MAMA WEMA Akimtunza Mwanae kwa Uchungu/Ampa Ujumbe Mzito!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #MAMAWEMA #VANVICKER #BIRTHDAYYAWEMA
    LIVE: Mama WEMA Akimtunza Mwanae kwa Uchungu!!
    Usiku wa Septemba 28, ulikuwa ni wa furaha sana kwa Muigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu ambaye alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.
    Hafla ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ameifanya katika ukumbi wa Mlimani City ambapo siku hiyo pia amezindua filamu yake yake 'Day After Death' ambayo ameshirikiana na muigizaji nguli kutoka Nchini Ghana anayeitwa Van Vicker.
    bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.youtube.com/... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
    globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 140

  • @prhairsalon314
    @prhairsalon314 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kutimiza miaka therathini, Mungu akuzidishie mingi mingine. Happy birthday.

  • @aminaabdi8078
    @aminaabdi8078 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah wema una mama mzuri sana anaktunguliza kwa Allah swali dadaangu nakuombe upate mume mwema akuongoze katika mambo ya kheri upate na watoto wazr Inshaallah.🔜

  • @aishajeshemtengea9884
    @aishajeshemtengea9884 6 ปีที่แล้ว +2

    Katika wote mama Wema umedamshi. Mungu ndio kila kitu. Mengine tutayaacha hapahapa duniani. Hongera

  • @minabw7301
    @minabw7301 6 ปีที่แล้ว

    Ooooh! Our Beautiful wema na mama mmependeza sana sio kama yule toloba waliokuwa wakimbabaikia Mungu akujazie Kheri beautiful Wema

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 6 ปีที่แล้ว +1

    This makes me miss my mother.....who is in heaven. ...congratulations wema

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 ปีที่แล้ว +5

    Pepo ya dunia ni Mama Mashaallah Wema auozi utabaki kua wema siku zote..Tz Sweetheart❤

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 ปีที่แล้ว +1

    MaashaaAllah zawad ya mama nzuri na ujumbe wake safi

  • @mwanaomanggg156
    @mwanaomanggg156 6 ปีที่แล้ว +28

    kutoka Oman wallah nimefurahi zawadi ya Mama ipo vzr lnshallah kwauwezo wamungu wema atavifanyia kazi

    • @saadsalum3253
      @saadsalum3253 6 ปีที่แล้ว

      Upo Oman sehem gan mwana

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 6 ปีที่แล้ว

    Machozi yame nitoka mama wema alivo Fanya kumzawadia mwanawe....pongezi Sana'a! mama wema na Mungu! Akubarik......ndugu zangu..tuuchukuwe mfano huu..wa mama wema.....Good Mother. I love you so so much

  • @upendomtui1790
    @upendomtui1790 6 ปีที่แล้ว +37

    Baraka huanzia kwa Mama

  • @mackayoubmsumar9671
    @mackayoubmsumar9671 6 ปีที่แล้ว

    Da wema uwo mswala usiuweke kando tu tumia mswala huo kuuswalia na kumuombea mama dua inshaallah mungu amuweke azid kukuongoza ktkt yaliyo mema

  • @nancyalusah8634
    @nancyalusah8634 6 ปีที่แล้ว +9

    Strong message from mama....Wema take it and use it wisely 🙏🙏🙏🙏

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah mabrook 2 all mama na mwanae u r the best 1 in Africa

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +41

    Mama Mungu akuweke jaman Mimi sina mama ila nikiona mama wa mwenzangu na mimi nakua na furaha 😍😍🙏🙏

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 6 ปีที่แล้ว +1

      Dah pole my mungu amuondolee adhabu ya kabri

    • @Blessj-bj5ns
      @Blessj-bj5ns 6 ปีที่แล้ว

      Acha tu Zainabu,mimi hupatwa na uchungu sana,Mwenyezi Mungu awarehemu wazazi wetu.

    • @zainabualtz1455
      @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว

      Shani Mbaruku Amen🙏

    • @zainabualtz1455
      @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว

      Blessj 2015 Amen😢🙏

    • @agnessjohn8404
      @agnessjohn8404 6 ปีที่แล้ว

      Zainabu al tz Al pole sana

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 6 ปีที่แล้ว +6

    Kunakipindi mtu unakuwa umekuwa kweli wema umekuwa hongera tulitegemeya utavaa mavazi ya kukuacha wazi mashalaah ungefunika na kichwa tena ahaa umetisha sanaa hongera

  • @thabujohn1256
    @thabujohn1256 6 ปีที่แล้ว

    Hongera wema kwa kumheshimu mama mama ndio mwenye baraka zote

  • @princessbiba8468
    @princessbiba8468 6 ปีที่แล้ว +3

    Wow mashaAllah mama wema nimeipenda tuu sana👌👌👌

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 ปีที่แล้ว +2

    SweetMother Mashaallah Mashaallah Allah Azidi kumueka Mamako lnshaallah

  • @nanaalphonce1188
    @nanaalphonce1188 6 ปีที่แล้ว +17

    Umehamua kumrudia mungu nin!maana hyo Nguo ya Leo inampa mungu utukufu

  • @selinatano4481
    @selinatano4481 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama hapo umenena maana bila mungu huwezi chochote kile ahimidiwe mungu aliye juu

  • @hajiriabdala8259
    @hajiriabdala8259 6 ปีที่แล้ว +4

    Wema huo msala sio pambo utumie vzr all de best

  • @dasaky2731
    @dasaky2731 6 ปีที่แล้ว +5

    Zawadi ya mama nimeielewa,Tuwaheshimu wakina mama jomoni😢😢😢

  • @pritymoraakirera5066
    @pritymoraakirera5066 6 ปีที่แล้ว +1

    Lovely

  • @munirahadrian6228
    @munirahadrian6228 6 ปีที่แล้ว

    Saaaana mama...Allah akubatoki angu u did good Mashallah

  • @azizaomari4348
    @azizaomari4348 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mama wema nimependa hiyo zawad

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 ปีที่แล้ว +8

    Umependeza sweetheart wetu❤️💋

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 ปีที่แล้ว +7

    Mnakazi kweli masikini basi mie mnaniacha hoi sherehe zenu mnachanganya ushetwani na mungu baada ya hapo mnaenda kusifiana pipe humuhumu utube ifike mahala muogopeni mungu msije mkaona labda tunawaonea gere muogopeni mungu au vipi wailizeni mashehe sherehe zinapaswa kuwaje hatari saana mama zetu.

    • @rosesaro4855
      @rosesaro4855 6 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna mkamilifu chini ya jua zaidi ya Mwenyezi Mungu

  • @hadija846
    @hadija846 6 ปีที่แล้ว

    Happy birthday dear Wema 💋 🎊 🎉 umependeza ile mbaya 😘 💕 😍

  • @selinamuhakho4812
    @selinamuhakho4812 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah zawadi nzuri kutoka Kwa mama

  • @adidjarams5196
    @adidjarams5196 6 ปีที่แล้ว

    Zawadi nzuri kutoka Kwa Mama Masha Allah

  • @Jolly_Jollyk
    @Jolly_Jollyk 6 ปีที่แล้ว

    Wow mama Asante

  • @yasintaswahasni4747
    @yasintaswahasni4747 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nimeipenda iyo wema kweli umekuwa

  • @maryamammar1702
    @maryamammar1702 6 ปีที่แล้ว +2

    zawadi ya mama ndio imekuwa kubwa Masha Allah ♥😍😘

    • @elieereka8744
      @elieereka8744 6 ปีที่แล้ว

      Mama wema hajaolewa eeeh Samahani kumbe anamtoto wema kila mtu akitaka kujifurahisha anachukuwa na tena kimenoga mashallah

    • @marammaram2589
      @marammaram2589 6 ปีที่แล้ว

      Ukopoa

  • @queenymaa8101
    @queenymaa8101 6 ปีที่แล้ว

    Dua ya mama hairudi ameen

  • @tishanagadya6911
    @tishanagadya6911 6 ปีที่แล้ว

    Maama wema we love you mwaaa....

  • @shifamtawala83
    @shifamtawala83 6 ปีที่แล้ว +2

    hadi raha mama ni mama apemaisha maref mama wem

  • @zuhurambonde7599
    @zuhurambonde7599 5 ปีที่แล้ว

    Jamani wema mama anakupenda mpaka naona wivu mie.

  • @ngemabohero2853
    @ngemabohero2853 6 ปีที่แล้ว

    kabisa mam umeongea kweli kabisa akuna maisha isokua na mitihani.

  • @shurayahnajjibah3438
    @shurayahnajjibah3438 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @hamisiali962
    @hamisiali962 5 ปีที่แล้ว

    love wema

  • @shalifadaudi8729
    @shalifadaudi8729 5 ปีที่แล้ว

    Imependeza sana

  • @salomeezekiel9025
    @salomeezekiel9025 6 ปีที่แล้ว

    hongera

  • @medissavero
    @medissavero 6 ปีที่แล้ว +1

    💗💗💗💗

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 ปีที่แล้ว +3

    Lovely hongera mama. Wema

    • @kingof9635
      @kingof9635 6 ปีที่แล้ว

      Kuolewa ni bahati muda haujafika

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa mama wema Nani kama mama

  • @sumahsumah8083
    @sumahsumah8083 6 ปีที่แล้ว

    Wema anapendana na mamaake ad raha

  • @maryammakungu8800
    @maryammakungu8800 6 ปีที่แล้ว +1

    mama wema hongera sana

  • @happymsuya3375
    @happymsuya3375 5 ปีที่แล้ว

    Da wema mung amjaaliy mama maana hapan chezey

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว

    mashaalhu mm wem🙏💔

  • @riziki2542
    @riziki2542 6 ปีที่แล้ว

    Mummy love wow😍😘

  • @aishajeshemtengea9884
    @aishajeshemtengea9884 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mama Sepenga wangu

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 ปีที่แล้ว

    Asante dj

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 ปีที่แล้ว +14

    Bora arudi kwamungu wema

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 6 ปีที่แล้ว

    Live long lf wema and ur mom

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna kama mama umempa zawadi nzuri na maneno ya kumbusha mungu

  • @sophiaomary6645
    @sophiaomary6645 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @zulfapeter6841
    @zulfapeter6841 6 ปีที่แล้ว

    Ongera madam wem

  • @rosemarysimon5914
    @rosemarysimon5914 6 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ni hbd tu jensiku ya harusi ndio balaa kabisa kwelinwema ni Tz swwetheart

  • @lucychande3963
    @lucychande3963 6 ปีที่แล้ว +24

    wanaosemaga Wema matako mchina ,Jamani mbona hata mamake ana mtako tuu,au nae mchina😁😁😁

    • @mgenikhamis3697
      @mgenikhamis3697 6 ปีที่แล้ว

      Binadamu uwa wameumbiwa kusema bt natako ya uko hayoo

    • @dotomohd9156
      @dotomohd9156 6 ปีที่แล้ว

      Wanafk2 wanyaturu wengi wana matako mihuutu hawana

    • @dullahjuma6137
      @dullahjuma6137 4 ปีที่แล้ว

      Mrs dulah au zena kihondo. Wanadamu wanfk na wvutu

  • @zuuhans5252
    @zuuhans5252 6 ปีที่แล้ว

    woow

  • @upendomtui1790
    @upendomtui1790 6 ปีที่แล้ว +6

    Waoooo

  • @neemaayams3922
    @neemaayams3922 6 ปีที่แล้ว

    amen

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 6 ปีที่แล้ว

    Hadi machozi inshaa Allah Wema Sepetu utapata Mme bora?

  • @manirakiza7504
    @manirakiza7504 6 ปีที่แล้ว

    Jamaniraha

  • @tinamchira6187
    @tinamchira6187 6 ปีที่แล้ว

    mama amkumbatia mwanae... hadi machozi ya furaha yamenitoka jamani... nakuombea nawe siku moja uje ukumbatiwe na mwanao....nakuombea sana wema naamaanisha ipo siku utanyonyesha....

  • @adidjasandy1233
    @adidjasandy1233 6 ปีที่แล้ว

    Moja tu kicwa wazi Bi wema Insha Allah utanyo oka

  • @axiommirgab882
    @axiommirgab882 6 ปีที่แล้ว +29

    Amependeza kavaa nguo zimemsitiri ukiwa mtoto wakislam hivi inapendeza

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna kama mama

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 ปีที่แล้ว

    Nimembuka mama jomon😄😄

  • @aishaomari1881
    @aishaomari1881 6 ปีที่แล้ว +1

    Wema hiyo nguo uliyoivaa hujapendeza

  • @fafabkr5832
    @fafabkr5832 6 ปีที่แล้ว +3

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🎂🎂🎂😍😍

  • @aminaomary1380
    @aminaomary1380 6 ปีที่แล้ว

    Ww ni mama bora ni mfano wa kuigwa, mmependeza xna

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 6 ปีที่แล้ว +1

    Wema ana kiuno kama cha mama yake

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 6 ปีที่แล้ว

    HBD DADA WEMA

  • @husseinabeid8934
    @husseinabeid8934 6 ปีที่แล้ว +1

    Amna km mama
    Nasie wetu walishatangulia mbele ya haki amna kikubwa chakuwafanyia zaidi ya kuwatulia dua 😭😭😭

  • @jackibrahim2686
    @jackibrahim2686 6 ปีที่แล้ว

    Mama nimependa zawadi yako

  • @alialghafri1674
    @alialghafri1674 6 ปีที่แล้ว

    Mswalah umepew ufanyie kaz sio uwek kabatin Maisha ya dunian ni mafupi ivyo tukumbuken Safar ya kulud Kwa muumba wetu

  • @leylaiddy5815
    @leylaiddy5815 6 ปีที่แล้ว +18

    Kupatwa kwa mswala na tasbihi..

    • @hananmustafa6430
      @hananmustafa6430 6 ปีที่แล้ว +1

      Omg Mashaallah Mashaallah mama mungu akuzishiye dini yaki yiho Mashaallah

    • @sangooabdallah9246
      @sangooabdallah9246 6 ปีที่แล้ว

      Umenichekesha. Sanaaa

  • @shamsiamohamedy9224
    @shamsiamohamedy9224 6 ปีที่แล้ว

    utani na mungu wakuswali hapo hakuna

  • @aishaaisha2957
    @aishaaisha2957 6 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢😢

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 ปีที่แล้ว

    jamani ukiwa na pesa u will do anything

  • @taustaus4038
    @taustaus4038 6 ปีที่แล้ว +5

    Wema sasa uolewe usherekee harusi sio kilasiku birthday tuu

  • @lailatyabdallah1723
    @lailatyabdallah1723 6 ปีที่แล้ว +3

    Yan wema umetuangusha mashabiki zako😢 mavazi yako hayashtui khaa I'm speechless

    • @khadijafaudhi89
      @khadijafaudhi89 6 ปีที่แล้ว +1

      Lailaty Abdallah we ulikua unatka akae uchi et. mbn kapendeza San tena snaaa

    • @sish7012
      @sish7012 6 ปีที่แล้ว

      Wema atahakivaa haje anapendeza sana

    • @yasintaswahasni4747
      @yasintaswahasni4747 6 ปีที่แล้ว

      Mlitaka avae uchi

    • @rachelhenry415
      @rachelhenry415 6 ปีที่แล้ว

      hujachoka kuuona uchi wake miaka yote ilopita sasa ni zamu yako

    • @lailatyabdallah1723
      @lailatyabdallah1723 6 ปีที่แล้ว

      @@rachelhenry415 kabla ya ku comment make sure unajua unachotaka kuviongea! Unajua maana ya "make a statement"? Au unaropoka tu? Sijasema hajapendezaa Wala sijataka akae uchi ila alitakia aende na theme ya shughuli hapo kavaa kawaida sana! I'm not a hater I'm number one fan of her Sasa Kama imekuuma Mimi kuongea ukweli saga viwembe umeze😃

  • @habibasalim7405
    @habibasalim7405 6 ปีที่แล้ว

    Umewashinda wote mama hata aliyemogesha na mapesa ww ndo umetenda jambo muhimu kuliko yote

  • @nurumwingira1392
    @nurumwingira1392 6 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @diafall7534
    @diafall7534 6 ปีที่แล้ว

    Hallllloooooooooo

  • @dativapaschal1290
    @dativapaschal1290 6 ปีที่แล้ว

    ninachokupendeaga wema unavaaga nguo za heshima

  • @mjsaidkeya
    @mjsaidkeya 6 ปีที่แล้ว

    Pongezi ibada ndio kila kitu

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 6 ปีที่แล้ว +1

    mama naye yuko vzr uko nyuma hahaha

  • @anjelamassawe8997
    @anjelamassawe8997 6 ปีที่แล้ว

    Nipe kitenge kimoja basi

  • @faymzalendo1728
    @faymzalendo1728 6 ปีที่แล้ว +1

    🙄🙄🙄sikujua kama huyu dada ni mwislam!!!!! Tangu lini?

  • @masiqaima3099
    @masiqaima3099 6 ปีที่แล้ว

    Kama vile nimeuelewa mshono wa watoto wamependeza

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 ปีที่แล้ว

    Angeanza kesho anaache mawivin

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว +4

    Mswala umepatikana na tasbii kwa wema 😁😁😁😁

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 6 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmh kitenge 1 kwa 1 kwa fundi dress kali 😁😁😁😁

  • @mariamkalom5200
    @mariamkalom5200 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe wema ni Muslim

  • @elainefaith1844
    @elainefaith1844 6 ปีที่แล้ว

    Bir

  • @rukiahussein7058
    @rukiahussein7058 6 ปีที่แล้ว

    mbona mama wema asema bwana yesu asifiwe kwani yy simuislamu

  • @heriethernest7989
    @heriethernest7989 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe alikuaga ameenda kwa shetani mkazi nyie waja

  • @dullahjuma6137
    @dullahjuma6137 4 ปีที่แล้ว

    Zena kihondo.wewe camera man unazba nn

  • @sumahsumah8083
    @sumahsumah8083 6 ปีที่แล้ว

    Wema anapendana na mamaake ad raha