Robelto Carlos wa Brazil apoteza makazi na kuhamia kwenye vyumba vya uwanja wa Madrid kisa talaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025
  • Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 47

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 15 วันที่ผ่านมา +5

    Pole sana legend ndio maisha yalivyo, nakuombea yapite salama na upate stahiki zako!

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 15 วันที่ผ่านมา +3

    Wanawake sio watu wazuri wanatufelisha sana kimaisha

  • @kondinhotv7091
    @kondinhotv7091 15 วันที่ผ่านมา +3

    Naendelea kumpa big up ashraf Hakim wa moroco

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanamke hawezi kukuacha salama... wanawake hatari sana

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 16 วันที่ผ่านมา +7

    Wanawake 😢😢😢😢

  • @flashbreezytz7472
    @flashbreezytz7472 15 วันที่ผ่านมา +2

    Wanafilisiwa na wanawake

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 15 วันที่ผ่านมา +14

    Kama kuna viumbe wawili wa kuogopwa zaidi duniani bas Shetani na Mwanamke.

    • @benitokibwaa4251
      @benitokibwaa4251 15 วันที่ผ่านมา

      Umeongea ukweli mtupu

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ila wanawake wengi wamekua hawana huruma jamani, Mie pia mwanamke ila kwa hilo hapana.

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 15 วันที่ผ่านมา

      Fact sana maana nakumbuka hata Emanuel Eboue mwanamke alimpukutisha sana mali zake.
      Nadhani tujivunie kua waislamu,maana sheria yetu imewapa mgao wao mapema ya robo 1 katika 4.

    • @HalfanHemedi-r8z
      @HalfanHemedi-r8z 15 วันที่ผ่านมา +1

      Sheria za haki sawa zawaumiza wenyewe

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@humbleshoalWanaume kuna baadhi ya mali tuwape au tuandike majina ya wazazi wetu aisee, maana hii ni hatari aisee.

  • @xaokwao1141
    @xaokwao1141 16 วันที่ผ่านมา +2

    Hatariii

  • @bekamodi
    @bekamodi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Sina time kabisa

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 15 วันที่ผ่านมา +1

    Apo lazima utajuwa maana ya Ashraf Hakimi 🚶🏾🚶🏾🚶🏾

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 7 วันที่ผ่านมา

    Umewapa nyumba wakwe na mtoto wao anadai talaka. Hatareeee.........

  • @boyofYesterday-fn5rf
    @boyofYesterday-fn5rf 16 วันที่ผ่านมา +3

    Duu

  • @jjm6795
    @jjm6795 14 วันที่ผ่านมา

    Carlos's net worth is estimated to be between $160 and $210 million. He owns two properties; one is the family residence for his wife and children, and the other is occupied by his wife's parents. Please extend our regards.

  • @paulmbonika2459
    @paulmbonika2459 15 วันที่ผ่านมา +4

    Now mtaelewa WHY Christian Ronaldo haoi.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa hali hii, inawezekana.

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 15 วันที่ผ่านมา +1

      Uko sahihi, maana hata Rodriguez alisema hivyo kwa kumhisia kwamba atapoteza mali nyingi sana. Ila ameridhika jinsi wanavyoishi vizuri kama mpenzi wake, anajiona kama mke wake hata hila ndoa.

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 15 วันที่ผ่านมา +4

    Uko nje wanaume watakuwa hawaoi sasa😅😅😅

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 15 วันที่ผ่านมา

      Nje tuu usijichangaje huku

    • @vumbaboyjr
      @vumbaboyjr 15 วันที่ผ่านมา

      Kwani hauja msikia dogo Mbappe mzeee. Mbona aliongelea iyo kisanga

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanamke🤦

  • @IbrahimMachano-x6x
    @IbrahimMachano-x6x 15 วันที่ผ่านมา

    Ndo mana christiano haoi anaixh nae t dem wake😊

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 15 วันที่ผ่านมา +8

    Walitunga Sheria za haki sawa ndo zinawatesa watoto wao sasa hivi ,,

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 15 วันที่ผ่านมา

    Ndugu (walafi) wa Mke + Mke (feki) + ndoa feki kwa ajili ya mali = Mateso kwa mwanaume

  • @Tundumakidsentertainment
    @Tundumakidsentertainment 15 วันที่ผ่านมา +1

    Duuh😢

  • @Mrdragoon85
    @Mrdragoon85 15 วันที่ผ่านมา

    Watasoma Kwa Ronaldo 😂

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 15 วันที่ผ่านมา +1

    Angekuwa na mazoea na mwanangu LA PULGA Messi angemsaidia tatzo alikuwa player wa MADRID. Labda aombe msaada Kwa Ronaldo cristiano,,,maaana Messi alimsaidia Ronaldinho pesa mingi na akatoka jela..Sasa team Madrid mshikaji wao huyo ndo majanga hayo

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 15 วันที่ผ่านมา

      Kwani hapo heading inasemaje mpk unasema hajasaidiwa???

    • @ramazanitr8541
      @ramazanitr8541 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 kapewa malazi , mbona mwenzie Ronaldo ajaowa?

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 15 วันที่ผ่านมา

      Messi kaoa, ajitafakari nayeye. Utasikia kiumbe hatari duniani katika soka kalala stand baada ya kufukuzwa na mke wake 😂😂😂😂😂😂😂 cr7 hawezi kuoa kila anaposikia habari kama hizi anazidi kufarajika

  • @leejems142
    @leejems142 15 วันที่ผ่านมา

    Wat nyook t

  • @adambakari9276
    @adambakari9276 15 วันที่ผ่านมา

    Mali zenu andikeni majina ya wazazi wenu

  • @dullahabdallah-nu1py
    @dullahabdallah-nu1py 11 วันที่ผ่านมา

    Hii nadio sababu CR7 hajafunga ndoa

  • @calvinnelsonmoshi2616
    @calvinnelsonmoshi2616 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio maana mim kila kitu namuandikia mama yangu

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 16 วันที่ผ่านมา +2

    Yani kuoa huko nje ni shida tupu

    • @FxL_47
      @FxL_47 15 วันที่ผ่านมา

      Kama NETANYAHU tu😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ndo maana Marekani(majimbo baadhi) wameanza kurekebisha sheria za mgawanyo wa mali

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 15 วันที่ผ่านมา

      @GeorgeAkasha-zx2rj hiyo Sheria imewafanya wanawake kutumia ndoa kama biashara

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 15 วันที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 Ndo hivo mkuu

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@FxL_47Amuishi kumtaja mme wenu,ebu apumzike sasa yupo na nyumba ndogo saiz Yemen 😂