SUBARU FORESTER XT VS Toyota HARRIER ( MFANANO na UTOFAUTI ) - Mr Sabyy | Clearing and Forwarding
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2022
- Usibonyeze Link hii chini 👇👇👇 kama huna ROHO NGUMU juu ya MAGARI ....👇👇👇
/ @mrsabyy
Ndugu mtazamaji leo tumekuletea UTOFAUTI na MFANANO kati ya TOYOTA HARRER na SUBARU FORESTER XT , hivi ni vitu vya msingi vya kujifunza kabla hujafanya maamuzi ya ununue #GARI ipi kati ya hizi.. Jifunze na mwambie mwenzio ajifunze ili darasa huru liwafikie watu wengi. ENJOY
Huduma zetu...
1: Kuagiziwa GARI JAPAN/UK/DUBAI
2: kutolewa Gari yako Bandarini ( Clearing & Forwarding ) kwa wateja waliokwisha nunua Gari
3: Kutafutiwa Gari mtandaoni na kupigiwa hesabu ni BURE
4: Kuagiziwa bidhaa mbalimbali nje ya nchi
5: Kusafirishiwa Gari yako popote ndani ya Tanzania
6: Clearing and Forwarding service
Tumia mawasiliano haya chini.
NB: Tunafanya kazi na watu binafsi /Makampuni / Taasisi zote
--------------------------------------
Social media handle
Instagram: / mr_sabyy
Whatsapp link : wa.me/message/LPV2C5ESGM6CL1
☎️DM/Piga/Text 0653953900 /
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
🏢Company: CAIRO INTERTRADE Co. Ltd
📍Location: PSSSF SAMORA HOUSE, Ghorofa ya 6, Wing A-Room 3, Samora Avenue St.
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
All copyrights reserved under CAIRO INTERTRADE Co. Ltd © 2022
--------------
#MrSabyy #Clearing_and_Forwarding #Toyota #harrier #subaru #forester
#Clearing_And_Forwarding
#Clearing_And_Forwarding_Agent
#magari
#TANZANIA - ยานยนต์และพาหนะ
Kuagiza inachukua siku ngapi??
Subaru Forester SH5 XT (yenye turbo) ndo inaweza kutumia sekunde 7.5 kuchanganya kutoka 0-100 ila hiyo isiyo na isiyo na turbo inachelewa sana kuchanganya hasa ukiwa umebeba watu na una mzigo haijapishana sana na harrier
Asante kwa comment yako na kutuongezea point katika darasa letu... Plz keep on sharing bila kusahau ku subscribe na ukihitaji gari karibu whatsApp 0653953900 ..
Uko vizuri ndugu Kwa ushauri mzuri
Ubarikiwe. 💐💐💐 Save no yetu siku ukihitaji gari tutext Whatsapp 0653963900
We jamaa ni mwongo sana kwanza Harrier Four inatumia tairi zote, pili inaweza kwenda rough road vzr kuliko Subaru pia ipo juu.
Ni kweli Subaru ina kasi zaidi ya Harrier, inatumia mafuta mara 2 ya Harrier pia haina mneso (comfort) km Harrie hata hivyo ni nz kwa fukara japo zimejaa gereji zote.
Yote kwa yote Harrier ndio mwisho wa yote
😔😔😔😔
Review nzuri. Especially Kwenye ulaji wa mafuta
Ubarikiwe
Thanks
Thanks, Karibu ofisini uagize Gari unayohitaji… Call/Text/WhatsApp 0653953900
Big up
Thanks, usiache ku subscribe na ku share link kwa wengine
Umetisha snaa Mwnanagu
Thanks, Karibu ofisini uagize Gari unayohitaji… Call/Text/WhatsApp 0653953900
Naomba review ya subaru forester sg5
Itakuja boss vipindi vinatoka kwa awamu , usisahau ku subscribe na ku share link kwa wengine pia save no yetu 0653953900 siku ukihitaji gari tupigie 🙏🏻
Sijajutua kupoteza MB zangu, nimekuwa nikitafuta sana uchambuzi wa gari ya Harrier wengi wanazizungumzia vibaya kuwa zinakula sana mafuta, hadi wakawa wananikatisha tamaa, lakini kwa uchambuzi huu wa leo... Umenifanya nirudi kwenye chaguo langu lile lile kwamba Harrier lazima niichukue
Anko j naye anataka kununua gari wow 😂🥰
Tunaomba review ya toyota blade
Asante ujumbe wako tumeupata na tunaufanyia kazi. Kwa huduma yetu yoyote please tumia no hii 0653953900. Asante
Bro please naomba review ya toyota vanguard please
Inakujaaa 💐💐💐
Review uchwara
Comment Uchwara Pro Max 😝😝😝
Tupe comment yako juu ya maintenance ya Subaru Imprezza Sportswagon 2012
Impreza sport wagon ni gani hiyo 2012 ama unaongelea impreza kawaida gh ama gp
Hiyo sio XT kiongozi, kama hujui maagari acha kututia ujinga, alafu sio folester ni Forester 🤪🤪🤪 review zingine utacheka ufe
Hio ni subaru gan🤔??
Subaru Forester XT ni noma sana ninayo na Nina umri zaidi ya miaka 40
Vzr sana, hayo ni mapenzi juu ya gari❤️
😂😂😂😂
Hayo maelezo si sahihi, subaru haiwezi kimbiza harrier kwa sababu za ujazo wa engine, balance, subaru nyepes inayumba ikifika160, pia siyo kila subaru ina 4 wheel, na si kila harrier ni 2wheel.subaru inachanganya haraka kwa kuwa ni nyepes mwanzo, hata v8 unaweza ipita na passo kabla haijachanganya.
Asante sana kwa comments yako. Umeongezea Maelekezo yanayowafaa watazamaji. Ubarikiwe
Hiyo passo gani inaipita v8 ikiwa haijachanganya😅
Kimbio harrier anapitwa mbali sana na subaru mimi natumia forester XT inakimbia sana gari ilionisumbua kidogo nissan dualis ila sio hizi toyota harrier au crown
Hahaaa wee jamaa ni muongo sana tena sana, subaru unaweza kuwa speed 170 na usihisi kama upo speed kubwa , harrier ni gari ya hovyo kwenye speed ukilinganisha na subaru forester hasa hii tako la nyani, ukiwa speed inapoteza uelekeo ukipiga tuta tu wew ni monchwari mazima… miguu juuu.
kwa nini watu wanaziogopa Subaru zenye Turbo?
Sababu Turbo hua inaharibika na gari inakosa nguvu tena na upatikanaji wa spea yake unasumbua
Watanzania mko nyuma kidogo, tazameni review za kenya kama vile canversation
Wao wa Kenya wanatazama zetu?
Huyu amejiwlekeza kwenye matumizi ya kawaida tu kwa lugha rahisi
Ingia ROC TV ucheki review kali za magari
@@kennygadau1774 Asante
@@kennygadau1774 kweli huyu hamna kitu ! Eti Subaru ni za vijana zaidi ! Gari na umri vina uhusiano gani ! Uchambuzi unawafaa wasioelewa magari kuma yeye mwenyewe
Kwahiyo uzuri wa Harrier ni comfort tu
Luxuly & Comfort
Sio harrier zote zipo zenye 4 w
Yes boss
Harrier inaingia 72L
Thanks kwa kutuongezea info 🙏🏻
Gari na umri ni kweli vina uhusiano ???
Ndio , kuna gari za vijana, watu wazima…. Km ilivyo gari za familia nk
Alafu umeionea Harrier kuiringanisha na Subaru, Harrier iringanishe na Toyota mwenzake kama Toyota klug
Sawa