Toka nimekufahamu ni zaidi ya miaka 2 kweye game la hip-hop we Dunia nyigine sema hao wadwansi wanajifanya Kama hawakujui one watakukuelewa!!! Kaza hakuna kuwapa chance!!!
we nimkali kinoma ila ukipenda kumdiss unju na unachana kama yeye ni unafiki mmoja mbaya, unju inafaa nivigumu sana kumdiss unju alf tu mtu akubali unaharibu
Napenda kuskilizla man we nimkali inaafaa tuskie verse za shout out kwa unju ili tujue uko real, sio unachana kama unju afu unasema noorah nangwair ndo wamekuinpire ni ukuma unazingua
Kwan kuna siku nilijitokeza hadharan na kukana juu ya uwezo wako kwa ujui...una lolote? Bs km sikusema maneno ayo jib litakuw vuce versa we ni zaid ya muandish zaid ya marapa ktk rappers wng 10 bora wa bongo
Toka nimekufahamu ni zaidi ya miaka 2 kweye game la hip-hop we Dunia nyigine sema hao wadwansi wanajifanya Kama hawakujui one watakukuelewa!!! Kaza hakuna kuwapa chance!!!
Ni ya moto Sana hii kila mstar ni konzi...
Dah kweli nimeamin naty mshkaj anajua
Sharaout mboka boy
Blessings Kaka mkubwa 🙏
Cholo Mwanga💪💪💪hii ni kubwa Kama kawaida yetu......mjuba ambaye hajawahi kutuangusha fans wake🙏🙏🙏🙏
Umeonae jamaa yuko moto sana
Heshima kwako Kaka mkubwa 🙏
sawa mzee cholo tunapita walipo bana kivyovyote
Amini kwamba Kaka mkubwa 🙏
Tuna kukubali sana chol
we nimkali kinoma ila ukipenda kumdiss unju na unachana kama yeye ni unafiki mmoja mbaya, unju inafaa nivigumu sana kumdiss unju alf tu mtu akubali unaharibu
Nakukubali sana ndugu yangu
Hujawai kukosea kaka mkubwa respect for you
Heshima kwako Kaka mkubwa 🙏
Tisha Sana chlowize
Ni khataree #cholo
Nakubali uwezo wako
Kwa mistari iliopo humu kama vile ni Hiphop superstar mkubwa uwezo upo kaka
Good song good writer
This flow is money 💰
Mboka boy. 🔥🔥🔥
✊🏿✊🏿 Respect brother... ikiwa ni Mwanadamu chunga ulimi unapo ongea.... 🙏🙏🙏
Heshima kwako Kaka mkubwa 🙏
Sana kak😂
Motoooo
Keep it up bro
mwarabu kaacha kusali kaanza kuchana
Wow
Napenda kuskilizla man we nimkali inaafaa tuskie verse za shout out kwa unju ili tujue uko real, sio unachana kama unju afu unasema noorah nangwair ndo wamekuinpire ni ukuma unazingua
We nani kakwmbia me namdiss unju...usipende kuamini kila unacho kiona kwenye mitandao..kwaufupi tu ujue unju na ngoma nae na soon utaiyona .
@@cholobrighter104 for sure chollo ni we ni mtu mwingine tena
Mwambaaaaaaaaaaa 💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣cholo brighter
Sifa ya mbongo kupoteza muda😂 safi
Kabisa Kaka mkubwa 🙏
Ebana eeeeeee Huu mzigo 🌎
💯💯💯
Outstanding brother! Flow yako ni hatari sana..Keep on it, you one of the best!
Tisha sana wee jamaa. Hii kazi 💯💯✊🏿
Content nzito mnoo
Ni nouma Mkali 🔥🔥🔥🔥
🔥✌️✌️✌️✌️🔥🔥
Mhhh
Sawa professor
>>>🔥🔥🔥🔥 Umeuwa MWANA
Shukran Sana kaka mkubwa 🙏
we ni icon broo🔥🔥💪
Heshima kwako Kaka mkubwa 🙏
Appreciate Mwanakwetu
ebwanaeee nimekkbl sn bro
masha'allah 👌🏻
🔥🔥🔥 lit bro
😄😄🙌🙌
Over
Kwan kuna siku nilijitokeza hadharan na kukana juu ya uwezo wako kwa ujui...una lolote? Bs km sikusema maneno ayo jib litakuw vuce versa we ni zaid ya muandish zaid ya marapa ktk rappers wng 10 bora wa bongo
Heshima kubwa Sana kwako ndugu yangu
Motooo