Nikweli mwaduke nakusifia sana Unajua kuchambua sana mpila Ndomana una itwa mzee wa data wachambuzi wengi hawajui kuchambua mpira wao wana angalia kipiga mashuti na kudaka na mungu akubaliki sana
Tatizo wachambuzi wengine hawaipendi kazi yao, akitoka studio anakwenda kunywa bia, hawana muda wa kusoma kutafuta data, kuangalia replays na kuchakata data wenyewe wanataka kila kitu waletewe mdomoni, mfano mzuri viwango vya CAF, bila huyu jamaa hakuna mchambuzi yoyote aliyewahi kutufundisha somo hili, apewe maua yake Maestro Mbwaduke
Wape madini kaka Mbwaduke nakukubali sana kwani kuna wachambuzi hawana akili kabisa ni vilaza wakufa mtu mfano Jemedari Saidi huyu siyo mchambuzi kabisa ni kilaza fulani hivi hajui lolote yeye ni kuongea ujinga ujinga tuu tena kama anakusikia anapaswa achukue daftari aandike awe anazipitia aache ukilaza pumbavu zake.
boresha presentation skills yako, unapotaja dakika na tukio (mfano umetaja dk ya 4 na dk ya 10 etc) badala ya kulazimisha viewers ambao hawakuangalia mechi ku 'ota' inapendeza ungeincorporate clip husika. utumiaji wa ubao uko sahihi kwenye kutoa statistics na personal view. all in all great content.
Safi sana brother. Wambie awo
Nikweli mwaduke nakusifia sana
Unajua kuchambua sana mpila
Ndomana una itwa mzee wa data wachambuzi wengi hawajui kuchambua mpira wao wana angalia kipiga mashuti na kudaka na mungu akubaliki sana
Upo vizuri tunakukubar uchambuz muzur san
Uko sahihi brother
Barikiwa sana
Ur the best uncle Rama ❤❤❤
Upo vizur father
Huyu camara nihatari❤❤❤❤❤❤
Wape madini wachambuzi wengi hawajui.
Tatizo wachambuzi wengine hawaipendi kazi yao, akitoka studio anakwenda kunywa bia, hawana muda wa kusoma kutafuta data, kuangalia replays na kuchakata data wenyewe wanataka kila kitu waletewe mdomoni, mfano mzuri viwango vya CAF, bila huyu jamaa hakuna mchambuzi yoyote aliyewahi kutufundisha somo hili, apewe maua yake Maestro Mbwaduke
Wawooo 👍☺️
Wambie mzee wa data ubaya ubwela Simba nguvu Moja
Wape madini kaka Mbwaduke nakukubali sana kwani kuna wachambuzi hawana akili kabisa ni vilaza wakufa mtu mfano Jemedari Saidi huyu siyo mchambuzi kabisa ni kilaza fulani hivi hajui lolote yeye ni kuongea ujinga ujinga tuu tena kama anakusikia anapaswa achukue daftari aandike awe anazipitia aache ukilaza pumbavu zake.
Kazumari sijui anafuatilia hii. Maana anatapika na kuharisha tu hajui anachokiongea. Amekariri vitu badala ya kuelewa😂😂😂😂
Wafundishe hao wachambuzi uchawa.
Doh umetoa siri sasa 😢
Endelea kuwafungua walio fumba haswa na wachambuzi wengine
Ni kweli kaka Kuna watu wanajiita wachambuzi lkn ni vilaza balaa naona Tena hawafai kuitwa wachambuzi bro
boresha presentation skills yako, unapotaja dakika na tukio (mfano umetaja dk ya 4 na dk ya 10 etc) badala ya kulazimisha viewers ambao hawakuangalia mechi ku 'ota' inapendeza ungeincorporate clip husika. utumiaji wa ubao uko sahihi kwenye kutoa statistics na personal view. all in all great content.
Na wewe boresha kukosoa Kwako.
@@bartinkahenga1196 🙏