UKRAINE ITASHINDA VITA NA ATAKAEISHAMBULIA TENA ATAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA - BLINKEN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2024
  • If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 88

  • @ibba8082
    @ibba8082 หลายเดือนก่อน +8

    Mwambiye Huyo BLINKEN hiyo ni NDOTO ya TASA,AMEZAA KUMBE ANAKUNYA KITANDANI😮

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx หลายเดือนก่อน +16

    Bila marekani hakuna vita wala magonjwa duniani

    • @badruhote4607
      @badruhote4607 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndio ukweli bila kupepesa macho

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Na bila marekani teknolojia ya hali ya juu isingepatikana duniani.Mmarekani ndio kagundua vitu vingi.Hata huu mtandao wa youtube na intenent ni yeye.

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l หลายเดือนก่อน

      Hata UKIMWI inasadikika ni biashara ya marekani

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@user-rn9og1rk3l inawezekana kabisa.

    • @jofreykilangila4118
      @jofreykilangila4118 หลายเดือนก่อน

      Hata agundue vitu vikubwa havina maana kwa haya anayoyafanya. Eti watu wawe mashoga . Nao ni ugunduzi eti

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 หลายเดือนก่อน +9

    Urusi lazima washinde,coz of wote watu wema napia watu kamili napia wanaume kamili.Hauwezi kupeleka wanaume nusu kupigana na wanaume kamili.Lazima wataanza kujamba jamba tu maana nguvu kamili hakuna.So maombi kamili kwa urusi mtetezi wa wanyonge napia watu wenye hofu ya MWENYEZI MUNGU

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Putin ana makosa .Ukraine ni nchi huru.

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v หลายเดือนก่อน +11

    ivi blin ken amekunywa uji au amekunywa pombe kali

    • @micumass1989
      @micumass1989 หลายเดือนก่อน +1

      Yeye na boss wake wanakunywa uharo😂

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 หลายเดือนก่อน +1

      Amekunywa mkojo wa zeluzelu

  • @mudiskaina2342
    @mudiskaina2342 หลายเดือนก่อน +6

    mwambie mtu akuhakishie amani sio akulinde ni ujinga

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw หลายเดือนก่อน +4

    Sina Cha kucomment aisee wote mliokoment nawapa Tano safi sana watanzania tunajitambua sana niseme tu huraaaaa

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg หลายเดือนก่อน +4

    WALIO CHANGIA MNACHEKESHA WOTE TEAM RUSSIA GOD BLESS U

  • @karimhamisi4627
    @karimhamisi4627 หลายเดือนก่อน +7

    Putin mwenyewe yupo china anakunywa supu ya nyoka 😂😂😂😂😂😂 2:53

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน

      Na wewe unakunywa supu ya nn?

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t หลายเดือนก่อน

      Ya mbwa

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 หลายเดือนก่อน +5

    Itashinda njaa

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 หลายเดือนก่อน +3

    Waache Kujidanganya

  • @salummsusa5007
    @salummsusa5007 หลายเดือนก่อน +5

    Anaonekana akili yake imekufa ngoja tuone kama huu utakuwa mwisho wa US na NATO kuwa dominant

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo ndiyo maneno,na kauli ambayo dunia tunataka kusikia.

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 หลายเดือนก่อน

      Maneno ya kijinga hayo ya blinken, anaota ndoto

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน +3

    Urusi itashinda

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 หลายเดือนก่อน +4

    Mchochez anataka waukrein waendelee kufa mpaka waishe, ili wapate kupa dikiza kizazi ambacho Soo asili ya happy ukrain Ili ajenda zao zisifel. Bahat mbaya sana Mrus kawashika kunako na hawatoboi

    • @eveliusreveliantv5985
      @eveliusreveliantv5985 หลายเดือนก่อน

      Ogopa vita ...visikie..waombee amani.... kwenye mapigano chochote hutokea... lakini kiubinadamu akuna aja ya kupigana....kila nchi ni huru...tuwaombee amani

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Kwani waukraine wakifa ww unaumia nini?waache wapambanie nchi yao hadi tone la mwisho.Mradi wana sapoti kutoka nchi za magharibi waache watetee taifa lao.

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod หลายเดือนก่อน +3

    Huyu blinken ni shoga kitambo kwaiyo ubongo wake umejaa mavi...

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Hebu jaribu kumpa huko nyuma kwako tuone kama hakutavurugwa hadi ushindwe kunya.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 หลายเดือนก่อน +3

    Mnajidanganya labda mtume wanajeshi mamluki

  • @simiwayeu1992
    @simiwayeu1992 หลายเดือนก่อน +2

    hivi marekani anataka waishe

  • @user-dk4iq5ct6r
    @user-dk4iq5ct6r หลายเดือนก่อน +2

    Labda washinde kwa njaa

  • @nelsonnikodem1100
    @nelsonnikodem1100 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana nduguu zetu kongo mwenyezi munguu awatie nguvu

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน +3

    Ndoto za saa 6 mchana 😂

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +3

    Lakini Sisi kama waafrica tunajifunza nini kuhusu hawa mabwana ktk mambo yao jinsi walivyo vinga'nga'nizi hawataki kusutuhisha wao wanataka Mali za urusi utaona walivyo na maroho avyoo wameshaona wizi ndio moja ya maisha Yao kama Libya na nk

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน +1

      Mwizi hua anamsimamo nahua hachoki anapo tafuta jambo lake 😂😂😂😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Mrusi ndio mwizi anakodolea macho maliasili za ukraine.yaani alivyo mroho haridhiki licha ya kuwa urusi ni nchi kubwa sana kieneo,ndio nchi inayoongoza kwa ukubwa na ina rasilimali kibao.

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน

      @@MathewNathan-yb2bz kaonane na daktari akusaidie akili na fikra , urusi na urkain nindungu wadamu , nahao mabwanazako umbali wakiomita na urkain hawana kinasaba hata kimoja kinacho wafanya wapeleke silaha nakutumia nguvu nyingi ni nn bila ujambazi ,nchi zote za kiarabu wamevuruga kima bavu bila wizi nikitugani , wamemaliza nchi zote wamehamia urkain kuleta nako vurugu. Achawafunzwe adabu ,mrusi sio muafrika mwenye akili zamende kama zako , akili ulonayo mzungu anaweza kukurubuni kwapesa ndogo uwatoe sadaka wazaziwako kisa tamaa, mana machafuko yanayo fanywa na wamagharibi , watu wapo wanajifunza ,mengi wewe hunaunacho jifunza unakili zamavi kunuka 😀😀😀😀

  • @user-zt1te9ir8t
    @user-zt1te9ir8t หลายเดือนก่อน +4

    aise kichwa cha panzi huyu chambo.

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lenu mnazungumza ubwabwa alafu mnamtanguliza Ukraine mbele ili wafe na Putin hatanii anauwa kweli warusi wako Sirius nyinyi mnaleta maigizo 😂

  • @user-xj1bp2mb5o
    @user-xj1bp2mb5o หลายเดือนก่อน +7

    Mchochez mwenyew anaogopa vibaya sana kamtoa ukrain kafara

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +1

      Ww badala ya kumlaumu putin kwa kuvamia nchi ya ukraine kinyume na sheria za umoja wa mataifa ,ww unamlaumu marekani.

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 หลายเดือนก่อน

      ​@@MathewNathan-yb2bzkwani Wewe matako yako yalipo vamimiwa ulienda kulaumu wapi 😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@sbboymkaliofficial9108 matusi ndio ujinga wako

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@sbboymkaliofficial9108 matako yako ww ndio yaliyovamiwa.Mtoto wa kiume una shobo kibao

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz หลายเดือนก่อน +1

    Wameanza kupagawa hii ni nzuli sana uruss piga hao mbuzi bira huruma uraaaaaaaa

  • @johnsindayigaya9485
    @johnsindayigaya9485 หลายเดือนก่อน +1

    Anaumwa kichwa,hata mwanzo walisema poutine atafariki nyuma ya weeks mbili,na kwamba ucumi wa Urusi utaangushwa Chini!!!Ukraine kushinda ni ndoto ya Mtu kuivuka Bahari ya Tanganyika na miguu.

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 หลายเดือนก่อน +1

    Israel kuipiga Palestine sawa ila ukraine hawataki kustop vita ila wanazidi kuchochea vita kweli wazungu wazungukeniii

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg หลายเดือนก่อน +1

    Rais zelenznk anaogopa kupinduliwa blinken kamshauri amejiblock MWENYEwe aisee

  • @user-is5pr5wf6c
    @user-is5pr5wf6c หลายเดือนก่อน +2

    Anacho kisema na usowake tofaut

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 หลายเดือนก่อน +1

    Wamesahau kuwa mrusi ndo nchi yakwamza kwa kumiliki nyuklia

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mashetani ya NATO mpaka yatakaposhituka kwamba hayawezi kupambana na mrusi yatakuwa yamechoka sana kwa kila kitu naona mashoga yamepigwa kwenye mshono. Putin forever ❤️

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 หลายเดือนก่อน +1

    Katika rais pumba ndio uyu Dunia nzima

  • @Allybinamour
    @Allybinamour หลายเดือนก่อน

    ukraine sio itashinda tayar imeshinda tokea kuanza kwa vita.
    saiv wafanye sherehe tu kusherehekea ushindi wao.

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 หลายเดือนก่อน

    Hiyo misaaada 2 years Sasa hawajakomboa miji Yao acheni ujinga,,,, Urusi baba lao.

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 หลายเดือนก่อน

    Urusi sio hammas 😂😂

  • @wilsonytz6730
    @wilsonytz6730 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaji umenikosea sana kwanza tengua kauli yako usiseme Moscow inadai kuchukua maeneo yaani umeshindwa kusema Moscow imekomboa maeneo yake maeneo yake

    • @habari-24
      @habari-24  หลายเดือนก่อน +1

    • @makelemohuya2723
      @makelemohuya2723 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni muyahudi gani mwenye sura yakinafiki mwanamama uchwara kwamaana ya shoga mpuuzi Huyu

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha😂yao yote Ukraine haiwezi kumshinda mrusi hata watembee uchi

  • @miruhongin
    @miruhongin หลายเดือนก่อน +1

    Uyu ni musazi kabisa myaka mbili sasa walitumia kilakitu nini itashitua urusi

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 หลายเดือนก่อน

    Blinken amka hiyo ndoto unayoota utajinyea

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 หลายเดือนก่อน

    😂😂 ndoto za mchana labda waache ushoga kwanza ndio wapate akili wagundue walikosea wakagusa pasipo faa waombe rathi kwa Russia 😂😂😂

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 หลายเดือนก่อน

    Safari za hawa viongozi wa Magharibi kwa Ukraine msafara yao huja na siraha. Urusi si angeliipiga miundo mbinu ya train

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

    Mchokozi hajawishinda hata siku moja ni suala la mda tuu linashbiriwa shoga putin na mashoga wenzake wanamshabikia. Siku zao zinahesabika

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน

    Tunafahamu kuwa vita ni uchumi,hivyo kama ni kuharibu uchumi,urusi itakuwa imeharibu sana uchumi wake.tunajua atajitutumua sana kuwa urusi iko vizuri,lakini tutaona mwisho wa vita.nchi za magharibi ni wajanja wanamsikilizia tu.

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 หลายเดือนก่อน

    Nahona marekani Sasa inaletz vita kubwa ili urusi ishinde km ucrene itapiga iZo silaha kubwa wana tegemea urusi atapiga ucrene kwasilaha gani ? atari inakuja

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j หลายเดือนก่อน

    Wamemtoa kafara na mwenyewe wala haoni

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe unashindwa kutete a nchi yako kwa kuogopa kushuka kwa uchumi pambana usiogope

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 20 วันที่ผ่านมา

    Ndio mawazo yako yalipoishia

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya uchawa banna! eti bila marekani hakuna vita duniani.kwani hii vita ya ukreini nani mvamizi?hivi idiami alipotuvamia,hatukusaidiwa marafiki zetu?

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

      Ndiyo hapo inabidi ujue uelewa wa watAnzani ni kwa jinsi Gani ulivyomdogo

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

    Acha inyeshe yetu macho na masikio 😅😅😅😅😅😅us😅😅😅😅 NATO 😅😅😅😅😅😅😅

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 หลายเดือนก่อน

    Urusi sio lraq

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk หลายเดือนก่อน

    WALAANIWE VIONGOZI MATAPELI WACHONGANYISHI FITINA WASHENZI NA WEZI WA MARECANI UINGEREZA FRANSA UGERUMANI NA WAANGUKE.NA TAYARI HAWAWEZI SIMAMATENA KAMA MWANZO . NA WABARIKIWE VIONGOZI WA URUSI IRANI CHINA NA COREA YA KIDUKU.QMIIN.

  • @user-sp5cq8hd3o
    @user-sp5cq8hd3o หลายเดือนก่อน

    AMERICAN NDIO MBABE WA DUNIA HII HAWOOO WENGINE WAJIHASHUWA TU..

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 หลายเดือนก่อน +1

    Patriots na HIMARS fanyeni kazi ya heshima huyo T90 Tanks ni Cha mtotoooo😂😂😂

    • @karimhamisi4627
      @karimhamisi4627 หลายเดือนก่อน +1

      HIMARS imeshapata ufumbuzi kupitia PANTSIR SM na STORM SHADOW ipo maabara inafanyiwa upembuzi yakinifu

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp หลายเดือนก่อน

    Watashinda na njaa siyo Kushinda vita

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 หลายเดือนก่อน

    Katika rais pumba ndio uyu Dunia nzima