Huyo dada alikua anamdharau sana uyo dogo mwenye kigugumiz Nahisi alikua anamla tu pesa zake akizani anamkomoa Mwenzie alikua na mapenzi ya dhati kwake Huyo dada malipo kayapata😢😢 Mungu alikua upande wa mwenye kigugumizi kwa sababu ya unyonge wake❤❤❤❤
Hii mbuzi mngeichoma sindano ya usingizii mfanye vipimo mmalize mana hapo kuna mawili wenda binti ndo kawaambukiza wenzake alikua nao kitambo kaamua kugawa upendo ila inauma sanaa😢😢😢
Yani Minsuly🤜 ila ungejua mapema angepimwa JUMA kwanza sababu alikua anabisha kupima kwa maana yeye alikua anajua afia yake .na ndiomana kakimbia hakupatikana baada ya wa2 kupimwa
Tamaa sinzur wallahi Kwan kutulia na mwanaum mmoj utapungukiw na nin yaallah zid kunipa hekma niyashinde ya dunia Ila monsul Kaka Kaz nzur Allah akueke
Yule mfupi ndio ametoa kwa wote maana huyu mwenye t-shirt nyekundu angekuwa anajua anao asingepima damu na ameambiwa anapimwa damu ile yule kafupi ndio kameuwa wenzie nashukuru MUNGU huyo mwenye kigugumizi kama mdogo angu hana 🙏🙏🥳🥳
Haoooo ni watatu walio jitokeza kwenye ligi ya mimba bado walio nyuma ya ya pazia 😢😢duuuuh! Huu ni uuwaji jmn na hayo ndo malipo tupunguze kuendekeza dhiki wanawake wenzang zote izo ni njaa za vihela so sad uwiiiiih😢😢😢
Huyo alokumbia ndio anajua yuko vipi sasa hio ndio inaitwa tugawane umasikini😂😂😂😂,,muwasaidie waanze dawa,,hata huyo mwenye shat ya damu ya mzee mmmh hajautoa kwa huyu mdada
Ndo aache umalaya watu mnakusanya wanaume wote watatu mpka wengine tunakosa wanaume acha akilambe Ukimwi mimba pole yake Sasa anamlaumu mansory ili iwejee angejuaje bila mansory 😢😢😢
Mtulie asa ue unawanaume watatu na hao wanaume nao Wana wapenz wao ten na hao wapenz wao wanawapenz wao pia yaan ni mzunguko2 na uskute huo ukimw umetoka mbali San mapenz yakiwashinda tulieni muwe ata singo so dhambi
Hapana uyo alieathirika anamlaumu shogake.kwann alikua anamsapoti kumlia hela.uyo kingwendu ili hali ana ukimwi .ndo anasema ss mm najuaje.kiufupi ni hasira na majuto maana kasema hata ww rafikiyangu utaniacha..na ndo ukweli ulippo..😢😢😢
Pole bro @monsul Kwa kazi ngumu uliyonayo MUNGU AKIBARIKI🙏
Nimefulai uyu mwenye kigugumizi hana 🙌🙌🙌Alhamdullah 🙏
Ata mm nimefrah san
Hata mimi jmni daah
Maananahekima sana
insha'Allah mungu 8
Ah namiye nimefurahi ndugu yangu niliposikia yeye hana
Nimefurah Sana mwenye kigugumizi alivyokuwa Hana Mungu anajua kutetea wanyongee🥺🥺🙏🙏🙏
Mm nimefurahia sana mwenyewe kigugumis Hana mungu Asante sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Afu ako mpole sanaaa kheri mungu kamuepusha🙏
Mungu amuepushe
Kwakweli
Nikweri
Asante Mungu kwaajili ya kumlinda huyu kaka mwenye kigugumizi maan ana busara sana
Huyo dada alikua anamdharau sana uyo dogo mwenye kigugumiz
Nahisi alikua anamla tu pesa zake akizani anamkomoa
Mwenzie alikua na mapenzi ya dhati kwake
Huyo dada malipo kayapata😢😢
Mungu alikua upande wa mwenye kigugumizi kwa sababu ya unyonge wake❤❤❤❤
@@HamisiMbogo-d9s Aaah kwl nimeamin malipo ni hapa hapa duniani 🙌
Nimepata kitu ambacho ckuwahi kujifunza apo awali duuuh nimepata kitu here we are 😢😢😢😢
Hii story wallah imenifunza sna...nipo makini sana... Allah atuepushie soteni hili janga
Amina
Ameeni
Thanks God uyu mwenye kigugumizi Ana wow🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😢toka sehemu ya kwanza adi hii kwakwli nmejifunza kitu 😢😢
Hii mbuzi mngeichoma sindano ya usingizii mfanye vipimo mmalize mana hapo kuna mawili wenda binti ndo kawaambukiza wenzake alikua nao kitambo kaamua kugawa upendo ila inauma sanaa😢😢😢
Dah asant kk kwa mlejesho wote mh pole yake huyo dada Allah nilinde mm Amiiiiin 🤲
Nimechukuruhu uyo kaka mwenye kigugumizi hana ukimwi mungu aendeleee kumlindaa
Kajamaa kariko waambukiza kamegoma kupima kamekimbia 😂😂😂😂 Nimecheka sana
Daaah angenipenda uyo kwenye kigugmizi jmn duh😢
Pole sana mungu mwema kamuepusha mwanaume alie kuwa wa ndoto yake tamaa limemponza
Alekimbia na kukataa kupima mungu anamwona ila nashukuru mungu mwenye kigugumiz hana
Anajifanya mkali wakat yy ndio kamuambukiza mwenzie, wanamuonea tu kaka wawatu😢😢
Faida hyo ya umalaya😂😂. Namushukulu mungu mwenye kigugumiz kapona😢😢
Ukisikia mungu amtupi mjaawake mjaamwenyewe ndyo uyo mwenye ki gugumizi afu umtafute umuoji ajawai kulala nae au
Yaa Allah muepushe na huo ugonjwa kaka mwenye kigugumiz ❤❤🎉🎉
❤❤❤ Bora mungu kamuona Hy kaka mwenye kigugumizi
Aliyewaambukiza ni yule aliyeondoka bila kupima kwa nn akatae
Daaah jmn 😢😢tujifunze wadad apa mwenzet huy kapat pigo kubw sana jmn
Akini si uliona majibu yake mwanzo😅
@@isdoryeleneusy7790 😂😂 niliona ndy
Ndio vzr Hy xx bola yule mkaka mpole Hana ahxante mungu
Nimefurahi sana tena sanaaa kijana amempenda Binti halafu yey anazingua mademu mnikome mm sitaki kwanza umri wangu bado
Yaa ukimwi moja mimba moja wanaume watatu kaka mwenye kigugumizi hata Alhamdulillah huyu wapili kupima anao ila hata afya yake inasema
Ndio vzr Hy xx bola yule mkaka mpole Hana ahxante mungu 14:32
Unashangaa kwnn shoga ake na yeye analia kumbe analia na mengi 😂😂😂
Yaani kama ulikua kwenye mawazo yangu 😂😂 atakua kwenye kutumwa akashawishika au😅
🤣🤣🤣
Daaa ila monsuly upewe mahuwa yako kwa kazi kubwa unayo hifanya
🙏💙
@@monsulydu! Hapo ndotumepata funzo wadad
@@monsuly mambo napenda bipindi vyako Niko murundi
Kile kijamaa kumbe kweli kigonjwa cha shat la damu ya mzeee😢😢😢
Hata sura yake inaonyesha hana Nuru kabisa, uwii
Amekonda Sana hata hv
Duuuuhhh kumbe ni kweli
😅😅😅😅😅😅
Ako kafupi ndio shida uyo hawez kuwa mkali ivo kuhusu kupima😂😂
Ila so kwa ubaya🙏🙏 hii issue isingefika mtandaon jmn
Daaah 😢😢 nimefuatilia mwanzo mwisho daah bora mwanetu Anderson hanaa
kabisaaa inashtua sana
Mbn bint choz alitoki nyie mnaionaje hiyo kitaalam😅😅😅
broo Mungu akujalie uzimaa ilii uendelee kutoaa elimu kwa watu wote na polee kwa changamoto unazopitiaa kaka
Mungu hamtupi mja wake ahsante mungu huyu kaka mpole ni mzima wanawake tujifunzeni jmn hkn ujanja wowote kutembea na wanaume wengi
Aliyesema hawajui ndo wametoka sale daaaah 😢😢😢mungu amlinde kaka wa kigugumizi
Yani Minsuly🤜 ila ungejua mapema angepimwa JUMA kwanza sababu alikua anabisha kupima kwa maana yeye alikua anajua afia yake .na ndiomana kakimbia hakupatikana baada ya wa2 kupimwa
Wadada musikiye umalaya tu kuoga Aaaaaah 😏🥹🥹
Alhamdulillah huyo kaka mwenye kiguguminzi hana Allah Kbar
Duuuh hiii kali😂😂😂😂😂😂 mambo ya dawa tena🤐🤐🤐🤐🤐🤐
daaaah nimelia pih nmejifunza jmn kuwa n wanaume weng au wanawake weng syo ujanjaaa
Ndugu zake na uyo dada wawe makini sana naye kbs anaweza kujifanya kitu kibaya kwa uhongahaji wake hapo maisha eti imeharibika muwe makini naye😭😭😭
Uyu wa shat lwnkundu ht ukimuangakia tu unajuwa km anao na anajijuwa uyu kaka km anao
Tamaa sinzur wallahi Kwan kutulia na mwanaum mmoj utapungukiw na nin yaallah zid kunipa hekma niyashinde ya dunia Ila monsul Kaka Kaz nzur Allah akueke
Kutulia na mwanaume mom ja sio shida shida namwanaume katulia namm mmoja 🙏🙏🙏
Yule mfupi ndio ametoa kwa wote maana huyu mwenye t-shirt nyekundu angekuwa anajua anao asingepima damu na ameambiwa anapimwa damu ile yule kafupi ndio kameuwa wenzie nashukuru MUNGU huyo mwenye kigugumizi kama mdogo angu hana 🙏🙏🥳🥳
Nyiee yulee mwinginee ndo anao mbn kakimbia😅🙌🙌
Haoooo ni watatu walio jitokeza kwenye ligi ya mimba bado walio nyuma ya ya pazia 😢😢duuuuh! Huu ni uuwaji jmn na hayo ndo malipo tupunguze kuendekeza dhiki wanawake wenzang zote izo ni njaa za vihela so sad uwiiiiih😢😢😢
Wanavyo sema malipo ni apa apa duniani ulijua ni uko a hell au tulia dawa ikuingie😢😢😢
Eeh Mungu haya maisha daah kwakweli tutulie tamaa sio zuri
Leo nimecomment nimelike nimesub---- na kushare na sijawahi
kuwa na wanaume wengi sio sifa wala kuwa na wanawake wengi sio sifa so bora moja kwa afya
Inakuuma nn ww Malaya tuliza komwe utumie dawa umtoe mwanao Bs utakuta huyo ajkp mbn kale kafup kamekimbia😂😂😂 ila sorrrrry
Huyo alokumbia ndio anajua yuko vipi sasa hio ndio inaitwa tugawane umasikini😂😂😂😂,,muwasaidie waanze dawa,,hata huyo mwenye shat ya damu ya mzee mmmh hajautoa kwa huyu mdada
Ila mara ya kwanza kabisa binti alisema hawajui wao wengine imekuaje baada ya kupata majib 😮 anawafaham 😮😢
Wadada jifunzeni kitu jamani mmmmhh 😢😢😢😢😢
Mh jamani tuwe tu tunatulia na mwanaume Moja hii imetupa funzo kubwa mungu atuepushie
Acheni kuluka Luka umependwa tulia ufanye familia ww unaanza kuluka Luka poleni 😢
Daaaah imeniliza monsoly pole Broo vijana vijana mabinti jmn😢😢😢😢😢 jmn naimani wote mliotizama mmepata la kujifunza 😢basi inatosha
jamaa aliegomaa kupimaa ndiee alieangushaa jangaa kwa wenzakeee😭😭😭
Kile kijamaa kimekimbia ndio chenye kimeambukiza huyo dem pamoja na huyu mwenye shati nyekundu
Thanks God mi mwenye kigugumizi xina...
Ngori oe💯 Good work 👏
Natumai wanawake kwa wanaume Tumejifunza kitu upunguze tamaa jmn😢😢😢
Daaaah tutulie jaman pole sanaa dada nimejifunza kitu😢😢
Wewe endelea kufanga tu
@@rajabhassan5665 😳
😳😳@@rajabhassan5665
Yule jamaaa mfup mkorof aliekimbia yule ndo kawabless wenzake.. Na ndo Maan akagoma 7b alikua anajua Kila kitu aaan.. So sad
😔
Ndo aache umalaya watu mnakusanya wanaume wote watatu mpka wengine tunakosa wanaume acha akilambe
Ukimwi mimba pole yake
Sasa anamlaumu mansory ili iwejee angejuaje bila mansory 😢😢😢
Kwaiyo wote na uyo shonga Yake wamahasilika au mbona amjatufamisha Vzur jamani 😢😢😢
huy mweny kingungumiz huend anagroup o ndomaan hajaathirik
😢😢😢dah pole sana dadaang nimejifunza kitu kikubwa sana
Mtulie asa ue unawanaume watatu na hao wanaume nao Wana wapenz wao ten na hao wapenz wao wanawapenz wao pia yaan ni mzunguko2 na uskute huo ukimw umetoka mbali San mapenz yakiwashinda tulieni muwe ata singo so dhambi
Ndo mkome utakuta mdada unakuwa na wanaume wengi wa nini pumbavu sana,
Daaah ata mim naumia sana😭😭😭😭
Monsuly nataka kuongea nawew na dadako kunakitu nataka kuwaambia pls👏
Tafadhali usipuuze Hii mesages
Daaah monsur unakz sana kweny kaz zako
Yan pole yake
Aah isio kweli et m2 kajua anaugonjwa afu et anasema nani atakae nipenda Mimi iv uwo ni mda wakuwaza ki2 kama icho hii sidhan kama ni kweli
Yule alokataa kupima. Ndo kawpa ugonjwa wenzakr
Nais anatumia dawa kabsa yule
Wallah waambie vijan maradhi ya metapakaa duuh mtihan
Mbn wotebmnamtetea huyu mweny kigugumizi?😅
Ungebaki na yule mwenye kigugumizi haya yasingetokea😢
Kwani wenzangu nyie hamuogopi kutanuliwa uchi afu badaye unakuwa unaona wanaume wanakuwa kama wana vibamia 😂😂😂😂😂 ?
Yule. Aliekataa. Kupima. Ndio. Mgonjwa. Anajua. Afya. Yake. Nyau. Mkubwa. 🙌🙌
Ndio nikweli kwanini akimbie
Yaaan kudet na wanaume wengi sio ujanja ni kujiua wenyewe mabinti tujifunze kitu hapa☹️☹️
Kabisa my nibola wakuone mjinga kuliko likukute jambo Kama ili😢😢
Yaaan daaah
Kwani huyo mfupi kakimbia ama ndo anaua wenzie 😂
Ata kuchukua Sample ya damu yako aone kama inaendana na ya mtoto 😂😂😂😂…Ila MO
Si ndiooo😅😅😅
Name of the moviee😢😢😢😢😢
Oya nabakisha mmoja mamae
Asaapo kilamtu anamlaumu mwezie duu😢
Huy mwenye nyekundu ndokampa mwenzio sunaona jinsi alivyo hana hata mashaka anaigiza
Kueni makini na huyu mwana mke anaweza kujiua alafu yule alo Kimbia ndo anajua nini kinaendelea
Wanaume wamezidi😂😂 acha wapate tu wafe nao
Uyo Camera man anajuakushut au mbona atulii na iyo Camera bhna yan ata sioni naona miguu tu ya watu
Da! Vijana tujifunze tunajisahau sana😢ukimwi upo
Nilijua tu Hy kk Hana na ndo maana yule mwenye shati jekundu ndo maana aliuliza kupima nini
Hirudiwe 😂😂😂 tena faida ya kutaka 💸💸💸nyingi kwa wakati mchache wanawake tafuteni kz funzo hili
😢😢😢inahuzunisha mno sas kwn hao wote wadad wameathirik au duuu sijaelew hp🥲
Hapana uyo alieathirika anamlaumu shogake.kwann alikua anamsapoti kumlia hela.uyo kingwendu ili hali ana ukimwi
.ndo anasema ss mm najuaje.kiufupi ni hasira na majuto maana kasema hata ww rafikiyangu utaniacha..na ndo ukweli ulippo..😢😢😢
Kuna comment naitafut Sion 😢😢😢😢
Kwann sasa wanaume wa 3 dah ni huzun kwkwel😢
Nimefurahi mweny kigugmizi hana jamani😢
Alokataa kupima ndo aloambukiza wenzye kajijua kama yy anaukimwi ndomana amekataa kupima
Ila pole mway mungu akutie nguvu
Toka niachane na mpenz wangu nilitamani nidange ila baada ya kumfatilia hii haki nimejifunza vzr Sana Bola nibaki single Tu kwakweli
Sio kwakumuogopa mungu
Nimekom jmn
@@rajabhassan5665nimejifunza kwakweli yaani Bola nibaki Tu HV hv
@@GeffyyJohnmm nipo narudi mala.mbili mbili kuangalia hizo video jmn funzo kubwa sana