WAFANYABIASHARA KARIAKOO BILA UWOGA WAFUNGUKA MAZITO, "TUMEWACHOKA, HAWAELEWEKI".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 197

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 ปีที่แล้ว +4

    Mfano bidhaa nimetoa nje bandarin nalipa kodi atakae ibeba kuleta godaun kwangu mwenye gar alipe kod nikiweka godaun nikianza kuuza nalipia kodi na Ninae muuzia akenda kuuza nae analpa kod na ye alomuzia nae kama anauza analpa kod msiba mkubwa huu

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +10

    Mm naonaga watanzania tunakoseaga pale tu sheria inapotaka kupitishwa bungeni ambayo si rafiki pale pale mnatakiwa kuipinga na si kusubir kwenye utekelezaji ndio muanze kushtuka

  • @blessingstown7063
    @blessingstown7063 ปีที่แล้ว +11

    Tanzania mko na amani lakini hio ingekua kenya mawe yangeruka na vitoa machozi hata watu wangepoteza maisha

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว +14

    Yaani mkaze hivyohivyo akuna kufunguwa tuone TRA kodi watatowa wapi wapumbavu makodi kibaooo

  • @TeddyKim-bk4go
    @TeddyKim-bk4go ปีที่แล้ว +6

    Yan samia inabidi azinduke atoke kwenye huo ucngiz aisee

  • @richard111-p2o
    @richard111-p2o ปีที่แล้ว +16

    Watanzania tunaitaji tupitie magumu zaidi ya haya ili tupate akili

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 ปีที่แล้ว +9

    Samia nchi imemshinda na haiwezi huo ndio ukweli na ndio maana kila kitu kipya kwake yani makodi mengi ya hovyo hovyo wao wakifanya ndio wakwepa kodi maarufu ushauri wangu waishi kihalali na wao waone uchungu wa maisha

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi ya Tanzania vijana kuacha ujambazi na ushoga ni ngumu coz kila kukicha afadhali ya jana maisha yanazidi kua magumu serikali inazidi kutukandamiza yani hawatupi pumzi hata chembe ukikohoa kodi, ukigeuka kodi, hujapumua kodi ukisema ujikwamue ukifungua kibiashara kidogo tu TRA hawaapa na vitambi vyao, wao na watoto zao wanashiba cc na wenetu tunateketea haya bwana acha tuone kiongozi wa nchi hii .Samia Suluhu Hassan. atalichukuliaje hili tumekaa pembeni tumeshika tama letu jicho ngoja tuone ila MAGUFULI WANGU mmh, 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 ปีที่แล้ว +25

    hii ndio Tanzania ninayoijua sasa na bado...na unanijua mimi ni nani imerudi tena😭.Magufuli mwingine tutampata wapi ? mabilioni yote yanayoibiwa na vigogo report ya CAG, wananchi ndio watakayoyalipa kwa mateso makali na kwa kodi nyingi zisizojulikana

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op ปีที่แล้ว +1

      Wengine wanachota wengine wanatozwa kujazia..

    • @mussabendera1751
      @mussabendera1751 ปีที่แล้ว +1

      Kipindi cha magufuli wangethubutu kugomaaa? Walifungiwa maduka ya pesa mbona waliufyata. Hizo ni siasa kweli sababu sheria zipo kihalali. Wabadilishe sheria kwanza

    • @birianination7097
      @birianination7097 ปีที่แล้ว +1

      Hili ni tatizo la muda mrefu, ila leo ndio watu wameweza kusema.

    • @hidhirhaji6830
      @hidhirhaji6830 ปีที่แล้ว

      @@mussabendera1751 kuana akili kiasi mkuu

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว

      @@mussabendera1751 ukweli rafiki yangu Mimi mtumishi kipindi Cha magufuri miaka sita mshahara wangu uliongezeka Shs 16000 na hatukugoma wakati ilitakiwa agalao Kila mwaka iongezeke Shs 50000 na KAZI tulifanya Kwa matumaini labda mwaka huu labda mwaka huu!!!

  • @AbdallahNgola-l5q
    @AbdallahNgola-l5q ปีที่แล้ว +5

    Chanzo cha matatizo yote hayo ccm haifai kua madalakani hata dk1

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 Chadema ndoinaweza fanya nini? Chama cha mashoga watu watafanyabushoga mpk madukani. Haa mbona kiongozi wenu karamba Asali au hamjui? Acha hizo . Hapo ishu siyo chama ishu KODI HATA CHADEMA AU ACT WAKIINGIA NADARAKANI KODI KAMA KAWAIDA TENA NA KUZIDI HAPO. nenda kenya nini kinaendelea? Wamebadirisha katiba ndo uozo zaidi. Rais huyo Ruto mishahara tu muezi mitatu hajaripa. Tusidanganyane hapa.

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 ปีที่แล้ว +4

    Askari wanaojifanya tra na kupiga doria k.koo ni waezi watupu, wanatunyonya ssana, wanatuumiza ssana, kwa kweli tumechoka, tunawachukia mno, raisi naomba kweli ulishughulikie hili🙏, tunateseka mno, wafanya biashara hatuna uhuru hata kidogo😢😭

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 ปีที่แล้ว +3

    Jamanin tra vijana wadogo wana mijumba magari makali ukilinganisha mishahara na muda waliofanya kazi wanakula Sana rushwa jamani hawajali, hawaogopi na ni wababe balaa, watoto wao wanasoma kwa rushwa, nyumba rushwa, chakula nyumbani rushwa, niwakumbushe tu kuwa familia zao Mara nyingi hazinaga mwisho mwema wanakula machozi na majasho ambayo sio halali mzazi anafurahia maisha, familia zao zinaishia pabaya tunaona wengi, sijui kwa nini hawajifunzi, baadae wanasema wamelogwa kumbe wamejiloga, 😢😢

  • @alisenipeter4307
    @alisenipeter4307 ปีที่แล้ว +5

    Yani kama sio nchi yetu tunaishi kama wakimbizi

  • @Teambossmusic
    @Teambossmusic ปีที่แล้ว +6

    Magufuli baba wa taifa angeyamaliza mapema

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 ปีที่แล้ว +1

    Mtamkumbuka magu alisema kabla hajafa leo tunaona lala pema mtetezi wa wanyonge #

  • @lukakunambi9604
    @lukakunambi9604 ปีที่แล้ว +4

    Hii nchi Itavurugika sanaaaa nasema sanaaa

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mkenya ,mganda na mtanzania wote wanafata mzigo wote china lakini unaenda kwao kununua kwao ule mzigo waliotoa china wa hapa kwetu unakuwa bei kubwa

  • @hassanicheik5262
    @hassanicheik5262 ปีที่แล้ว +3

    Kodi ninyingi na azina faida na wananchi hii ndo tz wakipew nch wanafikiria uchaguz

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo ni mwigulu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv ปีที่แล้ว +1

    MIKODI USUMBUFU HUU UTARATIBU MUMEONA WAPI DUNIANI.... KUDAI RISITI MAJIANI..... MTIHANI MKUBWA NCHI ZA KIAFRIKA KWA NINI HATUTIZAMI WENGINE WALOENDELEA WANAFANYA VIPI KWENYE MIFUMO KAMA DUBAI.....😢😢

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Tanzania kuna Kodi kubwa sana sana, sidhani Kama kuna nchi Afrika mashariki kuna kodi nyingi kama Tanzania.

  • @sudikilamba-bm3fi
    @sudikilamba-bm3fi ปีที่แล้ว +9

    Angekuwepo rais wawanyonge apo duu ingeisha😭😭😭

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 ปีที่แล้ว

    Tz inaharibika dah Hadi inauma.

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +2

    Nnchi hii kodi nyingi alafu za ovyo na ndo chanzo kikubwa cha rushwa, Tra wala rushwa wakubwa

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +3

    Nimewaunga mkono kusema kinachowasibu kuliko kuongelea pembeni kimyakimya hii ndo tz yasasa

  • @saluten5926
    @saluten5926 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo mama

  • @JosephDamas
    @JosephDamas ปีที่แล้ว +2

    Samia oyee

  • @debbiemes4600
    @debbiemes4600 ปีที่แล้ว +2

    Sisi wengine tumeacha biashara na tuna bila pressure. Kw sababu biashara inageuka wewe unakuwa kibarua na serikali ndiye anakuwa mwenye biashara. Faida yote kwake.

  • @salwasalum6758
    @salwasalum6758 ปีที่แล้ว +4

    Maharage 4000 kweli!!!😢na bado watanzania tutasoisoma

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      kuna mtu apenda kukaa madarakani lakini kichwani ni zero 0

  • @rhobywerema6996
    @rhobywerema6996 ปีที่แล้ว +5

    Yaani ni shida kwa kweli kodi ni nyingi mno serikali hii🙌

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt ปีที่แล้ว

      Yani ni uchungu inauma sana kwa kweli haya ni manyanyaso yamezidi eniugh is enough😭

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +2

    Ndiomana wafanyabiashsara wanafuata mizigo yaouturuki tanzania tutabaki masikini hivyohivyo haya sasa maduka yamefungwa tra nendeni sasa mkachukue kodi sasa

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว +1

    Watawala waliomba uhuru kwa wakoloni,sasa wananchi wanataka uhuru kwa watawala.

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 ปีที่แล้ว

    TAR kwa kweli wao wanajidai ndo wanajua bei za.kuuzia bei za usafirishaji ni kama wao wakipewa.mitaji wanaweza fanya biashara ni kero kweli

  • @habibumohamed1543
    @habibumohamed1543 ปีที่แล้ว +2

    NCHI yoyote duniani kiuchumi ni wafanya biashara
    TRA ni Tatizo kubwa Kwa mlipa kodi, TRA imekuwa Haina rafiki na wafanya biashara Kila kitu ni kukamua tuu

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 ปีที่แล้ว

    WEWE JASITINI MASAWE ATA WAFANYA WAFANYA BIHASHARA WENZAKO WANAJUA WEWE NITAPELI UMETAPELI WATU WENGU NITADAI ATA JENEZA LAKO NITAKUDAI NA KABULI LAKO NITAKUDAI NA WATOTO WAKO WATADAIWA MAANA ULINIDHURUM HAKI YANGU JASHO LANGU

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 ปีที่แล้ว

    Kweli mfanyabiasha huku kwetu mungu atusaidie mpaka mkongo anaogopa wanaenda kenya ,uganda

  • @JuliusMadaha
    @JuliusMadaha ปีที่แล้ว +1

    Tatizo siyo watoza kodi bali sheria zilizopo zifanyiwe marekebisho ili kumpa nafuu mlipa kodi maana hali sasa ni ngumu sana hakuna biashara huku mitaani pia hata ajira hakuna

  • @sakinahussein-ns4vu
    @sakinahussein-ns4vu ปีที่แล้ว

    asanteeeeeee tra wanakera snaaa

  • @valeriaally6584
    @valeriaally6584 ปีที่แล้ว +1

    hii nchi kodi zimezid,mara tozo,mara sijui kodi ya kitu gan,huyu mama vip jaman

  • @fredymwanzi4448
    @fredymwanzi4448 ปีที่แล้ว

    Hii Nchi Wafanyabiashara hawalipi kodi wengi ni wanakwepa kulipa kodi kushirikiana na maafisa wa TRA.Serikali ikaze watu walipe kodi

  • @lpbepecic1018
    @lpbepecic1018 ปีที่แล้ว +1

    Wanabanwa wafanya biadhara wadogo ili pesa wale wakubwa

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo ปีที่แล้ว +2

    Watafute vyanzo vya mapato kwenye madini, siyo madini wanawapa watu kwa kodi ndogo wazawa wanawabana.

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 ปีที่แล้ว

      Una elimu yeyte juu ya uchimbaji wa madini samahani lkn kwa kuuliza

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +2

    Mkasikilize wimbo waloma nipeni maua YANGU mtajuwa loma kamanisha nini

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 ปีที่แล้ว +18

    Tatizo la Tanzania Ni ili hapa
    Mfanya kazi Hana kazi,
    Kiongozi haongozi,
    Mfanya biashara hafanyi biashara,
    Mwana habari sio mwana habari,
    Mwana siasa sio mwana siasa.
    Ndio maana tote haya unayaona yakiwa madudu.
    Huwa Nashangaa sana,ivi Kuna vyombo vingapi vya kutunga Sheria,alafu katiba ya nchi uwa inasimamiwa na chombo gani Cha kulinda maslai ya raia.
    Nchi unakuwa huru kivipi Kama haina kinachoeleweka?
    Ndio maana watu wanaamua kukopa na kuondoka kwa sababu hakuna la maana.
    Yani afisa biashara anasema ntakuonesha kazi na utajua mi Nani.
    Raisi naye anasema muyaangalie hayo akiamini usalama wa Taifa,jeshi,bunge,mahakama na polisi watakuwa wamoja na kufuatilia haoni.
    Duu uku Ni kuishi tu.
    Ila nafikiri sisi ngozi nyeusi Ni rahana za ukoroni tulizozibeba ndio maana hatuelewi kuishi kivyetu.
    Fikiria mtu kaagiza mzigo China kwa milioni 10 ulifika anaanza kulipia Kodi bandarini,kusafirisha kwenda store Kodi,kuutunza Kodi,kuuza Kodi,unakuta anapata hasara asilimia5 alafu bado hajatoa rushwa kwa wakaguzi.
    Mimi nafikiri mwananchi ataripa tu hakuna namna kitu Cha kuuza miatatu atakinunua 6000 ili jamaa alete Tena waanze kuiba.
    #Tutazaraulika Hadi kiama Waafrika na tutakuja kujikuta vijana wetu wazidi kuwa wa hovyo na wakiyakubali Mambo yasiyo ya tamaduni zetu mfano Ushoga.

    • @LoxloxJuma
      @LoxloxJuma ปีที่แล้ว +2

      Nimekuelewa saana

    • @jaffarymguta9064
      @jaffarymguta9064 ปีที่แล้ว

      Serikal Haina chanzo Cha kuingiza pesa Zaid ya kod unashindwa hata kulima mashamba Ila nashangaa sana

    • @spykespark8477
      @spykespark8477 ปีที่แล้ว

      Umeeleweka 100%

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 ปีที่แล้ว +1

    TRA WANATAKA KUFILISI BIASHARA ZA WATU HAPA NCHINI, hata kama wanataka kodi sawa lakin isiwe kwa kukomoana.

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania hususan hukukwetu zanzibar ukitaka ufe mapema anza kufanya biashara na Allah akujalie umilika duka utabloo

    • @jescakiria6883
      @jescakiria6883 ปีที่แล้ว

      Hahaha nachela kama mazuri jamani ila hawa watu jamani wamejua kutukomesha

  • @davidmpulumba4039
    @davidmpulumba4039 ปีที่แล้ว

    Yn raisi tuliye naye hawezi kuendesha nchi huu ndo ukweli tatizo wa tanzania ni waoga mno hatutakagi kukubari ukweli

  • @barakaallen5901
    @barakaallen5901 ปีที่แล้ว

    Nmegundua wachaga wengi wamelishika soko la dar…hawawatu wapewe nchi asee😂😂

  • @bashirumandwanga130
    @bashirumandwanga130 ปีที่แล้ว

    Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying
    Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian
    Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake
    Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu Binafsi kuna maisha baada ya Dunia
    Mungu wetu sote

    • @azizirubelwa2992
      @azizirubelwa2992 ปีที่แล้ว

      Allah akulipe kwa maneno Yako yenye ukumbusho unaofaaa

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 ปีที่แล้ว +2

    Tumechoka kwa kweli,

  • @abdullahissa7548
    @abdullahissa7548 ปีที่แล้ว +1

    Serikali wanata kupiga hela tu hawangili nyie mnasooneka😂😂😂😂

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 ปีที่แล้ว +2

    Nchi ya hovyo mpaka hasira yan

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanaumwa na STARA ya Raia. Wakiona upenyo wa tu wa Raia kustirika wanahakikisha wanaharibu! Vile wao wana uhakika wa pesa ya mwisho wa mwezi..

  • @abdulraqeebfaiz9442
    @abdulraqeebfaiz9442 ปีที่แล้ว +3

    Yani hata mabomu ya machozi hamna??khaa

    • @fredmugah7747
      @fredmugah7747 ปีที่แล้ว

      In kenya we call it tear gas😂😂

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi mpaka traffic wanakuwa ni TRA wakikuona tu umebeba mzigo kwenye kikeli wanadai risti nchi ngumu hii😂😂😂😂

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 ปีที่แล้ว

    WEWE JASTINI MASAWA ULINITAPELI PESA ZANGU LEO UNALIA NA TRA KUMBUKA ULINITAPELI NITAKUDAI ATA MBINGUNI

  • @msemwasamweli8
    @msemwasamweli8 ปีที่แล้ว

    Tunaitaji kuwa na uthubutu ktk wanamanahii baadhi ya wakuu wamikoa niwala Rushwa na hawajari maisha ya wananchi

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 ปีที่แล้ว

    Inaonekan Meneja w tra anattz kubwa Mana at mondi walimltea shida

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Kwanza TRA wananyang'anya vitu vya watu Kila siku hivyo vitu wanapeleka wapi.

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 ปีที่แล้ว

    Sio sawa hata kidogo

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 ปีที่แล้ว +1

    Enough is Enough

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo kweli kweli

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 ปีที่แล้ว +2

    Makadirio makubwa sana kww sasa

    • @bonifacehamis4088
      @bonifacehamis4088 ปีที่แล้ว

      Sana yaani mm Nina mtaji wa milioni 10 ila mapato nalipa 1,500,000 Ambayo ndoo faida yangu ya mwaka mzm

  • @kakakuonaisanga
    @kakakuonaisanga ปีที่แล้ว +3

    Hii kero Bado mbeya 😢

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 ปีที่แล้ว

    Lipen kodi bhana

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Hata bandalini Kodi kubwa mno hawawajali watanzania wanajali masirahi yao

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Nyuma yao wapo watu japo nao ndo wanafaidika kupitia rushwa

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 ปีที่แล้ว

    TRA wanazingua yani rushwa tu

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Thaman ya mzigo milioni kumi kodi milioni ishirini na tano

  • @merrynailon40
    @merrynailon40 ปีที่แล้ว

    RIP JPM

  • @samwelipaul1462
    @samwelipaul1462 ปีที่แล้ว +2

    Sisi watanzania tuna uoga Sana

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +2

    Wapo bize na msiba wa Tajiri 😢😢
    Pumzika kwa amani Mze Maguli wewe kweli hawa watu wa chini ulikua nao bega kwa bega ila sasa tumetengwa kabisa

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 ปีที่แล้ว +1

      Hujui unachoandika wewe...

    • @deodathsilayo3639
      @deodathsilayo3639 ปีที่แล้ว +1

      Hoyo ndio aliwafilis mpaka wakaosha kabsa na angekuepo Leo angewakamata mmoja mmoja kwa kupitia wasiojulikana

    • @azizirubelwa2992
      @azizirubelwa2992 ปีที่แล้ว +2

      Magufuli hakudili na Hawa Walala hoi WA kariakoo alideal na wakwepa Kodi wakubwa ndio alikula nao sahani Moja wasiitaafune nchi

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

      @@deodathsilayo3639
      Kweli watoto wa matajiri lazima tutawajuwa.
      Magufuli hakuwahi kuwasumbuwa hawa watu wa levo zetu sie wa chini ndio kwanza alikuwa kila kukicha akitutafutia suluhisho ktk kutanzuwa changamoto na tulikua tunamuona kila wakati akija kututembelea maeneo yetu.
      Chuki kubwa mlio nayo ni kwa sababu aliwabana majizi wakwepa kodi

    • @ramadhanmajji5013
      @ramadhanmajji5013 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha sana masikini wapi watoto wa masikini ndio hao wamesoma hakuna ajira

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Asilimia 18 mtanzania akatwe Kodi maana yake Nini.

  • @Animationkiswahili
    @Animationkiswahili ปีที่แล้ว

    Kwanini hizi taarifa mnareport kwa kauli ya bila woga? Mbona kama mnahitaji wananchi tuwe na woga

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo ปีที่แล้ว

    Tanzania tunasema Ina Amani lakini ni propaganda tuuu,,, Nchi hiii wanafaidi wachache

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    Mimi nawaunga mkono TRA komaeni na sisi wafanyabiashara mpaka tufe alafu nyie mtafungua maduka yenu hakuna wa kuwasumbua si nyie ndo mmeshika mpini na hakuna kutetewa hapa

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 ปีที่แล้ว

    TRA ni miungu watu Sasa

  • @godfreyponciwn7958
    @godfreyponciwn7958 ปีที่แล้ว

    Cha hajabu mama bado anaomboleza msba wa membe

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 ปีที่แล้ว

    Uku bungeni spika anatuletea usiasa ebu chunguza taasisi hii ya mapato ina mambo ya njaa sana

  • @lukiasalum5556
    @lukiasalum5556 ปีที่แล้ว

    Tra changamoto sana kwa wafanyabiashara

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa hamkeni ndugu zangu msiwe waoga kazeni

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว

    Kipindi cha JPM jembe kipenz chetu aya mambo aya kuwepo kabisaaaaa

  • @biddii1972
    @biddii1972 ปีที่แล้ว

    We unataka walie wap?

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Cha Ajabu Yakitoka Ayo Yatakuja Kwenye Umeme Kuzima Ovo Ovo Kwanini Serikali Aina Njia Sahihi Kupata Pesa Mbona Wengine Wanaiba Mabilioni

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 ปีที่แล้ว

    Mnalalamika nini? Mikopo zote za Nchi atalipa nani? Kinana? hahahaha
    Kazeni buti

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว

    Leo vitu vinapitia Customs malipo Air port malipo ya nini hizi kodi za kila siku?

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 ปีที่แล้ว

    wala Rais hana msaada wowote hata mkiongea nae labda kidogo Waziri mkuu au Makamu wa rais ndio wanajua shida za wananchi.

  • @QueenElisabeth-f9g
    @QueenElisabeth-f9g ปีที่แล้ว +1

    😢

  • @cleymmasi-ke5ly
    @cleymmasi-ke5ly ปีที่แล้ว

    Kama hii nchi imeuzwa mbona amtupi chetu manake TRA wanasumbuwa sana nchi nzima wanaona kama tunafaidi sana awajuwi changamoto za mbiashara zinavyo Sumbuwa wangine tunaendeshea biashara pesa za mikopo inaitajika rejesho bado tena kunatoza nyingine kibao mara TRA hawa hapa tz ingekuwa gari ningeshuka nikwee lingine

  • @davidmpulumba4039
    @davidmpulumba4039 ปีที่แล้ว

    Tanzania naomba hata madokta na mapolisi pia waandamane ushenzi umezidi nchi imekuwa haiereweki yn toro haziereweki nchi utafkiri inaendeshwa na wahun

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว

    Wanawadanganya wanataka kuwanyonya kila siku

  • @wedmoosa3503
    @wedmoosa3503 ปีที่แล้ว

    Mhh hao tra ni kigugumizi

  • @perismwanyika9093
    @perismwanyika9093 ปีที่แล้ว

    TRA imekuwa kero nchi mzima😭😭😭😭

  • @YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn
    @YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn ปีที่แล้ว

    Mzigo upo store ulipitia bandarini ukalipiwa Kodi ,,,,sasa upo store ulipiwe Tena hayo ni maonevu,,mzigo huo huo sasa umewekwa dukani unapouza ulipiwe Tena Kodi ,,haya sasa hayo ni maonevu,,hizo biashara watanzania watazifanya vipi si watafilisika,,,,hakika katiba mpya yataondosha yote haya

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 ปีที่แล้ว

    JASITINI MASAWE NIDAKUDAI ADI KWA MUNGU MAANA NILIKUPA PESA ZANGU LEO UNAJIFANYA NA WEWE NI MFANYA BIHASHARA WA KARIAKOO WAKATI TAPELI ACHA KUISHI IVO

  • @kudrachristopher4640
    @kudrachristopher4640 ปีที่แล้ว

    Uchaguzi rini jamani

  • @allytv1714
    @allytv1714 ปีที่แล้ว +2

    Mnazani rais halijui ilo ila na yy pia ndo walewale serikali ya ccm ni wezi na waonevu kwa raia

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +2

      Na wapinzani nao Wapo bize kwenye kulamba asali. Mpinzani wa CCM alikua Magufuli tu.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Wizi mkubwa unaofanywa na mijangili ambayo ijawahi kufanya ata biashara ya kuhuza mayai tu

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +1

      Yani mungu siku atatuondolea hili zimu LA ccm kila MTU atakua huru

    • @allytv1714
      @allytv1714 ปีที่แล้ว

      Serikali za Africa zinaumiza masikini mno lakn huku wanafuga majangili wanakula rushwa serikali hiyohiyo inahusika kuteketeza vizazi cz wauza madawa ni kati yao wanaiba madini wanawekeza nje yaan serikali za Africa hazipo Kwa maendeleo ya nchi Bali ni wao na matumbo yao na family zao

    • @allytv1714
      @allytv1714 ปีที่แล้ว +1

      Inaumiza hadi mda mwingine unatamani ungekuwa na uwezo uingie kwenye siasa kuwatetea wanyonge kama ni kufa wakuue ukisema ukweli

  • @salwasalum6758
    @salwasalum6758 ปีที่แล้ว

    Nchi ngumu sana hii

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 ปีที่แล้ว

    ❤tZ

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 ปีที่แล้ว

    Hasara iliyopatikana leo tu ni pesa nyingi ilitakiwa mtu afukuzwe Kabisa huo ni uzembe