SEMINA YA KUBOMOA MADHABAHU YA MAISHA | BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA | 18.09.2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 65

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amina baba mungu Baba akubariki kwa mafundisho mazuri

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba ปีที่แล้ว +7

    Asie kujua NAOMBA niwatambulishe wapenzi watazamaji uyu mnaemuangalia anaitwa josephati gwajima..............nampenda anaubili sili ya Mungu........

    • @PatrickMusyoka123
      @PatrickMusyoka123 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @francisjimisha5090
      @francisjimisha5090 ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa kutufundisha kubomoa madhabahu, CCM ni madhabahu tunaiobomoa kwa jina la Yesu, iboke sasa, tunaibomoaCCM.

    • @matheta3587
      @matheta3587 ปีที่แล้ว

      Tangu mwaka wa 2021 namfuatilia sana na sijawai choka naye❤❤

  • @FloraElias-l7d
    @FloraElias-l7d ปีที่แล้ว +2

    Nakufurahia BABA kwa kawaida mtu achagui baba ila mm nimebaatika kuzaliwa na BABA mweenye akili ya MUNGU na ndivyo tulivyo alivyo BABA ndivyo alivyo mwana mm na BABA tuuuu umoja. Love Dadiy❤👏👏👏👏

  • @gaspermushi1575
    @gaspermushi1575 ปีที่แล้ว +1

    Ingawa sipo karibu na wewe kimwili lkn kiroho huwa nashiriki na wewe ktk meza moja ya chakula Cha kiroho.. wewe ni mjezi na mwalimu wagu wa ulimwengu wa Roho..barikiwa Dady

  • @eunicekengajaha2953
    @eunicekengajaha2953 11 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana hata sijui nianzie wapi . Ila ubarikiwe sana baba MUNGU AKULINDE UISHI MIAKA MINGI SANA

  • @kennethnakhulo1938
    @kennethnakhulo1938 4 หลายเดือนก่อน

    I love your teachings man of God it makes a lot of sense in our day to day life.Thank you very much

  • @essaukapufi424
    @essaukapufi424 6 หลายเดือนก่อน

    Amen AMEN Amen na Amen!

  • @zablonfesto5216
    @zablonfesto5216 8 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa katika Bwana naweza kupata no ya Askofu Gwajima

  • @ConsolathaKicheleri
    @ConsolathaKicheleri 3 วันที่ผ่านมา

    YESU AKUTUNZE

  • @We2k7
    @We2k7 7 หลายเดือนก่อน

    Basi NIZINDUWE
    Asante

  • @JuliethPaul-ld3ng
    @JuliethPaul-ld3ng 11 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Baba yangu ni Mkuu kuliko wote nabomoa madhabahu za kueseka Kwa Jina la Yesu

  • @claudinemushimiyimana1804
    @claudinemushimiyimana1804 ปีที่แล้ว +1

    Amen Baba yangu Mungu aendeleye kukutumiya

  • @lucyndegwa4514
    @lucyndegwa4514 ปีที่แล้ว +4

    Oh my God powerful teachings from kenya

  • @rahmamusa4484
    @rahmamusa4484 ปีที่แล้ว

    Mimi ubarikiwa kila saa na neno ambalo Mungu ameweka ndani ya mtumish❤❤❤

  • @zeraheuniceautai1271
    @zeraheuniceautai1271 6 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @rodriguezkakule8752
    @rodriguezkakule8752 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwakubomoa mazabaho yotes ya giza ndani yamaisha yangu ninaanja maagano mema katika mazabaho yakimungu ninakuaminiamungu wangu ndani yayotes Mungu wangu nitendeye nipe mtoto Mungu nakuomba nakulilia navunja mazabaho yotes ya damu ,yauwasherati ndani ya familiaya yangu n'a ndani yamafiliya ya mume wangu navunza yotes isiyo ambatana namazabao Yako nakuomba Mungu nitendeye kamavile ulivyo washamoto waelia ninaamuru moto île iwake ndani yamaisha yangu kwakushambulia kila kitu ambakyo kinafungwa ndani ya kizazi kyangu na ndani yakizazi kwamume wangu ninaombo ivyo kwa jina la yesu christo AMEN

  • @elizabethconstantino6056
    @elizabethconstantino6056 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Pastor Gwajima

  • @KikiAlvinSandy
    @KikiAlvinSandy ปีที่แล้ว

    Daddy BARIKIWA SANA

  • @claudinemushimiyimana1804
    @claudinemushimiyimana1804 ปีที่แล้ว

    Mwakahuu tutawankowa kwa Jina la Yesu

  • @eunicekengajaha2953
    @eunicekengajaha2953 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @joelboy3460
    @joelboy3460 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @PeterSavery-td3tz
    @PeterSavery-td3tz ปีที่แล้ว

    Bwana aitimilize Kaz aliyoianzisha ndani yako

  • @benardkihonge6339
    @benardkihonge6339 ปีที่แล้ว

    Somo nzuri sana, barikiwa

  • @serahmutemi
    @serahmutemi ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana baba

  • @felisterkamuli1893
    @felisterkamuli1893 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba somo zuri sana

  • @claudinemushimiyimana1804
    @claudinemushimiyimana1804 ปีที่แล้ว

    Mungu tuepushiye na mazabahu ya ki mashetani

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 ปีที่แล้ว

    ameni sana

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 ปีที่แล้ว +3

    Utukufu.
    Watumishi wa Mungu, kama kuna access ya kupata somo likiwa limegawanywa Part 1&2 naomba nisaidiwe. Ku download masaa 3 na kuwatumia watu kuna changamoto Kidogo
    Lakini pia kama kuna app inaweza kudownload video au audio zenye mbs nyingi naomba mnidokeze

  • @pastorjamesmwanakondoo531
    @pastorjamesmwanakondoo531 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutumia baba yangu Dr Joseph unasema sisi tunabarikiwa masomo yako

  • @helenevanessa5478
    @helenevanessa5478 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

  • @Munyakamangi522
    @Munyakamangi522 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @MariamSindano-j7r
    @MariamSindano-j7r ปีที่แล้ว

    Kama Baba nimepata kwa kweli ninajivunia sana

  • @judithbett420
    @judithbett420 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 ปีที่แล้ว

    Ameeen huyu ni mtu atokeaye kwa Mungu

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 ปีที่แล้ว

    guta ipo mtumishi mimi nimeunda,nilijaribu kuunda mpaka helkopter mashart makali sana nadhani ulisikia

  • @joaofielnampanga909
    @joaofielnampanga909 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nina omba babá uniyombee, Nina ishi maisha mabaya sana

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 ปีที่แล้ว +1

    Lite watu wangefuatilia hata kama wanavyofatilia miziki ya dunia nk😢 shetani anafunga kweli

  • @irenemoshi3471
    @irenemoshi3471 ปีที่แล้ว +1

    tunaitajika kutoa sadaka tununue kamera ingine picha aina kwaliti jamani

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba ปีที่แล้ว

    Ujawai kukosea..............

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน +1

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @claudinemushimiyimana1804
    @claudinemushimiyimana1804 ปีที่แล้ว

    Farao kaka nyumba moja n Mwana wa Esrael

  • @RachelMlingwa
    @RachelMlingwa ปีที่แล้ว

    Hii ni shule ngumu baba, mimi baba naona siyo uchawi tu, Bali ni chanjo tunazochanjwa tangu watoto pengine Zina vitu vya kutulaza ili wazungu wamiliki na kutawala

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Baba Askofu mwanzo hayo maeneo yalioko na maji usisema majini ni mengi sana nayakikuona uko na nyota yana kukwamilia mwisho unajipata kwa mausiano nayo

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni kweli. Tunaangayika mu mainchi ya nje japokuwa africa ni paradison. Mgeni akikuta mwenyenyumba anasinzia. Anayigeuza nyumba yake anamfukuza mwenyenyumba

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa waafrica wengi tumelogwa ndio maana tupo Kama vichaa.

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Yenyewe hapo kwa farao nimecheka kweli ati paka anaitwa pharao

  • @FloraElias-l7d
    @FloraElias-l7d ปีที่แล้ว

    Nakufurahia BABA kwa kawaida mtu achagui baba ila mm nimebaatika kuzaliwa na BABA mweenye akili ya MUNGU na ndivyo tulivyo alivyo BABA ndivyo alivyo mwana mm na BABA tuuuu umoja. Love Dadiy❤👏👏👏👏

  • @joicemwamlima-gb7jy
    @joicemwamlima-gb7jy ปีที่แล้ว

    Amen

    • @josphinekatiti2643
      @josphinekatiti2643 ปีที่แล้ว

      Amen bishop plz nitapata wapi kitabu Niko Mombasa bamburi

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @joicemwamlima-gb7jy
    @joicemwamlima-gb7jy ปีที่แล้ว

    Amen

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 ปีที่แล้ว

    Amina

    • @edinakibani8725
      @edinakibani8725 ปีที่แล้ว

      Baba Asante Kwa kunifundisha jinsi ya kuomba maombi ya vita

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno

  • @ceciliarolence9790
    @ceciliarolence9790 9 หลายเดือนก่อน

    Du, hii akili sio ya kawaida, yaan najifunza mno