HAKIKA RUBEN|SIKENDO YA USHOGA ILIVYOMTAFUNA MKE WAKE NA WATOTO WAKE..Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • #HakikaRuben #FoxeTv #Mikasa
    🔴Pia bonyeza alama ya #Subscribed apo juu ili kupata notification za habari na matukio yote hapa hapa Foxe Tv Tanzania
    .
    .
    .
    .
    📌Follow page instagram @FoxeTvTanzania
    @Alejman Josiah
    .
    .
    .
    .
    📌Info:📞 0746409426
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ..
    ..
    ..
    ..
    ..
    📌Tag
    #HarmonizeFtKajara,paula #HarmonizeNaPaula #VideoZakajara #Kajara #paula #HarmonizeFtAwilolongomba
    #HarmonizeAttitude #H.baba #Awilolongomba #VideoYaAttitude #HarmonizeFtAwiloLongomba #HarmonizeNaH.baba #kajala #Kajara #PaulaKajala #VideoImevuja #xxxBongo #xxzTz #Vigodoro #miunofeni #DiamondPlatnumz #WCB #WasafiMedia #FoxeTv #Hakika #Akika #Rubeni
    #Jux #Sugua #Harmonize #DiamondPlatnumz #AttitudeVideo #Waah
    #Harmonize #Rayvanny #Video #Kwampalange #MaximumTvOnline
    #Nabii #mchungaji #MchungajiMashimo #KomandoMashimo #Attitude #TikiTv #VideoYaAttitude #Matako #makalio
    #JinamaLaHarmonize #Utamu #Shape #Harmonize #Kajala #PaulaKajala #Vigodolo #Vigodoro #Changudoa #Xxx #Kafumaniwa #Fumanizi #kwampalange #Buza #Oman #Dubai #Kenya #Rwanda #USA #BBC #Zar #Jokate #Wemasepetu #Jimama #Mauno #MbengoTv #MillardAyo

ความคิดเห็น • 200

  • @FoxeTv
    @FoxeTv  2 ปีที่แล้ว +5

    UNAWEZA KUJINGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP ILI KUPATA MATUKIO YETU KWA HARAKA ZAIDI..Link hii apa chat.whatsapp.com/CptUDTRfRSo5OimbjoLZ0a

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 ปีที่แล้ว +2

    Luben!
    Yaan unashindwa hàta kishwahl chako jaman kah!
    Uñshiñdwa kusema ruben,watañgazaji weñgine bwaña! hovyoooo

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 2 ปีที่แล้ว +7

    Huwa na enjoy kumsikiliza hakika

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 ปีที่แล้ว +8

    Yuko kwenye familia iliosambaratika Daaah hakika anachekesha kweli😂😂😂😂😂😂😂

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 ปีที่แล้ว +11

    Kwanza kamdanganya mtangazaji.., yeye ni boss.., Mkurugenzi anamiliki Shule sema hapendi kuhojiwa hojiwa.., hiyo ya kazi za ndani kadanganya kabisaaa😂😂😂😂..., suala la Sanaa kwake ni kama burudani wala siyo kazi. Wanaomhisi ni shoga mara dishi limeyumba wako wrong.
    Big up Hakika Reuben!!!!!

    • @hellenegwaga4303
      @hellenegwaga4303 ปีที่แล้ว +1

      Umeona hee kwanza ni mtafutaji balaa na hawezi kuwa na usenge huo

    • @charlesmtitu5606
      @charlesmtitu5606 ปีที่แล้ว +1

      Kwan ilo swala la kuliwa si alisema yeye so kama kweli au uongo anajua yeye

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 ปีที่แล้ว +4

    Mungu nisamehe KwA yote naomba mtoto wAngu.asiwe.ivi

  • @bonnymwajombe779
    @bonnymwajombe779 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mpangwa mwenzangu sisi wapangwa washamba sana nami pia ni mshamba kwelikwel

  • @saidkifaranga1483
    @saidkifaranga1483 ปีที่แล้ว +6

    Hii Nchi haya mambo yameanzia mbali sana na Tujitahidi kwenye malezi Ili watoto wetu wasije kua kama huyu Hakika Rubeni ni msiba mkubwa sana

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 ปีที่แล้ว +5

    Eti hongera kwalipi kwA uzinzi😁

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 ปีที่แล้ว +6

    Kiswahili Cha iringa hicho

  • @rachellawrent2325
    @rachellawrent2325 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Kaka napenda vichekesho vyako

  • @mohammedkombo3727
    @mohammedkombo3727 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaandishi wa habari mtaelewana Nae tu Rubeni simbali Sana

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika wewe mwenyewe unashindwa kujizuia hadi unajicheka mwenyewe

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimecheka yangu yote Yani wewe Rubean Hakika wewe ni komesha kweli

  • @evankya1955
    @evankya1955 2 ปีที่แล้ว +6

    Ndugu mtangazaji jasho lazima limemtoka😂😂😂

  • @sharifaoctavian6478
    @sharifaoctavian6478 ปีที่แล้ว +1

    Ujue nimecheka eti tuko biz na maisha yetu halafu uje tu uanze kutulea how

  • @purityangle
    @purityangle 2 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mungu wangu Ruben jamani umenimaliza

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu luben anachekesha duh

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 ปีที่แล้ว +4

    Napenda huyu jamaa anaposema mm niko single

  • @tumaininyambita5002
    @tumaininyambita5002 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli hakika ufuluge na maswali ya mtangazaji

  • @faridhassan2308
    @faridhassan2308 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaa Safi Sana eti hongera ya uzinzi 🤣🤣

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 ปีที่แล้ว +2

    Jaribu kutofautisha R na L. Ruben sio Luben, sio Stoli ni Stori. Tusiaribu kiswahili. Pls…..

  • @elizabethndugwa2020
    @elizabethndugwa2020 2 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂😂😂Ety hongera ya uzinzi

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Mbona anarembua sana aibu nyingi Sana

  • @tanunewstz
    @tanunewstz ปีที่แล้ว +2

    Hakika 😁🤠

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว +16

    Hakina ni mafta ya taa. Huyu ni kiboko ya waandishi wa habar wanafki. Bila kujipanga lazima akutoe jasho la meno

  • @frankedwin8091
    @frankedwin8091 2 ปีที่แล้ว +10

    Majibu ya huyuuu jamaa bhana ni comedy saaaaana

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa mkuu

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ndoa ni taasisi maalum

  • @sarapart2nasimiyu157
    @sarapart2nasimiyu157 2 ปีที่แล้ว +4

    Kuna show ulikuwa unahojiwa pale Oyo TV nikikumbuka vizuri sana ulisema uko na mtoto mmoja wa 9yrs na hapa leo umesema uko nao 3 so which is which

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 ปีที่แล้ว +1

    Chokooo

  • @gracealbin8247
    @gracealbin8247 ปีที่แล้ว +1

    Hongera lkwa uzinzi 😀😀😀

  • @YasmeenKhalifa-zq1zk
    @YasmeenKhalifa-zq1zk 7 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana unavyojibu

  • @JohnThomas-zk7fe
    @JohnThomas-zk7fe ปีที่แล้ว +1

    End of the world

  • @everlinekikwesha7032
    @everlinekikwesha7032 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimecheka miee🤣🤣🤣jamani uyu kaka!🤔🤣

  • @monicamushi5192
    @monicamushi5192 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Kaka anajua kuwadanganya hahahaaa

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kila siku akihojiea anabadili story na zote zinafanana na ukweli, maana alishawahi kusema alikuwa anafanya biashara kati ya kenya na Tanzania ndio maana anaongea kama mkenya sasa leo anasema alikuwa mfanyakazi wa ndani

    • @leilaathumani3611
      @leilaathumani3611 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@davidcurtis8556huto wahi kumuelewa comedy hata siku moja we kama humpendi jitoe sisi tuna mpenda❤️❤️❤️

  • @Dantaata
    @Dantaata ปีที่แล้ว +2

    kumbe ni shoga kweli dah

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +5

    Safi sn uckubali kuitwa mijina ya ajabu2.Mijitu insbadilidha majina walopewa na wazazi,halafu jina analojipa haliendani nae kabisaaa?

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 ปีที่แล้ว +4

    ...nafurahi chap chap😂😂😂😂

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji kwenye R na L ni mtihan ni Hakika Ruben na vyo hakika lubeni na ni Really na cyo lealy khaaaaa

  • @hannahkamau85
    @hannahkamau85 2 ปีที่แล้ว +4

    Akoje jmni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anachekeshaaa Yani majibu yake..eti mi siko nao wote

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 ปีที่แล้ว +3

    Huyu fala akili zake anazifahamu mwenyewe 😂😂😂😂😂😂

  • @nurukwilabya2790
    @nurukwilabya2790 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika miyeyusho xana 🤣🤣🤣

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaaaa nimemkubali😅😅😅😅

  • @kassimrajabu56
    @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji bhana “Hakika Luben”??

  • @munnaibrahim5311
    @munnaibrahim5311 2 ปีที่แล้ว +5

    Chizii huyuu🤣🤣🤣

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nishoga kwamtazamo Wala haitaji vipimo

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 ปีที่แล้ว +1

    Eti Hakika Luben? Please.

  • @happinessshilie4019
    @happinessshilie4019 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahah familia iliyosambaratika yaani

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu alisema kwenye maxmum tv eti ako na mtoto mmoja leo anasema ako nawatu

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว +3

    Hapa tu akiojiwa anachekesha hahahaha

  • @GetrudeAmos-ec4oe
    @GetrudeAmos-ec4oe ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana 😅😅😅😅 et na mimi nilikuwa natukana wasaniii😅😅😅

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kwa hiyo huna kabolo,mmmm kwema

  • @mwanahhassan9685
    @mwanahhassan9685 2 ปีที่แล้ว +2

    Hehehe ayo majibu jaman

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani huyu mkaka nampenda atanibasi

  • @foncetecelectricalandelect34
    @foncetecelectricalandelect34 2 ปีที่แล้ว +4

    Hamna mwanaume hapo

    • @kiyage
      @kiyage 2 ปีที่แล้ว

      mchicha mwibs😀😀😀

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa simuelewagi kabisa, nikiona clip zake tiktok hua napita zangu

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 ปีที่แล้ว

      nilijua ni mimi tu

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆😆😆✋

    • @paulomichael3657
      @paulomichael3657 15 วันที่ผ่านมา

      Sasa huku mmefuata nini mbona hamjapita na mmecoment

  • @swaumamiriy2234
    @swaumamiriy2234 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa lipi 😄

  • @goodhelpnolland6792
    @goodhelpnolland6792 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa majibu yake hayaeleweki yupo kama dishi lililoyumba

    • @Jostany
      @Jostany ปีที่แล้ว +1

      IQ yake ni kubwa .... Its hard to understand

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 ปีที่แล้ว +6

    Yaani weweee kaka umenichekesha kweli eti unataka ushauri wa mtangazaji kusudi ukawaambie wazazi wenzio km mtangazaji kasema hivi🤣🤣

  • @Sunshine_Amy
    @Sunshine_Amy 2 ปีที่แล้ว +3

    I wish naeza njua kuongea kama Reuben🤣🤣🤣soo funny

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaan haeleweki

  • @josephkanuda7464
    @josephkanuda7464 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah kaka wew noma ety hahahahaa hii imenichekexha!!!!!??

  • @elizabethwambua6688
    @elizabethwambua6688 2 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya uko fiti

  • @mariamezialor8911
    @mariamezialor8911 ปีที่แล้ว +1

    Sio Luben ni *Ruben* Luti au Route. L & R kazi ipo...

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 2 ปีที่แล้ว +4

    muhehee halisi

  • @pracxedismathias5555
    @pracxedismathias5555 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza muulize kinasa ni nani?

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂Wee... Ruben mjinga ww ati waje wakae tuongee nini😅

  • @joycemaluchila1463
    @joycemaluchila1463 ปีที่แล้ว +1

    Hakika unanifurahisha kwa majibu yako

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni machepele sana

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว +3

    Haaaahaaaaaahaaaaa eti utasababisha nikose madanga.

  • @yuvenaliramadhani6993
    @yuvenaliramadhani6993 2 ปีที่แล้ว +2

    Matangazaji kiswahili chepesi kama hukijui utapata shiida semaa mm nimesoma mpaka la 3 huyo atakua tim ya wale jamaa zetu .............!!!!

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 ปีที่แล้ว +1

    Mvulana wa ndani 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @qwueenalimoja9071
    @qwueenalimoja9071 ปีที่แล้ว +1

    Unachekesha wejamaa

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 ปีที่แล้ว +2

    Kuchangamshana😂😂😂😂😂

  • @hlimaabdullah9565
    @hlimaabdullah9565 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hakika🤣🤣🤣🤣🤣

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 2 ปีที่แล้ว +9

    Jamaa kweli mzinguaji , alafu majibu yake sasa anayajua mwenyewe 😄😄😔😄

  • @upendohalisi5763
    @upendohalisi5763 2 ปีที่แล้ว +1

    Siwi nao wote, hicho kiswahili Hakika !! Tutaongea badaye.

  • @leilaathumani3611
    @leilaathumani3611 7 หลายเดือนก่อน

    My lavu😂😂😂😂 tunavyo kupenda

  • @umibana6759
    @umibana6759 2 ปีที่แล้ว +4

    Anaringa saana anajiona star sana , na tajiri saana

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaan hayo majibu c mchez

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtu wa Iringa kabisa huyu.

  • @zawadimrindoko6782
    @zawadimrindoko6782 2 ปีที่แล้ว +2

    L na R jaman 😓😓😓😓😓😓

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 ปีที่แล้ว +1

    Usije ukavaa kanga aibu na ukatingisha ,mmmmh aibu baba.

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nimecheka mm et niongee nao nn

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว +8

    🤣🤣🤣wacha nicheke kweli huyu ni chizi fresh 🤣🤣🤣

  • @agnesdidas2790
    @agnesdidas2790 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe nikweli

  • @maxyramey1213
    @maxyramey1213 ปีที่แล้ว +1

    unakikana adi kihehe chako

  • @priscaphedrick5970
    @priscaphedrick5970 ปีที่แล้ว +2

    Rubeni nimmoja wa wale watu wenye akili nyingi

  • @cyrekaaikanem7735
    @cyrekaaikanem7735 ปีที่แล้ว +1

    Kweli,huyu kaka kama hayupo sawa, na ukiwa imesambaratika kwa famili,lazima akili isambaratike pia.

  • @Ynah-dg2th
    @Ynah-dg2th 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan hakika mtangazaji akileta dharau nayeye anamfanyia dharau kwel ni mwana sikolojia

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnyakukolo huyoooo

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +1

    Ukimuimbia MUNGU alafu ukaacha lazima uwewuke huyu kawewuka ushauli wangu amludie MUNGU

  • @agnesdidas2790
    @agnesdidas2790 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe uyu jamaa Nishoga kweli

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Luben

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 2 ปีที่แล้ว +6

    Ruben miyayusho sana🤣🤣🤣🤣

  • @mohamedsuleiman3611
    @mohamedsuleiman3611 2 ปีที่แล้ว +1

    Chakula kwl

  • @najimahgomez1525
    @najimahgomez1525 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaa pozi kama zoteee

  • @zinatyben
    @zinatyben ปีที่แล้ว

    Et hongera kwa uzinzi😅😅😅😅

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว +1

    Mh: huyu mazingira tu yanajionyesha