From Zambia nakupenda sana Mwalimu mgeni,hii movie ilikuwa tamu ya kutosha kbsa...tuko pamoja kwa movie nyingine...aksanteni sana kwa kazi nzuli uliofanya.....
Waiting for the coming series, right from Turkana Kenya. Good job Mr. Ntusuvile, najua nimeandika vibaya lakini samahani Baba Joan aka Mwalimu Mgeni. 💛💛
Eeeh jamn mbona tutawamisi sana jamn..!mpaka shule zifunguliwe daah! sio mbaya ni jambobla kumuomba mungu uzima ilii mkirudi mara ya pili muwe na kasi kubwa..ki ukwel napendezewa na hii movie yenu ya mwalimu mgeni...inafundisha sana....na pia nabarikiwa na uimbaji wa patronize..! baba joan endelea kutokata tamaa nae mungu atakuzidishia baraka!nawatakia likizo njema na maandaliz mema ya movie mpya
Twashukuru sana Twakupenda sana Twapenda series unazotuletea Twakusihi uendelee kupambana na tutakupa sapoti na kukuombea Kwa mwenyezi mungu uzidi kupata mafanikio na series unazotuletea
Olaaa wanateam strong mm ndio wa kwanza kwa mwalimu mgeni km wapenda hii movie like apa please ata km uko hamam 🇸🇦🇰🇪💪🔥🔥more love kwenu kwa comment please 🙏🙏
Tunangojea wapendwa wetu mwalimu mgeni pamoja na wakuu washule na pia patronize na wenye moyo na roho safi wanafuzi wenzake tuwatakia la heri kwa masomo yenu na likizo 🎉🎉🤝🥰🥰
Aaaaah mwalimu mgeni kweli nimekupeda na kunitia moyo kuwa kuna Mungu ktk maisha yetu,,,,,,,umenifunza mengi sana mwalimu mgeni,,,,,,,,I wish ugekua mwalimu wagu gefurai,,,,n wachache wagefanya ka wewe,,,,,,mh nimefurai na kushukuru kwa movies zako Zuri ,,,,,,nikona ww benga kwa benga mwalimu mgeni,,,,, naobe usiwai kikoma hicho kipidi n kizuri sana kwa wanarika hasa watoto wadogo kujifuza mema nashukuru sana,,,,,Mungu akuweke hai na akupe guvu ili kuweza kuedelea kutufuza mema,,,,,I Valerian nimeshukuru sana at my age of 19 years nimejifuza megi sana,,,,,,,ASANTE SANA ❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏🙏🙏📚📚📚📚 have those surprises from Church Girl VALERIAN NDUKU good luck teacher
Kwani nimekuwa aje joo😢 naelewa sana kuzidi mpaka mwenye ameandaa hii story 😂😂😂 ni mnaweza nisaidia hiyo Like 5 tu niache kuelewa .❤❤❤ much Love team B. Joan
Haaa baba John mbn tena alafu wajua vile nakufatilizia sana bro unafanya kazi ya kweli sio kuigiza tu bali n vitu via kweli sasa basi kipindi hiki cha mwalimu mgeni kinarejea lini baada ya kwenda likizo
Sawa Baba Joan 🙌 tamthilia zako zipo vizuri, japo tutaimisi mwalimu mgeni kwa muda tuko pamoja na wewe. Much-love ❤❤😅😅😊
Big up kwa timu mzima munafany vizur San Ila Ilo wigi la madamu Kam la pungasese 😂😂😂😂😂 alieona Ilo agonge like apa twende saw
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 ameazima kwa punga😂😂😂
😂😂😂😂😂
@@ngumbaohalimah65 kwakweli 😂😂
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 kama kwely vile😂😂😂
Leo sisemi kitu mm ndio wa kwanza kutoka kenya so much love from baba Joan ❤❤❤❤n maadamu endelea kuwa n chuki 💔💔💔
Safi sana Baba Joan,,, umetisha❤❤
From Zambia nakupenda sana Mwalimu mgeni,hii movie ilikuwa tamu ya kutosha kbsa...tuko pamoja kwa movie nyingine...aksanteni sana kwa kazi nzuli uliofanya.....
Nimempenda mwalimu mgeni sanaa from Kenya🇰🇪
kwanzia nmeanza kuangalia hii siries sijawah pata like hata 5 jmn nioneen huruma leo
Safi sana baba joan.naitegemea hio sizoni.zizoni zako nazipenda sana ziko na masomo ya kimaisha.big up sana👏👏👏👏
Waiting for the coming series, right from Turkana Kenya. Good job Mr. Ntusuvile, najua nimeandika vibaya lakini samahani Baba Joan aka Mwalimu Mgeni. 💛💛
Eeeh jamn mbona tutawamisi sana jamn..!mpaka shule zifunguliwe daah! sio mbaya ni jambobla kumuomba mungu uzima ilii mkirudi mara ya pili muwe na kasi kubwa..ki ukwel napendezewa na hii movie yenu ya mwalimu mgeni...inafundisha sana....na pia nabarikiwa na uimbaji wa patronize..! baba joan endelea kutokata tamaa nae mungu atakuzidishia baraka!nawatakia likizo njema na maandaliz mema ya movie mpya
Good job💪mwalimu mgeni👏👏!!!!
From in Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿....
Aaaah sawa mwalim mgeni muwe na likizo njema❤❤❤❤❤. Na mungu awazidishie vipaji nyote washiriki wa series hii ya mwalim mgeni mzidi kutuelimisha.😊
Twashukuru sana
Twakupenda sana
Twapenda series unazotuletea
Twakusihi uendelee kupambana na tutakupa sapoti na kukuombea Kwa mwenyezi mungu uzidi kupata mafanikio na series unazotuletea
Ngoja tuenjoy vya asubuhi asubuh ❤❤❤❤
Mwiliwe mwenewachu, hakika mimi na family yangu tunapenda kazi yako,tunazidi kukuombea sana kwa mungu.Imana ishimwe.
Mwalimu mgeni jamani hii movie ilikuwa Tamu nawafatilia kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥💪💪💪
Mwalimu mgeni hana bayaa❤❤❤❤❤Akifa haozi wala hanuki🎉 anakiti chake spesho mbinguni❤
Baba Joan nimefurahia sana Mungu akuzidishie ujuzi zaidi na utende makuu
Baba Joan una juwa nakujuwa tena salut
Asanteni san timu ya mwalimu mgeni ulipo nipo kutoka omani Mungu awabariki san kwa kazi nzuri mashaallah ❤️❤️❤️👌👌
Olaaa wanateam strong mm ndio wa kwanza kwa mwalimu mgeni km wapenda hii movie like apa please ata km uko hamam 🇸🇦🇰🇪💪🔥🔥more love kwenu kwa comment please 🙏🙏
❤❤
@@Sofiashabani780❤❤❤
Twakupenda pia ❤❤
❤❤
❤❤ mi pia kama team strong napenda sana hii movie
Thank u muwalimu mugen, am from uganda bat I watch our move is so nice😂😂😂
🎉🎉🎉Mwalimu mgeni love from Kenya
Huyu madam mbn atapenda😂😂😂😂🎉🎉😂❤
Mwalimu mgeni hongela, kutoka Nairobi Kenya nakupenda sana kwa kutulea vitu motomoto, naitwa Daudi.
Leo wakanza nipee ata like tano ❤❤❤
Big up kwake Baba Joan❤❤
Sawa baba Joan. Hata iwe ni miezi mingapi, nitasubira kwani subira huvuta heri. Kazi nzuri sana. EP 27 inangojewa kwa hamu na ghamu
Tunangojea wapendwa wetu mwalimu mgeni pamoja na wakuu washule na pia patronize na wenye moyo na roho safi wanafuzi wenzake tuwatakia la heri kwa masomo yenu na likizo 🎉🎉🤝🥰🥰
Kazi nzuri walaih mungu awalinde InshaAllah much love from Kenya ❤
💕💞Mwalimu mgeni safi sana nakuaminia mwalimu na katika mwanafunzi nilie mkubali ni patronise yani akiimba zile wimbozake aaah mbona ananikosha💕💞
Hongera kazi nzuri tupo pamoja , tutaisubili , unyama ni mwingu 🔥👊🔥👊
Hongera kaka mwalimu mgeni, kweli iko na mafunzi sana
Mmi napenda sana hii nyimbo naeza zipataje surely l miss this songs mmi Mary frome kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪pls l miss this song🙋🙋🙋🙋
Baba Joan napenda hii movie love you guys ♥️♥️
Mwalimu mgeni.ninaomba likizo ikiisha uje muenderee na hapa munapo ishia mana muko sawa.ndabakunda cane from burundi.ndazi Kirundi uracumva .ndagukurikirana cane.be blessed baba Joan.
Safi sana Baba Joan...Mwalimu Mgeni keep it up the goodwork
Saw baba joan lakini tunaombe watoto wakiludi shule mwalimu mugeni iludie❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi safi mwalimu mgeni😂❤❤❤
Hii nayo baba Joan na team nzima mmeweza sana❤❤❤❤
Hongera mwalimu mgeni....hapo nakubali matokeo.... you're the best teacher
Aaaaah mwalimu mgeni kweli nimekupeda na kunitia moyo kuwa kuna Mungu ktk maisha yetu,,,,,,,umenifunza mengi sana mwalimu mgeni,,,,,,,,I wish ugekua mwalimu wagu gefurai,,,,n wachache wagefanya ka wewe,,,,,,mh nimefurai na kushukuru kwa movies zako Zuri ,,,,,,nikona ww benga kwa benga mwalimu mgeni,,,,, naobe usiwai kikoma hicho kipidi n kizuri sana kwa wanarika hasa watoto wadogo kujifuza mema nashukuru sana,,,,,Mungu akuweke hai na akupe guvu ili kuweza kuedelea kutufuza mema,,,,,I Valerian nimeshukuru sana at my age of 19 years nimejifuza megi sana,,,,,,,ASANTE SANA ❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏🙏🙏📚📚📚📚 have those surprises from Church Girl VALERIAN NDUKU good luck teacher
Nimezipenda filamu, natazama toka Kenya Mwalimu..👍
Move nzuri sana inatufundisha mambo mengi Allah awajalie vipaji vyenu
Pila shaka tutaizubiria.
Ili movie imenipa matumaini katika masomo yangu❤❤❤🎉. Asante baba Joan tuko pamoja.
Upendo mwingi hapa Uganda 🇺🇬🇺🇬🇹🇿🇰🇪
So amazing mwalimu mgeni nawai mafunzo mazuri sana haize
Asante sana mwalimu kazi nzuri sanaa❤❤❤❤🎉
Kazi nzuri baba Joan umeniuliza wewe kaka yani achatuu
Congratulations mwalimu mgeni ❤️❤️❤️
Haya sasa gonga like kwa Mwalimu mgeni,,Sasha,,Patronas❤❤
Jaman tutaimiss mwalimu mgeni😥😥
Mwalimu mgeni hakika nimejifunza mengi kutoka kwako na namuomba mungu aendelee kukulinda hakika unamoyo wa kujituma
Filamu nzuri kabisa mimi nimu Congo
Imetisha sana baba Joan,kazi nzuri sana
Naipenda mwl mgeni bhana baba Joan. Shule zikifunguliwa usitunyime uhondo na nimepata funzo
Nice one...nilikua naona nyumbani sasa naona kwa simu❤❤❤❤❤
Wah! Nitaimiss sana mwalimu mgeni epsd 27 january inshallah
Hongera san bab joan movi yako nzur nakupend sana
Kazi nzuri timu nzima ,barikiwa
Duh ntammis mwalimu mgeni jaman 😂🎉🎉🎉🎉 nawapwnda sana team babajoan
❤Wewe ninoma na tokea congo
Mwalimu mgeni Kazi Safi xna❤❤❤
Baba John shukran sana kipaji chako ni cha ajabu sana mungu akusimamie kwa hichi ulichotufunza .HONGERA
nampenda bure mwl mgeni unatufunza mengi sana jinsi yakuishi na watu makazini
Hivi kumbe ni shule kweli? Hongera sana mwalimu Tusi
Napenda kazi zako nitaimis mwalimu mgeni
Saw mwarimu mungen unajuw nguce san ❤❤❤
Ok fine bb jhon Asante sana mwalimu mgeni, katika kipindi chenu Kwa kweli nimekifurahia tu sana
Nakupenda mwalimu mgeni ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Daah jamn kwahyo saiv hatuipat ihi muvi aisee mbn mmetukatizia utamu wa muv yet pendwa
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI.
Mwarimumugenisantesana nakumiss nagupenda sana patronaiz thenk you me ni muburundi merci
Ahsante sana kwa timu nzima . Mwatutolea burudani na hisia za huzuni.
Kwani nimekuwa aje joo😢 naelewa sana kuzidi mpaka mwenye ameandaa hii story 😂😂😂 ni mnaweza nisaidia hiyo Like 5 tu niache kuelewa .❤❤❤ much Love team B. Joan
Ahaa mmefanya mubaya sana mwiche mbele mwalimu mgeni
Tumekuelewa bb joan❤❤🎉🎉
Nme ipenda san❤❤❤ ya mwalim mgen
Mm wamwisho ila nampenda mwalim mgeni nawanafunzi wote 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤niko saudi
Wow Leo nimefika wakwanza🎉
Nawatakia likizo jema ,, asanteni sana kwa kazi zuri ❤❤❤
Patronize nakupenda san kwa maan unavyoimba ni balaa san❤❤❤❤❤
Mko vizuri sana❤❤❤❤❤❤
Nampenda sana mwalim mugeni wallah allah akulinde popote ulipo nimimi mama vidume kwenye TikTok ❤
NAKUPENDA PIA MAMA VIDUME
Mashaallah tabarka allah bba joan kiboko bwana mungu akubariki,ola wakifungua c tutaendelea au sio mtu wngu
Big up mwalimu.baba joan
Nawatch nikiwa dubai nakupenda sana mwalimu mgeni ❤❤
Napenda sana mwalimu mugeni ❤❤❤ ukovizuri sana
Mambo moto 🔥🔥🔥
Kazi nzuri 🥰🥰🥰🥰
I love, this movie❤❤❤❤
Amazing amazing amazing. Keep up the good work.
Safi sana mwalimu mugeni ongela sana 🙏 ❤❤❤❤
Ooh jaman nimechelewa dakika 7❤❤❤❤❤
Thank you mwalimugeni Ivo sasa umefanya muzuli sana Wacha tungoje nyingine
N'a come from Congo so napenda ❤ baba jean🎉🎉
Nampenda san baba Joan mwalimu mgeni inabamba saana
Nsawa bba joan one❤❤❤❤❤❤unajua kutufurahsha🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera mwalimu genius
Kiukweli kaka unatisha Unatoa mikakati kwalimu ata Kwa wanafinzi mimi nakukubali bro
Sawa
MUNGU Awalinde uko likizon ❤❤❤❤❤ Asantee kwa kutujulisha pia