Asante saana kpnz nafatilia saana video zako na matokeo nimepata nilikata tamaa kwa sababu nywele ilikuwa haikui lkn kwa sasa nimezingatia ushaur wako na sasa naipenda nywele yangu Ubarikiwe saaanaaa🙏Grace
✔️Tumia African black soap kuosha nywele ✔️hakikisha unapaka mafuta mepesi kwenye ngozi kila siku ✔️osha nywele kila baada ya wiki 2 (zingatia kusugua ngozi ya kichwa)
Dada nakupenda Sana
Nmekuza nywele mpaka wananishangaa Kwa 1month❤️♥️♥️♥️🙏
Hongera sanaaa dear. Endelea kuizitunza hivo hivyo 👏👏👏
Asante sana Mimi niko na nywele izo .
Asante saana kpnz nafatilia saana video zako na matokeo nimepata nilikata tamaa kwa sababu nywele ilikuwa haikui lkn kwa sasa nimezingatia ushaur wako na sasa naipenda nywele yangu Ubarikiwe saaanaaa🙏Grace
Karibu sana mamy nafurahi kusikia hivyo. Endelea na matunzo dear, zitazidi kupendeza
Habar dada, nimependa maelezo yako nimefurahi sana, nina nywele ya aina hiyo. Mungu akubariki kwa elimu ya wazi
Nipo hapa mdogoangu mzuri nasubir somo
Karibu mumy,,, somo linakaribia 😍
Nshakaribia mrembo wangu,maana nywele zangu zimenywea hatari
Hair conditioner kwan unapak kama mafut au unapak unaosh
Leave in conditioner huoshi ni kama mafuta. Ila deep conditioner unaosha
usauru wakonimzuri nywele zangu sikuhizi zinavuti zimejaa
Hongera sana mamy
asate ❤️❤️
Mm nina mmba jmn haushi ninawez nipake steaming nioshe vizur lkin mmba
✔️Tumia African black soap kuosha nywele
✔️hakikisha unapaka mafuta mepesi kwenye ngozi kila siku
✔️osha nywele kila baada ya wiki 2 (zingatia kusugua ngozi ya kichwa)
Sikuiz nipo makini na videos zako,zimefanya nipende nywele zangu,ni wiki tu nmekuzingatia Ila napenda zilivo mda huu
Asanteee sana mamy. Kweli ukizingatia nywele lazma ipendeze. Hongera sana dear
Dada unauza hair products nataka mm jmn
Karibu dear zipo. Wasiliana nasi 0764986838
Mimi nina chebe power naweza kutengeneza hivyo
Ndio dear inafaa
@@gracebimz7935 poa ngoja nitengeneze
Dada nahukuru xan kupitia video zako nywele zangu ziko vizur xana Mungu akubariki
Asanteee sana dear. Endelea na matunzo. Tuko pamoja🥰🤝