Anastacia Muema - Ni Mungu Tu (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Anastacia Muema performing Ni Mungu Tu, composed by Fortune Shimanyi.
    Video directed by: Miwo BP
    Audio by: Rajo Productions
    Production Hse: Zidi Media Studios Nairobi, Kenya
    Gaffer: Alexis Kabeya
    Grip: Brian Wise
    Makeup: Marissa Make-Up Ke
    Dressed by: Prawo Collections
    Genre: Catholic Amapiano
    #anastaciamuema #MaishaYangu #kwayakatolikitza
    #NiMunguTu

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  8 หลายเดือนก่อน +29

    To use NI MUNGU TU as your SKIZA TUNE send “SKIZA 6985768” to 811

    • @santosclassic9935
      @santosclassic9935 8 หลายเดือนก่อน +5

      Mama barikiwa sana na BWANA hiii nyimbo nilisikia ikioigwa kwenye library wakati napita na Dala Dala nilisimama YEHOVA akutane na changamoto zako akujibia nimebarikiwa sana hakika ni MUNGU TU😊

    • @MaryKandogo
      @MaryKandogo 3 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉😊❤❤❤❤❤😊🎉

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +181

    Kwenye haya maisha na pia kwenye safari ya ukristo, tunapitia mambo mengi sana. Kuna wakati ubinadamu na ubinafsi unatutawala na kufikiria kwamba tukiwashusha wenzetu, nasi tutapanda ngazi kwenye maisha. Wimbo huu utufunze uvumilivu, upendo na undugu. Mungu anaweza kumuinua yeyote, wakati wowote, na mahali popote!!!!
    Show your love to your queen by sharing widely! Please SUBSCRIBE.🙏♥️

  • @carolinemukite4789
    @carolinemukite4789 4 หลายเดือนก่อน +21

    Nimepitia mambo mengi Saudi Arabia lakini Kwa kusali lozari na kuomba kupitia huu ,hakika ni mungu tuu na nikwa sababu ya uchochezi na mwenzangu,bt mungu ametenda lisilo wezekana

    • @annlemiso3383
      @annlemiso3383 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pole dadangu,Mungu atakupigania,endelea kuomba Rosary za mama Bikira Maria na pia Rosary za sala za Huruma(Divine mercy prayers)

  • @Annogechi123
    @Annogechi123 ปีที่แล้ว +20

    Hey sissy❤❤❤embrace every note, every lyric, and every emotion. Your unique voice has the power to touch souls and make the world listen. Keep shining, keep singing, and remember - the stage might be solo, but you're never alone in this journey. 🎤❤️"

    • @BelindaKerubo-vt1hf
      @BelindaKerubo-vt1hf ปีที่แล้ว +1

      Powerful
      Hii kizungu imeenda shule❤❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +2

      Woooow!!! This is so touching!!! Thanks alot my darling for this encouragement and for holding my hand!❤❤❤

    • @Annogechi123
      @Annogechi123 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@BelindaKerubo-vt1hfthanks sissy🎉❤

  • @jackieharriet6912
    @jackieharriet6912 ปีที่แล้ว +15

    Wow uplifting and inspiring 🎶. Kwa hakika ni mungu tu! What a powerful message. It’s a blessing indeed. Keep your light shining beautiful! Aminaaaaa❤️❤️

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +2

      Thankyou so so much my dear.
      I’m glad you love the message in the song. May the good Lord bless you and keep you safe!!❤❤❤

  • @SautiTamu
    @SautiTamu ปีที่แล้ว +2

    Melody, ujumbe na performance zote ziko on point, hongera sana⚡⚡⚡🎉🎉🎉🎉

  • @blessed_calvineddy
    @blessed_calvineddy 11 หลายเดือนก่อน +16

    I really love it!!! I also pray that may God also lead me all time! I've been suffering from Epilepsy for 7years but God has been with me! I'm a choir director, a singer and a songwriter! I believe I'll also reach this far

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +5

      Our good Lord who created you will see you through your sickness. May your sickness never make you tire from serving Him.
      May His will be done in you life. It shall be well my dear brother ❤❤❤❤

    • @blessed_calvineddy
      @blessed_calvineddy 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@anastaciamuemaThanks sana Siz! Kweli, NI MUNGU TU! And I've seen HIM! I just Believe a time is coming when we'll be together Serving CHRIST; and spreading His WORD! Thank you

    • @albanusmutua347
      @albanusmutua347 6 หลายเดือนก่อน

      Pole sana bro, everything is going to be well with you, and fulfill your dreams 🙏

  • @MUSAHANTHU
    @MUSAHANTHU 5 หลายเดือนก่อน +8

    Anastasia mungu akubariki kwa wimbo mzuri

  • @albanusmutua347
    @albanusmutua347 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hasidi hana sababu,ona tu vile mungu anakuanga mzuri, imagine hana akili kuna camera,na camera haiambiwi ati ngoja usiangalie 🤣🤣🤣kufanya kazi na wachawi, learn your lesson the hardest way 🤣

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 หลายเดือนก่อน +1

      Hii comment yako haieleweki bratha

  • @Mc_Kibonge_Mwepesi
    @Mc_Kibonge_Mwepesi ปีที่แล้ว +7

    Sasa wewe ulitegemea nn Shimanyi atunge!!! Anastacia Muema aimbe!!! Rajo afanye production!!!!!
    We call it Catholic Hits production team❤😂❤

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 ปีที่แล้ว +18

    Rafiki alinipa moyo,adui akafanya niongeze nguvu.
    Dunia ikanifundisha kila mtu ni muhimu ili nifanikiwe.Hii verse imenigusa sana.❤❤❤❤❤🙏🙏

  • @brianwalimbwa7033
    @brianwalimbwa7033 3 หลายเดือนก่อน +2

    Indeed Mungu Yuko na ni mungu tuu I love the song

  • @musaudennis3076
    @musaudennis3076 ปีที่แล้ว +15

    Entering the new week with this song on repeat mode till Friday ❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      I’m glad you love it!!!😊😊❤

  • @Francisca_mutinda
    @Francisca_mutinda ปีที่แล้ว +7

    Wow.....kwa kweli ni Mungu tu 🙏❤

  • @sethmakula5379
    @sethmakula5379 11 หลายเดือนก่อน +5

    This song has blessed my soul 🎉 Kweli ni Mungu tu 🙏 🙏

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 ปีที่แล้ว +1

    kwa kweli ni Mungu tu..Hatuna nguvu kabisa. Barikiwa Ann

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +2

      Amina. Atatuwezesha na tutashinda vita kwa uwezo wake!❤❤😊😊

  • @Praiseitela
    @Praiseitela 9 หลายเดือนก่อน +25

    "Kuna mtu anafikiri kufanikiwa ni kuwashusha wengine,Dunia itamfundisha kwamba kuna nguvu inamuinua yoyote " NI MUNGU TU yuko upande wangu🙏🙏

  • @rosekamau9223
    @rosekamau9223 4 หลายเดือนก่อน +2

    Anaimba.........nyimbo.........nzuri.❤🎉😂amen🙏 3:52

  • @rosemwaura9787
    @rosemwaura9787 11 หลายเดือนก่อน +5

    Congrats our queen. The song trending in Kenya too...#Radio Maria Kenya,Murang'a. What an inspiring song❤. Feel like crying, its so real. NI MUNGU TU!!! Keep shinning girl but always let The Name of The LORD be glorified.

  • @margaretochieng808
    @margaretochieng808 3 หลายเดือนก่อน +2

    With humility submission Obdience and faithful hearts Let US offer to the LORD our Rock for everything

  • @virginianjagi6789
    @virginianjagi6789 11 หลายเดือนก่อน +4

    The message from this song is inspiring , may God bless Anastasia Muema,, Ni Mungu tu Yuko upande wetu❤❤

  • @alfredcheruiyot7899
    @alfredcheruiyot7899 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you for such a powerful song,I 'm blessed.

  • @leonardkelya1127
    @leonardkelya1127 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu anaweza kumuinua yeyote bila kujali Ila binadamu yuko tiari kukufanyia ubaya ili afanikiwe mungu atusaidie kupitia wimbo huu ukaguse mioyo ya watu barikiwa sana

  • @conybebkadaz1339
    @conybebkadaz1339 5 หลายเดือนก่อน +2

    It's cute, a blessing, motivational song,,, it's dancing too,,, yaaanii don't know what to say but God bless 🙏🙏

  • @veronicamutwa507
    @veronicamutwa507 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli ni mungu tu

  • @wambuiirene
    @wambuiirene 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nice song,pitia Kwa song zangu pia

  • @dorinejelaakandie6270
    @dorinejelaakandie6270 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa kweli ni Mungu tu kwa kua hii maisha ya ukristo yana majaribu yanayozidi uwezo wetu ilhali Mungu anatuwezesha kuyashinda ❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      Amina🙏.
      Mawazo ya Mungu wetu sio kama mawazo yetu.
      Hakika NI MUNGU TU!!♥️🥳

    • @catherinekarimi9993
      @catherinekarimi9993 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@anastaciamuema❤❤❤❤

  • @GladysMutheu-te2ez
    @GladysMutheu-te2ez 14 วันที่ผ่านมา +1

    I feel so blessed... May God continue to use you as instrument......and proclaim him through songs

  • @maingomorris4489
    @maingomorris4489 ปีที่แล้ว +6

    God never disapoints same as you👏

  • @EpifaniBekam
    @EpifaniBekam 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wakati nikiwa nasikiliza nyimbo zako nilikuwa najiuliza nakosa jibu ni wimbo upi utakuja kuvunja record ya shukrani yangu jibu nimelipata NI MUNGU TU kwenye Kila unapo achia wimbo nakupongeza lakini Kwa huu wimbo no 1

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน

      Nafurahi sana kusoma hii feedback kutoka kwako. Asante sana. This means alot to me!!
      Ubarikiwe sana mpendwa!🥰♥️🙏🙏

  • @leonardkelya1127
    @leonardkelya1127 5 หลายเดือนก่อน +3

    Imegusa moyo barikiwa Sana 🙏🙏🙏

  • @kwekalucasferan
    @kwekalucasferan 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow. Hakika Ni Mungu Tu...
    Asante Miss Anne, kwa wimbo mzuri wenye ujumbe Amazing, Video Creative... Shimanyi ni Moto... Be blessed Team

  • @WillisOsena
    @WillisOsena 11 หลายเดือนก่อน +4

    With God by your side nothing is impossible, all in all is possible with him and there's not a thing he can't accomplish.. 💯 💯 💯 🔥 🕊 ✨ ✨ 🌟

  • @MbopeMwakanosya
    @MbopeMwakanosya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina!! ❤!! In addition to that "Amen" I just want you to know that u r soooo cute, my word!! U don't have to add anything artificial!! U r so buiriful! U r blest indeed!! U can only plat your hair if u want, that's all, no more!!

  • @lizzymuthui1681
    @lizzymuthui1681 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wow nice song nimeona beshte yangu Sarah ❤❤

  • @nicodemusmuneeni7440
    @nicodemusmuneeni7440 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahisi unanibariki kwa uwimbaji wako. Mungu azidi kubariki kazi yake kupitia uimbaji wako. Asante

  • @Arati3
    @Arati3 ปีที่แล้ว +2

    wonderful ,,,,,,,i love this kwanza the message so encouraging akii NI MUNGU TU❤❤🧡🧡🧡🧡

  • @FrancisMuia-zg5zg
    @FrancisMuia-zg5zg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kila ninapousukiliza wimbo huu napata kubarikiwa.Naweza pata nota?

  • @2kstylist846
    @2kstylist846 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ni Mwaiitu-wa-Muema......
    Wa Muema

  • @LeonardMutethia
    @LeonardMutethia หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako n baraka kwangu .Asante mungu akuongoze.

  • @rahabmacharia5020
    @rahabmacharia5020 5 หลายเดือนก่อน +3

    🎉wow this song is 🔥💯💯🎉🎉

  • @faustinezanzibar651
    @faustinezanzibar651 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nice song. Esta canción va a ser muy especial para muchas personas.

  • @Amechitv
    @Amechitv ปีที่แล้ว +4

    This song is dedicate to me what i went through few days ago at my place of work, wickedness in some people.

  • @ceciliawanjiku6327
    @ceciliawanjiku6327 11 หลายเดือนก่อน +2

    wow such a sweet song ,,,,,,sweet voiceee....very relaxing...you are a blessing and you are blessed. I am so proud of you🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mercykagichu
    @mercykagichu ปีที่แล้ว +4

    'Ni Mungu tu' hii ni masterpiece 🔥🔥🔥 the song, message, the script, the outfit and of course the voices all at 💯 keep shining

  • @MAXWELWANYAMA
    @MAXWELWANYAMA 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice song❤,it is very encouraging, good work momma

  • @HONEDWINCHEBETBARAKA
    @HONEDWINCHEBETBARAKA 10 หลายเดือนก่อน +3

    Produce one for Harusi mimi naitwa Bwana Harusi 😂

    • @eunicesimion4890
      @eunicesimion4890 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂 naona comment yako imefanyiwa kazi.

  • @franmdleleni6520
    @franmdleleni6520 4 หลายเดือนก่อน +2

    I really love this song. I feel blessed

  • @Mwalimutito
    @Mwalimutito ปีที่แล้ว +4

    Finally 🎉🎉🎉
    So amazing Annie, Congratulations once more ❤

  • @DinnaMatipa
    @DinnaMatipa 9 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU ni wetu sote hutoa kwa wakati unaostahili,kwa akili za binadamu hudharau wengine bila kujua kuwa kila mtu ana kesho yake

  • @michaelmaluni2327
    @michaelmaluni2327 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations. Atlong last it's here. Athimwa muno kelitu

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +1

      Thankyou so much Michael🙏🙏♥️♥️

    • @michaelmaluni2327
      @michaelmaluni2327 ปีที่แล้ว

      @@anastaciamuema most welcome Mwiituaia. May Almighty God grant you special graces

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 หลายเดือนก่อน +1

    Incredible, keep moving, teach the world through your smooth sweet songs.

  • @SofiaMafuta-wh1ov
    @SofiaMafuta-wh1ov 10 หลายเดือนก่อน +4

    Shine shine my lady it's your appointed time, praise God the giver of super talents and blessings

  • @MasikoHillary
    @MasikoHillary 4 หลายเดือนก่อน +2

    God bless You Queen.This song is good

  • @nancymbithe5736
    @nancymbithe5736 ปีที่แล้ว +5

    Wow!!!This song is so educative and soul touching too🤗🥰
    Your talented gift has really touched many lifes ✨
    Congratulations my sister in Christ 🥳👏💕 Always proud of you Ann

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +2

      Thankyou so much Nancy. We thank God for His grace and blessings!❤😊

  • @gladnesssanga1601
    @gladnesssanga1601 4 หลายเดือนก่อน +2

    kila nikisikiliza wimbo huu nasikia nguvu za MUNGU zikishukia na kunipeleka level nyingine hongera Sana dada Anastacia Kaz yako ni njema Sana mbele za MUNGU, MUNGU aendelea kuachilia uvuvio katika wimbo huu ili kila asikilizaye wimbo huu akutane na nguvu za MUNGU moja kwa moja

  • @lopusingiromoses6109
    @lopusingiromoses6109 ปีที่แล้ว +4

    Finally we are here again,thank you queen 👑👑👑

  • @Fransasisi-pz3gp
    @Fransasisi-pz3gp 2 หลายเดือนก่อน +1

    The best. Exelent Anastacia Muema. Very good💗💗💗👍👍👍

  • @stellamarisndenge7353
    @stellamarisndenge7353 ปีที่แล้ว +5

    Waaaaoh, what a blessing this song is.
    Girl you never disappoint

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      I’m glad you love it my dear❤.
      God bless you too🎉🎉❤❤

  • @leonardkelya1127
    @leonardkelya1127 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu yupo tuu

  • @JoanAkinyi
    @JoanAkinyi 11 หลายเดือนก่อน +3

    If God be for us, who can be against us?
    Job well done, Anastacia. More grace to you 🙏🏿

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน

      Amen🙏
      Thankyou so much Joan for watching. God bless you!♥️

  • @kingoramichael2233
    @kingoramichael2233 10 หลายเดือนก่อน +2

    That's a master piece. Keep up good work. Barake tele kutoka Kwa Mungu.

  • @bensonmbithuka3951
    @bensonmbithuka3951 11 หลายเดือนก่อน +2

    We appreciate Sistee kweli mafanikio ni mungu huyaleta❤❤❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli. Amina🙏🙏🥰♥️

  • @charlesngalya4525
    @charlesngalya4525 ปีที่แล้ว +2

    Madam hongera sana mwenyezi mungu akubariki sana endelea kutuinjilisha Kwa nyimbo safi❤

  • @lazarusmulwa6128
    @lazarusmulwa6128 ปีที่แล้ว +3

    Kaliii sanaaa 🥳❤

  • @AnnNdinda-ms5sv
    @AnnNdinda-ms5sv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Akika ni mungu tuzindi kumuamini

  • @victorianjeri7728
    @victorianjeri7728 11 หลายเดือนก่อน +4

    Anastacia never disappoints 🔥🔥

  • @EverlineWegesa
    @EverlineWegesa 5 หลายเดือนก่อน +2

    God almighty fight for us day en night for the weak😢😢🙏🙏🙏🤲🤲

  • @JohnMumo-cp7vs
    @JohnMumo-cp7vs ปีที่แล้ว +3

    Wa kwaza mm hapa wimbo mzuri sana barikiwa na uwedelee hivyohivyo siz ukona upako

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +2

      Amina!!! Ubarikiwe sana❤

    • @JohnMumo-cp7vs
      @JohnMumo-cp7vs ปีที่แล้ว

      @anastaciamuema amna now I will be happy to see you performing the song live

    • @JohnMumo-cp7vs
      @JohnMumo-cp7vs ปีที่แล้ว

      Well done 👏

  • @paciekasasa4062
    @paciekasasa4062 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anaweza kumuinua yeyote wakati wowote na mahali popote tu🙏 wimbo umeweza kunipa moyo na kunizidishia uvumilivu kwa kila jambo katika haya maisha❤ Annie Mungu akujalie zaidi na zaidi tunajifunza mengi kupitia uinjilishaji wako 😊 pokea maua yako 🌹🌹🌹

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน

      Nafurahi sana nikipata hii feedback kutoka kwako. Mungu azidi kukubariki na kukuonekania♥️♥️

  • @MasikoHillary
    @MasikoHillary ปีที่แล้ว +2

    Congratulations Queen.The song is wao

  • @wambuitasha4728
    @wambuitasha4728 11 หลายเดือนก่อน +2

    God bless u alot.the song has revived my life..many yrs I feel Love special thanks to ms mesuswa#

  • @DenisKKibet
    @DenisKKibet 11 หลายเดือนก่อน +2

    Talented singing with a lot of teaching....❤❤❤❤

  • @mercymurugimbogo8672
    @mercymurugimbogo8672 4 หลายเดือนก่อน +2

    A touching song😊..n nice voice ❤

  • @trynessmhagama2
    @trynessmhagama2 ปีที่แล้ว +3

    What a nice song be blessed dear❤❤

  • @elizabethochieng6594
    @elizabethochieng6594 หลายเดือนก่อน +1

    Heko ! Wimbo mtamu sana , mbarikiwe sana !

  • @gebbygodwin5431
    @gebbygodwin5431 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤I love the song it's really inspiring

  • @monicahmutuku3305
    @monicahmutuku3305 ปีที่แล้ว +1

    Who's organist lovely . Mungu tu Wa wote. I'm blessed

  • @vincentnyaenya8433
    @vincentnyaenya8433 ปีที่แล้ว +3

    Outstanding 👏👏👏

  • @antoniavicent2827
    @antoniavicent2827 ปีที่แล้ว +2

    Finally 🔥Wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri congratulations 👏👏❤❤💯

  • @monie739
    @monie739 ปีที่แล้ว +3

    Wow

  • @ephraimkiboi
    @ephraimkiboi 4 หลายเดือนก่อน +2

    It bothers me that she didn't check the recycle bin ...

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  4 หลายเดือนก่อน +2

      He deleted twice. The second time deletion was in the recycle bin.😢😅

  • @vickynash372
    @vickynash372 ปีที่แล้ว +3

    Great piece that nourishes our well being.. Truly God is the answer to every persons wellness. ❤❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      I’m glad you love it.
      Be blessed too Ma’♥️♥️

  • @christinenyirarukundo6343
    @christinenyirarukundo6343 5 หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE SANA

  • @eltonmziti94
    @eltonmziti94 ปีที่แล้ว +2

    Hi Anastacia well done, Namibia approved ❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  ปีที่แล้ว +2

      Thankyou so much and welcome to this big family!!❤❤❤

  • @AgathaMuthee-b5s
    @AgathaMuthee-b5s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ann Sauti yako uninyima usingizi, how can i reach there.

  • @leoodongo690
    @leoodongo690 ปีที่แล้ว +2

    You never disappoint. Congratulations

  • @margaretochieng808
    @margaretochieng808 3 หลายเดือนก่อน +1

    Our Discipleship will be clearly open to All souls with the right Motives and applications to one another

  • @okechasgriffins770
    @okechasgriffins770 ปีที่แล้ว +3

    NI MUNGU TU🥳 sinking deep inside my veins, I'm loving this piece

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      I’m glad you love it! Blessings upon you!!😌🤗🥰🥰

  • @jacintankatha5310
    @jacintankatha5310 6 หลายเดือนก่อน +1

    I watch severely to get that message deep in my heart and l feel blessed and know every person in your life is important no matter good or bad can be part of your blessings. Amen and be blessed sister Anastasia 💓

  • @rosemarynthenya9567
    @rosemarynthenya9567 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wow❤❤❤

  • @2kstylist846
    @2kstylist846 11 หลายเดือนก่อน +1

    This song reminds me about the book am writing...AKIKA NI MUNGU 2

  • @marymimina
    @marymimina ปีที่แล้ว +2

    Finally ❤❤❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏🥰🥰🥰

  • @PATRICKMSWAZI
    @PATRICKMSWAZI 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunasali kwa kupitia nyimbo zako dada...ubarikiwe sana et😊😊

  • @johnengochu7868
    @johnengochu7868 ปีที่แล้ว +3

    Wow ! God is great!
    What a wonderful day for me!
    Am playing it repeatedly for the message to sink deep into my mind.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      Wow!! I’m so Glad you enjoyed it♥️♥️
      Be blessed!!!

    • @johnengochu7868
      @johnengochu7868 11 หลายเดือนก่อน

  • @JeanKambale-te9nj
    @JeanKambale-te9nj 2 หลายเดือนก่อน +1

    AAA bila mungu kwakweli Sisi hatuwezi kitu

  • @marymimina
    @marymimina ปีที่แล้ว +6

    What a beautiful piece of advice. Out There are those who are always wishing others to fall for them to rise but they forget it is God that is in charge of everything. They believe that they are better than you and think they hold keys to your success but get ashamed when they see you rise above their expectations. Keep God first and all shall be well for if you abide in Him, nothing can stop you in this world. Keep moving at God's speed🙏🏻💃💃💃💃

  • @Isaac-le7vq
    @Isaac-le7vq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Merci beaucoup mungu akubariki kwa wimbo mtamu

  • @Ndanu-w9g
    @Ndanu-w9g ปีที่แล้ว +2

    The outfit is 💯. Nice song

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  11 หลายเดือนก่อน +1

      Thankyou so much❤❤

  • @oderojakasule9737
    @oderojakasule9737 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante hakika ni mungu tu ubarikiwe sana