Mashallah babe Waa Allah akufanyie wepes inshallah katika ndoa yako yale yaliokuumiza yote yasahau na muombe Allah akusimamie katika ndoa yako rizki za halal na kizazi chema inshallah
Kila heri dada hapo ni sehemu ya pili katika mtihani wako hivyo jitahidi kuujibu kwa ukamilifu haitopendeza kupata Sup wala kuufeli mtihani huo mana wazazi wametumia gharama kukusomexa ili ufaulu mtihani huo
Mashaallah hongera sana ukhty arafa kwa qaswida nzuri,, hongera sana ukhty warda mungu akufanyie wepesi kwenye maisha yako ya ndoa inshallah kheri
Mashallah babe Waa Allah akufanyie wepes inshallah katika ndoa yako yale yaliokuumiza yote yasahau na muombe Allah akusimamie katika ndoa yako rizki za halal na kizazi chema inshallah
Kwl kila muosha huoshwa leo zamu yk Warda Mabrock, Maa shaa Allah
Mashaa Allah Mashaa Allah Mabrouk Alf Mabrouk kwako dada warda na swadakta Kwa ukhty Arafa Kwa qaswida mzuri🥰🥰🥰👌
Mashaallah mamy waaa mungu akupe wepesi usahau changamoto zote za nyuma umpende mumeo n family kwa ujumla achana nao wanakuongelea
Please№0
mashallah ukhty warda mungu akuzidishie kipaji chako
very nice
Mabrouk mabrouk bab3 waa mungu akujalie mudumu ktk ndoa yenw ameen
big up sana katibu wenu wa aqaz anawapa hongereni sana Allah awahifadhi na hasada
Hongera kipenz Warda 🤩🥰
Mashaallah my dear Kila la kher iwe ya baraka uko uendako na wapenda sana
Mashalla umependez sana lakini usitukimbie mashabiki wa aqaz tutatumia kwkwelli
MashaAllah Mungu awaondoshee mahasidi
Honger ukht araf kw kumliwaza dad ward❤❤❤ mung amuhifadh kwny ndoa yak
Mashaallah ukhty warda Ila usije ukaiwacha aqaz
Allah akufanyie wepesi katik safar yako ya ndoa
Kazi nzuri sana Dada
Hiii qaswida tamu sanaaa💯💯💯💯💕💕💓💓💓💓💓💓❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Mashaaallah my dear umetisha
Nimeipenda aqaz ladies
Hongera wajina wangu warda mungu akubariki kwenye ndoa yako
Assalam Aleykum ongeni sana wadra kwa kupata mwenza na ongera na Arafa kwa Qaswida nzuri sana
Mashaallah dada qaswida umeiweza
Mashallah hii qaswida imenitoa machoz wally
Machozi ya furaha
I wanna share this nice one but i cant itsnt open for ..
Mashallah warda mashallah owe ya kher mum
Hii yes nice one
Hongera san ukhty warda❤❤
Pambee kipenz ❤❤
Iko pow sana obina nakubali kaz
Miss pink ,khadija mbn hawachezi
Hongera❤
Kila heri dada hapo ni sehemu ya pili katika mtihani wako hivyo jitahidi kuujibu kwa ukamilifu haitopendeza kupata Sup wala kuufeli mtihani huo mana wazazi wametumia gharama kukusomexa ili ufaulu mtihani huo
Manshaallah
Mashaallah
Hongeren bnhh
Love it
Never heard anything like this before,
Mashallah
MaashaAllah nyc qaswida
Mashallah dada kapendeza sio kwaubay lkn
Mashallah.mashallah
Mashallah,umeimba,sauti,nzuri,mabeno,mkubwa
Mashaallah shogaaaa anguuuu
This qaswida is full of emotions❤️❤️❤️😓
Mashallah😢😮
Hizi ndio kasida tunazohitaj sio zile nyengine
Masha Allah warda❤
Kaswida
❤❤
Mashallah bby waaa
Mashaaallah
Nice
hongera
Hongera
Msha Allah
Máa shaa Allah
👍
Mashaallah❤❤
Paambeee mashaallah
Asa mbn kaswida moja tuu jamaniiii
❤❤❤❤❤
Ustadh rashid wakwaza
Mashalllah ❤❤
Mashallha
Wacha kupigapiga mke wawatu
we mzee apo unafanya nn kw watoto wakike dada kasida yako Iko sawa
Hao wt ndugu walio kuwa hp karibu
❤❤❤❤
😊😊😊
Wanaume wengine hamna wivu
Mwamtunza moja tu
Nakukubali
Honger dada ward kwakufunga ndoa mungu akufanyie wepes kwenye ndoa yko nakupenda cn
Mashallah
hii qasida OG yake kasoma Ally Ismail mzee wa kafara
Mahadhi ya kusoma lo hayo
𝕀𝕟𝕒𝕚𝕥𝕨𝕒𝕛𝕖 𝕧𝕚𝕝𝕖 𝕠𝕘 yak
Warda mbona umeeolewa mdogo sana
Wewe mbea 😁nyege izo
Anamiaka mingp mpk wasema mdg
@@khadijahali4837 Anafk 20 naaa
@@tauburukhamis9540 ndo mdg ivo sasa
@@khadijahali4837 mh mbn size kuolewa or unatka aolewe anamiaka 30 ila me naona kuanzia miaka20 akili zshatulia ibaki mengne t
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah