WALIO TANGAZA KUFURAHIA KIFO CHA SHEIKH ABUU IDDI NI MAJAHILI by Sheikh Muhammad Bachu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • #Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

ความคิดเห็น • 797

  • @AbuuMahsan
    @AbuuMahsan 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah akusamehe bachu mtume asema usitaje maovu y maiti zenu ww hujijui uko wp

  • @Shaa2213
    @Shaa2213 6 วันที่ผ่านมา +31

    Yaani kama unamsikiliza kwa makini yule utagundua muhammad bachu .amemzidi yule alietoa audio yaani anrangi ya chuki ilokoza. Hii ni khatar kama MAWAHABI MNAFUNDISHWA BIDAA ZAID KULIKO DINI YENU hakika mtaendelea kuwa na fahamu ndogo mpaka Allah atake yeye kuwaongoza.Allah atongoze kwe sawasawa. AMIN

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 5 วันที่ผ่านมา +3

      Ww ni Moja kati ya watu wapuuzi ..ivi hata kuoga janaba unajua ww

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 5 วันที่ผ่านมา +3

      Ni NANI WALIWAPA KIBALI CHA KUJITANGAZIA WAO NI WATU WA SUNNA???
      MAWAHABI UKIWASIKILIZA WAWEZA KIGUNDUA hata MTUME HAWAMJUI VIZURI AMA HAWAMPI HAKI YAKE YA UTAMBULISHO....ZAID WENGINE MPAKA DHARAU KWA MAONGEZI YAO.
      MMOJA ALIWAHI KUSEMA MTUME ALIONEKANWA ALIKOJOA KASIMAMA

    • @storywiththerapytalk
      @storywiththerapytalk 5 วันที่ผ่านมา +1

      Unaonaje ukamfundisha?​@@DINASSOUR

    • @Kijazi1132
      @Kijazi1132 5 วันที่ผ่านมา +1

      Huu ni kafiri anaozungumza.
      Ina bidii tuwaangalie mawahabi kwa JICHO makini zaidi je wangekuta abuidi amepata ajali asinge msaidia

    • @zainabjumaa3055
      @zainabjumaa3055 5 วันที่ผ่านมา

      Hivi mbona kosa na mtu mmoja mnajumuisha watu wote nyie wenyewe mnachuki na ndio maana mnakuza mambo​@@Kijazi1132

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 วันที่ผ่านมา +10

    😭😭,
    Mim nasema wenda wanaosema wanajiona wako sahihi, na kila anayepinga anajiona yuko sahihi, na wote tuliobaki dunian bado tuna tofauti zetu, lakn si kila cha kuzungumzwa kinafaa kuzunguzwa,
    Kwasababu utakapozungumza athar zake ni kubwa sana unajenga nin katika jamii ya kiislamu sisi sote ni Laa ila ilallah Muhammad rasuul llah,tutajenga chuki, tutaelekea had kutosaidiana, kutozikana na mengine WAISLAMU TUWE MAKINI SANA,
    kama mtu ana lake jambo bas afanye kimya asema alhamdulillah kimya kmya.,ila hadharani mnajenga chuki, mnagawa umma,
    Masiala ya maulid, au mwezi au chochote katika utofauti wetu ni masuala ya mtu binafsi ni sawa na anaefanya makosa mengine je huyu atatengwa la bali ataendelea kuwa muislamu tu hayo mengine ni makosa yake atajua na mola wake.
    NAOMBA SANA, TUNAHARIBU SIFA YETU WAISLAMU.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 5 วันที่ผ่านมา +2

      Allah awabariki wazazi wako Kwa kukuzaa uwepo wako una umuhimu Kwa jamii mashallah.

    • @AhmedSwelum
      @AhmedSwelum 4 วันที่ผ่านมา

      Hii ndio sura sahihi za mawahabi Wala siwaiti salafi Kwa sababu hadithi Iko mtume Muhammad Aleihi swalatu Alisikita kuona jeneza la yahudi sembuse muislam mwenzako Ambae mumekhitilifiana Na Hawa mawahabi wa sasa Adabu hawana na somo la Adabu kwao hakuna tulikua Na wanvyoni wakubwa huku kwetu Kenya mola Awarehemu , katika uhai wao walikhtalifiana Kwa maswala Fulani Na Kila mmoja Akawa Na msimamo wake lakini waiheshimiana Na kusomeshana Na kutembeleana Na kuombeana Dua njema unakuta Kila mmoja Anataka kujua kitu Kwa mwenziwe mfano huyo sheikh wa kwanza hajui masail fulani hurudi Kwa mwenziwe Amfundishe Na kupiga goti Na kusoma Hilo somo halafu inafika🎉 zamu Ya yule mwengine pia Ana piga goti Na kusoma yaani wakisomeshana Wala hakuna mmoja wao Atamuita mwenziwe majina yaso mridhisha mwenziwe Ama hawa sasa Adabu hawana

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 4 วันที่ผ่านมา

      @@HemedSerious Aaamiina, Allahummaa aaamin

  • @Ayshaadam-p8b
    @Ayshaadam-p8b 4 วันที่ผ่านมา +5

    Hakuna tofauti kati ya alofurahia na alotoa ufafanuzi subhanallah

  • @shekhsamiudinonlinetv8272
    @shekhsamiudinonlinetv8272 5 วันที่ผ่านมา +19

    Subhanallah Allah aniondoshee mapenzi ya kuwapenda mawahabi tena katika moyo wangu hawa wanaroho mbaya sana

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 5 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa, c watu hawa

    • @zainabjumaa3055
      @zainabjumaa3055 5 วันที่ผ่านมา

      Astakafiru

    • @Fatma-up9qs
      @Fatma-up9qs 5 วันที่ผ่านมา +2

      Weweee. Mtu mmoja tena salfi kutamk tamko baya ndio mtukane Ansar wote? Hao mawahabi unaowachukia vitabu vyao vote ni kufuata Quraan na Sunna. Tatizo lako nini sasa. Sometimes vitabu vyao acheni kupotoshwa na bakwata

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 5 วันที่ผ่านมา

      @@Fatma-up9qs Sio mtu moja usitubebe ufala. Alisema wazi kuwa hiyo ndio mahaj ya salafy, ndio msiamamo wenu. Hata Bachu kaongzea hilo sisipokuwa kwa hekima lakini anaishia hapo hapo..... usitubebe ufala

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@Fatma-up9qssiomtu moja.kwasababu zile audio walikuwa wanazisambaza katika magroup yao ya.watsap kwshiyo huo .ndo msimomo wa mawahabi

  • @khalidbinsunkar5409
    @khalidbinsunkar5409 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mawahabi bana eeeh
    Mwenyezi Mungu awaongoze

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 5 วันที่ผ่านมา +5

    Mtihani walimu wetu hawa.Waislamu tumefikishwa hapa tuwe tunaombeana tufe ili tufurahi hata kama mwenzako kasaidia sana kuufundisha Uislamu sababu tu mnatafautiana ktk baadhi ya mas-ala machache na yale ya msingi hamtafautiani.Kwa namna hii Uislamu utaonekana ni dini ya mizozo,kusutana,kukejeliana na hata kuombeana vifo ili watu wafurahi.Tumuombe Allah atunusuru.

  • @HamadFakih-i6l
    @HamadFakih-i6l 6 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa mujibu ya maelezo yko shkh kumbe yuko sahihi alie furahia mukadai analingania baatwil ,subhanallah tumefikia huko waislam kwa hakika qiama hakiko mbali

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 5 วันที่ผ่านมา

      Kweli nae anaunga mkono haswa.Mtihani walimu wetu hawa.

    • @lusupi
      @lusupi 4 วันที่ผ่านมา

      Kaka muelewe vizuri yafaa kushukuru lakini sio kwa mazingira yale alioshukuru yule ndugu yetu na ndio mana yeye mwenyewe alijiona kakosea akaomba radhi kwa jamii

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 5 วันที่ผ่านมา +11

    Mkimzingatia huyu kijana mtagundua kua yeye ni zaidi ya alontukana sheikh Muhammed idd , Subhanallah 😢

    • @mohmozahmed4201
      @mohmozahmed4201 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wallah yani huyu ndo kazidi kuongea utumbi

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Bachu Yuko sawa,kama mnakataa hilo njooni nyny mkanushe kwa hoja sio maneno matupu

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@HassanIddy-v1bkuhudu hilo kadhihirisha chuki.zake tu hana jipya

    • @MadieMtimbuka
      @MadieMtimbuka 4 วันที่ผ่านมา

      @@maryammdoe5801 hakuna sheikh kwa dunia hii kwa ss, wote wapenda ukubwa

    • @abubakaribinaisa9812
      @abubakaribinaisa9812 3 วันที่ผ่านมา

      Kamtukana nani??

  • @AbdulMgunya
    @AbdulMgunya 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akusamehe mana ni mtihani

  • @saeedqaseem3172
    @saeedqaseem3172 2 วันที่ผ่านมา

    Ukiweka akili yako huru Bachu Yuko sahihi ila ukiskiliza kwa hisia huwezi muelewa....
    Kwani ata akifa sheikh la shia kimoyomoyo watu hatushukuru?...tutashkuru kwasababu juhudi zake kueneza ushia zitakwisha ila tutakua kwasababu roho moja ya umat Muhammad salallahu alayhi wasalam imekufa ktk ushia....
    Almuhimu kuombea Rehman Abuu iddi ila alipuyanga sana ktk daawah yake na Allah alimpa ufasaha Sana mashallah....Allah amsamehe, amrehemu pia amiin

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 2 วันที่ผ่านมา

    Wapi hadithi inasema muislam mwenzako akifa ufrahie jmn mungu ndio mjuzi wa kila k2 usimhukum m2 wakat ww hujui unapoenda .
    Subhanallah astaghfirullah

  • @AshrafKhan-fx8nh
    @AshrafKhan-fx8nh 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mohamed bachu rudi kwa mungu wewe kwenye mazishi ya baba yako mligombana azikwe wapi mara hapa msikitini sioni ajabu kumsema sheikh wewe jiangalie sana

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 6 วันที่ผ่านมา +10

    Na Allah subhannahu wa taala atawadondosha mmoja mmoja ili presha za uzushi zipungue

    • @abdulnassor4804
      @abdulnassor4804 6 วันที่ผ่านมา +4

      Weee ni mpumbavu

    • @gulamomar6394
      @gulamomar6394 6 วันที่ผ่านมา

      Nyie mtaish milele
      لعنة الله علىك 😂

    • @Nabeel-22
      @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา +2

      Wazushi kwenye dini sio watu wazuri

    • @darajanida
      @darajanida 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@Nabeel-22mzushi unsmjuwa wewe

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 6 วันที่ผ่านมา

      Nyie Mtaishi Milele

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn 5 วันที่ผ่านมา +3

    Nimemuelewa shekh bachu. Kwa kufafanua vzur

  • @AllyMwazoa
    @AllyMwazoa 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna shekhe Alisema ni vyema Ahlu sunna kuungana na Answaru sunna.Hadharani bila haya.Sijui leo Atawaambia watu nini Nae ni ghurafi kwa mtazamo wa mawahabi Akifa watu waseme Alhamdulilah

  • @alishaffi7715
    @alishaffi7715 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu amuongoze mtoto wa bachu. Wanagawanya waislamu sasa na kupalilia chuki.

    • @SwaleheHemed-n9s
      @SwaleheHemed-n9s 4 วันที่ผ่านมา

      Elimu unayo

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 4 วันที่ผ่านมา

      @@alishaffi7715 Aaamiiin
      Nikweli KABISA ila inaumiza saaaaana.

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 4 วันที่ผ่านมา +3

    Muislamu wa kweli hasaa basi hawezi kumchukia muislamu mwenzake hata siku mojaa ety kwa kuwa anamtazamo tofauti na wake ! Ila cha kusikitisha hawa masalafi wao tu ndo wanajiona wameongokaa walobakia wote wamepoteaa ndio maana kila majina mabayaa huwapa waislamu wenzao na wao hujiita majina mazurii 😢 mimi nitakuwa shahidi mbele ya Allah s.w kwa munayoyatenda 😢 tokea muzuke nyinyi dini leo inachezewaa vuruguu na chukii na ubaguzi umejaaa baina ya waislamu halafu munajifanya watu wa sunna ! 😂 Je mtu wa sunna kweli anaweza kumchukia muislamu mwenzake ? Je mtu wa sunna kweli anaweza kumbagua muislamu mwenzake ? Je mtu wa sunna kweli anaweza akagombanisha familia za watu ?? Leo yote haya tunayaona na tunayashuhudia jinsi gani hawa masalafi feki walivyowagombanisha waislamu 😢utakuta kwenye nyumba moja watu hawasemeshani kwa kuwa wanamitizamo tofauti 😢😢 nyinyi ni wanaafiq hamuna sunna moja mulizo nazo 😢

    • @RahmaKassim-vf6tv
      @RahmaKassim-vf6tv 4 วันที่ผ่านมา

      Kbs nipo na ww kbs aliokua mjuzi ni Allah wa ace hizo fitna hazing mpangilio

  • @Nabeel-22
    @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา +3

    Shukran Shekh letu Bachu Allah akufanyie wepesi

  • @SaidSalehe-z3p
    @SaidSalehe-z3p 5 วันที่ผ่านมา +4

    Assalam aleykm warhmatulah wabarakatuh tusinde kumkufuru Allah aiseee mashekh wetu tunawapenda sana naheshima kubwa tunawapa kila leo Allah awape subra kila jambo inshallah

  • @AbdlaahAbdalla
    @AbdlaahAbdalla 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dah yaan waislam wanashndwa kujielewakabsa ivikweli nani anauhakika naibadazake anatka ufahamuwake watuote wafahamu hivyo haiwezekn hivyo. Muhimu kujua hiidini niyamumgu nandie mjuzi bachu hiidini siyamamayako Wala babayko hishimu wazeewawenzsko pili ivoukifurahia inakuaje nawewe utakufat ushajijua utakufaje nadini imekutaka anapokufa mwezanko asiseme mabayayake nautaje memayke. Bachu muogope mungu usione xifa

    • @hassanhamad8723
      @hassanhamad8723 2 วันที่ผ่านมา

      Mhh ninaona hujamsikiliza vizuri

  • @AbdeenBahry
    @AbdeenBahry 6 วันที่ผ่านมา +4

    ALLAH ATAJUA VYA KUWAFANYA

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 วันที่ผ่านมา +1

    Allah amsamehe kwa bidaa na kupinga sunna

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 5 วันที่ผ่านมา +4

    WE BACHU UMEONGEA KWELI WALLAHI HATA WE UKIFA NITASEMA ALAHAMDULILAHI KWA MOYO MOYO SIO KWA UBAYA ILI MUNGU ATUEPUSHE NA MILANGO YAKO NA MIJASIMA NA ULOKOLE NA SHARI ZENU

    • @Salsimpleworkshop
      @Salsimpleworkshop 5 วันที่ผ่านมา +5

      Unahakika bachu atakufa kabla yako

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Kweli wewe nilikhurafi zezeta lenyechuki na watu wa haki

    • @YakeenRamadhan
      @YakeenRamadhan 4 วันที่ผ่านมา

      Swali zuri sana​@@Salsimpleworkshop

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jazzakallahu kheiran

  • @mrsiridiisiridii5022
    @mrsiridiisiridii5022 4 วันที่ผ่านมา +6

    قال صلى الله عليه وسلم اذكروا محاسن موتاكم الله يرحم الشيخ المجاهد ابوا عيد وأدخله فسيح جنته أمين يارب 🤲 العالمين

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@mrsiridiisiridii5022 صدق رسول الله صلى الله عليه وسلم

    • @ALLYMATIMBWA-cz3zg
      @ALLYMATIMBWA-cz3zg 4 วันที่ผ่านมา +1

      Swadakta

  • @Zanzibarherbs
    @Zanzibarherbs 6 วันที่ผ่านมา +9

    Et haja tubia utazan wao ndio wenye dini dah 😢😢hatar sana kujiona Wacha Mungu na wenye elimu kila mtu.

  • @BinAlly-u3o
    @BinAlly-u3o 3 วันที่ผ่านมา +1

    Umejuaje km hajatubia hv unajua baina yke na Allah wacheni kujitakasa

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 6 วันที่ผ่านมา +9

    Mungu nie pushe na fina zaki mawahabi na fikrazao🙏

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 6 วันที่ผ่านมา

      AMIN

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 วันที่ผ่านมา +1

      Namiomba ALLAH aniepushe na fitna za masufi na fikra zao za kunipeleka katika moto

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@fauznuhu9981 soma, kwanini wanasema mawahabi?!!mjue shekh abdulwahab soma,,huyo shekh alipinga kujengewa makaburi na ni kitu mtume swalallahu alayh wasalaam alikataza sasa nyie jengeni makaburi na tirez

    • @Nabeel-22
      @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา +2

      Yaani dua yako kama kwamba unasema Mungu usinipe muongozo

    • @zainabjumaa3055
      @zainabjumaa3055 5 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa badala umuombe ALLAH akuongoze ktk njia ya sawa unampangia Tena pole

  • @WahidaTv
    @WahidaTv 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni haki wasio waislamu watu zidi mbali subunallh

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli duniani kuna mashehe na mashehena na kuna waumini na wauminati ALLAH atuhifadhi na hawa masalafi wamezuka kama miaka 30 tu iliopita na imetengenezwa na wazungu

  • @IddSuleiman-z7m
    @IddSuleiman-z7m 4 วันที่ผ่านมา

    I think people should read the Quran and understand it.There are many challenges facing our Ummah.

  • @RahmaMfaume-sp2oj
    @RahmaMfaume-sp2oj 3 วันที่ผ่านมา

    Umeongea vizuri. Kunyamaza ni nibora zaidi. Hakika wametuharibia watu wasunna .

  • @AjibuAnwaria
    @AjibuAnwaria 5 วันที่ผ่านมา +3

    Nampenda sana abood rogo namuomba allah ampe shahada panoja nae nawachukia wote wanao mchukia abood rogo

    • @HusseinFunga
      @HusseinFunga 4 วันที่ผ่านมา

      Rahmahullah abood rogo

  • @AliHakim-nb7dr
    @AliHakim-nb7dr 5 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah

  • @hafidhbancar2316
    @hafidhbancar2316 6 วันที่ผ่านมา +3

    Nimekuwelewa mwalim

  • @MohammedTukwa
    @MohammedTukwa 6 วันที่ผ่านมา +1

    Allah ndio mjuzi wa Kila jambo

  • @KitasaWaaction-gm9zr
    @KitasaWaaction-gm9zr 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeelewa

  • @MirajiSaidi-o6q
    @MirajiSaidi-o6q 3 วันที่ผ่านมา

    inalilah wainailaih lajiun huuni uyahudi zaahili

  • @swalehahmed6579
    @swalehahmed6579 5 วันที่ผ่านมา +1

    Muhammad Bachu umeuliza suali umeanza kukoroga mambo na wala hueleweki wasema nini tena wewe una chuki kubwa sana katika maneno yako wasema jikhurafi amekufa hakutubiya je wahisabu watu wa twariqa au ma Sufi sote sisi ni wa motoni au vipi maana wewe umemuhujumiya zaidi Sheikhe wetu walakin Allah akuhidi akuondoshe huo ujinga na chuki ulizo nazo

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Namuunga mkono m,bachu

  • @Shaa2213
    @Shaa2213 6 วันที่ผ่านมา +8

    Mimi nilijua muhammad bachu lazima azungumze.
    Ametegwa na waulizaji kisha akaingia kwenye mtego. Kila mmoja ataulizwa ameutumia vp ujana wake Allah amsameh kila muislam alitamka shahada .na kutangulia mbele ya haqqi.
    HII NI CHUKI YA WAZI KABISA BAINA YA WAISLAM.

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wallahi ndugu yangu umenena vyema kabisa lkn kwa mawahabi ufahamu wao ni 0 kabisaaa wamejaaliwa chuki na hasadi tu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Toka jaahili we,

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา +1

      Toka jaahili we, kunawatu wanachuki mbaya dhidi ya watu wa haki kuliko nyinyi masufi,ss tunasema allaah amsamehe abu iddi lakini tumefurahi kuondoka mMoja Kati y watu wa bida_a

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 5 วันที่ผ่านมา +1

      Yan hapa hakuna ilimu mawahabi n shda

    • @suleimanmansour7732
      @suleimanmansour7732 5 วันที่ผ่านมา

      Waislamu Chuki zimejaa kati yetu,ni Jambo la kulizuia kwa Namna Yoyote ile.
      Tabasamu Sadaka.
      Kuingiza Furaha kwa Muislamu Mwenzio ni Bora kuliko kukesha msikitini.
      Vipi Leo Muislamu aonekane Adui kuliko Wasiokuwa Waislamu.
      Ufinyu Wa Ilmu unatutesa.
      Na Kama huna uhakika wa Jambo,ni Bora Kukaa Kimya Kuliko Kuleta Taharuki katika Jamii.
      Leo anaetaka kuingia Katika Uislamu akakuta Malumbano haya Atauchukuliaje Uislamu?
      Tutafakari Waislamu.

  • @Jumaamohamedi
    @Jumaamohamedi 6 วันที่ผ่านมา +11

    Bachu itabidi usome upya elimuyakondogosana hawa mashekhe wamaulidi katikazile nguzo zadini kunawalioivunja au mnapitiahuko kwanjaazenu bilakumuogopa Allah

    • @abdulkizeli9960
      @abdulkizeli9960 6 วันที่ผ่านมา +2

      Weumesoma kumpita yeye Kielem?

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 6 วันที่ผ่านมา +2

      Kwanza na ww ni kwaelimu gn ulokua nayo? acha kujidai

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 6 วันที่ผ่านมา +4

      Laiti nyinyi masalafi mtume angekua na tabia kma zakwenu naona huu uislam hata kutambulika kwenye hii dunia usingekuwepo

    • @LeylathYahsin
      @LeylathYahsin 6 วันที่ผ่านมา +2

      Kwanza em tutajie hiyo nguzo ya Dini iliyo vunjwa na hao watu wa Maulid
      Kisha tuuone ukwel wako ewe mwenye kuzua Uongo

    • @mustamimmushajara8992
      @mustamimmushajara8992 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@MohdJuma-w6lkwel broo mtume alkua anamkamata adui yke na maziwa anampa anywe

  • @dm_hulsdv86
    @dm_hulsdv86 6 วันที่ผ่านมา +3

    Duh hamna kitu humu we Bachu muhuni saana wewe Allah akuhifadhi

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 5 วันที่ผ่านมา

      Allah amhidhi vipi?Amuongoze.

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา +1

      Angalia usife kwa presha maana m,bachu anawakosesha usingizi jaahili we

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@HassanIddy-v1bwewe mjinga kwel hemu niyajia mtu watasauf.mkubwa mmoja tu anaejibizana na bachu bachu snapewa watoto wadogo wa kisuf wacheze cheze nae na hao wanamkojoza

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      ​Inaoneka wewe umetoka mirembe hivikaribuni,maana hiyo kichwa chizi anauwafadhali

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 3 วันที่ผ่านมา

    Maa Shaa Allahu
    Muhammad Bachou ana hikma

  • @shekueali2449
    @shekueali2449 5 วันที่ผ่านมา

    Inna lillah waina ilayhi rajiuun.Allah atahukumu

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya 5 วันที่ผ่านมา +1

    Unacho kiongea hakieleeweki naona wote mko kundi moja mnafurahia wote ila mkumbuke hakuna anaejua mwisho wake unaweza ukaona umeongoka kumbe umepotea

  • @hassanjecha9986
    @hassanjecha9986 6 วันที่ผ่านมา +11

    Na wewe huna tafauti na huyo jahili mwenzio. Maana alichokisema yeye na wewe umesema hicho hicho, umetumia njia nyengine tu ili kuwafumba macho wasioelewa lakini umeeleweka

  • @شيخحمودالرواحي
    @شيخحمودالرواحي 6 วันที่ผ่านมา +14

    Nyoote mawahabu na masafi munachukiya waislamu wenzenu sana kuliko makafiri

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 6 วันที่ผ่านมา +2

      Hii ni ajabui saana mpaka nashangaa!!!

    • @salimakida95
      @salimakida95 6 วันที่ผ่านมา +1

      Nikweli kabisa ndio maana wakiongea wanakua najazba

    • @Nabeel-22
      @Nabeel-22 6 วันที่ผ่านมา +4

      Wanachukia uzushi katika dini..

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@Nabeel-22 uzushi gani mbona kama na wewe ni mjinga

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 วันที่ผ่านมา +1

      Mjinga atakua wewe​@@IsmailJuma-zb5ni uzushi lazima ukemewe

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu nijalie na uislam wangu uu sina kundi nampend kila muislam uu uislam wa kina bachu ni mtihan wewe utapaa shkh

  • @CumaEmedi
    @CumaEmedi 6 วันที่ผ่านมา +1

    Buro unge kaa kimya kama aupo dunian unaongelea pesa ya lambi lambi vip. Kuhusu goal la mama mbo na.ulikuwa..kimyaaa au ulijui goal la mama😊

  • @شيخحمودالرواحي
    @شيخحمودالرواحي 6 วันที่ผ่านมา +5

    HAWA WOOTE WANGEKAMATWA NA KUPELEKA MAHAKAMANI KWANI WANAVUNJA AMANI NA AMANI NA UMOJA

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Upelekwe wewe usiokuwa na adabu jaahili kweli

    • @JABIRHAJI-t6n
      @JABIRHAJI-t6n 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wapeleke wewe

    • @rashidikhamisi4313
      @rashidikhamisi4313 5 วันที่ผ่านมา +1

      Mahakama yako labda

  • @saedyrajabu5449
    @saedyrajabu5449 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe bachu akilo zako na ndevu zako zipo Sawa sawa

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa hakiki shetani amepata wafuasi wake ndani ya jamii ya Waislamu.

  • @yusuphabdallah685
    @yusuphabdallah685 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nilianza kwa kuchukia lakini baada ya kuskiliza kwa makini nimeona yupo sahihi kwa alichokisema...ukiumia akili kwa kuskiliza alichosema siyo kutumia hisia zako

  • @Majidiwazil
    @Majidiwazil 6 วันที่ผ่านมา +4

    Ilanyinyi mawahabi Mimi binfsi nimtu wamaulidi lakini sijawahi kumuita wowite katika waisilamu kafiri nailikuwa nahuwa nyinyi nindugu zetu ila asaivi Imani yangu nanyinyi Ina Anza kuwa nashaka kitendo chakushukuru muislamu mwenzenu kafa kwakweli Mme nichosha kabis

    • @AymanMussa
      @AymanMussa 6 วันที่ผ่านมา +2

      hakika hivi muhmmad angekaa kimya kipi angekikosa

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@AymanMussa mawahabi huwa ni makafiri hata muasisi wao muhamedi ibun abdulwahabi aliwaua saana masharifu ibilisi yule aliyelaanika yuko motoni

    • @darajanida
      @darajanida 6 วันที่ผ่านมา

      ilikuwa hujawajuwa mawahabi shar zao ila usifikia kuwajufurisha lakin wana fitna sana hawa watu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi wote hapo ujinga ndio unawasumbua mkisoma mtalewa ukweli wa maneno ya m,bachu

    • @zuberiadam
      @zuberiadam 5 วันที่ผ่านมา +1

      someni dini ya allah na si kuwa waislamu majina tu

  • @alhajjmwinyi8579
    @alhajjmwinyi8579 4 วันที่ผ่านมา

    Bachu mwenyewe hana lolote analolijua kuhusu uisilamu wala wanaotoa comment zao

  • @Kaankaraz
    @Kaankaraz 6 วันที่ผ่านมา +8

    Amekufa akiwa mpotoshaji tunamuombea Allah amsamehe katika upotoshaji aliofanya

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 6 วันที่ผ่านมา +4

      hakupotosha mtu alinukuu kitabu taudhihu al,ahkami Cha albasamu ni mmoja katika masheh wa kiwahabi Sasa inamlaumu vipi abuu idi

    • @Kaankaraz
      @Kaankaraz 6 วันที่ผ่านมา +2

      @@jumafaki2891 namlaumu kwasababu alikua ni mjinga mbobevu na amekufundisha ujinga hadi wewe

    • @abuuzahra-fc2jg
      @abuuzahra-fc2jg 6 วันที่ผ่านมา +3

      ww namfano wako ni vipofu mmekunyw maji ya uwahabi hata muambiwe nn hamkubali waharibifu wakubw

    • @twahilhoja8103
      @twahilhoja8103 6 วันที่ผ่านมา +2

      Hyo unaemuongelea humfikii kwa elimu hata theruthi tatizo lenu la kujifunzia dini ukubwani na kuijua juu juu ndy inawapotosha nyny wavaa suruali vinjiwa

    • @SaidMadai
      @SaidMadai 6 วันที่ผ่านมา

      Upotoshaji n ule usofungaman n elimu y Din ye2 kiislam n upi aliokupotosha ww ambao haufungaman n dini chuki haikusaiidi 2taulizwa mbele y Allah

  • @AthumaniMahmoud
    @AthumaniMahmoud 6 วันที่ผ่านมา +4

    Kweli mawahabi wana siri kubwa nyuma yao allah atudhihirishia kwa uadui wao

    • @jumaajambiamusa8214
      @jumaajambiamusa8214 6 วันที่ผ่านมา

      aaemn ndug yangu mola ata wazalilisha

    • @MukhtarTwaha
      @MukhtarTwaha 5 วันที่ผ่านมา

      Ndo tunajua mambo yalio nyuma yapanzia kwama wahabi

    • @AminaIbrahim-qh2gn
      @AminaIbrahim-qh2gn 5 วันที่ผ่านมา +2

      Inawezekana wao ni bora zaidi kuliko we ulowapa jina lisilowastahiki, tafuta maana ya (wahabi) utajua vitayako n Allah

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Wanaouharibu uislaamu ni nyinyi wazushi mmepewa uyahudi mmeupokea mkadhani ni uislaam masufi nyny😂😂

  • @shisiaali8382
    @shisiaali8382 6 วันที่ผ่านมา +1

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun

  • @abujaffar2153
    @abujaffar2153 6 วันที่ผ่านมา +5

    Alaa kumbe mawahabi pia mwatumia takiyya?

  • @SuleimaniSalum-pg9th
    @SuleimaniSalum-pg9th 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe bachu acha unafiki wako na kuudhalilisha uislaam ujue mungu mwenyewe amechukua ahadi ya kuulinda uislaam jiandae na adhabu yake

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Mjinga we wewe umejuwaje llaah anamwandalia adhabu?mtu mshenzi utamjua tu

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hii darsa nzuri ila kwa upande mwingine kuna masufi hapa kijembe kimewapata na pande zote na yao mengi matusi,,,masufi someni sana na mkubali kufuata Sunnah Allah atawaongoza kwenye haki

    • @yuenbiao1777
      @yuenbiao1777 6 วันที่ผ่านมา

      Kwa kufurahia kufa mwislamu

    • @FatmaaMussa
      @FatmaaMussa 6 วันที่ผ่านมา +2

      Masufi wafate Sunna ya uwahabi au ya mtume km ni kufata uwahabi hawawezi ila kufata mafunzo ya mtume wanafata

    • @SaidMadai
      @SaidMadai 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@hassanWanjiku masufi lazima iwapate mn ni waislam n kigezo Chao mtume nyinyi iyo sunna y kufa anaetamka shahada y lailahaillawah Muhammad rasulullah n ambae 2meona kz yake nzur ktk uislam mkafurahia mtume wenu nani alowafundisha iyo sunna

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@yuenbiao1777 apana darsa ilikua nzuri sababu mumepewa tahadhari mjue mwishoni mnaweza feli mkidhani mko sawa then mfungiwe nje sababu ya bidaa zenu ogopeni Allah

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@FatmaaMussa hata mtu akakuita wahabi bado poa sababu abdulwahab alisomesha Sunnah safi ila masufi hawakupenda baada ya watu kufunguka akili

  • @MuuminSaid-m5f
    @MuuminSaid-m5f 5 วันที่ผ่านมา

    Mm nilikua nakusikiliza bachu kwahili umekosea bachu sio vizuri hata uyo mtume hakua na maneno kama haya jirekebishe

  • @hajraramadhani3892
    @hajraramadhani3892 5 วันที่ผ่านมา

    Ata wanawazuon wameitilafiana kimitazamo leo ushukuru kisa mitusamo na wote ni waislam innalilahi wainnailahirajiun

    • @zainabjumaa3055
      @zainabjumaa3055 5 วันที่ผ่านมา

      Kaustiri mwili wako kwanza dada kabla hujayaingilia mambo makubwa kama haya

  • @moralist6100
    @moralist6100 5 วันที่ผ่านมา +1

    ALLAH MTUKUFU AKUZIDISHIE SHEIKH MOHD BACHU NA AKULINDE A'MIYN YAA RABBAL A'LAMIYN

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 5 วันที่ผ่านมา

      @@moralist6100 Amzidishie Kwa maneno yake ya fitna? Au Amzidishie nini?

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      ​Wewe ndio fitna lakini hujitambui😢

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Allaah amzidishie kheri nyingi

    • @khadijaomar7096
      @khadijaomar7096 5 วันที่ผ่านมา +1

      Allah amzidishie elmu na uwezo wa kutuelimisha nimemuelewa alhamdullillah

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@HassanIddy-v1bmafna ni nyinyi yan munafurahiya kufa muislamu si ushenzi n kitugan huo

  • @SalihaMwezingo
    @SalihaMwezingo 5 วันที่ผ่านมา

    Sana

  • @alikassimali6753
    @alikassimali6753 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna mkamilifu sote tumesoma kwa kupitia mashekh, hatukumuona mtume wa nabii, tabiin wala tabi tabina, anae jua zaid ni Allah cha kuomba ni mwisho mwema

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yule bwana aliyezungumza vile alikuwa na wanafiki hakutegemea kama ingetoka mitandaoni

    • @cutelady7410
      @cutelady7410 4 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa 😂

  • @jumashaha3467
    @jumashaha3467 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa mtihani katika jamii ni sawa na yule alio furahiya Mmungu amuongoe katika haki

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 2 วันที่ผ่านมา

    Bachu Nawe umejichanganya

  • @FadhiliRajabu-ft1dw
    @FadhiliRajabu-ft1dw 5 วันที่ผ่านมา

    Allah amrehemu shekhe bachu wewe hunahekma kibri kimekujaa allah akusamehe

  • @HutiSwalehe
    @HutiSwalehe 5 วันที่ผ่านมา

    Hawa mawahabi bora ya mashia wallaah wamezitakasa nafsi zao kuwa wao ni wasafi nauchukia sana uwahabi wallaah

  • @kibedikamba7616
    @kibedikamba7616 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mtajibizana wenyewe kwa wenyewe mtatutia peponi na motoni mnajiona vijimungu vijidogo 😢

  • @JafarJabir-z1b
    @JafarJabir-z1b 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa maelezo ya bachu pia amefurahi kufa ABUU IDD

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 6 วันที่ผ่านมา +1

      Maelezo yake yanonesha hivyo Kwa kweli inasikitisha saaaaana

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Hata mm nimefurahi,ila nasema allaah amsamehe abu iddi

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 6 วันที่ผ่านมา +6

    KIDOGO KIDOGO ALLAH ATAWADHALILISHA MAWAHABI

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w 6 วันที่ผ่านมา +2

      Masufi kama wakristo

    • @darajanida
      @darajanida 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@KhalfaniFarisy-c3wmawahabi wao kama mayahudi

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@KhalfaniFarisy-c3wmawahabi kama ngurue tu 🐖

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Masufi sikama wakristo bali ni ukristo pure,fatilia ibadazao hazina tofauti na ukristo uyahudi,labda sala kidogo inakauwafadhali

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w 5 วันที่ผ่านมา

      @HassanIddy-v1b Sahihi

  • @issakimweri5895
    @issakimweri5895 6 วันที่ผ่านมา +3

    Naona wengi mnao toa maoni hamja msikiliza Bacho mpaka mwisho

    • @albalsam01
      @albalsam01 6 วันที่ผ่านมา +1

      1- MUUMBAJI
      2- KIUMBE
      ( Quraan yaingia wapi hapo..)
      ---> smhn lkn ndg
      QURAAN HAITUIFAHAMU 2

    • @albalsam01
      @albalsam01 6 วันที่ผ่านมา

      Ila usjal tuko pa1
      Nyio wote ni ndg ze2 ktk imani
      السلام عليكم

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Kweli watu wamedania katikati

  • @iysser
    @iysser 5 วันที่ผ่านมา

    Hawa wote matatizo tu, alieuliza swali na Anaejibu, maana ishaeleweka Ameshindwa kujibu, wazi lakini Jibu kufurahi sio Pahala pake...

  • @MuzammilMundu
    @MuzammilMundu 5 วันที่ผ่านมา

    Mwenzako kaomba msamaha kaona khatari iliokua inamsogelea Sasa wewe jiangalie unayoyasema na wewe ni mwisilamu

  • @shilolemwakizenga4204
    @shilolemwakizenga4204 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa hadithi gani mtumi alifurahi kwa kufa yoyote katika walimwengu imma wanaafiqi au makafiri ili kuthubutisha maneno haya insha'Allah

  • @hamisiswaleh7330
    @hamisiswaleh7330 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu shekh Bachu kiukweli yupo na Kibri kikubwa sna, haya maneno yake na huyo mwenye amefurahi hayana tafaut yoyote kwnza yeye ndio amezidisha kabisa

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 6 วันที่ผ่านมา +5

    HILI NALO NI ZEZETA TU
    HALINA ELIMU WALA AKILI KABISAA
    YAANI HUYU NI SAWA NA MBWA ANAYEWAKASHIFU SIMBA TU.

    • @HasaniSasi
      @HasaniSasi 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani mpaka ukoment si bora ufunge bakur lako kwako ingekuwa bora 😢

    • @MukhtarTwaha
      @MukhtarTwaha 5 วันที่ผ่านมา

      Inasikitisha sana

    • @Musa-c3u6t
      @Musa-c3u6t 5 วันที่ผ่านมา +1

      Ni ujinga huo unakusumbua ndo mana utaelewa ukitaka kwa idhn ya Allah
      Angalia maslah ya dini kwanza ktk kila unaloongea ,, kwani hujui mtume aliwah kataz watu wasiuawe kwasbb watu watasema Muhammad anaua paka watu wake watu wakaogopa kuingia ktk dini?? Japo walifaa wauawe lkn akaangalia maslah ktk dini

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni dalili ya makundi yaliopotea kama umeumia basi jinyonge tuone hasira zako zimekusaidia nn?

  • @abdisalan7515
    @abdisalan7515 5 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi mwahaabi una roho mpaya saana na ilimu ndogo nyiye hamna utuliifu na hishma mwahaabi waatu wa fitina mwahaabi una roho mpaya haadi unam farahia kifo cha mashekh na binadamu wanzenu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Fitna wanayo watu wa bida'a

  • @jamalijamali6820
    @jamalijamali6820 6 วันที่ผ่านมา +3

    ahsante sana bachu makhurafi kama hawajaelewa sisi tumeelewa

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 6 วันที่ผ่านมา

      Waislam tunashangaza na kutia aibu sana mashindano na ujuaji wakushindana bila kupeana ilmu ndo tumefika hapa Leo tulipo

    • @albalsam01
      @albalsam01 6 วันที่ผ่านมา +3

      السلام عليكم
      1- MUUMBAJI
      2- KIUMBE
      ( QURAAN ni kiumbe au muumbaji ..)
      Mimi nawapenda wote,
      QURAAN hatuifamu waisilamu wengi
      Tuko p1 ndg

    • @SuolFat
      @SuolFat 6 วันที่ผ่านมา

      Ivi nyie ni waislamu gani

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@FahadAbubakari-y3f Kwaivo unafurahia watu kuanzisha ibada za uzushi ambazo MTU wetu sw hakuzifundisha

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 6 วันที่ผ่านมา

      ​​@@SuolFatni waislamu wanaochukia bid,aa na ushirikina na uganga

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 6 วันที่ผ่านมา +1

    We bachu jasiri kweli unadoriki kusema mufti wa Tanzania ni Khurafi

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Nikhurafi kwani owongo?!ukhurafi sio tusi bali ni uzushi ktk dini,usishangae soma kwanza

  • @emmynoby9806
    @emmynoby9806 6 วันที่ผ่านมา

    Hamja elewa bachu kazungumza katika lugha kebehi anaunga mkono alifraha kufa Kwa shekh abuu idi rahamahu lwahhh ..... Ila tukumbuke abuu idi NI Muslim kama wlivo waislam wengin na ikhtilafu haziwi Sabab yakutoeshimiana wengi hajui kuhus ikhtilafu na misimamo huwa tunageuza kua UHASMA kitu ambacho sio swa Kwa dini yetu ata mass Haba Zama za mtume Muhammad s.a.w wali ikhtilfiana na mtume Muhammad s a.w akasawzisha IKHTILFU SIO UPOTOFU NA ILMU NI BAHARI

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hata mm namuungamkono bachu,

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtoto ni ufahamu wake mdogo sana ispokua huu ni mtihani toka zama za masahaba zilikuwepo tafauti ndogondogo huyu mtoto anajiona yeye hakuna alipokosea nihatari kubwa

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe unamatatizo ya hasadi,haya ongea wewe mwenye elimu kubwa!!

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 วันที่ผ่านมา +4

    mi niliwaambia bachu hawez kuuacha huu upumbavu,,hawezi..

  • @jaffarichimbuvu9409
    @jaffarichimbuvu9409 6 วันที่ผ่านมา +2

    Huna jipya tamta ire Allah aammpe qauli thabiti

  • @KarimMasandu
    @KarimMasandu 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kukuerewa bacho kunaitaji shuresana nakwasababu watu awakuzoea vitabu nasheria walizoea mashehewetu wanasemaje ndio shida sana

  • @saidirashid7552
    @saidirashid7552 6 วันที่ผ่านมา +1

    Elimu hii ndio kwanza inafika ila mtaelewa ikifika muda maneno ya dhahabu Sheikh bachu anaongea kama vile tulivyokua tunaswali viwanjani polisi walitupiga tukaonekana wahuni sasa viwanja vinajaa kila mji watu wameelewa somo na hili bado geni masikioni mwenu ila mtaelewa muda tu mtaelewa mtu anasema nawamuru malaika wamuombee fulani hii ni kufuru kabisa jeuri ya hali ya juu kabisa

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Kweli

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      nasi tutaje kufru.zenu.au

  • @allysaidshaban7734
    @allysaidshaban7734 2 วันที่ผ่านมา

    Kumsema mwana wa chuon ni sawa na kula nyama yenye sumu

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mawahabi wallah kweli leo na wachukia sasa koliko kafiri mana ni li kuwana dhani ninyi ni weslam lakini kumbe mayahudi

    • @yusuphabdallah685
      @yusuphabdallah685 6 วันที่ผ่านมา +1

      Soma tu dini bila mihemko

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 6 วันที่ผ่านมา +2

      Yaani makafiri wana afadhali kuliko Masalafi na Mawahabi

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe ujinga ndio unakusumbua,haya wafate hao makafiri marafikizako

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      @@HassanIddy-v1b wajinga ni.nyinyi mufurshiyao vifo vya.waidlam wrzenu

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 5 วันที่ผ่านมา

    Bachu kafa kaacha balaa duniani, Allah anijaalie kizazi chema.

  • @swalehahmad8947
    @swalehahmad8947 5 วันที่ผ่านมา

    HAYA MANENO NI SUMU MBAYA SANA NA NI MAOVU YA KITOSHA KUKUDHURU MWENYEWE DUNIANI NA KESHO AAKHERA YANI UNAROPOKA TU MTOTO MDOGO HUNA ILIMU WALA HIKMA WALA HATA UBINADAMU UMEKOSA HAYA SEMA UTAKALO FANYA UTAKALO LAKINI KUNA UKOMO WA KILA KITU ENDELEA TU NA GHAFLA ZAKO

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kijana wa bachu kwa elimu hii yako waitaji upigiwe takbir inne we ni zaidi ya maiti

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Hatushangai nyny makhurafi kuwachukia watu wa suna,soma kwanza ndio utajuwa ubaya wa hayo ulioyasema,

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mawahabi nimakafiri watu zindukeni kwani hamuoni mifano mnataka mfano gani zaidi ya huyu kenge nyie.

  • @FadhilaMwema
    @FadhilaMwema 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wenye akili wameelewa

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 5 วันที่ผ่านมา

    Hata wewe niwalewale ilatu umetumia njia nyingine, ndiomana unahangaika kujibu, ilatu hujataka mujulikane kwamba umawachukia na waislamu wenzenu kiasihicho, nabado mutazidi kujianika, yani mmeonyesha ilechuki ya kindakindaki mukaiweka hadharani, halafu yule SHEKH mnamchukiasana kwasabu hamumuwezi kwa hoja ndiomana mnashukuru, Yani nisawa na mtu ambae alikuwa amekukaba koo sasa kakuachia unapata kupumua, musijitakase kiasihicho ndugu zangu, wewe unaejiona mwema huenda ukawamuovu mbele ya Allah, na yule unaemuona muovo huenda akawa mwema mbele ya Allah maana sote tunatamka shahàda, tatizolenu nyinyi ni kujiona wasafi,

  • @saidisungu8492
    @saidisungu8492 6 วันที่ผ่านมา +5

    Bora ungekaa kimya hapo ndo umezidi kuharibu, uwahabi umeletwa kuwafarakanisha waislamu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 5 วันที่ผ่านมา

      Hapana, bida'a zimeletwa kuharibu uislam

  • @ShakuruZubeir
    @ShakuruZubeir 6 วันที่ผ่านมา +2

    Masha Allah