonda

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama alisema kiongozi mkuu kwanini hamkufanya mpaka katibu mwenezi aseme yupi anae paswa kusikiwa mpaka apo sina uakika kama sio siasa sijui ngoja tuone, lakini vipi kuusu mazao ya wananchi uko thuruma ninyingi

  • @thomastarimo
    @thomastarimo 11 หลายเดือนก่อน

    sawa kabisa kaka makonda maana walikua wamelala bora umekuja kuwaamsha

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa chadema kama mnadhania mtashinda kwa matusii kazaneni kutukana!!!!!! Twaamini CCM watawapiga kwaushindi mkubwaa sana..... sababu wanamaneno matamuu hatakama wasiootekeleza lakin wanaseraaa nzuur

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 11 หลายเดือนก่อน

    Tunao elewa hi ni siasa na ni Kiki 😂

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 11 หลายเดือนก่อน

    Hu ni uhayawani wa ccm tu

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 11 หลายเดือนก่อน +2

    Drama zimeanza

  • @kituladigala4880
    @kituladigala4880 11 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba siku moja uwe rais wa jamhuri ya Tanzania

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 11 หลายเดือนก่อน +1

    Revenge

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka HUU tutaona mengi

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 11 หลายเดือนก่อน

    munafanya siasa tu kabla ya kuja kwenye mikutano munakua mushapanga kabisa hixi siasa

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 11 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kaja moto kwelikweli, anaamurisha tu, nakupa miezi mitatu, kama nani? Raisi?!!

  • @franklyfaustine3880
    @franklyfaustine3880 11 หลายเดือนก่อน

    Mnatupanga tu

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kazi ya Rais ni ipi ikiwa makonda anatoa amri kwa wateuliwa wa Rais

  • @kikotimhaicki1846
    @kikotimhaicki1846 11 หลายเดือนก่อน

    Kimchongo mchongo

  • @fedmaster8869
    @fedmaster8869 11 หลายเดือนก่อน

    Ndo mpango wa ccm

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 11 หลายเดือนก่อน +4

    Comedy show

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wengi ni wajinga
    My country

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mnamjaza sana huyu hana mipaka kwenye nafasi yake na hajajifunza

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 11 หลายเดือนก่อน

      Ajifunze nn ...unaposema hajajifunza ...TUNAHITAJ amalize kero

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 11 หลายเดือนก่อน

      Basi futeni cheo cha waziri mkuu abaki mwenezi