NGUVU YA KIROHO YA KUFUNGA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 30/06/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
    Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
    - M-Pesa Lipa Namba : 5252176
    - MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    - KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
    -Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

ความคิดเห็น • 77

  • @Patience763
    @Patience763 3 หลายเดือนก่อน +10

    Amina amina glory to God pia mimi nitakua nanyi katika Mfungo wa siku 7 hope siku moja nitakuja kutoa ushuhuda hapa kwa mengi MUNGU atatendaaa

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 3 หลายเดือนก่อน +2

    Napokea neema ya kufunga na kuomba katika jina la Yesu kristo 🤲🤲🇰🇪🇸🇦

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen Asante sana Bwana Yesu Kristo wanasareti

  • @annbonareri
    @annbonareri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Tuko pamoja kwa mafungo..ili mungu atende mema.Asante mchungaji..nakufwatilia sana kwa ibaada.. kutoka kenya ❤🎉barikiwa mchungaji

  • @saranelima691
    @saranelima691 27 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu, nimepata ufahamu barikiwa pastor

  • @DRHUSANY
    @DRHUSANY 2 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe sana mtumishi masomo yako yameniimarisha sana.
    From Kahama Shinyanga

  • @JulianaMalewo
    @JulianaMalewo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah baba, nakusikiliza toka Dar. Mungu akutunze kila kukicha

  • @millymatekwa4688
    @millymatekwa4688 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Asante sana NAMI najiunga na nyinyi Kwa mfungo kutoka kenya

  • @rosemarymoshi7619
    @rosemarymoshi7619 3 หลายเดือนก่อน

    Saut Kuna mahubili yanapita hutujui mtumishi umeongea nn

  • @violethnyangasa9495
    @violethnyangasa9495 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nabarikiwa sana na mafundisho yako

  • @TinaNganga
    @TinaNganga 2 หลายเดือนก่อน

    Powerfull powerfull powerfull Iam blessed.Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU

  • @PurMer-lx4qf
    @PurMer-lx4qf 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen amen amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉

  • @phelistersbarasa4104
    @phelistersbarasa4104 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni siri hata mzazi ama rafiki haezi akakupa lkn mchungaji umetupa barikirikwa sana watching from saudi Arabia

  • @franksoah6405
    @franksoah6405 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan naomba kujua mfungo unaanza lini,niwepamoja nanyi

    • @jb-6519
      @jb-6519 3 หลายเดือนก่อน

      Wameanza leo😊

    • @jb-6519
      @jb-6519 3 หลายเดือนก่อน

      Wameanza leo

  • @dorcanyarangi4814
    @dorcanyarangi4814 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen

  • @LeahIngado
    @LeahIngado 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani nimejifunza mengi sana kupitia huyu mchungaji nimebarikiwa sana

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen,Mungu nipe NEEMA ya kuharakisha majibu yangu katika kufunga

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen, 🙏🙏🙏

  • @macelinashieni1435
    @macelinashieni1435 3 หลายเดือนก่อน

    Naitaji kitabu sana ila nko Kenya nakipata aje tafadhali Whatsapp number please

  • @JacintaSituma
    @JacintaSituma 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏🙏🙏

  • @HappyBernard-ni7zg
    @HappyBernard-ni7zg 2 หลายเดือนก่อน

    LUKA 13:8-9

  • @LinetyNdenge
    @LinetyNdenge หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba

  • @wilsonkassita7946
    @wilsonkassita7946 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @wilsonkassita7946
    @wilsonkassita7946 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni,

  • @JudithNinah-lr2wz
    @JudithNinah-lr2wz 3 หลายเดือนก่อน

    Amen,pia nami najiunga na huo mfungo, Mungu anitie nguvu na roho wa Mungu anitangulie na kuniongoza,Mungu ageuze machoji yangu kuwa ushuhuda

  • @nickolassimion
    @nickolassimion 3 หลายเดือนก่อน

    Atukuzwe mungu anae jibu maombi yetu. Kama alivyo mjibu Daniel na mimi nitajibiwa

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 3 หลายเดือนก่อน

    Naona nikigeuka kwa Jina la Yesu nitaeudi na ushuhuda hapa kwa Jina la YESU

  • @AliceNduku-cx9hm
    @AliceNduku-cx9hm 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen asante mungu kwa kunifikisha mwezi huu wa saba nikiwa mzima zidi kuniongoza pamoja na watoto wangu n familia yangu

  • @LyidiaPatrick
    @LyidiaPatrick 3 หลายเดือนก่อน

    nataman kushiriki pia napenda kuwasiliana na pastor Georg lakini hapokei simu

  • @joycemsirikale5985
    @joycemsirikale5985 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Yesu kwa Ibada nzuri🙏

  • @Carolyne-g4p
    @Carolyne-g4p 3 หลายเดือนก่อน

    Niko na nyinyi kwa mfungo wa siku sapa God help us

  • @joycemsirikale5985
    @joycemsirikale5985 3 หลายเดือนก่อน

    Napokea Kicheko kwa jina la Yesu🙏

  • @Carolyne-g4p
    @Carolyne-g4p 3 หลายเดือนก่อน

    Amen nashukuru mungu kwa kunifikisha mahali nimefika

  • @kombolivingstone617
    @kombolivingstone617 3 หลายเดือนก่อน

    NAKUBALI MTUMISHI MAFUNZO KIBAO👏

  • @WiniSanga
    @WiniSanga 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa baba ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏

  • @2mbili
    @2mbili 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anipee neema za kufunga mchungaji

  • @Saranabwire
    @Saranabwire 3 หลายเดือนก่อน

    Majira yangu yamefika baba yakujuwa kumba

  • @Saranabwire
    @Saranabwire 3 หลายเดือนก่อน

    Emungu napokeya neema ya kufungu na kuomba

  • @jesykibona2927
    @jesykibona2927 3 หลายเดือนก่อน

    Amina amina

  • @LoyceLugazia-po1ij
    @LoyceLugazia-po1ij 3 หลายเดือนก่อน

    Baba niongoze kusimama na neno la Bwana

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen mungu ni mwema kila wakati

  • @JosephPallangyo-fd9kq
    @JosephPallangyo-fd9kq 3 หลายเดือนก่อน

    Pst.mi nilikua na swali, vile mtu anasema atafanya kitu(ambacho ni dhambi) labda atafanya kwa siku iyo tu alafu anasema akishafanya iyo dhambi hatakuja kukifanya tena na ataomba toba kwa icho apo kuna athari zinakuwaje kwa siku iyo akifanya

    • @SarahBlessed-hs2ht
      @SarahBlessed-hs2ht 2 หลายเดือนก่อน

      Dhambi kwa mkristo inatutenganisha na Mungu pia kwa kila jambo tulifanyalo kuna consequences.pia bibilia inatuambia epuka dhambi uishii
      Ila ukipenda dhambi ufe...(Ufe kiroho,kiafya,kibiashara kwa kila eneo kwa ur life

  • @buragabiribuza9426
    @buragabiribuza9426 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe zaidi kwa neno iyi

  • @barakaabel5040
    @barakaabel5040 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaanza lini mfungo huo, nataka niungane na nyie

    • @pastorgeorgemukabwajrc
      @pastorgeorgemukabwajrc  3 หลายเดือนก่อน

      Kesho

    • @Irine-w8l
      @Irine-w8l 3 หลายเดือนก่อน

      mfungo wa siku ngap mtumishi

    • @lilliannyambu5782
      @lilliannyambu5782 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@pastorgeorgemukabwajrcnaitwa lilian kutoka kenya lakini niko Egypt pls nisaidie na namba yako ya whtsup ningependa kuongea na wewe pastor.

    • @FatumaKashindi
      @FatumaKashindi 3 หลายเดือนก่อน

      Nakushukuru mungu kunilinda naitaji bwana hunilindie ndoa yangu yesu nakupenda sana mungu kwasababu ujawai kushidwa wewe Nakushukuru mungu kunipa mume hanaye jali kuhusu wewe baba yangu nisaidiye mungu nilidiye mume wangu pia unatosha unahenea kwangu AMINA

  • @user-ez7nz5re5z
    @user-ez7nz5re5z 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mchungaji

  • @Irine-w8l
    @Irine-w8l 3 หลายเดือนก่อน

    amina barikiwa sana mtumishi

  • @Fina-86
    @Fina-86 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Esterjohnkimario-i9c
    @Esterjohnkimario-i9c 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Baba

  • @annakadudu4505
    @annakadudu4505 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @julmuwanje5281
    @julmuwanje5281 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks Jesus 🙌🙌🙌🙌Ameeeeeen

  • @AsteriaPastory-y1i
    @AsteriaPastory-y1i 3 หลายเดือนก่อน

    Amina Mtumishi

  • @MuzigeMudege
    @MuzigeMudege 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen sana baba

  • @MamaTee-bm2en
    @MamaTee-bm2en 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @maymakau4852
    @maymakau4852 3 หลายเดือนก่อน

    Amen, nitapata vipi kitabu kwasababu niko kenya

  • @AngelMayai
    @AngelMayai 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @PraxyMakhulo
    @PraxyMakhulo 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @BayaganakandiLydia
    @BayaganakandiLydia 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙌

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @kareganjagi8640
    @kareganjagi8640 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen

  • @LilianFares-gg7tz
    @LilianFares-gg7tz 3 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana jaman

  • @AnnNanjala-fw5vu
    @AnnNanjala-fw5vu 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @TravisMuhindi
    @TravisMuhindi 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @MaranguKellen
    @MaranguKellen 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @MiliyaMhehe
    @MiliyaMhehe 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeen