Hotuba ya TRUMP katika Jukwaa la Uchumi Duniani yatikisa dunia! Fahamu yote aliyosema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 96

  • @Liberatus-k2c
    @Liberatus-k2c วันที่ผ่านมา +16

    Mashine yanguu imeanzaa kaziii❤❤❤❤❤piga kaziii

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 วันที่ผ่านมา +16

    Marekani ndio taifa pekee linalo haribu Amani ya Dunia

    • @pinielefraem4159
      @pinielefraem4159 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Sasa siutengeneze ww

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Waharibu Dunia ni Wala wanaojiaminisha kwamba wao ndio wana Mungu wengine hawana

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@emmadora7848 kuna watu waipenda marekani kwa sababu ya ushoga

    • @NikrahAyubu
      @NikrahAyubu 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂 bd ujasemaa​@@emmadora7848

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Magaidi ndo wanaoharibu

  • @mussaisaac
    @mussaisaac 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda anavyoongea kwa kujiamini piga kazi mzee Mungu akupe afya njema hii ndio Raha ya kuwa na Raisi mwanaume.

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Urus baba leo🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabsa

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Sarah-e1o9k%

    • @wilondjarama1427
      @wilondjarama1427 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa kipi

  • @JosefjemsiNgosha-lw5nf
    @JosefjemsiNgosha-lw5nf วันที่ผ่านมา +2

    Nomaaaaaa san duuuuuuu

  • @jamesbilafumba6902
    @jamesbilafumba6902 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Haya china aliyaona mapema sana na akayafanyia kazi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uziri wako ni maslahi ya Taifa lako mbele sio km wengine
    Big up

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Afikirie USA tu dunia aachane nayo watu wameisha amka wameona majambazi wa DUNIA ni hao hao. Now BRICS bring the world together

  • @dan-konjembe5913
    @dan-konjembe5913 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Voice of money

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 วันที่ผ่านมา +10

    Brics haifiki popote maana kila mmoja anahitaji soko la Marekani...yani hata wafanye nini Brics haifiki popote...

    • @henrywambua7770
      @henrywambua7770 วันที่ผ่านมา

      Laiti ungejua BRICS ni mkombozi wa Dunia kuliko hao wanafiki ambaao wanatoa mikopo ya ukandanizaji

    • @UwezoHussein-u7y
      @UwezoHussein-u7y วันที่ผ่านมา +2

      Akil yako inazidi akili zao?😂 angalia maskin hata milo mitatu inakusumbua

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 วันที่ผ่านมา +1

      @UwezoHussein-u7y kama ingekuwa inaenda popote wangekuwa washaanza ila mpaka kila mmoja nimuoga maana wote wanahitaji soko la Marekani

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 วันที่ผ่านมา +1

      Soko la marekani gani ilo marekan habar yake ilisha mda mrefu sana kilichobakia ni muda tu kuongea

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @swalehemusa4546 Huo mda kwanini umeshindwa kuongea😂

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    YANI JAMAA ANATAKA INCOME TU ATAKI KUTOA KABISA😂😂😂 DAAH UYUU JAMAA KUNA MDA NAMCHUKIA KWA KUTUMIA NGUVU ILA KUNA MDA MWINGINE ANANIFURAISHA NA KITU MOJA TU KUWEKA MAUSLAI YA TAIFA LAKE KWANZA NDIO MAMBO MENGINE TUONGEE 😂😂😂😂

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    BRICKS ASAIV NDIO WATETEZI SIO HAO UKIFANYA KOSA WANA ZUIA PESA ZENU NA KUZITUMIA KAMA WALIVYO FANYA KWA URUSSI NA MATAIFA MENGINE.....UKIULIZA MAREKANI YEYE AFANYI MAKOSA.....NA ANA AZIBIWA NA NANI....? TUSIWE WA PUMBAVU HAWA NI WEZI KAMA WEZI WENGINE

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wazungu wote ni wezi tu nia yao bara la Afrika liwategemee wao, Amerika 🇺🇸 Russia, Chinese, indian, uingereza Ufaransa, jerumani ,nk.
      Afrika ijitambue tu .

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Soko la marekani halikwepeki hata kidogo

    • @davidjoseph1143
      @davidjoseph1143 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndo taif linaloangaliwa duniani ,sasa wasitishe vipi,we bba ako hawez kukupig mkwa usipofany hivi ntakuchapa ,ach kujitoa akil

  • @Liberatus-k2c
    @Liberatus-k2c วันที่ผ่านมา +1

    Love you 🇺🇸 🌎 🇺🇲 🇺🇸 🌎 🇺🇲 🇺🇸 🌎 🇺🇲 🇺🇸

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anae penda wamarekani anapenda ushoga sera ya wamarekani ni usho

    • @justinmbangukira7034
      @justinmbangukira7034 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SalumSaid-w8iAcha kukariri wewe sio kila Mmarekani anapenda ushoga,
      Trump mwenyewe asha sema atauondoa Ushoga Marekani,

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 วันที่ผ่านมา +1

    👏👏🇺🇲🇺🇲🇺🇲💪

  • @HusnatHamis
    @HusnatHamis วันที่ผ่านมา +1

  • @KelvinJoseph-ix9wd
    @KelvinJoseph-ix9wd 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tax ndyo kitu pekee Cha kuleta investors ndan ya nchi... Sas sis na Kodi zetu alafu tunategemea kuupiga mwingi... Uongo huo

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      wasom wa nchi hii ni viaz 😂 mtu unafany biashar ndan ya nchi ov uko ugenin utitiri wa kod mtu atakuj vip kuwekeza saa😂😂 watajifunz tu

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenye akili hata kidogo ndo wataelewa ila kwaale washabiki wataelewa badae kinacho kuja 🤔

  • @ManjuraGabriel-s1v
    @ManjuraGabriel-s1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Rais wa Dunia kaongea

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna watu walibarikiwa kiakili na Mungu duniani

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nikweli wapo watu wamepewa eliminate na hekima lakini simanishi kafiri huyu maneno mengi yakisia lakini machafuko makubwa yanakuja kupitia kafiri huyu

    • @HalfanHemedi-r8z
      @HalfanHemedi-r8z 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Akili zipo kwakuumiza watu msaada ni mdogo

    • @shabaniduduma8885
      @shabaniduduma8885 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      marekan we una soko gan kwa mfano?

  • @ashirafubesta1018
    @ashirafubesta1018 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sema mwamba anajiamini sana dah

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anajiamini wakati kifo kipo mbeleyaka na hawezi kukizuiya na hana amalinjema mbele ya munguwake today kizani wewe dunia imefika mwisho

    • @ManjuraGabriel-s1v
      @ManjuraGabriel-s1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SalumSaid-w8i fikra za mtu maskini muda wote unawaza kufa tu

    • @HalfanHemedi-r8z
      @HalfanHemedi-r8z 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      na hata usipowaza utakufa tu ndo maana wao wanaogopa kufa

    • @ashirafubesta1018
      @ashirafubesta1018 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@HalfanHemedi-r8z yaani tusijiamini kwasababu ya kifo are you guys dumb or what kwanza kifo kinaingiliana vp nakujiamin SMH.

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe marekani ndo humaliza na kuanzisha mizozo

  • @KakukuKhamis
    @KakukuKhamis วันที่ผ่านมา +3

    Duh Dunia kwaherii

    • @BzzajoyhatungLeonidas
      @BzzajoyhatungLeonidas วันที่ผ่านมา

      😂😂Dunia si ya Trump ni ya Mungu . Kiukweli kwaheri ubabe wa Marekani 😂

    • @amoury1481
      @amoury1481 วันที่ผ่านมา +1

      Trump ndo rahisi wa Marekani ninayempenda

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    china anapiga kazi bila kutishia mataifa mengi sio hawa mashoga 😅

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duh uwezo China hana

  • @JohnoAbdoul
    @JohnoAbdoul 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    What if nchi ziki tenga kufanya biashara na Marekani, Haziwezi kuwepo vizuri kiuchumi?

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Si ndio

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Zinaweza ila tatizonwange walishaaminishwa bila Marekani bawafiki popote ndo kama nchi nyingi za Afrika

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 วันที่ผ่านมา +1

    Hana jipya

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 วันที่ผ่านมา +1

    kweli dunia inazunguka hadi marekani inaomba wawekezaji ??, 😀,

    • @mchiziwamtwapa3739
      @mchiziwamtwapa3739 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Waelewa nini anacho ongea 😂😂

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Lini hawakuwaitaji we wawapi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wawekezaji wa kigeni ndio walioifanya Marekani na China ziwe juu kiuchumi

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Tramb kazakamba kwa warusi hadiwati.

    • @SAYMOEKARIM
      @SAYMOEKARIM 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ile sio Africa 😅😅😅 inaongozwa na raisi makini Russia na china na Iran hawategemei marekani

  • @Dansa-tv
    @Dansa-tv 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅 4 th world......

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ วันที่ผ่านมา +3

    Trump anaipush BRICS ianzishe mpunga wao

    • @BzzajoyhatungLeonidas
      @BzzajoyhatungLeonidas วันที่ผ่านมา

      Brics ndi itaanzisha new world order kwasababu ubabe wa Marekani umeenda kuanguka .so itabhidi Marekani, China na Urusi waunde umoja ili walete Mpinga Christo inchi zingine zimpokee kabisa😂😂.Mungu atufunguwe macho sikuuu hizi ni zahatari

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 วันที่ผ่านมา +2

      Brics haiendi popote...wote wanahitaji soko la Marekani

    • @robertsimpungwe3901
      @robertsimpungwe3901 วันที่ผ่านมา

      ​@@omondiowino7875 soko la marekani Lina watu wangapi 300m kwa 6.5 b wapi na wapi?

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      BRICS mpk sasa hamna chochote cha maana ilichokifanya

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia mnaifanya marekani iwatawale kwakukaa kuifuta nambo yake

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tatizo ukiwakwepa utauza wapi? 😂😂😂😂

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Saudi Arabia tayari imeahidi kuwekeza dola billion 600 Marekani. Ni pesa nyingi sana

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dunia gani imetikisika lablab studio za sns😅

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o วันที่ผ่านมา

    Kiongz wa Dunia kiongz wa Magaidi ya kislam 😅😅😅😅😅

  • @ELOGERUHIMBASA
    @ELOGERUHIMBASA วันที่ผ่านมา +2

    Brics bye bye 😂😂😂

  • @damiangasto-t5n
    @damiangasto-t5n วันที่ผ่านมา +1

    Kumekucha Ameongea ukwel

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @doubletapkama3901
    @doubletapkama3901 วันที่ผ่านมา

    chocha nazo

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MMHH SISI TUNA TUNANUNUW NINI MAREKANI...? SISI ASILIMIA KUBWA NI CHINA....

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 unajikuta umenunua simu Toka china kumbe kampuni ni ya kimarekani ,kwani cokacola unayokunywa hapa nani mmiliki?

    • @ManjuraGabriel-s1v
      @ManjuraGabriel-s1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@emmadora7848 achana nae chizi huyo hajui kitu😀

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ManjuraGabriel-s1v kwa kweli hajui

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@emmadora7848wanao penda kulawitiwa hata bongo wapo tunawaona lakini wana fantastic siri😂😂😂😂

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Analialia nini? Mashakwisha

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 วันที่ผ่านมา

    Ameshachelewa tayar

    • @richarddavid8236
      @richarddavid8236 วันที่ผ่านมา +1

      Anachelewaje huyu nimwamba wewe

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kachelewa kivipi wakati mchina soko lake kubwa ni marekan na ulaya 😂😂😂😂

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Saudi Arabia ambae ni ndugu yenu imesema itawekeza zaidi ya dola billion 600 Marekani