ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Jaman wanaume kama daniel wako wap, ana mapenz yakweli alieona alike🎉🎉🎉❤❤❤❤
Rebecca unaroho ya kipekee, Sakina ningekupasua na tumbo lako hilo😢
Jamani Rebeca anapata mitihani kweli ila inshallah kila kitu kitakuwa sawa❤
Wakwanza jamani kutoka kenya 🇰🇪 tunayo andi mwisho wake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimemchukia sakina sana ingawa mdogo wangu 😢😢
4,Pole Rebecca wangu ❤❤❤❤❤
Nakupenda sana Rebecca, mwenyez mungu awazidishie
Sakina! Kama hiyo ndio roho yako ya kihalisi kwa kweli una kazi ngumu kwa mwenyezi Mungu mama
Nawapenda sana sakini una nin wew mbona ivo..siolew .na uduli
Rebecca utajuta kuzaliwa baadae nadhani unamjua sakina vizuri
Huyu Abdul yuwasinya sana ana lazima gani lkn
Kwani Sakina anajionaje yaan amekuwa kama mchawi alokosa wa kumtoa kafara sasa inamlazimu afe yeye khaaaa an anajimilikisha mume na nyumba kisa mimba haki hatumii akili bali mhemko 😢😢 haki siwezi vumilia hayo ya Sakina hata kama 😏
Bora umfasiri mbuzi utakunywa ht supu kuliko hiki kiumbe sakinaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Sakina sakina nakuita mara mbili 😢😢
Sakina watutia kichefuchefu si wanawake wenzio Kwa tabia yko
Niitien bwana ake Sakina tumwombe msamaha kumbe alikuwa na haki kumpiga Sakina ni jeuri pro max😢
Ndiomaana yule kipala wake alikuwa anamfumua kila sku kwatabia zake
❤❤❤❤
Wewe Sakina unaleta kiburi Kwa kina rabecca hata hujielewi
Sorry Rebecca mdogo wangu🎉🎉🎉
Ila sakina utakipata unachokitafuta ww
Sakina kiburi ya nini nahata hiyo nyumba niya Rebecca
Huyu sakina angejua mpango ulosukwa hapo Wala asingejishaua na huo muwigi wake
Rebecca wewe,usije ukalia baadae
Ila sakina hiyo mimba kuibeba tu si ulilipwa sasa hiyo jeuri tena inatoka wapi. Alafu nyumba ya Rebecca ila wewe kiburi sasa
❤❤