Malipo ni hapa hapa Dunia hata akili zake zimeanza kuchanganyikiwa bado kidgo tu tujekusikia amekuwa chizi unakula hela ya masikini aliyejichanga Kwa josho lake kupitia shida
Mbaya zaidi promotions zinafanyika kwenye vyombo vikubwa vya habari kitu ambacho inakuwa rahisi kuamini kwamba ni ukweli na kujikuta umetapeliwa.Inauma sana😭😭😭
Sheria zetu dhaifu sana kwenye kulinda uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa Kwa ujumla Bado tunatumia Sheria za mkoron zilizokua zikiwarinda wazungu wabunge wetu wako busy nakuongeza Kodi na kutunga Sheria za uchaguz
@FahadAbubakari-y3f without taking time to understand how business model works, where the income come from and how sustainable the business is... yaan ni changamoto kabisa...no easy money. Money is hardly earned..so someone must work for it... mtu anakupa taarifa za returns ambazo haiwezekani kabisa na mtu anakua obsessed kwakua anataka quick money...damn... and pamoja na matukio ya kupoteza pesa ila wananchi bado ni mbumbumbu (am sorry for these words) wanaibiwa kila siku
Watu wa noth wamekua wajinga sana jamaa kawatapeli kwenye vanilla kaanzisha mradi wa nguruwe kawajaza tena wameja dadadeki na bado chif mwamnazi na wengine toka M B
Nyie wasafi si mshamuita na kumfanyia mahojiano sana tu
WATU WANAPENDA MTEREMKO ,KILA SIKU WANAPIGWA NA KITU KIZITO HAWAJUFUNZI.
Malipo ni hapa hapa Dunia hata akili zake zimeanza kuchanganyikiwa bado kidgo tu tujekusikia amekuwa chizi unakula hela ya masikini aliyejichanga Kwa josho lake kupitia shida
Nacheka km mazuri dah, bd Chief wenu ipo siku tutakujà kusikia pesa anapata wapi kz yake haijulikani😂😂
Bahat nzuri yeye atapeli watu na kujua mtu anapat wap pesa ni ngumu
@marrypius576 Ni swala la muda tu itajulikana kwani huyu ni Tuzo si alipewa au umesahau na Bungeni katimba leo kiko wapi
Hizi media ndy zinawapa airtime haooo
@@kennethbenjamin275 Eeh Makonda juzi si kaongea alikuwa analipa pesa kwenye media ili wamsifie
Kabla ya vanila papaya morogoro 😅😅
Mbaya zaidi promotions zinafanyika kwenye vyombo vikubwa vya habari kitu ambacho inakuwa rahisi kuamini kwamba ni ukweli na kujikuta umetapeliwa.Inauma sana😭😭😭
Kitenge ulimnadi sana kwenye media yako mpaka nika muanifollow
Sheria zetu dhaifu sana kwenye kulinda uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa Kwa ujumla Bado tunatumia Sheria za mkoron zilizokua zikiwarinda wazungu wabunge wetu wako busy nakuongeza Kodi na kutunga Sheria za uchaguz
nyanya ninyanyase nyanya niinue😅
Media ya rafikiyenu ndiyo kinara kumnadi Dr manguruwe kikowapo
Bado Chief God Love
Hakunaga pesa ya buree, tatizo watu wanapenda kitonga sana.
Mbona NAMAI...O Haguswi
Yapo mengi, kwani Zembwela Ile POSO nayo ilikwendaje?
Mtu kama huyo serikali inahuska kumbe ni mzoefu na mtalam wa muda sana.
Mwamba master saana.....
Anaishi vizuri na wastaafu
Huu ni utapeli wa wazi kabisa inawezekanaje mtu unatapeliwa kizembe namna hiyo
Bado chief godlove anaibia sana madogo
Nauyo chief 😂😂
Zembwela amefanana na manguruwe
Wawafatilie na saore nao matapel tu
Same business modality, different different product..still watu hawaelewi..pyramid schemes
Watz ndugu ni watu waloamua kuwa mafala wanapenda sana kukurupukia vitu kisa ukiwatajia tu hela
@FahadAbubakari-y3f without taking time to understand how business model works, where the income come from and how sustainable the business is... yaan ni changamoto kabisa...no easy money. Money is hardly earned..so someone must work for it... mtu anakupa taarifa za returns ambazo haiwezekani kabisa na mtu anakua obsessed kwakua anataka quick money...damn... and pamoja na matukio ya kupoteza pesa ila wananchi bado ni mbumbumbu (am sorry for these words) wanaibiwa kila siku
@tanzaniacarschannel6975 hatari mnoo
@tanzaniacarschannel6975 acha wanyooshe eventually they will get back to their senses
Kombinenga hatari sana hii
Ushaidi huko zembwela
😂😂😂mzee labda ni wewe tu hujui story za huyu nguruwe
Mbeshi jamaaa
Ivi si nyie ndo mlikua mnamtangaza
Ndugu yangu Hawatangazi Bure unalipa Hela kama kituo na wanakutangaza kama Mteja haiusiani na utapeli wake
Watu wa noth wamekua wajinga sana jamaa kawatapeli kwenye vanilla kaanzisha mradi wa nguruwe kawajaza tena wameja dadadeki na bado chif mwamnazi na wengine toka M B
Cheef good love
Tapeli halaf anatakatisha pesa kwa kusaidia watu
Watangazaji mambumbu mlikuwa wapi kuelimisha watu
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂