PART4:TAJIRI MCHAWI ANAEMILIKI BL 3/NAFUNGISHA WATU MIKATABA FREEMASON/JAMBAZI/NINA WAKE400 WATOTO80

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว +17

    Davistar, hawa wasimuliaji wanapoteza dira ya kusimulia step by step kwasababu maswali yanakua mengi kabla hata story haijaeleweka, please maswali yawe tu mwisho ya kipindi ama tuweke episode maalum ya maswali mwisho wa story kabisa,

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa Yani story inapotea kabisa haina inakosa ladha

    • @Tutindaga
      @Tutindaga ปีที่แล้ว

      Jamaa anauliza maswali badala ya kusikiliza! Listen first maswali baadaye aiseee anapoteza sana vipemgele vya story

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +7

    Mobutu, hittler, iddi Amin, madikteta wote wanaishi maisha magumu sana kuzimu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +5

    jamani eee tufanye tumsaidie yule dada husna..kwanza yule mtu aliemdalilisha kingono achukuliwe hatua pili..matumizi kwaajili ya maisha yake..jamani watu wenye kujua watu wa ustawi wa jamii..msaidieni yule msichana tafadhali

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 ปีที่แล้ว +4

    Baba angu nguvu za giza😅🙌anafurahisha uyu jamaa

  • @zahirrajab7713
    @zahirrajab7713 2 ปีที่แล้ว +2

    Davistaaaa una maswaliiiiiii sana yana kele stor nzimaaa maswaliiiiiii tu

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 2 ปีที่แล้ว +3

    Na je, ni kati ya nchi zote alizo tembea ni nchi gani aliona ni yenye wacha Mungu wa kweli kwa wingi?

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio mtumishi wangu mungu ana mtumishi ambae alikuwa mchawi uyo ni mtumishi wa lusfa

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

      Tena hawa ndio watumishi wazuri wanamjua shetani ndani nje

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 2 ปีที่แล้ว

      @@heritier5119 for sure hata shetani mwenyew anapata tabu nahawa maana hawa wakiokoka wanamaanisha kweli tofauti nasisi watu Baki maana wanajua wakicheza mistake moja wanarudi huko na ndio maana wapo makini sana juu ya wokovu wao hawataki kurudi nyuma hata kidgo

  • @anthonymmanda4415
    @anthonymmanda4415 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe neema na ujasiri wa kumtumikia nasi tulitangaze jina lake km nyie mnaorusha kipindi hiki

  • @ANITHASTEPHEN-bs1ee
    @ANITHASTEPHEN-bs1ee ปีที่แล้ว

    Jamaa anastory nzuri Ila sio muelewa kila ukimwambia aende Kwaatua aelewi anatumalizia bando

  • @bobkariz5663
    @bobkariz5663 2 ปีที่แล้ว +6

    Finally davistar you will spice my day with powerful testimony

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว +2

    Davista sshv unaudhi sana, ungemuacha mtu atoe simulizi yake yote hatua kwa hatua, maswali yote andika ww baada ya stori kuisha ndipo kipindi cha maswali kianze

  • @joshuatalu9596
    @joshuatalu9596 2 ปีที่แล้ว +3

    DM tafadhali endelea na hii story. Pastor ana mengi hajasema.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukikosa maarifa shetani atakusumbua sana

  • @JifunzeNenoLaMungu
    @JifunzeNenoLaMungu ปีที่แล้ว

    Shetani kenge Sana.. nishauziwa gari bovu hata sijafika nyumban likaharibika.. baada ya muda ndo naliona lilivyo bovu... Shetani kufa kwa Jina la YESU KRISTO... Shetani kufaaaaaa unguaaaa kufaaaaaa kwa Jina la YESU KRISTO aliye hai

  • @DWAYNEKI
    @DWAYNEKI 2 ปีที่แล้ว +3

    @Davista umeruka saaana rudi palee kwenye waliposhindwa kumpeleka yule walio tumwa kumchukuwa...jee yule bibi, jee hivyo vituo vimekuwaaje .....

    • @davidochieng7055
      @davidochieng7055 2 ปีที่แล้ว +2

      stori ni kali ila wameishaiharibu kwa usimuliaji wa kuruka ruka ni kama wanahojiana sio simulizi tena

    • @DWAYNEKI
      @DWAYNEKI 2 ปีที่แล้ว +2

      @@davidochieng7055 kweli kabisa Yani imekuwa kali saaana illa kuanzia part 3 wameanza mahojiano sio simulizi tena.... Jee yule bibi aliyempeleka imekuwaje....huko kuzimu miaka aliokaaa imekuwaaaje amekuwa anafanya nini .... Na amepitia vituo gani na matokeo ya hivyo vituo.... Connection na alie muingiza ikawaaje.. Yani kote uko wameruka....aaaaah basi mi nafikiri sirudi kuifuatilia tena ...

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 2 ปีที่แล้ว +2

    hayo mahojiano yalitakiwa kua mwisho sio mwanzo wa stori Davista ingenoga zaidi ona hatujaskiliza stori mmeenda mbali zaidi

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +5

    huyu jamaa kulingana na story yake yake saiv bado atakuwa huko sema kaingia makubaliano ya kuja kama mchungaji na awe na kanisa lkn kwa lengo la uwakala huohuo wa shetan

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 2 ปีที่แล้ว +2

    Kusimullia ni kazi sana, huyu jamaa ana story nzuri Sana ila kusimullia Hana mpangilio

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว

      hana mpangilio sababu davista ndiye anayelimpoteza njiani kwa kumrundikia maswali, yaani wanaongea wote kwa pamoja.
      Angekuwa anamuacha aongee mpaka mwisho kwanza

    • @charlesb.mwaipeta8415
      @charlesb.mwaipeta8415 2 ปีที่แล้ว

      Davista anamuuliza maswali mpaka jamaa anapotea njia kabisa

    • @annamwita7548
      @annamwita7548 2 ปีที่แล้ว

      Maswali mengi Yana mpoteza

  • @YohanaMasatya-j4v
    @YohanaMasatya-j4v หลายเดือนก่อน

    Davster unazngua unamtoa kweny story baba acha aendelee mwenyew,sas we kilakitu unataka umtangulie,haya sas simulia wew sas mwenye uwwelewa mkubwa kumzid😮😮

  • @benedictoparoko2424
    @benedictoparoko2424 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiistori.nimeikubali.sana.bonahainamwendelezo

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 2 ปีที่แล้ว

    Anapenda kusema Baba angu kwa kuwa alikaa sana Congo wanapenda neno Papaa

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku yakufa aijulikani ana ijuwa mungu pekeyake tu

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba umhulize kama ashawahi peana dagu Israel and how was it.

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmh miaka Mia? Umetisha inaonesha unaogopa kufa😁🙌

  • @deddyabdullah252
    @deddyabdullah252 2 ปีที่แล้ว +2

    Bro jamaa nimependa katupa ukweli mwingi ambao wengi walikuwa sijuwi wanatuficha au kutudanganya
    Yaani kamueleza kiukweli kabisa Lucifer na pia kuzimu ni kumoja tuu .
    Ila tungependa au ningependa kumuuliza kuwa mji wao huko kuzimu ukoje na mda wa miaka na nusu alikuwa anakula Nini analala wapi anaenda kutembea wapi au Yale mambo anayapata pia ..

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว +3

      kuzimu ni sehemu ambayo watu wanaishi na kufanya shughuli zote kama huku duniani, ila lengo lao ni moja tu, kuiharibu dunia

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa iko poa asante

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +1

    Babaangu Yesu amekuokoa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +1

    Hela ya shetani tamu, lakini mwisho uchungu

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 2 ปีที่แล้ว +2

    sawa tunapenda mafundisho ya dini ila mko nje ya mada ya mikasa na stori za maisha hapa ni kuhubiri sasa

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว +1

    Mshikaji anamatukio mengi sijui kama atayamaliza mwezi huu

  • @godlovem7139
    @godlovem7139 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo baba angu😀

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 ปีที่แล้ว

    Punguza maswali,Kwa kila msimulizi,juu unapoteza mtiririko wa simulizi

  • @solangenelly4326
    @solangenelly4326 2 ปีที่แล้ว

    Lubumbashi tuna enjoy

  • @bedykedy3604
    @bedykedy3604 2 ปีที่แล้ว +1

    EE BABA

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe una jisifu na wwe subiri ufe utakiona chamoto

  • @anthonyvitulis5174
    @anthonyvitulis5174 2 ปีที่แล้ว

    Je Kuna wasanii walio jiunga na mikataba hiyo

  • @JifunzeNenoLaMungu
    @JifunzeNenoLaMungu ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa umuunganieshe na mzee wa mizimu anaetaka kupambana na wachungaji kafufua watu wanne huyu

  • @shalifsimon1106
    @shalifsimon1106 2 ปีที่แล้ว +1

    VIP wachungj umewap upo wangapi

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Saut amna

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @jumakazumba6662
    @jumakazumba6662 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwe unawah bas

  • @granceneema772
    @granceneema772 2 ปีที่แล้ว

    Hixo ndio baba Sasa

  • @azizimaliki4253
    @azizimaliki4253 2 ปีที่แล้ว

    Story nzuri lakini Haina mpangilio la nyuma linakuwa mbele na la mbele linakuwa nyuma

  • @KISUBIKilozo
    @KISUBIKilozo 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio baba

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 ปีที่แล้ว

    Eee baba angu

  • @sylviashiana5318
    @sylviashiana5318 2 ปีที่แล้ว +1

    Jesus is coming up soon you will see

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja saana mr everything 💪

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +2

    sasa hizo kazi ulizo fanya ni zipi??? tunataka kama mzee wa bakora za kimkakati anaeleza nilifanya hivi nikafanya hivi.. au zabron su rayton. sasa huyu anaeleza nn???

  • @achsahcharles6728
    @achsahcharles6728 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa ana content, lakini sasa usimuliaji umegoma, na sasa kakutana na Davistar, Davistar hamrudishi kwenye mstari, ingawa anajitahidi kumrudisha kwakweli lakini msimuliaji kipaji hanaaa! Tuelewe tu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +2

    davista hii story ipotezee kwasababu inaonekana sio kweli?? how haelezei kitu alifanya??

  • @mwangazakanganga8110
    @mwangazakanganga8110 2 ปีที่แล้ว +2

    😍😍👏👏

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆 Mia 100 heee

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 2 ปีที่แล้ว

    Asante 🇰🇪🇰🇪

  • @lucyjoseph4216
    @lucyjoseph4216 2 ปีที่แล้ว +1

    There we go again😁

  • @rukiarashid3669
    @rukiarashid3669 2 ปีที่แล้ว

    Huyo bado ajaokoka maana bado vitu vingine anafichaficha eeeee zinakua nyingi

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    yaaani usituulezee ndagu inafaaa hivi wewe matukio yako mtu alikuja ikawa hivi nikafanya hivi..sio unaongelea kitu ambacho hakiwleweki mbona tueleze wewe ulifanyaje??

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

      Kipindi cha maswali uulize

  • @yussufomar2168
    @yussufomar2168 2 ปีที่แล้ว

    jamaa muongo

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Saut amna