Imagine uko jangwani umepotea Mchana juani unatembea Utokapo ni mbali uendapo ni mbali Mara ngamia mbebaji akatokea Na kukushusha mzigo uliokuelemea Upate afadhali pole na safari And that's what you did to me yote tisa ila kumi Umeonesha maana ya upendo Si kwa maneno bali kwa vitendo Umeridhika na nilichonacho Vya watu hutoleagi macho Siku nikiwa sina twalala Oooh baby twalala Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde Na akusimamie we ndo pacha wangu mie Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Niko busy na boo jamani nimeshasema Niko busy na baby na msalaba wake Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha) Nitaubеba (ama kwenye shibe na njaa) La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiumе Imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka Mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamwangalia Machozi yanakuanguka unatamani funguka And that's what you did to me yote tisa ila kumi unanifurahisha kwenye tendo Au unipe penzi la magendo Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde Na akusimamie we ndo pacha wangu mie Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Niko busy na boo jamani nimeshasema Niko busy na baby na msalaba wake Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha) Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa) La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume
Kali bro siunitumie beat
So nice jax
Hey prod nice one
Thanks dawg
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
And that's what you did to me yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina twalala
Oooh baby twalala
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubеba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiumе
Imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia
Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamwangalia
Machozi yanakuanguka unatamani funguka
And that's what you did to me yote tisa ila kumi unanifurahisha kwenye tendo
Au unipe penzi la magendo
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume
Hey Producer, naomba namba yako tufanye kitu. Kazi nzuri sana hii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
0676035053
Sax gani hio bro
Hiyo ni yamaha kwenye kontakt
Aha sawa mim sijatumia yamaha wala nexus
Nahio kama malimba nimefaya hio na mm but not nice like your
B boy katumia nexus karbia vinanda vyote. Chakua vinanda kwenye nexus mzee wangy
Asante vp kuhusu hio sax
@@knackmakertz mbona sax zako znsound vzuri tu
Sio kama zako zako ninzuri kaka
Good sound prod Jax