His doing really street rap, ana maandishi mazuri ya kukuza fikra na kufanya mtu utafakari kuhusu struggling za life, imani, utu na love “he always been really ata interview zake akiongea unamuelewa sana Definitely namkubali since day one yupo ktk crew yake ya OMG “ ni yeye na salmin swagg tu ndo wakali wa kundi Salmin swagg ana Ep yake inaitwa Flight mode kaitafute lafu urudi kweny hii comment ndo utanielewa
Jamaaa yuko vizuri sana kwenye ngoma zake street life tunamuelewa sana
Namkubali huyu mwamba. Much love from Nairobi 🇰🇪
This man is genuine TZ Hiphop icon cannabino
His doing really street rap, ana maandishi mazuri ya kukuza fikra na kufanya mtu utafakari kuhusu struggling za life, imani, utu na love “he always been really ata interview zake akiongea unamuelewa sana
Definitely namkubali since day one yupo ktk crew yake ya OMG “ ni yeye na salmin swagg tu ndo wakali wa kundi
Salmin swagg ana Ep yake inaitwa Flight mode kaitafute lafu urudi kweny hii comment ndo utanielewa
Sio rahisi kuelewa kama hawawezi kuwasikiliza hivyo vichwa..hao watu ni zizi anaeish✊🪐🏌️
Conboi Mpaka kufa Namkubali Mshikaj
GORAMA WAS HERE🔥🔥
Kumuelewa CaNaBiNo MPAKA uwe genius
Wachache sana tunamuelewa huyu mwamba
Kumbe namimi naweza kujua kingereza nimeshangasana
Ndio amua