TAZAMA NANDY ALIVYO JARIBU KUFICHA MIMBA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @fathiyaahmed3310
    @fathiyaahmed3310 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว

    Nahs ndomana kwenye huba wamemgeuza mbuz mana katumbo kanakua 😜😜😜

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +1

    Atakuja kuua mtoto bure kisa kujibana kwani mimba inafichika basi

    • @mariampaschal5937
      @mariampaschal5937 2 ปีที่แล้ว

      Kuwa huru tutajuaje kama mmeo amekaimilika si lazima tuone kitumbo😀😀

    • @mariampaschal5937
      @mariampaschal5937 2 ปีที่แล้ว

      Huo niushamba nandy acha kubana tumbo kwani unachoogopa ni nini umebeba mimba ukiwa unasoma🤣🤣 ujue kuna watu

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว

      @@mariampaschal5937 Hapo sasa 🤣🤣🤣🤣

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 2 ปีที่แล้ว

    Mwanaume mzimaaa umbea umekuzidi , Cha ajabu Nini?

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 2 ปีที่แล้ว +1

    Wa tz tuna umaskini wa akili kweli yaani mtangazaji mzima unafuatilia mimba ya nandy huo ni uumbaji wa MUNGU yaani awe nayo asiwe nayo wakati wake ukifika atapata tu mtoto sio kila mtu anakua comfortable kusema sema habari ya ujauzito wake muacheni