Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 12/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2024
  • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 13

  • @NoelyLaizer
    @NoelyLaizer 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapenda bure

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tupo pamoja toka cape Town

  • @jimmyromani1339
    @jimmyromani1339 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapata nikiwa Burundi hivi viongozi wetu wa African mtaacha lini kuwa watumwa Kwa wazungu

  • @muthomimunyua9062
    @muthomimunyua9062 22 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @danwayne786
    @danwayne786 23 วันที่ผ่านมา

    Shukran BBC. Uchambuzi wa kusisimua wa soka. Hispania noma.

  • @user-xc5vf6tt9z
    @user-xc5vf6tt9z 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia

  • @user-xj8vt6ur3x
    @user-xj8vt6ur3x 23 วันที่ผ่านมา

    Hujambo

  • @hamuzaelias211
    @hamuzaelias211 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nawapata vizulisana nikiwa kahama BBC kiboko😂

  • @PeterA.Meshack-mu5rw
    @PeterA.Meshack-mu5rw 23 วันที่ผ่านมา

    Naitwa Peter Meshack Nipo Ohio ,usa
    Nawapenda saaana
    Ronclife, Peter, baaj ,salim ,Elizabeth (mwanangu?
    Zuhura ,na wengine wengi Tuko pamoja

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 23 วันที่ผ่านมา +1

    Waafrika tuache upumbavu huu wa daima kuweka nguvu zetu zote kwenye kandanda ya Ulaya na kushindwa yetu. Tunajua kuchambua timu zao na kuzifurahia utadhani ni timu za Afrika. Ukiwauliza wazungu juu ya soka la Afrika hawana habari na wala hawana mpango wa kulifuatilia. Waafrika sijui nani alituroga? Tuko kama mazezeta. Tunaishi Afrika lakini daima macho yetu yako Ulaya na Marekani. Kazi ni kusifia vya wazungu. Nao wanatumia vyombo vyao vya BBC,DW, SAUTI YA AMERIKA kuhakikisha tunaendelea kuabudu ngozi yao na utamaduni wao. Sijui ni lini Waafrika tutazinduka usingizini?

  • @user-fh9nx9xq8u
    @user-fh9nx9xq8u 23 วันที่ผ่านมา +1

    Bbc nawapata mubashara nikiwa dar es salaam tz

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 23 วันที่ผ่านมา

    Kujiuzulu kwa iyo general ni sehem ya uwajinikajo,uwazi na democrasia ambayo Tanzania na mataifa mengine Africa mashariki haipo wajifunze kuwa wasikivu kwa raia wao

    • @florianflorian9606
      @florianflorian9606 22 วันที่ผ่านมา

      miiili hiyo yote ni sehemu ya Ile ya maandamano ya gen z,