HALI ILIVYO MUDA HUU UHURU STADIUM 🏟 MASHABIKI WA SIMBA WAMEGOMA TENA,BENCHIKHA ANATAKA MABAO LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #inkmediatz #africanfootballleague #nbcpremierleague #cafcl

ความคิดเห็น • 14

  • @akilizawadieli3610
    @akilizawadieli3610 9 หลายเดือนก่อน

    Mtateseka sana na Roho zenu JuJu Ndege imeinuka hiyoooooooooooooooo

  • @IsmailMrisho-v1n
    @IsmailMrisho-v1n 9 หลายเดือนก่อน

    We MNGESE tu.... Muda huu !!

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 9 หลายเดือนก่อน

    Msimtukane mtangazaji hacheni kuwa na hasira Mnalishwa ata mfanyeje. Kagera hoyeeeeeeeeee

  • @MbosoMasoud
    @MbosoMasoud 9 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki tuskate tamaa tuende jaman uwanjan

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna wa wanaudhi kweli

  • @AbuuKilave
    @AbuuKilave 9 หลายเดือนก่อน

    Acha usenge hii asubuhi wamegoma vip?

  • @hatueneimbiku6412
    @hatueneimbiku6412 9 หลายเดือนก่อน

    Na bado mtagoma sana leo mnaenda kupigwa palepale kwenye mshono 😂😂😂 njooni yanga kwa mkopo tutawapokea tu

  • @IssackMsimbangombe-jy3nd
    @IssackMsimbangombe-jy3nd 9 หลายเดือนก่อน

    Ww mpumbavu na aliyekuzaa nae mpumbavu

  • @reginaldnyinge8802
    @reginaldnyinge8802 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi kumbe kuna baadhi ya wasndidhi wa blog hizi akili zao ziko kuisema Simba tuu kila uchao. Uwanja kujaa washabiki muda ukifika utaona sio sasa hivi saa 2:30 asubuhi ndio waseme wamesusa.

  • @akilizawadieli3610
    @akilizawadieli3610 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaota ndoto za kimweri na KAZI ya mdomo no kuonge na akili kuwaza hivyo unaweza kusema lolotte

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 9 หลายเดือนก่อน

    Mechi ya Kagera mashabiki tuache kazi twende asubuhi kiwanjani wewe unayerusha hii akili zako ziko makalioni aisee

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 9 หลายเดือนก่อน

    KAGERA SUGAR HOYEEEEE

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 9 หลายเดือนก่อน

    Mwandiahi huna kazi, kuendelea nchi hii kazi ipo. Mpira u achezwa saa kumi jioni, wewe mwandiahi inaanza kitangaza mpira alfajiri? Huo nao ni.umbeya wa ninyi waandishi mabumunda. Pumba tupu

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 9 หลายเดือนก่อน

    Hii channel ni ya upande wa pili nilikuwa sijui,naiblock kuanzia sasa