Hongereni sana wote mliohusika kwenye huu Wimbo, Its a very nice song. TZ deserves more like this. MKIMUONA LOUI MWAMBIENI THIS BANGER IS INTERNATIONAL.
This is what we call International music, Loui is one of the Best musicians to happen in Tanzania but most people don't consider him. His Melody is very International and penetrates every Person's ear. He is the Talent❤❤❤🎉🎉🎉
Tanzania kuna wasanii wa kutazamwa sana kama loui ni msanii mkalisana king🤴 mzk 🇹🇿 🇺🇸🇿🇦🇧🇮🇦🇺🇧🇫🇦🇼🇦🇿🇦🇽🇦🇩🇦🇩🇧🇲🇦🇿🇦🇹🇦🇿🇧🇩🇨🇩🇨🇦🇩🇰🇨🇻🇨🇼🇨🇽🇧🇷🇯🇲🇰🇪🇮🇹🇮🇪🇬🇾🇰🇬🇭🇳🇭🇷🇮🇴🇯🇵 namuona mbari sana mimi ni msanii ila loui mimi ni shabiki yake kweli kweli 🎉🎉🎉🎉
Let the mainstream guys know you're one of the best kaza mwanangu loui we mkali🎉🎉🔥🔥
Kama una amini verse ya Chino Kuna mkono wa Mavoko unehusika acha like hapo
Hahahaha yawezekana.
mnajua kudadisi vitu 😂
Loui finally got his youtube password 😂😂😂...🔥🔥🔥 loui umeua🎉🎉
Sio mbaya umeuwa
Daah nilivoskia Luoi anavyopita nikasema yes anajua Sana Ila alivoingia Chino nae daah aise wote hawa ni wa moto Sana kila mmoja kapita kijuaj Sana
Hii ngoma ya kidunia
Bro nyinyi ni wa moto mm huwa nawafuatilia nilishachunguza nikagundua uwezo wenu ni mkuwa Sana kwenye kuimba
@@VicentSimon-n4p nakubali!!
Hongereni sana wote mliohusika kwenye huu Wimbo, Its a very nice song. TZ deserves more like this. MKIMUONA LOUI MWAMBIENI THIS BANGER IS INTERNATIONAL.
Loui flows like a Nigerian singer so talented 🎉🎉
Walioona chino amepita na pigo za mavoko like hapa
Yeah😂😂😂😂
This is what we call International music, Loui is one of the Best musicians to happen in Tanzania but most people don't consider him. His Melody is very International and penetrates every Person's ear. He is the Talent❤❤❤🎉🎉🎉
Huyu Jamaa Yuko Very Underrated...Mchiz N So Talented 🙌🙌🙌🔥
Kali sana hii game kuna watoto wanaimba sana mpaka wakubwa wanakunja❤❤❤
Unyama wa hawa vijana Sio wa bongo ❤❤ views 100k hawatoshi
Loui talented singer ,my best artist of all time (goat) for me .kaka mapiano unayajua alafu kama utumii nguvu🔥🔥🔥
Tanzania kuna wasanii wa kutazamwa sana kama loui ni msanii mkalisana king🤴 mzk 🇹🇿 🇺🇸🇿🇦🇧🇮🇦🇺🇧🇫🇦🇼🇦🇿🇦🇽🇦🇩🇦🇩🇧🇲🇦🇿🇦🇹🇦🇿🇧🇩🇨🇩🇨🇦🇩🇰🇨🇻🇨🇼🇨🇽🇧🇷🇯🇲🇰🇪🇮🇹🇮🇪🇬🇾🇰🇬🇭🇳🇭🇷🇮🇴🇯🇵 namuona mbari sana mimi ni msanii ila loui mimi ni shabiki yake kweli kweli 🎉🎉🎉🎉
Goma kaliii sana..
Diamond angemsign Loui V ingependeza zaidi.
Louii ni noma sana
Kabisa pesa ipo apa🙌🏼
@@emanueldanstan8904 kweliii kabisa
Ashesainiwa na label nyingine inaitwa tamali
@@collinndabi1914 Aisee hapo sawa..
Wanatakiwa wamfikishe mbali maana jamaa anajua sana..
Udini kaka shtuka😅
Mungu akufungulie milango LOUI kurudi kwako usikae kimya my favorite artist AFROBONGO to the world ✊✊
Melody imeubeba sana huu wimbo❤🔥
Loui fundiii 🔥🔥🔥🔥🔥 tunaomba audio yake pekeee, hii haifai kwa redio inavyoanza kama muvi
Sweet piano ❤😊🔥🙏
Loui unasauti nzur Sana mzee very talented,ngoma kali
My brother @loui V unajua sana big up bonge la ngoma
It's Loui again🔥🔥Chinnnnooo✅
Ngoma kalii sana , video inaisha vzuri sna😂😂😂😂🎉🎉🎉 damn loui & chino
Mufasa Mufasa Mufasa i called you three times nakuona mbali my brother 🔥🔥
🙏🏽😎
@@Visiormufasa bro mikono yako Iko blessed 🙏🔋
th-cam.com/video/zifZUMjys0k/w-d-xo.htmlsi=yhekSRPFkZQFrF0C
Oya kak umetiisha Kwa hii ngoma yako kinoma noma aise imenivutia sana❤🎉
Chino umeuwa sanaa kwenye ngoma yako mpya inaitwa maunyama losany
#Loui Hatimae umepatikana, sijui ulikuwa umepotelea wapi!!!!❤❤❤❤❤.
Sema hii ngoma nzuri sana, ila sidhani kama itapata promo kaka 😢😢
shida ni hiyo kiukwel ngoma kal sana
@@VicentSimon-n4p umeona na wewe kumbe, jamaa anakipaji cha kuimba sema shida hana promo.
@@RamadanPaul nyimbo nzuri ila daah mziki anaujua lakin atawika Loui hapo ikiwezekan washirikiane tu
mama yaaaaaaaangu🔥🔥🔥🔥🔥
This is international song mzeee kali mnoooo
Number one in Tanzania is loui
Hatimaye goma letu limeingia trending 💯💯💯
Bonge la ngoma loui v umeua Chino una improve kweny kuimbq kila day broo
Nimeipenda hiyo hello ya Chino 🔥
❤❤mume wangu analudia mpaka nasema inatosha ngoma kali International voice 😊
Beutiful Song wit de visual ❤️🔥
Loui v Goma la mwendo 😍
Wa kwanza ku toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
congo ya babaako au
African to the world we take it to the next level
Ngoma kaliiii, everything in this is international level ,🔥
Pamoja homeboy, keep it burning buddy
Dah hii video noma umeuwa sana bro Loui
Kaka nakuona mbaliii mnooo we jamaaa niwambelee kabisaa huko
Vocals💥🔊mziki unahishii
Noma snaa ,,,,broo sawaaa🦍🌪️✊🏽
Unyama sana hili goma Lina vibe flani hivi ya kutulia 💯
Chinno humu umeua sana,,,hamna kelele😂😂
Producer u murder this Volume 100
Aaah nomaaa hii sound jamn ❤️🔥🔥🔥🙌🙌
😮😮😮😮😮 Producer anajua hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thank You Loui and Director Mufasa for the Epic Music Video
💪🏾
World class music 🔥
Hello ,,,😮.chino wanaman boss's kama boss .Hamumuezi huyu mwanangu na ngoma yenyewe yaeza pia❤❤❤🎉🎉
This man 🔥🔥🔥
Just another day in louis's universe...what a banger!!🔥🔥
Loui fire🔥🔥
🔥 loui you kill it🎉
Onr of the best lowkey artist LOUI V
Kazi nzuriii sana🔥🔥🔥🔥🔥💪
🔥🔥🔥 mkuu hio ni kali but usinyamaze tena ingne baada ya ingne 🔥🔥👊👊
Im looking for somebody 🔥🔥
Dah.... Nomaaa 🇰🇪🔥🔥🔥
Loui unaimba mziki mkubwa sana huu wimbo mkubwa sana lakin mbona 🔥🔥🔥
Loui umezaliwa bongo bahati mbaya kaka🔥🔥🔥🔥
bonge la ngoma loui $ chino
mtake 👊
Don't what you're doing brother you inspire many people, congratulations for the beautiful song I wish you luck🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Real music bro 🙌
Bonge la mziki🔥🔥
the melody is so sweet, especially chorus🙌🙌
Loui nakubali uliingiya vizuli sana💐💐💐
Tuipandishe trending 🔥🔥
Kali🔥🔥🔥
Director visior mufasa 🙏best content ❤️❤️
Ah dogo noma! 🥵
Mmetisha sana pia director kaua kinoma🔥🔥🔥
Kali Sana Chino🔥🙌
Fire burning uwiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daaa hii Loui angeimba mwenyewe.....
Too much fire!!. 🔥 🔥 🔥
Chino killed this ❤
Loiu v Dua 🎉ameua sana kamamm
Unaweza sana mwanangu💥💥
Imeenda hii ngoma imekaa sawa sana✌️🔥🔥
Bonge la hit song hawa ni next level 🔥🔥🔥
Mufasaaa kauwaaaaaa umu ndan mamaeeeeh😅💥💥💥💥💥
Nyimbo kali sanaaa naipiga kila siku
Luoi akikutana na chino hua ni balaah💯☠️
Tuko hapa kwa ajili ya mziki mzuri 💯💯🔥
Hii ngoma kali sana
Hatmaye chino akaimbaa🔥🔥🔥🔥🔥
Bora nitukane tu huyu msenge loui anajua tu ila wanamuhudumu uchumi tu
Loui unajua sana 💯
It's Loui again 🙏🙏👍👍👍👍
Nyimbo bora ya kufungia mwaka❤
❤❤❤❤❤ naikubar saba hii nyimbo
Kama afrobeat kabisa
Open verse n nyokoooo sana🙌🙌🙏lui
Your so amazing🎉🎉
This guy brings the traditional spirit to the world when he sings🔥💯👀
Jamaa linajua hiliii daa, na Chino naye kaingia na kizungu aminia
Story kaliii sana nimeipenda 😂😂😂😂 kama apo mwisho aaaaa! dogo noma katisha😂😂😂😂sana
Daaaaa noma
on point!
Moto ni moto wimbo bora muna juwa .sana 🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇨🇩🇧🇸🇧🇼
🎉🎉🎉vizuri sana