Askofu Gwajima aweka wazi yatayotokea mwaka 2022 | Ni muhimu kujiandaa mapema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 295

  • @nicholasgabriel8805
    @nicholasgabriel8805 2 ปีที่แล้ว +51

    Asante mtumishi wa mungu afadhali ulizaliwa ila naomba baadae uchukue fom ya urais tukupe kura kwa kishindo 👍👍👍

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 2 ปีที่แล้ว +11

    Inshalla na Mungu akulinde.... ata kama unatetea nchi yako nko Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ila mafundisho yako inatujaza sana Asante🤲🤲

  • @amanirwegasira1118
    @amanirwegasira1118 2 ปีที่แล้ว +19

    I appreciate you MUNGU akupake mafuta makubwa mzee wetu na mtetezi wa nchi yetu TANZANIA.

  • @patrickfanuel3244
    @patrickfanuel3244 2 ปีที่แล้ว +17

    Gwajima Mimi nakukubali sana Mungu Akulinde sana.

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 2 ปีที่แล้ว +57

    Kenya tushauzwa kwa shetani na huyu rais, lakini Mimi na nyumba yangu tutapona kwa jina la Yesu

    • @markseven23
      @markseven23 2 ปีที่แล้ว +3

      poleni mungu atawasimamia hakika

    • @joshuansamiye3342
      @joshuansamiye3342 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen endelea kumwamin MUNGU wako

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameeen

    • @deusrobart8181
      @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂🤣 Nimecheka Sana et mimi na nyumba yangu tutapona 🤝🤝

    • @julianaharrison4356
      @julianaharrison4356 2 ปีที่แล้ว

      @@deusrobart8181 ana imani atapona kweli

  • @augustinokahinda3939
    @augustinokahinda3939 2 ปีที่แล้ว +20

    Wew jamaa ni genius
    Mungu Mwenyezi akusimamie Ili taifa letu lipone

  • @alphonceelias2551
    @alphonceelias2551 2 ปีที่แล้ว +24

    Gwaji boy akili mingi Sana huyu jamaaa..aminaaaaaaaa mtumishi wa kweli wewe.i trust in you.

  • @winstonmwalukasa4997
    @winstonmwalukasa4997 2 ปีที่แล้ว +16

    Gwajima a real man of God.ujumbe tumeuelewa na kuupokea watz

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuongoze Daima Kiongozi wetu

  • @ericmtalemwa3573
    @ericmtalemwa3573 2 ปีที่แล้ว +17

    Tunasimama na Bwana Yesu! Tunasimama na baba Askofu Gwajima.

  • @martinsntonyo8537
    @martinsntonyo8537 2 ปีที่แล้ว +16

    Msema kweli mpenzi wa Mungu

  • @paullugola113
    @paullugola113 2 ปีที่แล้ว +5

    Amina magufuri wa pili!!

  • @joycesamweli9379
    @joycesamweli9379 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU

  • @rukiasaleh8208
    @rukiasaleh8208 2 ปีที่แล้ว +9

    mashaAllah..mahubiri yko ..Mungu akulinde akulinde na uzidi kufungua watu wa mataifa ufaham.

  • @elizabethkivuruga5351
    @elizabethkivuruga5351 2 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akupe maisha marefu na afya njema mtumishi.

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +8

    Watching from Kenya praying for my country lazima waachie kenya

  • @lilianikerubo7909
    @lilianikerubo7909 2 ปีที่แล้ว

    Amen. Mungu amwage roho mtakatifu avuruge kweli mm nimekwa Iraq kwa kukataa kudungwa sindano natumai yesu ataingilia ndani nitoke salama

  • @halimajaphet8926
    @halimajaphet8926 2 ปีที่แล้ว +10

    Ngwajima ccm wanakuzingua unda chama chako ugombee urais

  • @atugonzabishanga9172
    @atugonzabishanga9172 2 ปีที่แล้ว +7

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu WA mbinguni akutunze baba

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว +39

    Inshallah M/mungu azidi kukupa Afya njema na maisha marefu Mzalendo wa kweli 🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamaani wakituulia na huyu ndio tutakuwa tumeisha kabisa maana sioni viongozi wadini wenye misimamo ya kuwapigania watu wake kama gwaji wengi wamenumuliw masonic huko

    • @lordanswers9373
      @lordanswers9373 2 ปีที่แล้ว +2

      Amen pastor Mungu Wako ni Mungu wangu

    • @petermilol2104
      @petermilol2104 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni zalendo

    • @daudimussa7081
      @daudimussa7081 2 ปีที่แล้ว

      🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว +6

    wewe ni chombo cha Bwana ambacho uliteuliwa kwa ajili ya kulikomboa Taifa!!!... ubarikiwe sana my Dady!!!....

  • @gracehaule9559
    @gracehaule9559 2 ปีที่แล้ว +9

    AMINA Kidume Mungu aendelee kukuongoza

  • @josephmahubemaro7406
    @josephmahubemaro7406 2 ปีที่แล้ว +6

    Baba Askofu Gwajima
    Nipo pamoja na wewe nina kuombea pambana Baba

  • @revdedanmnyika438
    @revdedanmnyika438 2 ปีที่แล้ว +28

    This is powerful man of God.
    May Almighty God strengthen you in this critical battle.

    • @manfest
      @manfest 2 ปีที่แล้ว

      S I K I L I Z E N I .......
      G5 countries ni kina nani? ni Brazil, China, India, Mexico, and South Africa.
      China kuli tokea nini? .......hakuna asiyejua
      Brazil kuli tokea nini? ...... gamma variant
      India kuli tokea nini? ...... delta variant
      South Africa kume tokea nini?.....omicron variant
      next tutaanza kuambiwa eti kuna variant imetokezea mexico.
      ndugu zetuni africa, FUNGUKENI MACHO especially nyinyi wa🇰🇪.
      🇹🇿 pls pray for 🇰🇪 my beloved. wana pumbazwa bure. sisi wa🇰🇪 wote huku nje tumekataa HATUDUNGWI.

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว +12

    Amen,Amen tunapenya kwa jina la Yesu,naingia ktk jina la Yesu Kristo kwa ushindi

  • @eliassamson617
    @eliassamson617 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanye kuwa ukuta wa shaba watashindana nawe bali hawatakushinda kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai.

  • @marthamahule3346
    @marthamahule3346 2 ปีที่แล้ว +19

    Ameeen!! Jasusi la mbinguni this is so powerful. Hallelujah!! Haleluuuujah!! Yesu ni Bwana

  • @tumainibartholomew7810
    @tumainibartholomew7810 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema Bishop YESU asimame na Wewe Tanzania ipone

  • @shayoemasha0074
    @shayoemasha0074 2 ปีที่แล้ว +6

    Aminaaaaaa bishop GOD bleSS You

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki, mtumishi. Mabaya your hatatupata, na wote tuliyo chanjwa mungu atupinganie na nia mama za shetani, shetani.haweza.kutimiza.mipango.yake

  • @bettymlaki9669
    @bettymlaki9669 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen, farakanisha wasipatane

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru 2 ปีที่แล้ว +2

    Askofu Gwajima mwenyezi mungu akulinde kwani hao watu wakuu wa dunia wanajisifu kuwa wanaiwekea Africa matatizo sasa tusipo jiandaa watatuingiza matatizo makubwa ni mashetani watu tena wanajiingiza makanisani tuwe tu nawaangalia ni wajanja sanaaa

  • @jovinacostantine5449
    @jovinacostantine5449 2 ปีที่แล้ว

    Unafaaa sana baba mwenyezi mungu azidi kukupa kibali

  • @tantinebrijitte7128
    @tantinebrijitte7128 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen 🙏 napokea ubarikiwe mutumishi wa Mungu.

  • @suzanfusi3877
    @suzanfusi3877 2 ปีที่แล้ว +10

    Amina mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako mazuri

  • @fridambezi6067
    @fridambezi6067 2 ปีที่แล้ว +5

    Amina Amina kubwaa

  • @raajquoteswords7805
    @raajquoteswords7805 2 ปีที่แล้ว +12

    Ameeen mtumishi wa bwana mungu atuzidishieee

  • @jeremiahayoub315
    @jeremiahayoub315 2 ปีที่แล้ว

    Gwajima upo vzr mtumishi wa mungu

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu akulinde mh. Josephat Gwajima.

  • @emmyngadada3521
    @emmyngadada3521 2 ปีที่แล้ว +2

    Aminaa Tanzania imeshaokolewa

  • @izzofaith_lalisa3476
    @izzofaith_lalisa3476 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu atupe neema tupate kushinda

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen tutachomoka tuu kwenye Hilo wimbi mtumishi wa kwel tupo pamoja nawe tunayaona hayo tena sana Ila watashindwa tuu Mungu wetu ni mshindi

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 2 ปีที่แล้ว +9

    Ila gwajima nakuelewaga mzee wangu maana unanipaga vitu vizito vizito napenda Sana.

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว +2

    Asanteh umenifundisha jambo jipya,Amen

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 2 ปีที่แล้ว +8

    Naiwe hivyo katika jina safi la Yesu ♥

  • @gwishtztz8784
    @gwishtztz8784 2 ปีที่แล้ว +3

    The upcoming president of tz may out Almighty God keep him until when thunder will open sky for him to present Tz in the new world

  • @anthonymjehe1075
    @anthonymjehe1075 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni azidi kukupa ujasiri uinene injiri hii hii inayofikisha makusudi ya Mungu kwa watu wake

  • @mariaernest9324
    @mariaernest9324 2 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia sana na maneno yako yananitia nguvu nakunipa ujasir

  • @SamuelJoshua7
    @SamuelJoshua7 2 ปีที่แล้ว +9

    Amina kweli umeongea mtuwa MUNGU

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +9

    Great man of God. Mteule kweli kweli,mtu wa milki ya Mungu Gwajima. Asante kwa kupambana kwa ajili yetu.
    Very georgous wewe Mungu akulinde na sisi watanzania daima. Mtu anajulikana kwa mazungumzo yake km Mungu amekupa upeo wa kugundua hilo
    From my deepest heart wewe ni mtu mzuri

    • @priscahmonchari471
      @priscahmonchari471 2 ปีที่แล้ว +1

      Eh Mungu wetu was mbinguni Asante kwa kumtumia mtumish wako Bishop Gwajima abarikiws

  • @AyebaMaonyesho
    @AyebaMaonyesho 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi gwajima ungekuja hapa marekani kwenye mikutano ya injili uhubirie watu maana hapa walio wengi ni wapagani hawajuwi mungu hasa hawa wa black waliokuja kipindi cha ukoloni njoo baba tunakusubiri kwa hamu kwa mafundisho hayo ya ukombozi wa ki fikra na ki roho

  • @alturaif5367
    @alturaif5367 2 ปีที่แล้ว +8

    Amen, Amen, Amen, Mungu mbere at atupiganiye, Baba yetu tumarizemwendo, salama💪💪💪🙏🙏🙏

  • @edithseverine7422
    @edithseverine7422 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukupa afya ya mwili na roho na akulinde na mabaya yote

  • @glorytemba4913
    @glorytemba4913 2 ปีที่แล้ว

    Ameniiiiii Masihii wa Bwana.Mungu Akuongezee Mafuta shujaa wa Tanzania 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jovinacostantine5449
    @jovinacostantine5449 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe miaka 10000

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania inapenya katikati ya mataifa katika jina la Yesu uuuu

  • @atugonzabishanga9172
    @atugonzabishanga9172 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen dady mungu azidi kukutia nguvu

  • @glorioustv6009
    @glorioustv6009 2 ปีที่แล้ว +2

    I pray for you man of God may God give you strength in Jesus name

  • @buppyhumbo2238
    @buppyhumbo2238 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubalikiwe sana

  • @sallygachui3191
    @sallygachui3191 2 ปีที่แล้ว +14

    Thank You for Your Apostle Bishop Gwanjima may our African leaders seek Your Heavenly Wisdom I pray. Amen.

    • @UfunuoSt
      @UfunuoSt 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweli asonge tu mbele.

  • @Emmanuelbahatiartist
    @Emmanuelbahatiartist 2 ปีที่แล้ว +4

    Powerful man of God.
    Mungu Akubariki Zaidi na akutumie

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 2 ปีที่แล้ว +3

    Na iwe hivyo in Jesus name 🙏🙏🙏

  • @elnorahmjomba1311
    @elnorahmjomba1311 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen kabisaa huyu mchungaji ako juu

  • @susannkatha1892
    @susannkatha1892 2 ปีที่แล้ว

    From 🇰🇪mungu Katie nguvu mchungaji jameni karibu kenya jameni

  • @goodluckjackson4594
    @goodluckjackson4594 2 ปีที่แล้ว +9

    GOD bless you, the only one pastor, who speaks truly about the power of GOD in africa allover the world, no one can stop your fire

  • @jedidamuua6773
    @jedidamuua6773 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen,mungu akubariki sana na kutie nguvu ya kuwafikia mataifa yote

  • @subimayala5530
    @subimayala5530 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank prophert daniel

  • @dennilwaneamalemba1342
    @dennilwaneamalemba1342 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa man of God tunataka watu kama wewe kenya

  • @joannelson1137
    @joannelson1137 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba may God protect you 🙏🙏🙏

  • @janetnzai9866
    @janetnzai9866 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah, May God be with us. I pray that God to take me to my Country

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 2 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa God bless Gwajima

  • @elizabethmbithe7954
    @elizabethmbithe7954 2 ปีที่แล้ว

    Thank Asikofu

  • @emilmalindi3474
    @emilmalindi3474 2 ปีที่แล้ว

    Nakusikia Baba Hella niliyokuomba ya Mchango wa Kujenga Nyumba ya Bwana Unaikumbuka by Imanuel from Dar es salaam Gongo la Mboto,Banana,Kitunda,Magole Kwa Mpemba .

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atupenguvu tusiwe na zakuazima Asante sana kwa maneno matamu na mungu wambinguni akubariki na kuku epusha na wabaya wote

  • @derickkilongi9484
    @derickkilongi9484 2 ปีที่แล้ว +2

    Haleluhya mey God blesse you the savant of God

  • @marymgaya8799
    @marymgaya8799 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen mtumish wa MUNGU tutakutegemea

  • @pastorfikencharles8041
    @pastorfikencharles8041 2 ปีที่แล้ว +4

    This is Truth.

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว +7

    Amen God bless you 🙏 from Australia 2021 🙌

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 2 ปีที่แล้ว +2

    Very special speech! GWAJIMA is as apostrophe!!

  • @belovedflorence4109
    @belovedflorence4109 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi unasema kweli, I hope waumini wanakuelewa

  • @flowermboya7451
    @flowermboya7451 2 ปีที่แล้ว

    Amina jasusi la mbinguni Mungu akuweke mpaka uimalize kazi aliyo kuitia

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @samwelkumongishu4552
    @samwelkumongishu4552 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 2 ปีที่แล้ว +3

    Naona nikihamia Tz

  • @fataelipalangyo8992
    @fataelipalangyo8992 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana wamachinga

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว +4

    God loves us👏👏👏👍

  • @shayoemasha0074
    @shayoemasha0074 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeanza kukuelewaaa mzeee MUNGU kimbilio letu

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 2 ปีที่แล้ว +2

    hayo yote uyanenayo, hakika niyakweli mtumishi. Mungu akubariki na kazi ya mikono yako.

  • @johnmassami6213
    @johnmassami6213 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukusimamia katika kuihubiri iliyo kweli...

  • @andrewmukuru6357
    @andrewmukuru6357 2 ปีที่แล้ว +2

    The dealer kimsifu YESU KRISTO,JESUS IS COMING RIGHT AWAY!!!!!!

  • @tabithaibrahim8493
    @tabithaibrahim8493 2 ปีที่แล้ว +2

    Tabitha ubarikwe mtumishi wa Mungu kwa ufunguo wa nguvu big up.

  • @belovedflorence4109
    @belovedflorence4109 2 ปีที่แล้ว +1

    kama Yanesi na Yambre alivyompinga Musa, ndiyo nyakati za mwisho zurakavyokuwa. Amina mtumishi

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wajua sababu

  • @justuschrizant5437
    @justuschrizant5437 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless You

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen Baba nimebarikiwa

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 2 ปีที่แล้ว +5

    +254 Tz mmebariki na jasusi lambinguni. Hukubkwetu tunawateule waliosazwa, wengine wamechanjwa kwakutiwa hofu na serikali. Nashukuru tumesimama imara kwa Yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 ปีที่แล้ว +11

    Kweli huku Baba ndio hivyo Mi nipo nje huku sijachanjwa niliumwa maboss wangu hawakuweza kunipereka Hosptali kwa sababu sijachanjwa hivyo naomba Mungu anisaidie aniepushe na maradhi nimalize mda wangu niludi nikiwa salama

    • @brightthabit9749
      @brightthabit9749 2 ปีที่แล้ว

      Acha zambi ndo njia ya kuwa salama kabisa magonjwa hayatakukaribia

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wetu tunayemuamini kwa jina la Yesu nakutamkia utarudi salama.

    • @DrElizabethHLemaND
      @DrElizabethHLemaND 2 ปีที่แล้ว

      Agiza dawa zetu za Tanzania uwe nazo. Ukiumwa hata mafua unatumia. Mungu ametupa hekima ya kuwa na dawa zetu. Agiza uwe nazo. Hekima ya Mungu itendayo kazi ndani yetu tuna dawa zetu

  • @sarahnyange5085
    @sarahnyange5085 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie

  • @wafelawafela6672
    @wafelawafela6672 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen amen amen 🙏❤️

  • @mercysamuel9281
    @mercysamuel9281 ปีที่แล้ว

    Pray the Lord ooh Halleuya