AZAM FC TV - Kipre Jr azungumzia goli lake la kwanza ligi kuu na furaha ya kisasi dhidi ya Prisons

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Tazama kipindi cha #AzamFCTV kikiwa kimesheheni habari za timu ya Azam FC ambapo wachezaji wa timu hiyo wazungumzia mechi ya kisasi dhidi ya Tanzania Prisons ambayo ilimalizika kwa Azam FC kuondoka na ushindi wa goli tatu.
    #AzamFCTV ni kila Jumanne saa 12:30 Jioni kupitia #AzamSports1HD

ความคิดเห็น • 3