Hongera Sana ! Af.DK.J.P.MAGUFURI, Af.CDF. V.MABEYO, Af.SACP. R.MUNGI- TPS Commandant! Af.D.Massanja; band master! ....and all members of TPS brass band! ...najivunia Sana kuwa mmoja wa waliowahi kufanya kazi katika kikosi hiki!
YAANI TANZANIA HADI RAHA mpaka Mkuu wa Majeshi CDF yupo normal kwa WANANCHI sisi tuna jeshi la WANANCHI kweli... Tuwafundishe majirani Amani na Upendo wetu Watukopie....🇹🇿✔
Huu ni upendo wa hali ya juu sana anaouleta rais wetu na watu aliowateua kuonyesha upendo haki na usawa nq hii nchi ni ya wote...Mungu ibariki Tanzania
Huo mlio wa hizo zomari tarumbeta na namna huo mdundo wa huo wimbo unavo pigwa kitaaalumu inaleta molali fran ya uzalendo wa kuitumikia nchi yako naona hata CDF kakumbuka mbali sanaaa anyway maisha lazima yaendelee
Ebana kaka umezungumza kitu flani konki. Ujue kwa nini jeshi letu linatisha sana !? Na ni jeshi linasifika kwa kwenda kulinda amani!? Sababu ni hio. Ni jeshi la kizalendo ni jeshi rafiki la wananchi.
Tunawasubiri wa barabarani tuwang'oe. 😋😋Kuna watu walijificha msituni na tukawan'goa Leo hii uingie barabara aisee🤒 utakumbuka mala ya mwisho kushika sikio lako😠😠
MTU kaenda kutibiawa mnamwita shoga duniani tunapita mdomo uliumba uombe yasije kukuta meno la mungu halipiti bile wewe uliyesema shoga roho wa mungu asipite bule
Inapendeza sana leo ukiwa tayari kuipeleka Injili ya YESU ukiwa bado unanguvu , nakusihi ungana nami tujifunze neno la Mungu na natuipeleke injili ya Yesu mahali pote chat.whatsapp.com/Cio1IeWyfsHE9miJz12oZv
Navikubali Sana vyombo vya Ulinzi vya Taifa letu tukufu la Tanzania. I love you so much Tanzania 🙏❤👍
Hongera Sana ! Af.DK.J.P.MAGUFURI, Af.CDF. V.MABEYO, Af.SACP. R.MUNGI- TPS Commandant! Af.D.Massanja; band master! ....and all members of TPS brass band! ...najivunia Sana kuwa mmoja wa waliowahi kufanya kazi katika kikosi hiki!
Who is still watching this june 2024🎉🎉 SO To thid brass blessed band
😂😂 you live in future. It’s May bro
Nani bado anaangaliia hii Leo November 2023❤❤ tz army😊
So amazing our beloved CDF,safi sana
My country my people my Army
Naipenda nchi yangu
Upendo Aman mungu azid kuimarisha 🙏🙏
YAANI TANZANIA HADI RAHA mpaka Mkuu wa Majeshi CDF yupo normal kwa WANANCHI sisi tuna jeshi la WANANCHI kweli... Tuwafundishe majirani Amani na Upendo wetu Watukopie....🇹🇿✔
Huna akili
@@sponsor7882 Amewezaje kuandika hivyo kama hana akili?
@@sponsor7882 Toa hoja yako,asiye na hoja ndiye shiidah.
Mwalimu Julius Nyerere's legacy of humanity, steadiness,humility and internal joy
Najivunia kuwa mtanzania najivunia kuzaliwa Tanzania
Amazing CDF 👌👌👌👌👌
Mi Tanzania siondoki ,raha jamani mweee!wengine nchi nyingine kutwa kupigana sisi twacheza nashukuru kuzaliwa na kuwa Mtanzania
The best of lucky Tanzania
Huu ni upendo wa hali ya juu sana anaouleta rais wetu na watu aliowateua kuonyesha upendo haki na usawa nq hii nchi ni ya wote...Mungu ibariki Tanzania
I love you Tanzania ❤️
Huo mlio wa hizo zomari tarumbeta na namna huo mdundo wa huo wimbo unavo pigwa kitaaalumu inaleta molali fran ya uzalendo wa kuitumikia nchi yako naona hata CDF kakumbuka mbali sanaaa anyway maisha lazima yaendelee
Ebana kaka umezungumza kitu flani konki. Ujue kwa nini jeshi letu linatisha sana !? Na ni jeshi linasifika kwa kwenda kulinda amani!? Sababu ni hio. Ni jeshi la kizalendo ni jeshi rafiki la wananchi.
Hahahahahaahaaaa Brass Band wapo vizuri.
Asante baba magufuli kwa heshima unayoipa tanzania
TANZANIA naipenda sana, yani Amani tupu.
Mwisho wake 28 .10.2020
@@sponsor7882 umeuona mwisho wake jamaa?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍🥰
Najivunia kuwa mtanzania yani ni raha tupu ambayo haipatikani mahali popote duniani.
Brassband huleta morale wa kijeshi Hata kwenye pared band ikikoleza aah mbona guz linaenda kwa morale ! Makamanda wiii
@@alexkiria1901 wiiii
@@alexkiria1901 nipo nadumisha
@@alexkiria1901 hii nchi yetu sote hivyo ni jukumu letu wote kuilinda TANZANIA yetu
@@damianmakala2913 pamoja sana mkuu
Awaaa kamanda
Hii ndio TANZANIA YETU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿AMANI AMANI AMANI 💚💛💚💚 NAIPENDA SAN NCHI YANGU,,HONGERENI VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
I'm proud of my country kwa kweli
That is my Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🌹❤️❤️🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤❤🇹🇿 na watu wake
Alafu mtu asema hakuna uhuru Tanzania
Hao wanaosemaga ivo ni mangese hao
Watu waivo wata pata zamb san
🤣🤣🤣🤣💪💪
Wana furaha na Nchi yao
Hii ndio raha ya Nchi yetu Tanzania kuwa na Amani hata majeshi yetu wanafurahia Nchi yao kuwa na Amani.
❤❤❤wow laza ya band
Fantastic
Shoga akiona ivi anataman kwel.lkn ndo ivo tena kaandikiwa laana
😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣 akagombee Ubelgiji pengine atapata 🤣😂😂😂
Hili ni jeshi la jwtz
Hili kweli ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
@@matthewjohn5108 hahaaa nakwel
A therapeutic music for the mind and body.
WATU SALAMA NCHINI😍
Baba nimeipenda hiyooo nzuri
Tanzania yetu mungu ibariki
Safii sana 🙌🙌🙌
Naipenda sana Tanzania yangu na jeshi lake
Bora askari umempokea mkuu alikua anashindwa kuongoza
Hahah
Long live my AFANDE CDF
Hii band kwakweli inafanya vizuri sanaaa
Jesus is good Tanzania.
NAKUPENDA SANA TANZANIA..MUNGU IBARIKI TANZANIA
Pride of tanzania
Hii ni tunu ya nchi jamani nakupenda Tanzania nafurahi kuzaliwa Tanzania japo wakat huu tunamajonz
interesting.....
Good
Raha tu tanzania .tusije tukakubali mtu mmoja akatuvurugia amani tuliyonayo.hadi raha.
salut makamanda
Shida sana hehe tanzania oyeeeee
💯
Mmmmh hivyo Afande ameamua kujitwisha faru john💃
Mbahahaaa, mbowe akikusikia
@@johntogoro6191 hahahaha
@@johntogoro6191 🤣🤣🤣🤣
Hadi raha🇹🇿🇹🇿💪💪👏👏👏👏👏
who is wtchng 2040
An aesthetic country 😅
Tz sihami
Sifa ya jeshi kuwa na kitengo 💪🏽🤣🤣🤦🏽♂️
Haswaaa
A peaceful and harmonious country with no political kingpins 😂
Nimeipenda Sana
Safi sana kesho letu
Inapendeza sana,, Naipenda Nchi Yangu
Bonge la kiongozi afande Mabeyo.
Tanzania Raha sanaaaaa
HONGERA SANA MKUU WA MAJESHI VENAS MABEYO
naipenda nchi yangu tanzania
CDF 🔥🔥🔥🔥💪💪
Safi sana 👍 🇹🇿
Naipenda nchi yangu
hi bend ipo vizur sana
What is the title song?
Tunawasubiri wa barabarani tuwang'oe. 😋😋Kuna watu walijificha msituni na tukawan'goa Leo hii uingie barabara aisee🤒 utakumbuka mala ya mwisho kushika sikio lako😠😠
Raha sana🇺🇸🇹🇿👏🏾
Hii ilikua nzuri sana
Huyu anaecheza na tarumbeta utadhani sio mjeshi kea namna anavyoifurahia kazi yake
Safii
Safi saaaana..Nota ziko safi kabisa
MANSHALLAH HOSNGERA SANA JESHI LA ULINZI NA USALAMA TANZANIA
Hiii ndio tz thanks CDF
Taifa letu teule
Nzuri sana
Tanzania Ni Inchi yenye Amani Sana
MTU kaenda kutibiawa mnamwita shoga duniani tunapita mdomo uliumba uombe yasije kukuta meno la mungu halipiti bile wewe uliyesema shoga roho wa mungu asipite bule
Ikibidi naww uwe Shoga pamoja namamayako
Tarumbeta la nikumbusha j k t kabsa daaaaaa
Noma sana
Hivi jamani nani anaeza nambia huo wanapiga ni wimbo gani. Mbona wimbo unavibe flani hivi la kizalendo
inapendeza sana sana sana
Good sala na Kazi
Hiki ni Kitengo kizuri sana jeshini ,
Tujuane maserule. Hahahaha raha sana,
🤣🤣🤣🤣
Madoja tuna comment tu uku
🤣🤣🤣
Ko sio
Inapendeza sana leo ukiwa tayari kuipeleka Injili ya YESU ukiwa bado unanguvu , nakusihi ungana nami tujifunze neno la Mungu na natuipeleke injili ya Yesu mahali pote chat.whatsapp.com/Cio1IeWyfsHE9miJz12oZv
Ndiyo maana ya jeshi la wananchi Tanzania
Tanzania soon nahamia uko what a wordful country CDF kufurahia nayo hongereni
Huu ndo umoja na mshikamano tunaoutaka Tz
hadi raha jamani tanzania
Majeshi yetu yote yamekuwa yasiasa Aaaaaaaaah
Nikweli tate mdodo aitamiweeee
Mkuu wa majeshi ni fund
Safi
hiyo filimbi,tarumbeta,na zeze,ahaa vinatia molali,,nakumbuka,wakati mahali flan,ahaa,inatia raha sana
SIMBA
HAHAA MTU MKUBWA HUYO JESHINI HONGERA BRASS BAND
TANZANIA NAKUPENDA
Woooh! Lovely!
NAKUPENDA TANZANIA YANGU.