Shalom mtumishi wa Mungu, nililisubiri sana ili somo, nimepata maarifa aswaa. Ushauri au maombi yangu n kukuomba uwe unapandisha neno kwa sababu wengi wetu tuna download audio ama vidio lakini tunapata ugumu sababu unakuta vidio Ina masaa 2 plus bt 1hr n prise na neno linakuja kufata .Ombi langu tupostie neno Yan unavofundisha
Najiungamanisha na maombi haya katika jina la yesu
God bless you man of God
Najifunza sana
Asante baba kwa unufuo huu mkuu
Tupo pomoja dady Yesu akutunze sana ❤
MUNGU na azidi KUKUTUNZA na KUKUINUA kila iitwapo leo DADDY 🙏🙏🙏🤲🤲
Amen sana
Mungu akubariki mwalimu kiukweli tunafundishika mno na ujinga unatutoka🙌🏽
Mwl naomba mungu akikupa kibali hii irudiwe
Hakika tumejifunzaa,ubarikiwe sana mwl
Amen 🙏🙏
😢😢😢 Kama Mimi nilikosea kabla sijaokoka tumezaa tu ila hatuna ndoa na Imani ile nafanyaje Mwalimu
Ameeen
Shalom mtumishi wa Mungu, nililisubiri sana ili somo, nimepata maarifa aswaa.
Ushauri au maombi yangu n kukuomba uwe unapandisha neno kwa sababu wengi wetu tuna download audio ama vidio lakini tunapata ugumu sababu unakuta vidio Ina masaa 2 plus bt 1hr n prise na neno linakuja kufata .Ombi langu tupostie neno Yan unavofundisha
Ameen
🙏🙏
🙏
Point
Ameni
Amen 🙏
Amen
Ameen
Amen
Amen