Hii neno 'watu wa bida'a' ni bida'a yenyewe ambayo imezushwa na khawarij alsalafiyatul wahabbiya! Lakini hilo hawalioni, wao muhimu ni wawakufurishe waislamu wenzao wapate radhi za ma bossi wao wa kiyahudi!
Kwahyo wataka kupinga maneno ya mtume, Kwa mapokezi ya mama wa waaminifu, Aisha (ra), ambaye alisema: Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) alisema, "Yeye zusha jambo katika jambo letu hili (ambalo ni, Uisilamu) ambalo halikuwepo, basi jambo hilo atarudishiwa (na Mwenyezi Mungu)." [Bukhari & Muslim] Katika toleo lingine kwa Muslim inasomeka: "Yeye anayefanya kitendo ambacho hakipo kwnye jambo letu (dini), (jambo hilo) litakataliwa (na Mwenyezi Mungu)."
Hii neno 'watu wa bida'a' ni bida'a yenyewe ambayo imezushwa na khawarij alsalafiyatul wahabbiya! Lakini hilo hawalioni, wao muhimu ni wawakufurishe waislamu wenzao wapate radhi za ma bossi wao wa kiyahudi!
Sijakuelewa ndugu
Kwahyo wataka kupinga maneno ya mtume,
Kwa mapokezi ya mama wa waaminifu, Aisha (ra), ambaye alisema:
Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) alisema, "Yeye zusha jambo katika jambo letu hili (ambalo ni, Uisilamu) ambalo halikuwepo, basi jambo hilo atarudishiwa (na Mwenyezi Mungu)." [Bukhari & Muslim] Katika toleo lingine kwa Muslim inasomeka: "Yeye anayefanya kitendo ambacho hakipo kwnye jambo letu (dini), (jambo hilo) litakataliwa (na Mwenyezi Mungu)."