MFAUME MFAUME AMVAA MWAKINYO - "ROHO MBAYA TU, ANAOGOPA WENZAKE WAKICHEZA WATAMFUNIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • MFAUME MFAUME AMVAA MWAKINYO - "ROHO MBAYA TU, ANAOGOPA WENZAKE WAKICHEZA WATAMFUNIKA"
    BONDIA Mfaume Mfaume amefunguka kuelekea pambano la kijana wao Oscar Richard vs Tony Rashid litakalochezwa Juni 29, 2024...

ความคิดเห็น • 148

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 4 หลายเดือนก่อน +12

    Ushachoka saivi hauna kitu mfaume

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 หลายเดือนก่อน +10

    Yaani hayo maneno yake yoote anamlenga mtu mmoja tu na bondia mwakinyo ww mwakinyo kakuzidi hadi mazambi

  • @HassaniRamso
    @HassaniRamso 4 หลายเดือนก่อน +9

    Unanja huna lolote boya chuki anazo yeye

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 4 หลายเดือนก่อน +8

    Hunajipya unaongea sanatu vyiwangovyenyewe vimeshukawweweeee

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 4 หลายเดือนก่อน +9

    Sasa hapo umehoji nn zaidi ya umbea tu na mwenzio mfaume

    • @MropeJr
      @MropeJr 4 หลายเดือนก่อน

      sasa utambui lakini umemuita na jina

  • @Zuberyothuman-k4l
    @Zuberyothuman-k4l 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyo mfaume Hana hadh ya kuwa bondia

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu bila ya kumtaja bondia mwakinyo hawezi kwenda mjini ili aingie mjini lazima amuongelee mwakinyo mbona mwenzake hana muda nae yy tu

  • @HamadNassor-fp6rl
    @HamadNassor-fp6rl 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mshamba wewe hujui ngumi .wanaojua ngumi wamekaa kimya.ngumi sio vita kaka Wala starehe ni kazi kama kazi nyengine...

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nani anakutambua wewe mfaume funga mdomo

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 4 หลายเดือนก่อน +2

    HUYU CHA MANENO IPO SIKU ATAUMIA ANACHONGA SANA. PUNGUZA MDOMO DOGO NINGEKUWA NA NAFASI NINGEOMBA PAMBANO NAE NAJUWA ANACHOJIVUNIA

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu majigambo tu hana lolote mbuzi tu kwa bondia mwakinyo ww hata umseme vipi bondia mwakinyo huwezi kumshusha na huwezi kumfikia😂

  • @johnmwanyika
    @johnmwanyika 4 หลายเดือนก่อน +1

    MFAUME TULIA NA UWE NA ADABU KWA KAKA YAKO MWAKINYO, HUYO NI WA LEVEL NYINGINE SIO SAIZI YAKO KABISA.
    YANI MWAKINYO MUONENI HIVYO HIVYO ILA HAKINA MTU MWENYE KIWANGO CHAKE BONGO. SIO KWAMBA ANAPIGANA TU ILA ANACHO KIPAJI CHA KUZALIWA.

  • @michanoboy8948
    @michanoboy8948 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikua namkubali sana uyo mbwa lkn maneno yake yakisenge nishamkataa zamani bondia kama khadija kopa bwan

  • @AzizSultan-fc7rn
    @AzizSultan-fc7rn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nazid kusoma comment wakuu

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mfaume kaa kimya imebakia ww kuwa ni mama ntilie tu, unamiaka chungu nzima hujapambana, acha roho mbaya shenzi

  • @abdallahyusuf7641
    @abdallahyusuf7641 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mfaume umeshuka na bila ya kumkandia mwakinyo jina litazidi kupotea

  • @mosongatz4534
    @mosongatz4534 3 หลายเดือนก่อน

    Champion Mfaume Mfaume miaka 100 ukweli umewauma machawa wa mdigo wewe ni balaa balaaa balaaaaa wasiokupenda kwenye comment hapa kimoyoni moyoni wanakukubali GO go GO go Champion NACCOZ baba lao haipingwi hiyo

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Boxing watz kuwa wakubwa Ni ngumu maana matamanio Yao Ni kupigana wenyewe Kwa wenyewe, aliye mkubwa ashushwe . Kupigana Ni ku risk maisha wanapaswa. Wawe na msimamo wapate Hela sio kutumiwa kama tissue

  • @allimohamed2688
    @allimohamed2688 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha umbea

  • @patrickalfred3680
    @patrickalfred3680 3 หลายเดือนก่อน

    Huna kitu bob.pita ivi.yaani wewe wamekufata ujiongelee unamuongelea mwakinyo.huo ni wivu kwenye misimamo ya mtu...na ndio unapotea hivo

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 4 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa matumla kapandishwa na mwakinyo
    Kiduku kapata umaarufu baada ya kucheza kwenye pambano la Mwakinyo wewe kifadulo umempa nani nafasi na akatoka?😅😅😅😅

  • @khamissymtonele6418
    @khamissymtonele6418 4 หลายเดือนก่อน

    Leo nimeamini kweli wewe mshereheshaj na sio bundia auna unachokifanya kwenyengumi ni kheli ubaki kwenyeushereheshaj,kuhusu kuto kucheza na bondia mwengine ww ni muoga pialali mpka leou unamkimbiakimbia tu ww ndio muoga

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa 4 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo umejuwa kuwakela wanafiki mfaume ulishapitwa nawakakati na bado hujasema mwakinyo anafanya kwa malengo🤣🤣🤣🤣 kkkk

  • @WinifridaJonathan-cq2nw
    @WinifridaJonathan-cq2nw 3 หลายเดือนก่อน

    Bondia ni mmoja tu Mwakinyo zingine nibkelele tu😂😂😂

  • @juliusmalecela2705
    @juliusmalecela2705 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume ushamba unakusumbua unazidi kutupoteza mashabiki tulio kubwa tunakuelewa acha kutafuta kick Kwan champez

  • @UsambaraMombo
    @UsambaraMombo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe choko wacha jealous ngumi hujui

  • @NgareJumaa-mu2fc
    @NgareJumaa-mu2fc 4 หลายเดือนก่อน +7

    ktk watu ambao awajui ngumi ww mfaume nambamoja naukimongelea mwakinyo muongelee kwaheshima nay adabu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume mshamba sn lkn kama aliongea bila kujua amuombe radhi Mwakinyo,vinginevyo nitampuuza sana

  • @sports007tv4
    @sports007tv4 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh hamad kombo utangazaji huuwez nenda kavue kaka yan ww unamchochea mtu amseme mtu mwengine

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 4 หลายเดือนก่อน +2

    semunyu ndo promoter pekeee TZ... ila ao wengne watapeli ty

  • @johnwaymark9080
    @johnwaymark9080 4 หลายเดือนก่อน

    Hata ukiziangalia nyota zinatofautiana ung'aaji kwaio usilazimishe nyota yako ing'ae zaidi ya uwezo wake itaungua mwisho itazima .usitafute kiki kutumia nyota ya mwenzio, yako imefifia waache wenye majaaliwa yao!

  • @iddibakari7565
    @iddibakari7565 3 หลายเดือนก่อน

    Mabondia wadar munaroho mbya namunaftna nawatu watanga kutugombnisha wenyew kwawenyew

  • @iamminahsalim5008
    @iamminahsalim5008 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenetu vp asaiv umekua ms pialali tuu anakushinda 😅😅😅 kwedraaaa unalolote mshika ufunguo tuu wa jimu ata mimi unipji

  • @EmeraldZanzibar-i8l
    @EmeraldZanzibar-i8l 4 หลายเดือนก่อน

    Bondia hajaanza kuhojiwa anaongea tuuuu,,halaf mjomba wee huna kitu kingine Cha kuzungumza zaiid ya Hasan tuuu huna kaz nyingine kaka ukafanya kaka maana ww Kila dei lazm umtaje champez

  • @HassanKibindo-ti1nu
    @HassanKibindo-ti1nu 3 หลายเดือนก่อน

    Hana jipya mfaume mawiv tu Champez bab kubwa ingeezeka uy jamaa apande na Mwakinyo anaimba sana by mpenda michezo

  • @mwinyihijajumaa3773
    @mwinyihijajumaa3773 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume tafuta shughuli yakufanya Mwakinyo sio level yako na kofia yako iyo ya bukujero

  • @harissalum2887
    @harissalum2887 4 หลายเดือนก่อน

    Acheni roho mbaya, mbona mnamshambulia sana Mfaume?
    Lipi alilowakosea?
    Acheni roho za korosho

  • @johnmwanyika
    @johnmwanyika 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume saiz yako n Mzee wa SUKUNYO

  • @DevidiCosmas
    @DevidiCosmas 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume sio bondia Kila pambano anapigwa alafu anabebwa saizi muimba taalabu tu

  • @RamaaBinsuh-bm7lu
    @RamaaBinsuh-bm7lu 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna lolote kwanza maneno meeeng la maana huna mwakinyo anakuwakilisha ww ni bdo kam chipukizi kila sku uko vlvl

  • @DeogratiusHenry
    @DeogratiusHenry 3 หลายเดือนก่อน

    Umamuongelea mtu ambae akuongelei fanya mamb Yako we mbona unapiga vichwa

  • @alexkinyasi9073
    @alexkinyasi9073 4 หลายเดือนก่อน +1

    Weee ngumi kazi kama kazi nyingine. Unachezea nakozi halafu unabaki huna mbele wala nyuma...hao wengine njaaa tu

  • @JuliusMlengeswa
    @JuliusMlengeswa 3 หลายเดือนก่อน

    Kama ni wa uzito wake huyo anayesemwa; promota mpangieni mechi

  • @ayubujumbe9954
    @ayubujumbe9954 3 หลายเดือนก่อน

    ONGEA NA WANAUME UPATE KAZI SIYO MIPASHO. ACHA UMBEYA. KAZI YA UMBEA WENYEWE NIWANAWAKE.

  • @JumaSaid-d2o
    @JumaSaid-d2o 3 หลายเดือนก่อน

    mbona uyo choko wenu wakitanga maneno mengi lkn amsemi nyie mnae msema mwnye ngumi zake hote wasenge tu! yani mfaume mfaume Chama chamabibo

  • @SalimBilal-fo1uh
    @SalimBilal-fo1uh 4 หลายเดือนก่อน

    Ww.ngumi.kubwa.maajabu.huna.muache baharia.hasani

  • @SuleymaniBashiru-rq5hb
    @SuleymaniBashiru-rq5hb 3 หลายเดือนก่อน

    Acha usenge wew siuandaliwe pambano lako

  • @mahamudmbukuchu5946
    @mahamudmbukuchu5946 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza huyu jamaa hamna kitu kabisaa
    Yaani ktk mabondia ambao hamna kitu ni huyu mfaume mfaume

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha ushamba na roho mbaya
    Sikuzote duniani usitumie muda wako kumjadili mtu utafeli kila kitu
    Unatakiwa kuiga mfano wa mwakinyo anaangalia mambo yake tu

  • @minahismail9515
    @minahismail9515 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli mfaume nyie ndo mabondia achana na wale wanqo pigania chocho

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 4 หลายเดือนก่อน

    Ukishaona mtu ana jinadi ujue siyo nyota pesa wala ushawishi hana😂😂😂

  • @bamsimkwedez6623
    @bamsimkwedez6623 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesoma comment za watu humu hakina anaye kukibali bro jitafakari

  • @RajabuGoba
    @RajabuGoba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hamuwezi mwakinyo hata kidogo

  • @RichiSamir-ff1rg
    @RichiSamir-ff1rg 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanz ukitak kumzungua mwakiny jua unazungumzia bondia bila Afrika na bunia

  • @ImmaMahogo
    @ImmaMahogo 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu mfaume chizi anadata mwakinyo mme wako huna maajabu una unamdisi mwakinyo ww mdisi twaha au dula au chino mwakinyo ata kuuwa paka

  • @MbuniSaid
    @MbuniSaid 4 หลายเดือนก่อน

    MFAUME UNAJIPYA KAKA WEWE ENDELEA KUFUGA SUNGURA.KAKA

  • @ahadjuma8356
    @ahadjuma8356 3 หลายเดือนก่อน

    ww hujui ngumi ww mdomo2 yupo pialali unamkimbia mwaka wangap huu

  • @chancelorharubu2731
    @chancelorharubu2731 4 หลายเดือนก่อน

    Kama unauwezo cbupande nae,sio kuongea ujinga

  • @ahadjuma8356
    @ahadjuma8356 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazi boya kama bondia wa hovyo ulikua una mhoji

  • @hassanmagari8385
    @hassanmagari8385 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume mfaume eti ushawahi kupigana kisa sahani ya ubwabwa?

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 4 หลายเดือนก่อน

    MFAUME MFAUME BOXING IN MABIBO NACOZ😂😂😂😂

  • @banzmozes8099
    @banzmozes8099 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume hauwez champez ninamba nyingine

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 หลายเดือนก่อน

    Mnaompinga mfaume mfaume amuujui mchezo wa ngumu bali mnaushabiki na mtu fulani na huyo fulani ajui boxing kwanza achagua mabondia nyanya anaogopwa kupigwangumi azipo hivyo ngumi aziitaji maringo wala uhuni ivyo mwacheni mfaume aseme ukweli

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 4 หลายเดือนก่อน

      Bro 2lia mwakinyo anajua punguza majungu hayasaidii

  • @AslenBerdon
    @AslenBerdon 4 หลายเดือนก่อน

    Yani mashabiki mnao sema hamna kitu sahivii mfaume...hamna akiliiiii

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 4 หลายเดือนก่อน

    Muda wako umeisha kaka pumzika uza karanga tu,Hassani kawazidi kila kitu

  • @JohnMushi-p6w
    @JohnMushi-p6w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandish ujui mchonganish

  • @ananiaszinns7324
    @ananiaszinns7324 4 หลายเดือนก่อน

    Mfaume huna lolote wivu umekutawala waweza kuwa mchawi wewe

  • @BITEBOKHALID
    @BITEBOKHALID 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kuzunguza Ushoga fungeni hizo habari

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 4 หลายเดือนก่อน

    Usitafute kiki kwa chapez wewe ushachoka wacha hasadi

  • @AmourJr-er4ur
    @AmourJr-er4ur 3 หลายเดือนก่อน

    Mwakiny nikama bab ako kweny box ko punguza mudomo

  • @banzmozes8099
    @banzmozes8099 3 หลายเดือนก่อน

    Hauwez hiyo Kaz na mmakonde fanyen mambo mengine

  • @KukatiMussa
    @KukatiMussa 4 หลายเดือนก่อน

    Njaaa wap mpuuz ww yey anaongelea mabondia wote

  • @albanomgaya6122
    @albanomgaya6122 4 หลายเดือนก่อน

    Ukiona haupati game ujue uwezo wako n mdogo

  • @ramadhanomar6805
    @ramadhanomar6805 4 หลายเดือนก่อน

    Hii media utaishusha thamn hatakm unatak kumsema mtu bas tumia akili kuuliz maswal

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume hunalolote wivu umekujaa

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 4 หลายเดือนก่อน

    We unataka acheze kikuku hacha asimamie anachokiamini.

  • @IbrahimBode
    @IbrahimBode 3 หลายเดือนก่อน

    Choko ww acha roo mbaya uskii raha bila kumta basha wako mwakinyo

  • @athumanbakari-hy7xb
    @athumanbakari-hy7xb 4 หลายเดือนก่อน +1

    mtangazaji ufai kua mtangazaji mshamba sana

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume angepigana na iddy pialali pambano lile lingekuwa zuri sanaaa na lingemrudisha vizuri sana kama angeshinda.

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 3 หลายเดือนก่อน

    HAMNA KITU HUMO KAZI YAKE MDOMO SIO KUPIGANA

  • @AzizAbdallah-nf6pd
    @AzizAbdallah-nf6pd 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfaume huyo hata mimi najipigia tu hana lolote

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo dogo mfaume choko tu Hana lolote

  • @shabanially4081
    @shabanially4081 4 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji sijajua main point yako nini

  • @MicharazoCharazo
    @MicharazoCharazo 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka unaongea sanaa nyiee mabondiaa njaa a tuu

  • @HassanKibindo-ti1nu
    @HassanKibindo-ti1nu 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume unafaa kuimba taarab mapaf ya kuku pumu tup

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 4 หลายเดือนก่อน

    kila ukihojiwa mwakinyo ww fala

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazeeka mfaume mfaume

  • @MahamuduIssaMbwana
    @MahamuduIssaMbwana 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe muandishi nimbea

  • @KukatiMussa
    @KukatiMussa 4 หลายเดือนก่อน

    Kahoj ww ambae sio mbeya

  • @ayubujumbe9954
    @ayubujumbe9954 3 หลายเดือนก่อน

    KUMBE MFAUME ANAOMBA KAZI.

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae bondia kumbe

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 3 หลายเดือนก่อน

    Mfaume Uwe Mkweli. Tafadhali Jitahidi kupambana Mwenzako kutoka Brbr za Namba na Makorora amejijengea Mvuto kwa Wapenda Ndondi. Tunakuamini na Jiamini.

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 3 หลายเดือนก่อน

    NA WE MTANGAZAJI MSENGE

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx 4 หลายเดือนก่อน

    Ganja nyingi na umbea

  • @mussaenos3738
    @mussaenos3738 4 หลายเดือนก่อน

    Mshamba mmoja huyu mfaumemfaume hajui ngumi amebaki kuwa na maneno2 hana lolote ngumi hajui mbwembwe2,IGA Kwa mwakinyo mwakinyo ana akili sana Hana njaa mabondia wote mjifunze kwa mwakingo muwe na akili boxing ni KAZI kama KAZI zingine msiburuzwe mfaume acha upuuzi uwe na akili.

  • @Francis-oq6tz
    @Francis-oq6tz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nafasi ya mwakinyo bado ipo juuu sanaaaa wanaumia sana endelea mwakinyo tupo nyuma yako tanzania bondia ni mwakinyo pekeee

    • @ahmedimakope
      @ahmedimakope 4 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndio wafirwaji mikundu nyie!

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee hujui ngumu.. huna elimu ..una majungu...mapeomota wanakuongelea vibaya Jana majungu..mabondia wa bei rahisi..eti bondia anataka kupigana Bure ili aonekane..

  • @ShabaniSadallah-uw5ey
    @ShabaniSadallah-uw5ey 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali kinoma

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha hassad mfaume

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 4 หลายเดือนก่อน

    wazaramo na maneno yao