Huu Mwaka - Dayoo X Rayvanny (Official Lyric Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2024
- Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #huumwaka #music #new #NextlevelMusic
Copyright ©2023 Next level Music. All rights reserved. - เพลง
Nikwer mwaka huu nanuwa gari
Hii ni Anthem hapa 254🇰🇪... Huu Mwaka ni wangu 🇰🇪🤘✅🙏 Amen 🙏
True
😮 van in a meeting ❤❤❤❤
@@lynro6164p
Tafungwa😊
Noma sana
🇰🇪🇰🇪lazima tuforce juu wee ❤❤❤ best music
Vocals zimeenda group of schools, already on repeat 🔁 mode hapa 254 🇰🇪,Huu mwaka natumai utakua wa manufaa kwetu sote 💪💪💪.
Huu mwaka lazima Niforce pia mimi, a very nice song big up my Gee❤❤❤
Diamond ft rayvanny nani mkali mafans wa bongo ... feeling good from Kenya
Bab n bab
@@lineboylaulenty
Mwana ni baba.
Rayvanny
Best bongo 2024 song hakuna wa kupinga *hitImeweza
Chui ni msanii anayeshabikiwa na mashabiki wa team zote na wengi humwona kama hahit sana kumbe ndo anapenya kwenye mziki wa Bongo na kuendelea kuwa Bora.. Ni msanii anayeshabikiwa bila uteam .. ubora wa nyimbo zake ndio unamfanya abaki JUU ya mziki.. ❤️
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 one love ❤🔥🔥
From kenya ,
Kali sana hii❤❤❤
Usichague jembe...bidii lazima huu mwaka wakenya gonga like tukisonga.....❤❤❤ From 🇰🇪🇰🇪
Lazima❤❤❤❤❤❤
😮😮iopoo😊rara 😂😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😅
@@ayshajeffa73438ikkk
Jpudjj
@@ayshajeffa7343 i
Representing kenya🇰🇪 like zikam.. huu ni mwaka wakutoboa love this song my favorite ever
Tanzania inavijana wakujivunia aysee good, kazi kali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mtake mstake huu mwaka mtanita boss😂🎉from Bdi🇧🇮🇧🇮
Ryvanny, my favorite. What a song! Dayoo is the most underrated. Huu ni mwaka wangu eeh❤❤. Wapi likes zangu huku +254
Dayoo 🔥🔥🔥🔥nakupenda sana kaka this love from KE Kenya 254🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uliahidi mwaka huu nimwaka wafuraha kwetu tunasubili ❤❤❤❤❤ 😮
Huu mwaka nikuendesha gari miguu zimechoka🤲
Oyaaaaa bro rayvvany Fanya remix ATA wakisema nin ukiludia Kazi ya mtu unauwa kinyama bro🔥🔥🔥🔥🔥
From your mouth Vannyboy to God's ears. Huu mwaka lazima tutoboe🙏
Tutatoboa kabx. Nyimbo ya kuanza mwaka❤❤❤
Huu mwaka eeeh huu mwaka ehh lazima mniite boss
Pongezi sana wakuu natoka Kenya🇰🇪
Mwaka wa faida sio loss❤❤
....huu mwaka...
Watching live from Minnesota, USA 🇺🇸
KAMA UNAMKUBALI DAYOO NA GONGA LIKE HAPA.
HUU MWAKA TUMPE DAYOO KABISA😂🔥
Lelo baba🔥🔥
Hapo pa ukipata limama likomoe likupe pesa ndio inaharibu. The song is 🔥 🔥
Alaaaaaa pole basi😂😂😂😂😂❤🇰🇪
Mwaka huu nakuwa star ⭐
Dayooo nakutambua sana bro big up Rayvanny naye ni fire 🇰🇪🇰🇪
Huu mwaka lazima niitwe bosi❤❤❤ from kenya
For sure huu ndo mwaka wangu ❤mtaanita bosii make msitake alaaa🎉
Nilkua nmegive up..but after kuskiza hii ngoma ..na itake easy... thanks for the encouraging song vannyboy❤❤❤❤❤❤
Acha nione like kutoka Kwa fans wa rayvany bro yaku❤
Pure creativity no nudes,no bad language ,no women yaani huu wimbo uko lit🎉
Ukipata limama likomoe likupe pesa utoboe
kabisa bro ukipata komoa
@@princepeter2110
Mamako yu mzima ???
Msalimie.
@@princepeter2110
Mtafanya vitoyo vifinywe mashavu.
@@VeronicaDunbar upo mzima mama yangu wewe
🇰🇪 Dennis
Chui ,mpoa Wangu ameku crashia😥😥
Love from us💙💙💙
Huu Mwaka ni wangu kwa jina la Yesu Kristo
Huu mwaka eeeh.... AMEN. ❤❤
Mungu Akubariki Sana Bro💪❤️
Ata mubariki sana chui hakuwake na roho baya kama wale wengine wasani wenu
Pambania dayoo
You nailed it aise ...no njaa misosi kwenda mbele no loss ❤❤
Naokota gari huu mwaka❤
This Dayoo guy should be appreciated. Talent.
La musique préférée de ma playlist de l'année🎉🎉💃💃, huu mwaka🎉🎉
Kazi nzuri mangii
Chui unajuaaaaaaaa
DAMU YA YESU ITAWALE ❤❤❤❤
Emeeeen
🙌🙌🙌🙌 van boe ni hatari kinyama an
Lazima hu mwaka and from 🇰🇪 Kenya ❤
kama na wewe unaamini song ya@Rayvanny FT Sayoo Nyosha mukono wako uweke Liké apa 🔥🙏🙏👇👇 Afro DR CONGO 🇨🇩
mimi niwa Kwanza munipe liké zangu 🔥🔥
Rayvanny is blessed, keeps supporting young talent
Hit after hit huyu mwaka lazma nami pia wanite boss love from burundi🇧🇮🇧🇮
Amen,,,lazima tufosi
Huuu mwaka nawasha faya🔥🔥
My gee dayoo naona mwaka n wako dam yangu ❤keep going brother
Rayvanny sings so softly with no effort ❤❤
Noma sanaaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🎉🎉Mungu mbele
Lazima watuite maboss mwaka huu❤❤❤...kazi safi sana naipenda kutoka Kenya 🔥🔥🔥
Moto kamanda 🎉🎉❤
Huuu mwaka ni wangu mungu anijaliye❤
Huyu Dayoo anakipaji for sure much love from 🇿🇲 Zambia
ata mimi naforce sasa😍😍😍
Number one from Rwanda ❤
Umwaka wakwangu Mungu ameshaanza kutenda
Kuna jimama mahali limenipromise 🤸
Huu mwaka eeh ,huu mwaka i buy a car and i will sing again this song in public praising God ,,,Rayvany never disappoints
Me too my car is coming i already manifested😛
Same to me ♥️♥️♥️🚘
God already approved it...Amen
Huu mwaka lazima muniite Boss😜
Kutoka kenya one love
Vibing 💯... Wakenya🇰🇪 gongeni like hapa
Huu ndo mwaka wangu❤its on repeat much love from kenya
💫
Much love from Kenya
Nakupenda sana revani uko vizuri huu mwaka wakufosi nimesha anza kuitwa bosi
Nyimbo nzuri SEMA umechemsha wachawi wanaobeba nyota wewe kio Cha jamii Cha kuchochea washenzi kagua mistari Rayvanny nyimbo zimejaa nyingi sana nyoosha mada
Much love from kenya🇰🇪🇰🇪
Siku zote wanasema nguo la kuazima ata likusitiri kiasi gani, babu usidhani ni lako. Much love vannyboy. Wimbo safiiii lenye mafunzo
#PeteroPetero🧢🇰🇪
❤❤❤huu mwaka lazima niitwe boss
Huu mwaka lazima we make it happen. God above all.
AMEN
❤Rayvanny to the world 🎉🎉say hi to simba la masimba dangote ❤
Wa kwanza mimi from congo 🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Congo mtaacha vita lini nyie
Hongera kwa kuwa wa kwanza😅
vita aiwezi ikaisha Congo tuna Mali mengi sana inchi ya zaabu inchi maskini wana taka tuwagawiye😆😆 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
@@FaustinBusime bien vraiment
Eti ukipata limama libomoe likupe pesa huu mwaka utoboe 😊😊
Huu Mwaka lazima itakubali 👌
Mwaka wa kuomoka ❤ love this song
Kama mkulima lima, nalima mpaka kwa mipaka!😊
Yani huu mwaka wa kufosi 🎉
Huu mwaka mtaniita boss
wale wenye nyota zao za shine 2024 kujeni hapa💥💥💯
Am here..7yrs of joblessness after graduation but huu mwaka nimepata jobs tatu at once❤❤
Be blessed@@penninawambongo2684
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my house and tomorrow and your
Nakupenda dayooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉@@penninawambongo2684ererrrrrrrreddsffzscgxchjuzdjjcedobff toxic gc goalpost do❤
❤😂🎉😢😮😮😅😅😊😊😅😮😢🎉😂❤❤😂🎉😢😮😅😊😊😅😢🎉😂❤😅😊😮😢🎉😂❤❤😂🎉😢😮😊😅😊😮🎉😂❤ all
Hii mwaka nayo sibahatishi💯🔥🔥🔥
Mungu nishike mkonoo Daimaa❤❤🤲🤲
I have never loved any tanzanian song. This one got me.. its just🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂
The song is so blessings,sweeet,educative and at the same time kaukweli fulani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yaah,huu mwaka lazima muniite boss,big up
Kazi kubwa sana kaka hiii nakukubali sana eeeee we noma apa Niko msumbiji.
Rayvanny killed it am so proud of him much love from Kenya 🇰🇪
cool mwaka wng
Walaiiiii❤❤❤❤❤❤ #RAYVANNY
I so proud😊
Aliifyeka
Dayooo is on fire🔥🔥🔥🔥
Rayvanny vi vannyboy chui uko mkali sana wangu
Nzur sana mauwa yenu mupewe
Wa kwanza Mimi
Kabla yako kuna mm
Tuma screenshot ya kuonyesha ww n wakwanza 😂😂
@@blaqsunny8604😅😅😅
Umefanya Nini 😮
Hayaaa
"ukipata limama likomoe likupe pesa ili huu mwaka utoboe" this verse is fucking hitting hard guys
😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂ata mmi nikipata sibahatishi na likomoa tu sana
😂😂😅
Ni mwaka wa kuomoka
Asante morah wangu Asante rayvanny Leo ni birthday day yangu na nataka mungu anitendee mehema❤🕋🙏
Asante....nitamaliza nyumba huu mwaka. .....❤❤ Na mengineeeee .......asanteni kwa juu wimbo umenitia nguvu
Nawapata sana Bd 🇧🇮🇧🇮nipeni like hapo