with or without handshake kimeanza kuturamba sote, l even dnt knw why we are cheering for him yet were suffering with cost of living en tax en more tax are yet to come under his rule
Mr president be in the office and see how you reduce the cost of living Campaign period are over, you should know you are a working president. We need you in the office not kwa barabara
Wakati wa Kibaki si ni wewe ndie ulipiga wakikuyu na wengine kuwauwa ili Raila achukue serikali. Wewe Ruto ni mnafiki, juzi ulisema umeagiza sukari na mahindi kutoka nje ili upunguze garama ya maisha leo unasema hauwezi agiza bidhaa yoyote kutoka nje kila kitu tutafanya wenyewe ili kukuza biashara na uchumi wa Kenya
But for now,Kuna mahindi mingi sana Kenya, serikali ikinunua,few months from now, watu watakuwa kwa Barabara,kugoma,,let's not criticize everything,he means well,but hapo kwa ignoring opposition ndiyo sikubaliani, juu hata opposition iko na wafuasi wengi,they should come together for the sake of kenyans
For heaven sake unify the country, this is not the time to chest thump, those who want hand shake and those who don't want,we are one, imagine one year has come to end your are still campaigning on top of cars,mercy lord stop spreading hatred
Politics of arrogant and goons of kk government cannot bring peace in this country ....raila ndio mtetezi wa kenya. 24/7. You saying .handshake handshake who asked handshake everybody knows that you were ODM minster of nusu mkate government of kibaki. .kenyans sio wajinga..we want peace through dialogue
The notion that the winner takes it all is superb.i wonder if omanyala won the gold and he wasn't assisted by the next winner..what is the role of the opposition in the gold medallists..😢😢I think watchdog doesn't do demos but constitutionally fights for injustices done by the government with out violence.
But he has been one of the people who have been sukumaring the previous regimes.If it was not sukumaring of this people we could not get maltparty which has given him this position..
Why you bring Engineers from china to build Roads, while kenya produces best engineers , eti kazi ya vijana ni kutengeneza vitanda, don't brag kenya back to 19 centuries
You had the opportunity to election your Messiah, and you failed to do so that's why Kenyans we are suffering,....now we have Ruto keep come we have a plan.. hustler Tano Tena
I wish everytime the president organizes a rally the cost of living comes down but still the government is politicking with empty words and false promises
Yes yes yes....he should take his job as opposition leader that's all
Thanks my beloved president,no hand shake this time
Nobody has asked for a handshake.Stop hiding ua incompetence behind an imaginary handshake.
No handshake. Why is the price of uga high.ruto hataki mwenye atakiona wakiiba
Campaigns are over Mr president. Serve Kenyans. Life is very hard.
Excactly
Excactly
Miaka 5 itakupata ukiwa Bado juu ya gari
Basi ambieni raila ampee peace of mind afanye kazi
Promises promises...watu wa sagana mutatuelezea...tick tock😅
Mdomo tamu tamu... Mdomo tamu tamu!!
Nacheka nikiskia tumepanga 😂😂na Tunaelewana 😂😂😂😂
with or without handshake kimeanza kuturamba sote, l even dnt knw why we are cheering for him yet were suffering with cost of living en tax en more tax are yet to come under his rule
Mr president be in the office and see how you reduce the cost of living
Campaign period are over, you should know you are a working president. We need you in the office not kwa barabara
Uliandamana ukiwa na Raila mkapata nusu mkate wacha Kudanganya watu
Wakati wa Kibaki si ni wewe ndie ulipiga wakikuyu na wengine kuwauwa ili Raila achukue serikali. Wewe Ruto ni mnafiki, juzi ulisema umeagiza sukari na mahindi kutoka nje ili upunguze garama ya maisha leo unasema hauwezi agiza bidhaa yoyote kutoka nje kila kitu tutafanya wenyewe ili kukuza biashara na uchumi wa Kenya
Sure this man's word can never be trusted.
But for now,Kuna mahindi mingi sana Kenya, serikali ikinunua,few months from now, watu watakuwa kwa Barabara,kugoma,,let's not criticize everything,he means well,but hapo kwa ignoring opposition ndiyo sikubaliani, juu hata opposition iko na wafuasi wengi,they should come together for the sake of kenyans
There you are Mr President, No Hand Shake,,,
dont hide ua incompetence behind handshake. We already said we dont want handshake.Y keep repeating it?
I can only imagine how the rally was bored
All these promises,are they not too much 😅😅😅
Anyone with a payslip and ur clapping ur a patriot
Payslip inanini shukuru we unapokea anaekulipa Hana kazi
For heaven sake unify the country, this is not the time to chest thump, those who want hand shake and those who don't want,we are one, imagine one year has come to end your are still campaigning on top of cars,mercy lord stop spreading hatred
Why are you people listening as if you're not suffering guys it's painful
That is how Rwanda is more developed
No handshake they want money 🙏
Thanks God! We don’t need your hand shake Be reminded Mr. Stop your side shows and Empty promises. Be decent! Stop side shows….
Well said.
Really you are best man but Africa best man lakie you thay don't went really so god with you go head. Don't go back ruto. Don't make mistake
RUTO amekonda? Ni kichwa 2 ndio imebaki.
This is very good. WaChina wakwende huko. Let's support our industries
Ukitoa wachina waingereza wako local industries ndio nini
Mbona analeta sukari kutoka nje?who bewitched kenyans
@@labistarkisero8618 Sukari Gani Iko Kenya na ww kampuni Gani hizi Zina saga sukari
which industries?🤣🤣🤣🤣
We have no time for this?Kenyans r starving
Pure Lies, Zakayo you have gotten fools,Are you Zakayo campaign ing
Mr kupanga na kutenga leo umetenga ngapi.
😂😂😂
Uyu jamaa ni comedian 😂😂,ujinga ama ni ukumbavu 😂😂
Eti mtu alale jini?😅😅😅😅I like it... This is the time of Captain Thomas Sankara of Burkina Faso...Lord help William
We divide the Country, You rule your Country and Raila Rule his country
Which country?
And the clueless clapping....Kenyans are very easy to forget...now the poor are very happy buying unga at 250
Atawaendea shambani awalimie
Endelea kununua 250, kwetu ni 200
They are farmers they don't know the price,hapa sio kibra,ni sagana
Infact sahii mahindi gorogoro ni 130
wauzie 80 kwa duka lako.
Politics of arrogant and goons of kk government cannot bring peace in this country ....raila ndio mtetezi wa kenya. 24/7. You saying .handshake handshake who asked handshake everybody knows that you were ODM minster of nusu mkate government of kibaki. .kenyans sio wajinga..we want peace through dialogue
Haina haja ya ndomo au kelele miingi, fanya tu kazi yako bwana, hii kuongea miingi ndio kuharibu inchi, urongo mingi pia na kujigamba bure.
Uchaguzi gani ulimalizika si uliiba kura tu mwuaji mkubwa ukiua Kwa risasi nawe utakufa Kwa risasi
Kabisa Boss ....👍😀
President ruto ❤❤❤❤❤❤
Development tour ama namna gani
This time kenyans are witnessing confused head of state who does not understand his role.
Opiyo
Nonsence
Too much talk. Zero work!
Kwani ni campain?
Mshukuru Chebukati aliyekuibia kura
Thanks God bless all
Why is our president obsessed with handshake? Kila siku hatutaki handshake. Hatutaki nusu mkate. Our politics is just childish.
Unaishi wapi wewe? That's the sole reason for maandamano.
Agenda zake ni uhuru
Who doesnt not know Tinga after every 5 years, kazima ajaribu to get half bread, enough its enough aende akiendaga
2:18 kitendawili Hana bahati this time round,mkeka akanyange kwake , handshake asalmie watermelon maneno iishe
Wacha WSR aongeleshe watu wake
People are still campaigning oh God . Promises after promises who will accomplish all this😢
No body wants your handshake hustlers wako wapi Sasa wapi projects ondoa ujinga..tutapanga..tutaleta....
Stop campaigns, stop hiring goons to come, and clap 👏 you're misusing our resources
❤
The notion that the winner takes it all is superb.i wonder if omanyala won the gold and he wasn't assisted by the next winner..what is the role of the opposition in the gold medallists..😢😢I think watchdog doesn't do demos but constitutionally fights for injustices done by the government with out violence.
And how do u propose the opposition to fight for injustice?
BTW, ever asked uaself y the right to demonstrate was put in the constituition?
Mlima Kwa watumwa wa wanasiasa.
We go for election to decide who will be president and who to be opposition leader.not sharing leadership through violence ad sorry excuses.
If the leadership is bad for you,wait 2027 election and change it.but not maadamano ad destruction of property
Mt Kenya kunyweni pombe.
Watu wangu wa kirinyanga tunaelewana" nigwo kana tigw'o"😂😂 Ruto mdomo tamu ukonayo lakini kufanyia watu kazi bure tu
God is. In control..prezzo. Thiere is something about stones
Big NO to handshake,why do we go for elections.Let Raila go home like Trump did
Diverting attention from the high cost of living
Heathwise apo kwa the so call prezda taawee
Kazi mbele,okwambo enda Bondo ulime sufuria ishuke kichwani.
Ruto ur misleading kenyans na utajua maana ya MAANDAMANO soon from AZIMIO
Mdomo mrefu na kisogo kubwa, sura mbaya kweli
Shukuru mungu kwa kukupa mdomo
It is a violation for an emperor to share power.
Stop the wet dream...in Kenya we don't have rulers
We don't want HANDSHAKE but lower the cost of fuel your Excellency.
Poor coverage by the media...Mbona huoneshi walioko.?????????
But he has been one of the people who have been sukumaring the previous regimes.If it was not sukumaring of this people we could not get maltparty which has given him this position..
Upusi
hapo ndipo
He has got a bipartisan talk with u
President badilisha suti
I don't feel this ..mt.kenya whatis this ..
Kutoka uanze kuvaa hizi Kaunda ujinga Yako imeongezeka!
😂😂😂😂
😂😅😅😅😅
Mimi sioni kiongozi hapa Bure kabisa mwewe ya mtu.
Atembee mguuu tupu😆😆😆😆
School fees ya university ni KES 300,000 per year from KES 30,000.Kenya inaenda mzuri hoyee!
Kweda uko Wewe promise xa uogo auna Aya kubafu
Serve Kenyans
Hakuna handshakiiiiiiiii 😢😢😢😢
Tugege claping 😮
Ruto amekonda JAMENI....
Fitness
Wa Kenya wanakufa nawewe bado unapiga siasa uchumi iko Jun do mdomo tupu kutenga bure kabisaaaaaaa
H.E😂❤
Sasa watu kwani hakuna raha
Huyu msee ndio anafaa kuanza kulala chini
Hata wakenya 9000000 hawataki handyshake
Bla bla bla blaaaaaa
At least for once they both agree on something !
Utakoda mdomo banaaaaaa
Shida ya watu wa UDA ni mdomo tu
Why you bring Engineers from china to build Roads, while kenya produces best engineers , eti kazi ya vijana ni kutengeneza vitanda, don't brag kenya back to 19 centuries
Wongo
Mmmmm bure
Na hio sukari ulisema inatoka nje ni gani
Matako hiii kwenda uko
Uyu ako ju ya gari yani kabla afanye kazi
Kwenda zako wewe fala sana
No doubt this the only president Kenya needs
Ooo nilikukataa
story za jaba prezzo wachia wasee wa baze
Tutapanga,tumetenga,tutaajiri,tutazalisha,hakuna siku utaskia tumefanya,it's always future tense 😂....afu Ng'ombe zingine zinapiga makofi😂
🤣🤣
You had the opportunity to election your Messiah, and you failed to do so that's why Kenyans we are suffering,....now we have Ruto keep come we have a plan.. hustler Tano Tena
@@timothymuthenya7124 sema dynasty mbaaaya,hasora taware tawaraa
2027 utaona
I wish everytime the president organizes a rally the cost of living comes down but still the government is politicking with empty words and false promises
Siasa ya Kenya imeaza
Sai maindi 2kg ni 70 sijui unasema nini
5:05 na kitendawili akipanga rally nini inafanyikanga?
@@asabajoyce9130 he is not part of government oposition is his job and he overperforming!
@@royalkings254nugu sana wewe. Kwenda lima shamba mbwa kasia. Unangoja mamako aombe mahindi statehouse? Ama bondo? Kasia.
Nonsense ruto
Ruto 2027. Gachagua 2032. Murkomen 2042. Tupatane Kwa debe!!!!
Kwa kuwa ww ni Mungu unapangia watu
Uso kama koti ya Gachagua
@@wanyonyirobert2735Huyu ni iluminati sio binadamu ashindwe kabisa
You need to go for mental check up mwewe hii
@@muthamasabastian9242Kamelon Kenu kalianguka interview. 😂😂😂😂
Raila is not interested with handsake na selikari imeoza