Aiseee kawimbo katamu afu kafupi nmekapenda ...... Bahezwa a mashavu sasa hahahhahhahahha👍😇😇 Hongeren sanaaa kwa ubunifu mtoe nyngne kama hiii ila iwe ndefu😋👏👏👏👏👏🥰❤
❤❤❤kaka nyie ni hatar love much haya ndo mambo tunayoyataka af kaka shimanyi utafika mbali kwa uwezo wake anakuonakuona unavyopapamba kwa ajili ya taifa lake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Who else saw this beautiful song on TikTok and rushed here to subscribe and listen... I love it... Proud catholic.
Nimecheka mpaka bassssssss
Lazima niiweke ringtone ya simu yanguuuu nimeipenda sana
Barikiwa kaka
Shimanyi the G.O.A.T
Mungu akubariki sana🙏🙏
Asante sana kaka
Dunia tofauti hii. Duh! Hii nitawasikizisha wanakwaya wangu. Mungu awabariki
Asante kaka
Nimekuja kujua baadaye sana kama kinanda hakijatumika😀😀😀😀😀 aloooh
Mungu ni mwema
Naisikia sauti ya mjukuu ntilili ntalantala,kazi nzuri hongereni sana
Asante bibi
Walaiii SIjawai ona hii creativeness good work wakuuu wangu
Asante sana barikiwa
Nimeirudia zaidi ya mara 3 jomon u did the best ......it sound nice and nice message to give thanks giving
Big up, we are glad to hear from you
Dah nimefurahia sana ubunifu mzuri kazi nzuri kaka zang
Amina sana
Aiseee kawimbo katamu afu kafupi nmekapenda ......
Bahezwa a mashavu sasa hahahhahhahahha👍😇😇
Hongeren sanaaa kwa ubunifu mtoe nyngne kama hiii ila iwe ndefu😋👏👏👏👏👏🥰❤
Asante sana
Shimanyi Mungu anakuonaaaa... Kyyyy.... Nimependa
Asante kaka
Arrangement ya juu mno shukran kwa kunibariki na huu wimbo
Yaani kiukwelii ni ubunifuuu mkubwa ..hongereni
Asante sana
Jaman mungu anajuwa kuumba mbarikiwe sana kwa kila mmoja wenu mlojaariwa vipawa vya kumwimbia mungu na mungu azidi kuwatengeneza zaidi ya hapo
Kazi nzuri hongereni wakuu Nice
Lord is good
Hongereni sana mungu awabariki mmetisha sana
Asante sana
Good entertainment brooo
Mkuu shimanyi na kundi lako pongezi sana......ubunifu mzuri💥💥💥💥💥
Amina sana
Shimanyi F.M. balaa sana💪💪
Asante kaka
Nice song...be blessed....mmevunja mmebomoa aisee
God bless guys
I was born in catholic and I will die in catholic.
Hehehe you don't want to taste the sweetness of protestant 😂, you miss alot, me too I started as a catholic
Hongereni kwa wimbo mzuri....
Asante sana
Kazi safi sana. Mkakuzwe zaidi wapendwa
Hakika mmefanya ubunifu mkubwa ambao haujawah kufanywa hongeren Sana kwa kazi nzur
Waoooh mtimu shimanyi na pascko na wenzakeee hongereni kwa kazi nzuriii
Oh yes! Huu ndio ubunifu tunaouhitaji in our music..bro shimanyi and your team asee big up sana! Kazi proper sana
Your songs too are very exquisite ( Divine Voices) Pongezi
Asante kaka, zidi kubarikiwa
aaa hata wewe ni fundi haswaaa
Hongereni sana...@Fortune Shimanyi this is really sound engineering
Thank you so much
Chief🔥🔥🔥🔥🔥🤭,,,kazi safii hii
Asante chief
Kazi safi👏
Asante sana
Kwa kweli Mungu anastahili utukufu maana ametia ndani yenu creativity amazing, thankyuu
Mziki wa kisasa.. Sauti nzuri Sana. Hongereni na muzidi kutuburudisha. Baraka Tele
Asante sana
Sina budi ila kuwashirikisha ndugu na marafiki kujiunga nanyi kwa kutazama na kushare Muziki wenu.
@@dhahabuemmanuel5061 barikiwa sana
Wewe shimanyi wewe ni matata sana 🔥🔥🔥
Mungu ni mwema
❤❤❤kaka nyie ni hatar love much haya ndo mambo tunayoyataka af kaka shimanyi utafika mbali kwa uwezo wake anakuonakuona unavyopapamba kwa ajili ya taifa lake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I'm speechless kwakwel...Mungu awainue sana
Amina sana dada
Niseme nn juuu yahayaaaa mziki mzuri sauti nzuri ashukuliwe yeye muumbaji wa vyote
Wimbo mzur sana nimeshindwa ku download
Tamu sana 😋💥
Asantee
Vizuri sana kaka
Safi sana!👏👏👏👏
Fundi Shimanyi mpo juuu hongereni sana kazi nzuri mno💪💪👋👋🤝
Asante sana dada
Kilicho nifrahisha ni Ubunifu 👌💪 yaani wimbo Wote bila kinanda just beat na sauti😊 hongereni sana👏
Mungu ni mwema
Ubunifu kama huu ndio tunataka safi sana dingii kawimbo kazur na mpangilio mzuri 🔥🔥
Asante sana kaka tuzidi kubarikiwa
💥💥 nimependa kazi
Barikiwa kaka
Hapa hii kaka imeweza vinoma sana. Wah! Naomba ku join hii acapalla kakangu
Ha ha ha karibu sana kaka
Wewe Shimanyi wewe poa bhana,,,Mungu atukuzwe milele
❤❤❤🔥🔥🔥
🙏🏽
Sasa na mimi nitajiunga Cgen Pro on top💥🔥🔥🔥🔥
Karibu
@@cgenpro175 Asnte mkuu
Dah! Hakika nimependa ubunifu. Hongera sana aisee!
Ubunifu mkali sana huu. Hongereni ndugu zangu
Lord is good
😄🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Respect More May God Bless You
I am left speechless
Wow, nice
Heshima sana.... Heshimaaa.....
Hongereni mno. Mungu awabariki....
Bro Shimanyi... Creativity yako noma sana... Endelea kaka
Hongereni sana
Nimebarikiwa sana kazi nzuri congrats 👏👏
Barikiwa zaidi
🎉🎉wahoooooooho amakweli mungu ana achilia talata hasa muzijur kuzitumia ♥️♥️🥰🥰
Kaka unajua respect for uuuu
Duuuh aisee hongereni sana..special congratulations kwako bro Shimanyi..huu muziki ni mtamu sana aisee big up
Thank you bro
Super
Thanks
Halloooo 😂😂😂🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏... Congratulations big brothers
Thank you so much
Good job
Thanks
Hii umejuwa yakipekee Kweli!! Naiwezw pia na Mimi kwa kuwa naifanyia mazoezi .
Sauti Bora🔥✨🔥 Beat la kipekee 💪 Fortune Shimanyi hongera Sana!
Lord is good
Wimbo wangu wa kuamsha majirani asubuhi ,hongereni saaana Yesu awakumbuke
wavutia sana💯creative sana
Thank you
Can I hug you guys🥰🥰🥰🥰I love you ♥️♥️♥️😭😭😭
You are warmly welcome
Daaah nakosa kizuri chakusema Ila sifa na utukufu ni Kwa Mungu
Why isn't this awesome song not on Spotify? 😢
Haujawahi kufanya kazi mbovu shimanyi
Asante sana
Wakaka mmetisha sanaaaa. Hongereni sana kwa ubunifu. Sifa apewe Mungu aliyewaongoza na kuwawezesha
Wow! Amazing talent! Asanteni mno!
huu ndio mfano wa mungu mwenyewe kuumba mibaba sauti za malaika mbarikiwe xana
Kazi nzuri Mwalimu Shimanyi
Asanteeee
Katamu sana...Hongerani sana
Amina
💫kazi nzuri sanaaaa...Mungu awabariki,perfect creativeness
Asante sana
Hongereni kwa ubunifu mzuri sana
Blessings ☺️
Very marvellous keep it up . Kazi nzuri Sana
Amen
Nimeuna siku ingine mwezi mpya na mwaka mpya asante Mungu
Huu wimbo ni fire, nimeutazama more than 50 times mpaka sasa
shimanyi nimekubali inatisha Mungu aendelee kukupa nguvu ,uendelee kumtumikia.
🎉🎉🎉kitu kizuri nyimbo tamu sanaaa God bless you 🙏 ❤
Barikiwen wote Sana nmeipenda Sana mko good
Hongeeeniii team shimanyi na wengine ,kaziii nzurii Mungu awabariki sanaaa❤
Nice work blood @paschal 💪
Barikiwa
✌✌✌✌
🙏🏽
Teacher shimanyi huna baya brother nakukubali sana Mungu akubariki sana
Waoooooo big up shimanyiii mungu akutunzeee tumia kipaji chakooo vemaaa
Nawapenda Sana Waimbaji...tarararang😜
Asante kwa utunzi mwema wapenzi ndugu Watanzania
Asante Judy
This is really nice
Thank you
Congratulations, ubunifu wa Aina yakeee Aiseeee
Aloooooooo! Mko vizur 🙌🙌🙌👏👏👏👏
Asante barikiwa
Beautiful song ur so creative
From tiktok 🌹
Nimebaki nikiusikiliza huu wimbo mara kumi kumi, hongereni Sana Mungu azidi kuwa nanyi daima.
So smart yaani hadi interlude mnatoa kwa kuimba iko top
Pongezi kwenu Mungu azidi kuwazishia. Baraka kwenu piaa
Da, wimbo mzur sana mbarikiwe 🥰